Harmonize - Ujana (Official Music Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 дек 2024

Комментарии • 2,3 тыс.

  • @versenetworkTz
    @versenetworkTz 3 месяца назад +196

    Angalia Full Behind The Scene Hapa ruclips.net/video/e-Hnqj-kowc/видео.html

  • @roshanecyrus4964
    @roshanecyrus4964 19 дней назад +14

    Harmonize anaimba Swahili kirahisi sana. 😢 nampenda sana sana. Hatari huyu jamaa kabisa. Love from 🇰🇪 🇰🇪

  • @gabrielmutheu7102
    @gabrielmutheu7102 3 месяца назад +162

    My everytime nikipita karibu na klabu :pombe izooo pombe izooo nikiziona moyo unadunda tena.....wakenya mpoo🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @Musinga_Nyawe
    @Musinga_Nyawe 3 месяца назад +327

    From Rwanda 🇷🇼 na mimi mnipe like kama mnampenda harmonize ❤❤

  • @ManasehWaweru-ld4ez
    @ManasehWaweru-ld4ez 3 месяца назад +43

    this man got talent for real,he doesn't get collabo like diamond but even solo his Swahili so sweet for you to enjoy

    • @geomangi6123
      @geomangi6123 2 месяца назад +1

      huyu jamaa yuko sawa melod beat kilakitu pahali yake

    • @sheilaschelken9267
      @sheilaschelken9267 Месяц назад

      ❤upsolutily 😂❤huogopii❤

  • @Oflovetz
    @Oflovetz 3 месяца назад +17

    Jeshiiiiiiiiiiiiiiiiiiii hajawai kukosea kabisaaa mzee baba umeuwaa hatareeeeeeeeeeeeee

  • @Mr.Edward-dl7nk
    @Mr.Edward-dl7nk 3 месяца назад +45

    Jama huku 🇨🇩 congo huyo harmonze msanii tunamkubal xanaaaa anajua kuimb isivyo kawaida❤❤❤

  • @BizeddOfficial
    @BizeddOfficial 3 месяца назад +27

    ujana ya harmonize sio wimbo tu;
    ni safari kupitia hali ya juu na chini ya ujana.
    inanasa hisia hiyo ambayo sote tunaijua vizuri sana-haraka ya kukimbiza ndoto zetu, msisimko wa uhuru mpya, na vuta nikuvute ya mara kwa mara kati ya kutaka kulinda maisha yetu ya usoni na kuishi kwa leo.
    harmonize huleta maishani ukweli wa ujana, ambapo tamaa na majaribu hugongana.
    anazungumzia kuhusu msukumo wa kufanikiwa, kutafuta pesa, kufikia ndoto hizo kubwa tulizonazo sote.
    lakini basi kuna vikengeusha-fikira-nyakati hizo ambapo tunajaribiwa na kile kilicho sawa mbele yetu, iwe ni karamu, kujumuika na watu warembo, au kukubali tu shinikizo la kuishi sasa.
    katika ujana, harmonize anachimba sana, akiuliza kwa nini tunahisi haja ya kuwa nayo yote mara moja.
    kwa nini vijana wanakuja na msukumo huu mkubwa wa kupata kila kitu, hata ikimaanisha kuhatarisha mipango yetu ya baadaye?
    wimbo ni zaidi ya nyimbo na maneno ya kuvutia;
    ni tafakari ya nini maana ya kweli kuwa kijana-uliojaa nguvu, ndoto, na kishawishi cha mara kwa mara cha kujiingiza katika maisha ya sasa.
    ni ukumbusho wa changamoto zinazokuja na vijana, na kutuacha tutafakari jinsi tunavyosawazisha matarajio yetu na usumbufu wa maisha.
    harmonize - ujana (sauti rasmi)
    stream/download: ziiki.media/uj...​
    zinazozalishwa na;
    kimambo
    uzalishaji na;
    Kampuni ya dk Ltd
    jiandikishe kwa maudhui rasmi zaidi kutoka kwa harmonize: / harmonize255
    kufuata harmonize
    instagram: / harmonize_tz
    twitter: / harmonize_tz
    facebook: / harmonize255
    tiktok: vm.tiktok.com/...
    sikiliza harmonize
    youtube: / harmonize255
    audiomack: audiomack.com/...
    muziki wa apple : / harmonize ​
    spotify: open.spotify.c...
    boomplay: www.boomplaymu...
    chaneli rasmi ya youtube ya harmonize.
    jiandikishe kwa video za hivi punde za muziki, maonyesho na zaidi.
    kwa kuweka nafasi na zaidi
    barua pepe: harmonizemanagement@gmail.com
    piga simu: +255 652 892 317, +255 658 135 762
    #kondeboy#ujana​ #harmonize

  • @MCadeau-b6z
    @MCadeau-b6z 3 месяца назад +82

    Ujana ni chanzo cha kutengeneza maisha yako yote

  • @susankariuko9582
    @susankariuko9582 Месяц назад +22

    Honestly Tembo he's more talented than dee kama una kubaliana na mimi wapi like za Harmonize

  • @BrianWafula0790
    @BrianWafula0790 2 месяца назад +8

    Moshi uoo moshi uoo nikiuona moyo unadunda tena🔥
    More love from Kenya 🇰🇪

  • @BarakaSimon-xy9mp
    @BarakaSimon-xy9mp 3 месяца назад +61

    Daaah nyimbo hiii ni uhalisia kabixa kwa maisha ya ujana haswa karne hii ya 21 chqngamoto nyingi zinazokwamisha vijana kufikiq malengo tunayojiwekea.. Good harmonize

    • @micksonnyamwez96
      @micksonnyamwez96 3 месяца назад +2

      Kabisa palipo na umaskini kuna usalit mwingi sana

    • @BarakaSimon-xy9mp
      @BarakaSimon-xy9mp 3 месяца назад +1

      @@micksonnyamwez96 😂😂

    • @micksonnyamwez96
      @micksonnyamwez96 3 месяца назад +1

      @@BarakaSimon-xy9mp ukweli ndio uwo

    • @BarakaSimon-xy9mp
      @BarakaSimon-xy9mp 3 месяца назад +2

      @@micksonnyamwez96 hata ikiwa nazo watasema kibamia bado atatafutwa asiye na ela atakusaliti

  • @HamisiChipotele-fl8xo
    @HamisiChipotele-fl8xo 3 месяца назад +238

    Wenzangu from Kenya 🇰🇪 mbona nyie mnapata likes me sipati.. let's gather here to show love Kwa konde. Bombaclaaaaa

  • @JeanLunda-nv5fd
    @JeanLunda-nv5fd 3 месяца назад +94

    Nakukubali Sana tembo Conde boy jeshi wewe ni noma Sana 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @ns-tw4yg
    @ns-tw4yg 3 месяца назад +22

    None of them is above you in Tanz when it comes to real music... Respect Harmonize ✊🏿🇬🇳🇩🇪

  • @Joseracalitto
    @Joseracalitto 23 дня назад +3

    Harmonize Jeshii mziki mzuri sana iko na ujanja ujanja kiasi 😅😂😂🎉🎉🎉 shout out to you

  • @RoxyAndre
    @RoxyAndre 3 месяца назад +185

    Bombo claa nahomba namimi like hata 5 jameni, mbona tunakuwa hatupendani Sisi mashabiki wa konde?

    • @JohnNguse
      @JohnNguse 2 месяца назад +1

      Turudishie likes zetu zimepita5😅😅

    • @charlesalonzo4181
      @charlesalonzo4181 2 месяца назад

      😂😂😂😂​@@JohnNguse

  • @naerrahboy
    @naerrahboy 3 месяца назад +33

    Nakupenda sana harmonize
    Wewe ndie king of music brother ❤️🤠💖🙏🙏🔥🔥👊👊

  • @stevensilungwe41
    @stevensilungwe41 3 месяца назад +38

    Nakubali niukweli .
    Zambia 🇿🇲 tupo hapa

  • @youngsegu8548
    @youngsegu8548 2 месяца назад +28

    Hapo kitoto cha elfu mbili 🔥🔥🔥 Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪twakutambua💪💪💪

  • @litgeeboy7442
    @litgeeboy7442 3 месяца назад +10

    Shout out to harmo all the way from Nairobi Kenya 🔥🔥🔥 loving the song

  • @GideonKidege
    @GideonKidege 3 месяца назад +52

    Huu wimbo umenifunza kweli viti za Dunia zinaweza kukufanya usiendele mbele kabisa

  • @lively6661
    @lively6661 3 месяца назад +101

    Representing Nairobi 🇰🇪🇰🇪 jeshi

  • @gloiresadiki
    @gloiresadiki 3 месяца назад +154

    Harmonize mimi ni shabiki yako wa kwanza kutoka marekani🇺🇲🇺🇲🇺🇲 Indianapolis 🇨🇩

  • @pditanzania7764
    @pditanzania7764 3 месяца назад +5

    Ujana maji ya moto, hekima kwanza vijanaaaaaaaa. Nguvu katupa Mungu kwa ajili ya kazi na Utukufu wake tu. Dhambi tupa kule, tuwe na kiasi aiseeeeeeee❤

  • @enigma9416
    @enigma9416 24 дня назад +3

    Kila siku lasima ni skie hii song bana Alf song mtaje is my favorite songs wllae, naipendah yaani like nicheza mara ten kila siku ❤

  • @alvinslota_ghahiji2477
    @alvinslota_ghahiji2477 3 месяца назад +198

    🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪team harmonize mbaka mwisho

  • @beatman401
    @beatman401 3 месяца назад +16

    Kwangu mimi#officiel lyrics ya Ujana Iko verynice kuliko hii,kwasababu inaedana na maneno ya mziki 🤔🤔🤔Daaah ,pissii ziko nyingui sana,from🇰🇲🇰🇲🇰🇲Comoros ❤❤We

  • @HappyChemistryExperiment-pn1fm
    @HappyChemistryExperiment-pn1fm 3 месяца назад +718

    Mimi wa Kwanza Leo Nipeeeni.Likes zangu Please 😮😅

  • @IanxyiIanxyiIanxyiIanxyi-q7y
    @IanxyiIanxyiIanxyiIanxyi-q7y 3 месяца назад +4

    Kevoo from Kenya amazing song wewe ndiye boss wa kutunga nyimbo kotee nchini

  • @VivianKigen-l3r
    @VivianKigen-l3r Месяц назад +6

    Representing 🎉 Kenyans 🇰🇪🇰🇪🎉

  • @Zezeta-yr3hy
    @Zezeta-yr3hy 3 месяца назад +142

    Kama unaskiza huu wimbo ukisoma comments nipee likes hapa 😂😂😂

  • @afrihension
    @afrihension 3 месяца назад +17

    My favourite artist in Tanzania. Sending love from Kenya.

  • @Barnizeboy
    @Barnizeboy 3 месяца назад +71

    Leo nimewahi 🔥💥💥🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩💪

  • @Fantastic.-gm1eo
    @Fantastic.-gm1eo 3 месяца назад +13

    Nyimbo inaelimisha na inaburudisha kwa wakati mmoja hii ndio talent sas

  • @EliKeya
    @EliKeya Месяц назад +1

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 jeshi

  • @JIRANIOFFICIAL
    @JIRANIOFFICIAL 3 месяца назад +13

    Mimi pia ni Mwanamziki na kama gomma ni kali wacheni tusemezane ukweli...umepoa sana mwanangu Hermonize 🎉🎉

  • @thomaskarama3521
    @thomaskarama3521 3 месяца назад +13

    Ujana ni Maji ya moto lazima tutamani😅😅😅🎉🎉🎉🇨🇩🇨🇩 Lubumbashi tuna kupenda kk

  • @lucyjohn4216
    @lucyjohn4216 3 месяца назад +85

    Wapi ❤❤❤❤from kenya..weka like hapa

  • @abdulmpole2178
    @abdulmpole2178 Месяц назад +1

    Nannume utendii chaaanii nkatii Aaamuuu 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾

  • @crskincareproducts455
    @crskincareproducts455 Месяц назад +2

    Ujana ni tamu aisee❤❤

  • @IsabellaLuciussy
    @IsabellaLuciussy 3 месяца назад +8

    Hapo mwisho kwenye kimakonde dah umeua sana

  • @JulesCesar-f9r
    @JulesCesar-f9r 3 месяца назад +7

    Asante sana Harmonize, hatujui namna Ujana unaenda kuwa. Imani kwanza!!

  • @Godfreykaimenyi
    @Godfreykaimenyi 3 месяца назад +22

    Wakwanza fromm norway representing 254 kenya

  • @NyawaMaganga-b1g
    @NyawaMaganga-b1g 2 месяца назад +4

    Kali kabsa dogo mungu akutie nguvu kazi n kazii

  • @NgupeTeppi
    @NgupeTeppi 3 месяца назад +7

    Bombo claat representing from 254🇰🇪

  • @petermbogo2254
    @petermbogo2254 3 месяца назад +9

    Harmonize siku hizi anafeli sana...kutoa Audio then badae Video ndio anafanya nyimbo zake haziingii kwenye trending number 1. Kiwa niko sahihi nipeni maua yangu🎉

  • @DAMUCHII_OFFICIAL
    @DAMUCHII_OFFICIAL 3 месяца назад +15

    Nakukubali sana Big Brother 🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪

  • @witnaofficial
    @witnaofficial 3 месяца назад +10

    Balaa sana kabisa daaah video Kali hizi

  • @emapatrick
    @emapatrick 3 месяца назад +1

    Ujumbe murua, beat ni Ile yenye vionjo vya kiafrika, big up and keep the music more African"

  • @SHUKURUIBRAHIM-s9y
    @SHUKURUIBRAHIM-s9y Месяц назад +2

    0:50 ❤❤❤❤❤ Moshi huooo na mikeka ndo imetuharibu vijana

  • @eliassmith3704
    @eliassmith3704 3 месяца назад +105

    Mutazamaji wakwanza ndo mim nipe like zangu 🤟🤟🇧🇮

  • @DrGiddie
    @DrGiddie 3 месяца назад +13

    Ujaaaaana, this song hits differently

    • @Joshua-l7v6r
      @Joshua-l7v6r 12 дней назад

      ❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @kayblack2025
    @kayblack2025 3 месяца назад +16

    Kay Black % kali m'y brother wangu 🔥🇹🇿

  • @sammymutiso6758
    @sammymutiso6758 3 месяца назад +5

    BOMBOCLAN🔥🔥🔥🥰🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @MrpMbinho
    @MrpMbinho Месяц назад +1

    Nakukubali xana❤❤

  • @fortclassic6361
    @fortclassic6361 3 месяца назад +6

    Harmonize kalogwa au RUclips wanaichezea tumezoea akitoa Ngoma ipo trending number one au two dah

  • @msholozizuma5428
    @msholozizuma5428 3 месяца назад +20

    Mimi ndo Shabiki wa Hormonize No1.
    apa🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦 🤔Harmonize anajua kuimba sna

  • @NixShammah-ty9cw
    @NixShammah-ty9cw 3 месяца назад +15

    Manix shammah Toka Kongo I love you konde❤❤❤🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @SammyOmoke-h5s
    @SammyOmoke-h5s Месяц назад +1

    I love this song,,,Moshi hiyo,Moshi hiyo nikiuona moyo unadunda Tena...

  • @flavianmushi
    @flavianmushi 3 месяца назад +1

    Aiseeeee kuna ndoa nyingine tam Sana unaweza kuhisi nitauni kumbe ndiooo upendo unaendelea kuwa mkubwa kuliko tulivyo dhani hawafiki mbali kutokana na kawaida ya wasaniii❤ KUNA vitu vingine kwenye maisha vinakuja kama bahati alafu inakuwa ndio bahati yewe🎉alafu mnavyo jua mziki ndio watu watazidi makasiriko

  • @laxmajor
    @laxmajor 3 месяца назад +8

    Konde boy 😍🙌🙌🙌🙌

  • @EnockLubengo
    @EnockLubengo 3 месяца назад +11

    We're are you Zambian come here kuna sherehe🎉🎉🎉🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲

  • @coolp3727
    @coolp3727 3 месяца назад +7

    Views nazo hii ngoma nayo tuiachie tu imeamua kukuwa best of the year

  • @Kwetunews
    @Kwetunews 3 месяца назад +49

    From USA 🇺🇸 Nataka like za wana Kondegang world Wide

  • @JfJayf
    @JfJayf 28 дней назад +2

    Yani hii hata Mala 100 TUnasikiliza❤

  • @madalitsokumbali7293
    @madalitsokumbali7293 3 месяца назад +11

    Malawians lets gather here🔥🔥🔥🇲🇼🇲🇼🇲🇼🇲🇼🇲🇼

  • @ckateljohn8982
    @ckateljohn8982 Месяц назад +4

    Wagapi tukiona pombe moyo unaduda tena😊😊😊

  • @jaey023
    @jaey023 3 месяца назад +37

    1:35 Kitoto cha elfu mbili huku nyuma kilivyo nawili 🔥🔥🔥....nipitieni@Jaey p Shawn

  • @BENCHARLES-ho2ws
    @BENCHARLES-ho2ws Месяц назад +1

    Nakubali 🙌🙌🙌

  • @mrishoally55
    @mrishoally55 2 месяца назад

    Mimi sio mpenzi wa muziki ila hii ngoma ujumbe umetufikia vijana bila huyu mwamba kuchoka, Asante harmonize

  • @Joseph-ngei
    @Joseph-ngei 3 месяца назад +7

    Tempo 🐘🐘 all the way from+254🇰🇪 hit the button ❤

  • @SALEHAMURI-sz5rm
    @SALEHAMURI-sz5rm 3 месяца назад +7

    Jeshiiiiiii 🎉🎉🎉🎉🎉 nice video 🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲

  • @Wabasheleabedi
    @Wabasheleabedi 3 месяца назад +10

    Me wabashele ❣️❣️

  • @AKJPakykeyJeunePatron
    @AKJPakykeyJeunePatron 3 месяца назад

    Bombo claaat tulikuwa tunaisubiri kwa hamu tulifikiri nayenyewe itachelewa kama sherehe lakini siyo hivo kumbe unatupenda tunakupenda pia❤❤❤

  • @DominicJohn-be6ux
    @DominicJohn-be6ux 3 месяца назад +3

    From kenya!!! Huyu kaka kweli mnyamaaaa!! Temboooooo

  • @GONGALIFESTYLE
    @GONGALIFESTYLE 3 месяца назад +5

    Harmonies AKA Tembo Ndiyo msanii mkali Tanzania 🇹🇿 na ndiye peke yake Anaye mnyima Domo usingizii keep up Homies

  • @JenovicLutumba
    @JenovicLutumba 3 месяца назад +6

    Les Congo valide tu es fort frère 🇨🇩✊🏿✊🏿✊🏿✊🏿✊🏿🇨🇩

  • @gkasali1469
    @gkasali1469 2 месяца назад +4

    Nairobi Kenya....This is a vibe

  • @LwandoGijana-o5c
    @LwandoGijana-o5c 2 месяца назад

    Umenichanganya ibrah ngoma imenifurahisha sana na maneno uliohimba imenichanganya one love my brada

  • @PAULAFRICAGOSPELARTIST-w3g
    @PAULAFRICAGOSPELARTIST-w3g 3 месяца назад +1

    Watuuuuuuu njooni muone Tembooo kaua tena na bonge la hit Tembo round n vumbi utawalisha ❤❤❤❤❤❤❤

  • @KakaSide-fd6ch
    @KakaSide-fd6ch 3 месяца назад +23

    Bonge langoma mmakonde huna mpinzani congratulations 👏👏👏👏👏

  • @MoWesha-b5f
    @MoWesha-b5f 3 месяца назад +7

    AKUNA mMakonde mshamba 🎉🎉

    • @PitaCharles-o5o
      @PitaCharles-o5o 2 месяца назад

      Hakuna msukuma nzamba mm msukuma jaman

    • @PitaCharles-o5o
      @PitaCharles-o5o 2 месяца назад

      Hakuna msukuma mshamba mm msukuma jaman

  • @petergwetsani1150
    @petergwetsani1150 3 месяца назад +4

    King 👑 is here 🇲🇼🇲🇼🇲🇼🇲🇼🇲🇼

  • @NaxonChola
    @NaxonChola 29 дней назад +1

    lakini harmonize ❤❤❤❤❤

  • @jameswaheke
    @jameswaheke Месяц назад +1

    Mwamba peperusha ngao ya tz pamoja Mzee baba

  • @pilimwanza8117
    @pilimwanza8117 3 месяца назад +6

    Watu weeeeeeeeeer❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ bonge la video

  • @itsernest5
    @itsernest5 3 месяца назад +28

    Representing kuria nyabohanse village jeshii💛❤️💚🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @sbboymkaliofficial9108
    @sbboymkaliofficial9108 3 месяца назад +32

    Wakwanza ku like na ku comment naombeni like zenu hapa kijana mwenzenu

    • @johnndegwa67
      @johnndegwa67 3 месяца назад

      Watu wamearauka, hahaha upoo

  • @KrazyMaich
    @KrazyMaich Месяц назад +2

    harmonize watesa jamani🥵

  • @LumamboLumambo-r9g
    @LumamboLumambo-r9g 20 дней назад +1

    Duuuh. Harmo.. konde boy anauwa sana

  • @BrianFahari
    @BrianFahari 3 месяца назад +3

    Kama kawaida fire 🔥🔥 yaweyau

  • @jovenciomodesto2211
    @jovenciomodesto2211 3 месяца назад +4

    Konde boy nakukubali sana kaka❤❤

  • @WaldenJay-ly
    @WaldenJay-ly 3 месяца назад +7

    usijali utapat 🎉🎉🎉🎉🎉zawad

  • @KalekyeMwania
    @KalekyeMwania 27 дней назад +1

    🎉🎉🎉🎉🎉 much love from kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @ChidungawaooWaoo
    @ChidungawaooWaoo Месяц назад +2

    Niko ndani

  • @DicksoniOmond
    @DicksoniOmond 3 месяца назад +4

    Wenye pesa ndo wanajua ujana lakn mwenzangu na Mimi miaka 25 tu shikamoo babu nambeni seaport yenu wadau

  • @davisalphonce7001
    @davisalphonce7001 3 месяца назад +3

    Mim huyu aisee, shisha hizo shisha hizo nikiziwaza moyo unadunda tena😮😮😮

  • @juressemayoghagalbi6700
    @juressemayoghagalbi6700 3 месяца назад +40

    Wakongo muko 🇨🇩 mulete liké zetu

  • @DjeniMussela-o5i
    @DjeniMussela-o5i 3 месяца назад +1

    Ila harmonize mi chabiki wako number one kutoka Congo 🇨🇩☝️