MCH DANIEL MGOGO - VITU VINGI VINAANZA KWA MAWAZO (OFFICIAL VIDEO)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 ноя 2024

Комментарии • 41

  • @godwinsotunga7205
    @godwinsotunga7205 3 года назад

    Najengeka sana na mahubiri yako Mchungaji Mungu akupe ufunuo zaidi

  • @happyluhwago4510
    @happyluhwago4510 3 года назад

    Amen mtumishi nimekuelewa

  • @oscarobuyu2688
    @oscarobuyu2688 4 года назад

    I'm always blessed
    This is the only church l know since February when covid-19 heat
    Feeling blessed out of Africa but from Kenya

  • @winnieesther1423
    @winnieesther1423 5 лет назад +2

    BARAKA NYINGI SANA....AM BLESSED FROM SAUDI ARABIA....PRAY FOR US TOO

  • @lubejamawe4948
    @lubejamawe4948 5 лет назад

    Mimi mch Paulo lubeja mawe niko chato nalusha mhubili yako Kila siku nawatu wanabalikiwa natumiakufuga konisubika ubalikiwe sana mtumishi

  • @iddissa4664
    @iddissa4664 6 лет назад +2

    Nashauri fen iwepo kwajili ya mhubiri mbarikiwe.

  • @njengakamau2149
    @njengakamau2149 5 лет назад +1

    Dose ya kila siku naitazama asubuhi mchana na jioni .Njenga taveta kenya

  • @nicetw011
    @nicetw011 6 лет назад

    Ameeeen barikiwa sana mtumishi wa MUNGU kwa ujumbe huu.

  • @rayjay7017
    @rayjay7017 6 лет назад +6

    Mungu akubariki Pastor MGOGO... UMENIIMARISHA KIIMANI SANA

  • @elisaarobert9021
    @elisaarobert9021 6 лет назад +4

    Mtumishi, Mungu azidi kukupa ujasiri wa kusema ukweli .

  • @VerySoonRupture
    @VerySoonRupture 6 лет назад +2

    Na apa Australia tunakufuatilia sana mchungaji kwa maneno mazuri ambaye unatulisha kila siku kupitiya RUclips.

  • @royaledudongvan4640
    @royaledudongvan4640 4 года назад

    may GOD bless you man of GOD

  • @wangwemseti7592
    @wangwemseti7592 5 лет назад +1

    Heri ukosee kujenga nyumba maana utabomoa kuliko kukosea kuoa au kuolewa

  • @lesionmollel2257
    @lesionmollel2257 6 лет назад +3

    Umeubariki Moyo wangu, Mungu akutunze

  • @planbshowcomedy7268
    @planbshowcomedy7268 6 лет назад +1

    mbaka kutoka hapa japan tunabalikiwa sana muchungaji

    • @willyherman5885
      @willyherman5885 5 лет назад

      Japan upo wapi? .ndugu yetu wote ni wabongo na TUNAFUATILIA mahubiri ya MCHUNGAJI wetu .

  • @janekwahada580
    @janekwahada580 5 лет назад +1

    Nabarikiwa kwa mafuzo yako nikiwa Saudi Arabia na shukuru mungu akubariki

    • @samwelimarak467
      @samwelimarak467 4 года назад

      Amen jane naomba namba yako nataka unipokee huko mwezi w 5 nakuja nisaidie

  • @briannabrighton759
    @briannabrighton759 6 лет назад +2

    Amen Barikiwa Mtumishi

  • @wemambonge5518
    @wemambonge5518 6 лет назад +1

    ukweli mtupu mtumishi

  • @mariyashadiashadia714
    @mariyashadiashadia714 4 года назад

    AMEN

  • @cars9969
    @cars9969 6 лет назад +2

    True pastor. thanks

  • @amoskimameti2050
    @amoskimameti2050 6 лет назад

    Mungu akubariki sana pastor Mimi niko inch ya qatar nafwatilia Kwa RUclips neno lako limenibariki moyo wangu sana..Mimi naitwa Amos kutoka Kenya....

  • @eleazarlyadungabuhendwa823
    @eleazarlyadungabuhendwa823 6 лет назад +1

    shukrani mtumishi wa Bwana kwa mafundisho haya

  • @barakandambo2348
    @barakandambo2348 6 лет назад

    Ameeni pastor im blessed

  • @emmanueljacob3910
    @emmanueljacob3910 6 лет назад

    Mungu ainue huduma yako mtumixh

  • @danielgeoffrey3119
    @danielgeoffrey3119 6 лет назад +1

    Amen

  • @nemaodhiambo7274
    @nemaodhiambo7274 6 лет назад

    Barikiwa mtumishi wa Mungu

    • @juliuskilae2492
      @juliuskilae2492 4 года назад

      Mungu amekupariki kweli yaani unakaa mganga,unaganga yalio ndani ya akili ya binadamu,mungu amekubariki

  • @keiyo.kimarujoel2955
    @keiyo.kimarujoel2955 6 лет назад +2

    Amina!

  • @joshuakiingati4488
    @joshuakiingati4488 5 лет назад +1

    +254 following

  • @prayerchamber1600
    @prayerchamber1600 5 лет назад

    54:00_1:30😂😂😂😂😂😂

  • @ismaelmanhica790
    @ismaelmanhica790 6 лет назад

    Kkkkkk!!!! huyu mjungaji bwana !!!!?