Jacugaz - Baba Msaliti(OFFICIAL Music Video)FullHD 1080p
HTML-код
- Опубликовано: 2 авг 2023
- Check out Jacugaz's song "Baba Msaliti." Jacugaz is a music group from Mombasa.
In the song, Jacugaz talks about an ordeal of a father who raped his daughter. The music is catchy, and the words are meaningful.
Listen to "Baba Msaliti" on all streaming platforms.
#babamsaliti
For business and bookings:
Email: faridally031@gmail.com
Tel: +254727375974. Видеоклипы
Kama bado wakubali hawa jamaa na unamini nyimbo ii iko na ujumbe weka like yko
🎉❤
Tuliorudia uu wimbo mara 10 tujuane apa ,Gonga like twende sawa🔥🔥🔥🔥🔥
Matajiri wamashairi Jacugaz4life 🔥 🔥 🔥 🔥
Nkumbaku wamaryango huyu shabiki sugu jacugaz ntoteeni sana Bakari zeeeezeee
Baba masaliti Iko top bana jacugaz4life
Banae mombasa ilikua na talent zama hizo.... shukran kwa mziki mzuri washikaji
💯🙏
Baba msaliti hii nyimbo jacugaz waliimba aki
Moto hataro fire hili kosi naomba lirudi kama zama yn nmisi sn flavour zao
Ngoma kali sana❤❤❤❤
Kanzi safi yenye mafunzo jacugaz muko fiti
Dem days nakubali
Kazi nzuri mmenikumbusha enzi zangu nkikimbia shule
Safii somo
Moto sana🔥🔥
old skul 👈 safi sana
Wanangu Jacugas 💪
Noma sana
Mziki wawakubwa Jacugaz4life kazi safi tu ....
Funny B MwinaMwina was here 🔥🔥🔥🔥
Dem days ❤bigupp
Ni jacugaz!!! Yospee,wazobaba na Big Boss💣💥💣💥mpaka kesho jacugaz
Matajiri Wa mashairi
Hii itabaki top 4 life ❤❤❤❤
Mashairi timamu yenye tele hamu yasoisha utamu yafaa mfanye Kazi zingine #Westilnid_U_Guys
haiyaa be haiyaaa
hii nyimbo inanikumbuxha mbali xana
This wako sawh from kitambo.. Nakumbuka those days nilikua taveta challah hotel walikua wakija kufanya show 🎉❤
Old is gold jacugaz4live
🔥🔥🔥 sana jacugaz
Baba hovyo sana,ana roho mbaya kama shetani.jacugaz mulifanya vizuri kumuimba hahahahahhahaa😂😂😂😂😂😂
Good content 🔥
Hii imenikumbusha mbali sana baba msaliti😂😂😂top song ever
Ngoma kalisana hii jacugaz4life
Jacugaz moto sana baba msaliti a big tune...
Mashallah mziki wenye mafunzo huu❤❤❤
Hii kazi ilikuwa Moto sana
Mzuka kama kawa nakubali ngoma kubwa
Baba msaliti ni naree 🔥🔥🔥
Enzi zileee za disco vumbi na Bado inatamba mpaka leo
Ngoma kali sana jacugaz4life
Jacugaz muko jui tu sana...
Hu ni Mziki na nusu life time 😂😂💯 💯 the
Noma sana wakali his ni timeless music 🔥 🔥 🔥
Mziki mzuri mziki mkubwa lazima utambe
Saaaaana tuuu,,❤❤❤
🎉❤
Mziki mzuri wenye mafunzo
Kazi kubwa sana jacugaz4life
Mi ni nani nakuona my brother 🔥🔥🔥
Nakubali
Jacugaz baba msaliti muli kill ❤❤❤
🔥🔥🔥🔥🔥 ulikuwa wakuotea mbali I say
Kazi Kali Sana jacugaz
Ngoma kali sana jacugaz
Mziki mzuka 🔥 🔥 🔥
Baba mslali haina mpizani hii ni time less music 1000%
Zaidi sana hii song
Ngoma iko juu sana noma sama
Kali sana ngoma
Baba msaliti is 🔥 🔥 🔥
Well done jacugaz4life
Nomaa sanaaa
...🔥🔥🔥🔥 Jacugaz4life
Noma sana babaa
Mziki wa wakubwa...Zama zao
Utamu wa ziki lanazi ❤❤❤
Jacugaz nyingi niwanoma
#babamsaliti moto sana😂😂😂😂😂
🔥🔥🔥🔥 time less music ❤
Good content 🤝🙌🙌
Nyimbo kali
Thise is big enough 🔥 🔥 🔥
Safi sana japo mlichelewa ku appload hii ngoma let's support our own
Hii ngoma itakuwa moto
Enzi hizoooo...anywei thenk you for aploading ❤❤❤
Mzuka sana
Song ni mzuka sana
👍👍👍
Mziki wa wakubwa
fire fire fire
Baba aliye lala na mwanawe
❤❤❤❤
Wazeee kama hawa wako wengi hahahaha Jacugaz4life keeping good music a live 🔥
Back in the day ..mwootoo.!!
old is gold
Old is gold 🎉🎉🎉
Doop Sana tuu
Come back to the industry guys
doop good music
Nilikua dogo Sana enzi hizi 🎉 good vibe
Wazi
Bro game yenu iko matawi ya juu bro
My favourite song
Great job jacugaz muko juu sana......
Best music man gai
Kazi safi❤
Tano bora
❤❤JACUGAZ ni muoto kwelii ... hii song ni hatari mazee ❤❤
💥💥💥💥
Binti yako damu yako unakula baba Mchawi 😂😂😂😂
Nimependa❤