YESU ASEMA Kwaya ya Injili Mombasa Ukonga
HTML-код
- Опубликовано: 21 дек 2024
- KWAYA YA INJILI MOMBASA - UKONGA DAR ES SALAAM
Hii ni Kwaya ya Vijana waimbaji wanaofanya vizuri sana kwenye Jiji la Dar es salaam,Kwaya hii wanapatikana katika mtaa wa Ukonga Kanisa la G.H.C
========================================
Wimbo huu ujulikanao kwa jina la "YESU ASEMA" ni kuthibitisha jinsi injili yenye moto na matokeo chanya inavyozidi kuhubiriwa kwa njia ya uimbaji kutoka sehemu mbalimbali za Nchi yetu,ili kutimiza agizo la BWANA wetu na Mwokozi wa Ulimwengu wote likiwemo na Jiji letu la Kibiashara la Dar es salaam.
=======================================
Kwaya hii ya INJILI wamekuletea huu ujumbe ambao ukiusikiliza kwa umakini na kuwatazama vizuri utapokea uponyaji wa roho yako na mwili pia,kwani ni neno la Mungu lenye uwezo wa kuyatambua makusudi ya moyo wako,maana moyo una ugonjwa wa kufisha ambao hakuna mwanadamu awezaye kuutibu,bali ni YESU pekee ndiye Daktari mkuu.
=======================================
Pia kwa uimbaji wao wanatumika popote pale utakapowahitaji kama ni mikutano ya injili,makongamano,Ibadani na hata kama ni sherehe za harusi ukiwasiliana na mchungaji wao utawapata.
=======================================
Kwa sasa wafuatilie kwenye mitandao ya kijamii ya RUclips,WhatsApp,Twitter,Tellegram,Facebook,TikTok na Instagram kwa jina la BIIJA MPOLA TV
=======================================
========== SUBSCRIBE,LIKE,COMMENT & SHARE ========