Mgisa Mtebe - MAVAZI YANAWEZA KUBEBA UPAKO WA ROHO MTAKATIFU AU UPAKO WA KISHETANI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 янв 2025

Комментарии • 26

  • @remmyalfred6736
    @remmyalfred6736 2 года назад

    Mtumishi ushuhuda wa Mwakasege umeutoa Kwa staili flani hv. Ila tusameheane na Mungu atusamehe na tukumbuke waliotutangulia na kuwa tumejengwa juu ya misingi yao. Amen

  • @Kingjoashwelding
    @Kingjoashwelding Год назад

    Amen 🙏. Mungu atusaidie

  • @magrethjackson5014
    @magrethjackson5014 3 года назад

    Masomo yako yananijenga sana kiroho Mungu azidi kukutumia

  • @hezrononline3471
    @hezrononline3471 3 года назад

    Ubarikiwe sana baba

  • @tinasamo2403
    @tinasamo2403 4 года назад

    Ubarikiwe sana mtumishi

  • @farajamkuchu8458
    @farajamkuchu8458 3 года назад

    Asante sn

  • @lucanziku7836
    @lucanziku7836 3 года назад

    Aminaaa mtumish

  • @alyciakwayu9358
    @alyciakwayu9358 5 лет назад

    Ni Kweli Mavazi Ni Carrier ...Ameeeeen

  • @hadijamakya9775
    @hadijamakya9775 5 лет назад

    Mungu atukuzwe

  • @emmanuelyraphaely3907
    @emmanuelyraphaely3907 6 лет назад +3

    apewe sifa yesuuuuu

  • @chrismwesiga2334
    @chrismwesiga2334 6 лет назад

    Ninaitwa Agnes christian,niko Arusha,nilibahatika kupata kitabu chako cha jifunze kuomba,nasasa nakufuatilia kwenye Yutubu,kwakweli Mungu akutunze,kwani nimefunguka mengi kupitia mafundisho yako.Mungu atukuzwe.

  • @happyelias4536
    @happyelias4536 5 лет назад

    Ubarikiwe

  • @geofreymwasambili9655
    @geofreymwasambili9655 6 лет назад +1

    Amina

  • @lithak7979
    @lithak7979 6 лет назад +1

    Amen

  • @kirakira4425
    @kirakira4425 6 лет назад +1

    Jamani tusaidiane hapa, hivi huwa kuna mtumba wa boxer za wanaume?

  • @mohamedkavishe8812
    @mohamedkavishe8812 6 лет назад

    mh boxer za mtumba za kiume hamna

  • @estherkoya8410
    @estherkoya8410 5 лет назад +1

    Kweli kwenye mavaz kuna nguvu
    Nakumbuka nilinunua suruali ya mtumba kila nilipokua nikipita wanaume wananitizama mpaka nikawa najiuliza nimevaaje au imenibana sanaa, halaf natongozwa sana, kila nikiivai hyo nguo, siku moja nikaangalia ile nguo nikakuta imeandikwa kwa ndani sex monster, nliogopa sana, tangu hyo siku nilikua makin sana na hizi nguo

    • @estherkoya8410
      @estherkoya8410 5 лет назад

      @@mgisamtebe hapana nataka niache kabisa maana maisha yangu nimemkabithi MUNGU na nimemwambia anifundishe kuyatenda mapenzi yake,
      Kwenye ndoto ananifundisha na kutumia sura ya mama yangu kuniambia magufuli amekataa wanawake tusivae suruali nashukuru naelewa anamaanisha nini

    • @estherkoya8410
      @estherkoya8410 5 лет назад

      @@mgisamtebe Amen 🙏

  • @zuhuramike1399
    @zuhuramike1399 3 года назад

    Amen

  • @veronicamshota1546
    @veronicamshota1546 6 лет назад

    Amina

  • @JacintaMaiyu-ed2mh
    @JacintaMaiyu-ed2mh 6 месяцев назад

    Amen