TAZAMA BALAA LA YAMMI KWENYE STAGE YA MR RIGHT | KUKU YAPIGWA LIVE | S06E05

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 фев 2025
  • ►Instagram / stbongotv
    ►TikTok / stbongotv.tz
    ►Facebook / stbongotv
    ►Twitter / stbongotv
    ST BONGO TV Channel 401 (Dish) 161 (Antena) on Startimes Decoder

Комментарии • 42

  • @FrolaernestNyamgula
    @FrolaernestNyamgula Месяц назад +6

    Umebarikiwa sauti nakupenda bure❤❤

  • @LINASIMON-s3x
    @LINASIMON-s3x 6 дней назад

    🎉🎉thanks God is good

  • @PrisilaErnest
    @PrisilaErnest 28 дней назад

    Kaimba vzur had Raha🌹🥳

  • @janetymatola6639
    @janetymatola6639 Месяц назад +1

    ❤❤❤❤❤❤my girl

  • @mishisoza
    @mishisoza Месяц назад

    😊😊sauti mama...mashallah..

  • @mariethavitalis684
    @mariethavitalis684 26 дней назад +1

    Kuna mdada mweusi mwenye minyoosho anaimba kwa hisia atakuwa kampata mwanaume mweupe😂😂

  • @leahjohn4734
    @leahjohn4734 2 месяца назад +5

    Hatimae na mm nmechok kuona kitovu cha uyu dada jaman😂 nmeanz kufeel venye huw mnafeel😢💔🤣

  • @rukiaShukran
    @rukiaShukran Месяц назад

    she is beauty

  • @IsaiahSamwely-x5k
    @IsaiahSamwely-x5k 25 дней назад

    Good

  • @Shybabe1990-pd5yx
    @Shybabe1990-pd5yx Месяц назад +1

    Nimeipenda hiyo🎉🎉❤

  • @AminaJuma-r4y
    @AminaJuma-r4y 2 месяца назад +2

    Mbosso kasha muacha uyu mtoto😂😂😂😂

  • @enjolaikilema1989
    @enjolaikilema1989 Месяц назад +1

    Napenda sana yammi anavyoimba na hao wanaosema yammi anavyovaa wanawuvu mwaya unajua

  • @RebeccaLongo-oi3po
    @RebeccaLongo-oi3po Месяц назад +3

    Ivi yami ukifunika kitovu kinawash au😮

  • @NairtJuma-x4x
    @NairtJuma-x4x 20 дней назад

    Dad unajua nmependa hyooo

  • @AsmaAlly-m9i
    @AsmaAlly-m9i 2 месяца назад +2

    Ivi mtoto wakisram kinena chote wazi unaweza je kutembea dah mtihani yami

  • @DoriceEdward-l6s
    @DoriceEdward-l6s 2 месяца назад +2

    Yan wewe yammy siku ukifanya sajali nitakuona mbwa 😢😢😢

  • @asha-v1e
    @asha-v1e Месяц назад +4

    Nampenda yami nyimbo zake zote tamu, ila ongeza kipimo cha nguo ya juu

  • @HellenJohn-s4s
    @HellenJohn-s4s 12 дней назад

    Yammy anasauti jaman

  • @HafsaHamid-d9d
    @HafsaHamid-d9d Месяц назад

    ❤❤❤❤

  • @MamaBade-k8l
    @MamaBade-k8l 28 дней назад

    Sasa mweye mnatizama kitovu au nguo msisahau kwamba na huyo ni star atava kama gisi wangine ma star wanava mwe ninini mumuache na mipango yake😂

  • @Blessingnday
    @Blessingnday 2 месяца назад +11

    Uyo Yammy anajua sana kuimba, Ila hajakamirika kua msani bora. Yani msani unaona aibu kukatika kiuno ,but auoni aibu kuvaa kitovu juu?sasa kipi kizuli kinacho wapa burudani watu? Kitovu ao kuchangamsha podium?

    • @Mery-st4nu
      @Mery-st4nu 2 месяца назад

      Hapo bwana angekuwa ruby weeeee

    • @SomoeMahazi
      @SomoeMahazi Месяц назад

      @BabyFaceNday Ndio mavazi ya siku hizi si yammi peke yake

    • @salimmwakaribu942
      @salimmwakaribu942 Месяц назад

      Nyinyi ndio wale mlosema hatafika mbal... Mliomkataa🤣🤣

  • @LeinaBakary-k3k
    @LeinaBakary-k3k 14 дней назад

    yamm unajua san ila jalib kujistil kidog

  • @stellarazalo
    @stellarazalo Месяц назад

    Ww baba ww

  • @PaulSaid-l7v
    @PaulSaid-l7v Месяц назад

    Yamm ni hatar kafanya mboso awe bora

  • @ChristineKesi-k9r
    @ChristineKesi-k9r Месяц назад

    Waimba poa, ILA wanitia aibu,funika tumbo,plz mmi pia mwanamke

  • @MariamIbrahim-h7p
    @MariamIbrahim-h7p 2 месяца назад +2

    Uyu mtoto anajuwa kuimba Mandy afiki

  • @RaiyaanRasheedRay
    @RaiyaanRasheedRay 2 месяца назад +1

    Sipend anavyovaa

    • @SomoeMahazi
      @SomoeMahazi Месяц назад

      Huyu Ni kitovuu Kiko njee jee zuchu 😂 huyo anavaa uchi kabisaaa

    • @RaiyaanRasheedRay
      @RaiyaanRasheedRay Месяц назад

      @SomoeMahazi huyo ndyo sitak hata kumsikia.... wanajisahu sana

  • @DoriceEdward-l6s
    @DoriceEdward-l6s 2 месяца назад +1

    Hapo hao watu wanaangalia kitovu tu

    • @ashuramanya9282
      @ashuramanya9282 Месяц назад

      Kabisa nimtihani ijawonaga uyu mtoto anavaa nguwo ya kumtosha kwa nini ivo lakini?

  • @AidahNabwire-k2u
    @AidahNabwire-k2u Месяц назад

    Mtoto kama kaingia kwa chupa vile

  • @EnjoyPeter-z6z
    @EnjoyPeter-z6z Месяц назад

    ❤❤❤