Shukrani Sana Kwa Taarifa yako madoresho yatafanyika, Hiyo ndio Episode ya mwisho niliotumia Hiyo MIC zinazofuata zitakuwa Safi kabisa.. Japo kuwa hata wewe jaribu kutumia device zingine kufuatilia kipindi.. Huwenda Ni Simu au Laptop yako inatatizo. Asante Sana 🙏💯
Kazi kazi tuko pa1. brother tunapata elimu ya safari
Shukrani Sana mkuu, Comments zako ni kutuboreshea kipindi, keep it up
Bongo noma sana.
Bongo ya Moto..🤯🤯🤯
Sound my brother
Shukrani Sana Kwa Taarifa yako madoresho yatafanyika, Hiyo ndio Episode ya mwisho niliotumia Hiyo MIC zinazofuata zitakuwa Safi kabisa..
Japo kuwa hata wewe jaribu kutumia device zingine kufuatilia kipindi.. Huwenda Ni Simu au Laptop yako inatatizo.
Asante Sana 🙏💯
Uyu kweli mwamba😂😂unaijua ambales
Siunajua mabaharia kitambo..
Nyinyi kwenu roho mbaya😢😢 wanapenda watembelee v8 pekeao
Hujaeleweka ndugu.. Mtazamaji🤔🤔
@@kazikazitvboda2boda nimeelewa sema imekomentiwa kiuficho broo
Nashkru umenielewa kaka....sound inakwaruza haijakaa vzr @@kalengashoppingcenter1108