WALIOCHOAMBIWA WANANCHI WA NGORONGORO RAIS SAMIA ATOA MSIMAMO HUU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 дек 2024

Комментарии • 52

  • @sophiaamnaay9726
    @sophiaamnaay9726 9 дней назад +3

    Imetoka hiyo. Ndugu zangu hakuna jipya hapo. Mungu awape uvumilivu tu mzidi kupambana mpaka kieleweke

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 9 дней назад +6

    Mmmh, hakuna cha tume hapo ndo imetoka iyo. Wamasai jiteteeni wenyewe. Mnaenda kufukuzwa wote

    • @AmourAmour-ux3nm
      @AmourAmour-ux3nm 9 дней назад +1

      Kwan ardhi kikatiba ipo chini ya nani jawabu ni serikali ndio huratibu hilo sio ajabu

  • @ModestMollel
    @ModestMollel 6 дней назад +1

    Tume za nn we mama hakika we mama ulaaniwe na kizazi chako c kwa hivi unaofanyiwa watu hamna cha tume we iuze kwa waarabu wenu mnaodhamini zaidi ya watanzania wenye ardhi Yao lkini hakika mungu yu pamojs nasi haufiki mbali na kizazi chako cjui itakuaje muusji mkubwa

  • @ShaibuYahaya-v7k
    @ShaibuYahaya-v7k 8 дней назад +1

    mama ww ni muongo watu wamekufa ngorongoro leo umepeleka siasa yaan mama umuogope sana mungu

  • @salmanmagwe2612
    @salmanmagwe2612 9 дней назад +3

    UMEFIKA WAKATI KWA SERIKALI KUZIPITIA UPYA SHERIA ZA UFUGAJI TZ.
    MIMI NI MFUGAJI NA NINAKIRI KABISA KILA MAHALI UKIWAPELEKA WAFUGAJI WA KIENYEJI,TARAJIA UHARIBIFU WA MAZINGIRA

  • @ThomasOlekashuma
    @ThomasOlekashuma 2 дня назад

    Ebu muogope hata Mungu Kwa kuwanyanyaza watu wa ngorongoro please please mnanyanyaza watu kama nyinyi😢😢😢 lakini kile najua ni Kwamba maneno zako wewe mama hazitoki Kwa Kwa mfalume mkuu Wetu Mungu alietuumba sisi wote😢

  • @mussamaduka2828
    @mussamaduka2828 9 дней назад +1

    Naona huyu mama anataka kuharibu taifa hili

    • @AmourAmour-ux3nm
      @AmourAmour-ux3nm 9 дней назад

      Lbd utake kuhribiwa moja ya marais weny hekima na busara ni huyo asili wazaz wake wamezaliwa katk Ardhi ya ukarimu sis kwetu huku hakuna majambazi uliz walioish Zanzibar

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 9 дней назад +3

    Ngorongoro imesha uzwa

  • @eliakazilo6078
    @eliakazilo6078 6 дней назад

    Kuna namna hapoo.ngorongoro imeisha uzwa.mwarabu anaaka kumiliki sehemu yake .hata Lisu walitumia nguvu nyingi kumzuia asiingie ngorongoro..walikuwa atafichua uozo waoo.

  • @keliviniwambuikamau
    @keliviniwambuikamau 4 дня назад

    yaani huyu Samia Tujitahiji asipate kura hata moja maana mungu alisema mwanamke asipewe kuongoza watu Huyu samia ni Delila kumbafu zake

  • @benardbwakitare5237
    @benardbwakitare5237 9 дней назад +3

    Mnavuruga wananchi Mungu yupo

  • @leporeleyian6617
    @leporeleyian6617 8 дней назад

    tutaja kuunda inchi yetu kutoka Kenya na Tanzania kuna agreement tu liyo weka na wazungu tunajua adhri yetu inapofika mnabeba binadamu kama wanyama .Wanyama wapo kwa sababu yetu kuilinda tangia mwanzo muache mchezo na maisha na mila za watu

  • @MtumishiWaMungu-c6m
    @MtumishiWaMungu-c6m 8 дней назад

    JWTZ Hoyeeh!
    Mpaka tarehe 25 kila mwanajeshi kesha lipwa mshahara na tarehe 15 pension Mapema2,Ila watakapo gusa na Ndugu zenu kwaasili muendelee kugumia kimyakimya kama sisi.

  • @LazaroSalon
    @LazaroSalon 3 дня назад

    Sasa ngombe na wanyama matembo nangombe Gani enye uzito mama etu uspaguwe watu kwaondowa nakufadi wanyama inamaa wanyama Wana daminiwa kuliko binadamu tuongeenitu ukwei

  • @allyngoda761
    @allyngoda761 9 дней назад +1

    TUME MBILI IMEISHA HIYOO...!

  • @MengiRashid-h3u
    @MengiRashid-h3u 7 дней назад

    Uyu mama ovyo Sana eti mifugo inaalibu mazingira tumeanza kufuga leo wanaanza kuidhiaki neema Katina Africa Tanzania ndiyo nchi inayoongoza kwa maji ila nimifumo mibovu ya uongoziy

  • @WitnesShangai
    @WitnesShangai 7 дней назад

    Thamani ya ardhi na binadamu ipi bora,wanyama na binadamu ipi bora,ciku zote arizi ya ngoro2 huwa ina milikiwa na nani

  • @chalokalunde9429
    @chalokalunde9429 8 дней назад

    Mezani naona watu wanakamata ngano.

  • @mussamaduka2828
    @mussamaduka2828 9 дней назад

    Naona wewe unataka kuonea wananchi wafugaji wa mifugo

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 9 дней назад

    Ndugu zangu 10% sio mchezo miaka 10 kwene siasa ni michache

  • @jituakilimali15
    @jituakilimali15 8 дней назад

    Hilo umelipata wapi mimi ninmtaalam wa mazingira zaidi ya miaka Arobaini hiyo hamna

  • @KilonzoJohn-mg7cw
    @KilonzoJohn-mg7cw 9 дней назад

    Wananchi ngorongoro mmeliwa hakuna tume hapo ni porojo ziko tume nyingi zimeunda na huyu raisi mpaka Leo hakuna matokeo mmepigwa changa la macho

  • @kakawataifa6752
    @kakawataifa6752 9 дней назад

    Jiandaeni kwenda kula ngogwe na wagosi

  • @STEVENKAJUMBA
    @STEVENKAJUMBA 9 дней назад

    Tanzania ina mapori kibao ya yakulinda mazngra kwanin wamasai ngorongoro .mnalenu jambo

  • @WilliamOlenapayang04
    @WilliamOlenapayang04 5 часов назад

    Wewe muongo Sana sasa unataka wamasai waishi kivipi

  • @HajiMakame-m8l
    @HajiMakame-m8l 9 дней назад

    Watu wanalalamika kuhusu uchaguzi kwa iyoo wew nikiogozi vipi watu utapata haki zao

  • @helencyprian8745
    @helencyprian8745 9 дней назад

    Mmepigwa kabisa

  • @jumamagoma1743
    @jumamagoma1743 9 дней назад +1

    Mzee.kibao.kifo.chake.iliundwa.tume?.

  • @HaulSidney
    @HaulSidney 9 дней назад

    Tume ya nini wamasai hii ni nchi yao, mbona waarabu na kwao, RIP JPM

  • @YohanaJulius-j8p
    @YohanaJulius-j8p 9 дней назад

    Hakuna Cha Tume hapo ni matope mtupu mfukuzeni akwende zake Ngorongoro hatuondoki

  • @VictorNphilip
    @VictorNphilip 9 дней назад

    Haujawahi kuwa mtetezi wa raia watanzania wewe nihera Tu kwani ngorongoro siyo ya reo je hao waarabu sio watu

  • @Manu001-i4q
    @Manu001-i4q 8 дней назад

    😭😭😭😭😭😭

  • @JuliusTluway
    @JuliusTluway 9 дней назад

    Waarabu vp

    • @salumsimai642
      @salumsimai642 9 дней назад

      Ww unachuki na waaarabu wamekufanya Nini?

  • @eliakazilo6078
    @eliakazilo6078 6 дней назад

    Ngorongoro Ni nchi ya wanachi na wanyama..wamezoeana..MuNGU aliwaweka hivyo.kuwaondoa sio suluhisho..wafungaji Tanzania wapo ngorongoro tuu? Msiwatoe wamasai..maana hao maua ya ngorongoro

  • @KelvinSimango
    @KelvinSimango 9 дней назад

    Hakuna wamepita Marais wangapi na kama wanyama ni bora kuliko binadamu je unathamini vya inje kuliko vyandani.

    • @AmourAmour-ux3nm
      @AmourAmour-ux3nm 9 дней назад

      Wanyama pia wanahaki zao hilo n jukumu la serikali kuratibu sio watu kuish kiholelaholela

  • @Oboss_billharvester
    @Oboss_billharvester 9 дней назад

    Mama sayansi ipi hiyo??, wewe umezaliwa umewakuta wamasai wanaishi ngorongoro alafu Leo unataka kuwaondoa kwaajili ya maslahi ya wazungu, embu jitafakari Kwanza Mama

  • @harunamtiko117
    @harunamtiko117 9 дней назад

    Hamna jpya hapo Tume ngapi umeunda na majibu hakuna. Vp ile tume ya wale askari walioua kule mkoa fulan

  • @Mrmohadi.OFFICIAL
    @Mrmohadi.OFFICIAL 9 дней назад

    Mshapangwa apo

  • @PaulKabungo
    @PaulKabungo 8 дней назад

    😭😭😭😭😭😭😭

  • @malackedson7706
    @malackedson7706 9 дней назад

    Manakitu.

  • @Manu001-i4q
    @Manu001-i4q 8 дней назад

    😂😅😂😂😂😂😂

  • @MrBlackke-l7m
    @MrBlackke-l7m 4 дня назад

    Umbwa Koko tu

  • @mussamaduka2828
    @mussamaduka2828 9 дней назад

    Kumbe kuna watu wajinga duniani eeeee ! Mungu mwenyewe ametaja mifugo kwenye maandiko kuwa ni utajiri wa maana na huyu anaongea kuwa ng'ombe wanaharibu ardhi ? Taifa hili linapelekwa kubaya sana

    • @AmourAmour-ux3nm
      @AmourAmour-ux3nm 9 дней назад

      Kwan uwongo wapitish kwenye shamba utajua hujui