KAMPENI YA 'MTI WANGU, BIRTHDAY YANGU': MITI 780 YAPANDWA CHUO KIKUU CHA DODOMA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 янв 2025
  • Miti 780 imepandwa kwenye eneo lenye ukubwa wa ekari Saba (7) wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni ya 'Mti wangu birthday yangu' iliyoasisiwa na Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma Bw. Kaspar Mmuya na kuzinduliwa Oktoba 18, 2024, ikiwa na lengo la kuifanya Dodoma kuwa ya kijani kwa kupanda miti katika kumbukizi ya siku ya kuzaliwa.

Комментарии •