ما شاء الله تبارك الرحمن الله يحفظك اخي العزيز قراءة راااااائع صوتك حلو والله نفس صوت شيخي بندر بليلة إمام مسجد الحرام جزاك الله خير شيخ محمد عبد الرحمن ❤😢😢😢😢
Mashaallah Kira kizur ila tusikulupuke kumsema imamu kwa ufungaji wake wa swala kwasabab hatujui anamatatizo fan kwenye mkono wake tuangalie vizur huenda ana shida kwenye mkono wa kushoto
Mashallaah, Allah akuhifadhi shekh muhammad. Tumefurahika na masjid ikhlas kutuletea swala ya taraweeh live. Allah awabariki wanaosimamia mskiti huu.
Qira nzur mashaalah ila hyo styl y ufunguji swala angezinduliwa imaam ili awez kumuig mtum ktk utekelezaji wa ibada
Mashallah tabarakallah. Masjid tudor . I miss this
Mashaallah mungu akuhifadhi
Mashallah tabaraka allah qiraatu mumtaz
ما شاء الله تبارك الرحمن الله يحفظك اخي العزيز قراءة راااااائع
صوتك حلو والله نفس صوت شيخي بندر بليلة إمام مسجد الحرام
جزاك الله خير شيخ محمد عبد الرحمن ❤😢😢😢😢
ما أجمل صوت
مقام البيات
Wallah Allah ampe hikma na nyingi fahamu na umri am uongezee tupate kusikia mazuri kutoka kwake kaka Mohammed
❤❤❤ MashaAllah
ماشاءالله تبارك الله قراء متقنه ومريحه
ماشاءالله الله يبارك فيه
Masha Allah Radha y Qur'an una ihisi kabc yan
Allahuma barik
Masha a Allah tabaraka Allah Allah akupe kla hitaji lililo kuwa na heri
ما شاء الله عليك , قراءة جميلة وصوت جذاب
ماشاء الله
بارك الله لك، sauti nzuri
❤❤❤Masha'a Allah
Maashaah allah
Mashallah Allah barik
Maashallah shke ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mashaalah,,
Maa shaa allah
MashaAllah ❤❤❤
Mashaalla mashaalla
MashaAllah❤
ماشاء الله تبارك الله فيك
Maasha Allah
Allahumma baarik🤍
مmashaallah hemu tultee visomo vyake vyote
Nitafute nikutumie zote anazo soma
Mashaallah ❤❤❤
Mash alh
Mashallh
Masha Allah
MashaAllah
Ma sha Allah, TabarakAllah
Please share more of this
Inshaallah
Tunaomba weka zingine za huyu shekhe @@fauzproduction
Mashaallah Kira kizur ila tusikulupuke kumsema imamu kwa ufungaji wake wa swala kwasabab hatujui anamatatizo fan kwenye mkono wake tuangalie vizur huenda ana shida kwenye mkono wa kushoto
Kabisa
Watu wamesoma sana kumbe kufungua swala ni popote
Mashallah
Mashaallah
MashaAllah
سورة القصص
Anaitwa shekh gan huyuu
Muhammad Abdulrahman
ما أجمل صوت مقام البيات
Ankooo❤
AMEUPIGA MWIMGI ankolii
Masjid Ikhlas iko sehemu gani
Tudor kaa chonjo
Masjid Iko sehemu gny msa
Tudor
@@salimfahmi7642 shukraaan
Sio Tudor,iko Barsheba stage kwa ndani karibu na shule ya mwishomoroni junior@@salimfahmi7642
Tudor kaa chonjo
Hiyo surah gani , msaada plz
Jina LA surah
Qaswas kuanzia ayat ya 29
Surat Qaswas....
Mbona anafunga swala ubavuni
Ngoja nikimuona nitamuuliza
au labda mkono wake wa kushoto ni m bovu, allah hawez kupa vyote...ila maa shaa allah qiraa chake safi
Mkono wa kushoto,iko na shida
Hii sasa ndio heshima ya quruan Safi kabisa lakini watu wanasoma kama wanakimbizwa huku
Wallah umepaona kumbe ww
Huwend anatatz lbd ndio maan akafunga iv
Nakubaliana na wewe kidogo mikono haiko sawa ila mashaallah ana tajweed
Mashallah tabaraka allah qiraatu mumtaz
Maa shaa Allah
Mashallah
Mashallah