Mapishi 5 ya kuku | Jinsi yakupika mapishi 5 ya kuku : kuku wa kfc ,tikka,viungo na pilipilimanga .

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 дек 2024
  • Website: Rukiaskitchen.com
    Facebook: Rukias kitchen
    Instagram:rukias_kitchen
    Cookpad: Rukias kitchen

Комментарии • 92

  • @RaniyahAnwar
    @RaniyahAnwar 4 года назад +4

    I love how you explain kwa kweli.. amazing video😍😋😋

  • @juliethurio6840
    @juliethurio6840 4 года назад +3

    Videos zako ni nzuri sana mrembo. Napenda unavyoelezea vizuri. Be blessed 🙏

  • @nabilaomary6978
    @nabilaomary6978 4 года назад +4

    Waooooh ntafanya aina zote manshallah

  • @mwanakherymgaya6323
    @mwanakherymgaya6323 4 года назад +1

    nimeipenda sana video yako mami hongera endelea kutufundisha

  • @aminalibondo7507
    @aminalibondo7507 4 года назад +1

    Shukrani daa bila shaka ntakua mke bomba kwa mapishi cz umenifunza mengi Asante sana

  • @belindagiliard8977
    @belindagiliard8977 4 года назад +3

    Nimeridhika Dada.
    Proud of you

  • @siriyangu4724
    @siriyangu4724 4 года назад +2

    Mashallah wote wametoka vzury shukran da

  • @didazsalim6106
    @didazsalim6106 2 года назад

    Mashallh daa i really like your mapishi yako 🥰😘

  • @nshimirimanabora180
    @nshimirimanabora180 3 года назад

    Mashallah Allah akuongezeye ujuzi zaidi

  • @noorayaqoot1294
    @noorayaqoot1294 4 года назад

    Asante sana Rukia nimezipenda sana recipe zako. Mungu akubariki

  • @prettyzash7276
    @prettyzash7276 4 года назад +6

    You deserve more than million views...great work sister

    • @sylviaochieng8786
      @sylviaochieng8786 4 года назад +1

      Truly she does..have really learnt a lot from her channel

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  4 года назад +1

      Thank you so much guys Ameen Ameen ❤️❤️🙏🏻

    • @fatihiasalim8753
      @fatihiasalim8753 4 года назад +1

      Sanaaaaa mashallah mashallah

  • @samirafaraj9636
    @samirafaraj9636 4 года назад

    MashaaAllah MashaaAllah Allah akujaze kheri juu ya kheri

  • @abdulhida8291
    @abdulhida8291 2 года назад

    I love you for good explanation

  • @ritasheriff7814
    @ritasheriff7814 4 года назад

    Maashalla napenda huyo tika. Very nice

  • @shunawangu3842
    @shunawangu3842 4 года назад

    Wow hongera dada kwa ujuzi wako👍

  • @sarahernest8731
    @sarahernest8731 Год назад

    Sis tamu😘👍

  • @sylviaochieng8786
    @sylviaochieng8786 4 года назад +6

    Thanks for your channel darling..have learnt a lot from you dada...God bless the hand of your work..

  • @sophiakasim5153
    @sophiakasim5153 4 года назад

    Ki ukweli naenjoy sana mapishi yako mpnz wangu na unaeleweka mashaallah Allah azidi kukuweka utupe maujuzi zaidi u are among my favourite channel

  • @gladysikunga1652
    @gladysikunga1652 4 года назад +3

    English version please more so on the ingredients

  • @janendombi196
    @janendombi196 4 года назад +1

    Kuishi mzuri sana yummy

  • @simplestrecipeschannel8366
    @simplestrecipeschannel8366 4 года назад

    Silent fan..lv your cooking

  • @annakiobya6647
    @annakiobya6647 3 года назад

    Ur so smart dear
    Love you

  • @anitalovemushaga6977
    @anitalovemushaga6977 4 года назад

    Asante sana, wewe ni zaidi ya mwalimu

  • @hawaismail5060
    @hawaismail5060 4 года назад

    mashaalah nimependa mafunzo yako ilah barky ya ukhuty karima

  • @mwamvuaelias850
    @mwamvuaelias850 4 года назад

    Be blessed maeneo mengne baadhi ya viungo hamna big chalanges

  • @mbarakahmed3305
    @mbarakahmed3305 4 года назад

    Nnajitiaa njaa bureeeeeee😀😀😀

  • @monicakilatu5780
    @monicakilatu5780 4 года назад

    Safi sana natamani kuona vipimo

  • @sandraabby2124
    @sandraabby2124 4 года назад

    Mashaallah napenda mapishi yko

  • @abigailsichi64
    @abigailsichi64 4 года назад +1

    Hongera 😋😋😋

  • @paulinemunga5231
    @paulinemunga5231 4 года назад +2

    Thanks for that. It is amazing

  • @mariammsuya8480
    @mariammsuya8480 4 года назад

    Safi sana nimejifunza kitu

  • @subirasaid5455
    @subirasaid5455 4 года назад

    hongera sana dada napenda sana kuku

  • @elizabethejohn8127
    @elizabethejohn8127 4 года назад

    Uko vizuri dada

  • @nimmahhassan5999
    @nimmahhassan5999 4 года назад

    Think need to tryy thiis😘😘😋😋😋😋😋😋

  • @magdalenenzili9782
    @magdalenenzili9782 4 года назад

    Nice one dear...hao ni kuku wa broilers ama Kienyeji.

  • @dieterfenn6773
    @dieterfenn6773 4 года назад

    Nice video 👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👍👍👍👍👍👍👍👍👍

  • @babyhamisi5331
    @babyhamisi5331 4 года назад

    MashaAllah tabarakaAllah dada unapika hongera,naomba unitag kwenye video yako ya halfcake nimeitafuta sana sijapata

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  4 года назад

      Sina half keki kwasababu sipendi nitafanya ikiwa nina watu ambao waeza kula 🙈🙈🙈

    • @babyhamisi5331
      @babyhamisi5331 4 года назад

      @@RukiaLaltia ok shukran sana ufanye hata robo mpenzi

  • @joslyjojo221
    @joslyjojo221 4 года назад +3

    Hasante Sana my dear

  • @nurainimohamed4430
    @nurainimohamed4430 4 года назад

    MAA SHAA ALLAH NAPENDA SANA VIDEO ZAKO UNAFUNZA VIZURI SANA HONGERA

  • @amourmtungo623
    @amourmtungo623 4 года назад

    Mapishi mazuri asante sana ila sauti ilikuwa inazidi na kupungua bila wakati maalum

  • @khadijakoga7594
    @khadijakoga7594 4 года назад

    Asante mpenzi

  • @letcookwithboqoradar5807
    @letcookwithboqoradar5807 4 года назад +1

    Mashaalah where are sister

  • @sharonjovin1150
    @sharonjovin1150 4 года назад

    I love the way you talk

  • @maryammct3967
    @maryammct3967 4 года назад

    Naic😍😍😍

  • @zeinabathman6311
    @zeinabathman6311 4 года назад

    Wow 😋😋😋😋😋😚😚😚😚😚

  • @innocensianeema2515
    @innocensianeema2515 4 года назад +1

    Maziwa ya mtindi naweza kutumia yale ya tanga?

  • @chamieadam7138
    @chamieadam7138 4 года назад

    mashaAllah I luv yo unajua sana kupika hata mimi vitu vingi I learnt from yo ila huyo kuku wa KFC sio mwenyewe I worked there for a long time I never seen that kuku but gud umejaribu

  • @lydiajuma7694
    @lydiajuma7694 4 года назад

    Nice one,karafuu kwenye kingereza inaitwaje pliz

  • @MarycianaJames-f3v
    @MarycianaJames-f3v Год назад

    Wali wa mayai

  • @veeJesus
    @veeJesus 4 года назад

    Ivo viungo morogoro hamnaaa

  • @OmanOman-hr6cb
    @OmanOman-hr6cb 4 года назад

    Anayefaham maziwa ya malá kwa jiná kingine anambie please 👏

  • @carolinetalam5832
    @carolinetalam5832 4 года назад

    Thanks for sharing

  • @filidaopiyo6674
    @filidaopiyo6674 4 года назад

    Manjano na maziwa wa tindi ni nini please
    Kazi nzuri

  • @haipaabdu3991
    @haipaabdu3991 4 года назад

    Wow

  • @midevadaphne240
    @midevadaphne240 4 года назад

    Fanya video ya kuchoma njugu kwa oven please

  • @liliannduku5382
    @liliannduku5382 4 года назад

    Thanks for the recipes. Kindly translate the ingredients to English 🙏🏻. Like 'siki'....🙈

  • @winfredkalekye5103
    @winfredkalekye5103 4 года назад

    Naulizaa ni kuku wa kienyeji ama ni bloiler?

  • @ashalaurent4722
    @ashalaurent4722 3 года назад

    Dad ulisomea wapi wajua hivo nije kuwa mfanyakazi wako ili nam nijifuze

  • @winnie9076
    @winnie9076 4 года назад

    Yummy 😋😋

  • @simrajamaal289
    @simrajamaal289 4 года назад

    Maziwa mtindi is mala or what I'd siki

  • @kissakyomo9158
    @kissakyomo9158 3 года назад

    Nataka kujua bei ya oven naje inatoka navifaa vyote

  • @afrieagle8314
    @afrieagle8314 4 года назад

    Dada rukia ningependa siku ututajie kaz ya hivo viungo unavyotumia kutengenezea chakula

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  4 года назад +3

      Kwenye video yangu ya ziara ya jikoni nimeonesha but nitafanya video ya viungo pekee yake ndio mupate elewa vizuri

  • @jedidahmghoi8245
    @jedidahmghoi8245 4 года назад

    Kama mtu Hana oven unaeza tumia pan kuchomea kuku wako

  • @abdullmalik7847
    @abdullmalik7847 4 года назад

    😙

  • @m.mmarckus6298
    @m.mmarckus6298 4 года назад

    Papurika ndo nn jamani