Kuna sini kaka zinaniitaji umu 😂😂😂 utani bhana sema mwanzoni tu kazi imenoga katika performance ya msanii mmoja mmoj wa kwanza kufanya vizur katika sini alizocheza Jamal, kaka umetulia umechez vizur xana cjui kwa vile story inaielewa vizur ila umevaa uhusika wako vyema mno, uyo dada main character sio mbaya ila dialogue zake Kuna wakati anapozungumza hatumii vizur xaut yake ili ni suala la kiufundi zaidi ila kajitaidi, mjomba umu bado sijaona moto wake kwa Nini asingetembea na ile style ya kwenye dada zangu mule alikua wamoto sana ajitafakali zaidi ila acha tuone labda mbele Kuna mabadiliko kwake, wengine makosa madogo madogo tu ambayo yanaitaji uzoefu pia na kama wakongwe kwenye sanaa basi wanatakiwa kujitasmini,but all in all kazi nzuri 🔥🔥🔥 kama nilivyo tegemea kwenye story kaka unanyoosha sana, congratulations team pink ane tv 🌹🌹🌹 #majumujr_apa
Naomba like apa tafazali
Mungu akufanyie wepes kwenye kaz zakoo
❤❤❤ unyam san
Move mzuri sana mungu awafanyiye wepesi katika kazi yenu
Huu ni 🔥🔥 hongereni🎉
Chuma iko vzr 🔥🔥🔥....ila anko anazingua 💔😂😂🙌🏿
🎉🎉
🔥🔥🔥🔥
Habar Zenu hii ni kazi yetu tunaomba saport yenu pia tunaitaji ushauri tuandike tuongeze nn tupunguze Nini Asante.
P1
Vzr sn nice
Nakubali
🎉🎉🎉
❤❤❤
Kaka kazi
Mjomba ongeza userious katka character yko ila Kaz imenyooka chaooo
Kuna sini kaka zinaniitaji umu 😂😂😂 utani bhana sema mwanzoni tu kazi imenoga katika performance ya msanii mmoja mmoj wa kwanza kufanya vizur katika sini alizocheza Jamal, kaka umetulia umechez vizur xana cjui kwa vile story inaielewa vizur ila umevaa uhusika wako vyema mno, uyo dada main character sio mbaya ila dialogue zake Kuna wakati anapozungumza hatumii vizur xaut yake ili ni suala la kiufundi zaidi ila kajitaidi, mjomba umu bado sijaona moto wake kwa Nini asingetembea na ile style ya kwenye dada zangu mule alikua wamoto sana ajitafakali zaidi ila acha tuone labda mbele Kuna mabadiliko kwake, wengine makosa madogo madogo tu ambayo yanaitaji uzoefu pia na kama wakongwe kwenye sanaa basi wanatakiwa kujitasmini,but all in all kazi nzuri 🔥🔥🔥 kama nilivyo tegemea kwenye story kaka unanyoosha sana, congratulations team pink ane tv 🌹🌹🌹 #majumujr_apa
Shukran tutalifanyia Kaz Asante san