PART10:MCHAWI ALIEUA WATU MILIONI 2/ILIBIDI KUFANYA NA MNYAMA/WAZAZI WALINIZIKA WAKIJUA NIMEKUFA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 ноя 2024

Комментарии • 97

  • @shaniaamida3310
    @shaniaamida3310 2 года назад +4

    Jamani yani huu kaka hata kipindi cheke kisiishi kwasababu history yake inaelimisha sana. And I love the way he is explaining.

  • @heritier5119
    @heritier5119 2 года назад +8

    Kufanya fanya ngono na watu ni hatari sana unaleta laana kwenye maisha yako

  • @winifrida8641
    @winifrida8641 2 года назад +5

    Asante Davistar Mungu awabariki jaman🙏🔥🔥

  • @kithunguesther8551
    @kithunguesther8551 2 года назад +1

    Nafikiri huyo mwigizaji ni SK

  • @bakari-si1pw
    @bakari-si1pw 2 года назад

    Safi sana Kwa muendelezo

  • @rosekathurekathure1412
    @rosekathurekathure1412 2 года назад

    Tz Kuna mambo mengi adi naogopa Kenya yapo Aya mambo kweli

  • @upendomtui6544
    @upendomtui6544 7 месяцев назад

    Yani hapo kwa huyo msanii mi nastaajabu make kuna ushuda mwingine tofauti kumuhusu

  • @judywarui8237
    @judywarui8237 2 года назад +2

    Mwenye unamuongelea nimemfahamu kabisa...afadhali kua na Mungu

  • @veronicahkhaikwa4929
    @veronicahkhaikwa4929 2 года назад

    Muulize kama anamjua mchungaji Amiel Katekellah maana huu ushuhuda ni sawa kabisa na wake

  • @frankmnale1900
    @frankmnale1900 2 года назад

    Kanumba na Ray na TB Joshua

  • @heritier5119
    @heritier5119 2 года назад +2

    Huyu waungane na katekela na omari mnyeshani watupe simulizi kwa pamoja walikuwa pamoja

  • @aziza9093
    @aziza9093 Год назад

    Uslamu nidiniyahaki hakunage miujiza yakifuramasoni

  • @michaelkivaria6011
    @michaelkivaria6011 2 года назад +1

    Tunapoelekea hata hawa wanaotupa ushuhuda nao ni wa kuwachambua na kumuomba roho mtakatifu athibitishe maana dunia ina mambo hii

  • @cheupesewing3549
    @cheupesewing3549 2 года назад +5

    Si useme tu ni Kanumba.

    • @sweetlisious
      @sweetlisious 2 года назад

      kuna mambo ya kujifanya mjuaji ktk mitandao tena unaandika ukiburuzwa kupelekwa kutoa ushahidi utamlaumu nani .. kuwa makini

    • @cheupesewing3549
      @cheupesewing3549 2 года назад +1

      @@sweetlisious we nae😏😏

  • @harunsarafu508
    @harunsarafu508 2 года назад

    Tupo pamoja

  • @mujwasteven
    @mujwasteven 2 месяца назад

    Lakini huyo muigizaji nilishasikia ushuhuda wa mchungaji mmoja aliema yeye ndo alitumwa kumchukua et alimficha mbezi luisi kuna shimo ni njia ya kuzimu huyo mchungaji naye ushuhuda wake ulitikisa. Sa mbona mnanichanganya 😂

  • @elizabethmuia9839
    @elizabethmuia9839 2 года назад +5

    Kama sikosei, huyo mtu nimemsikia watu wengi kutoka kusimu wakimuogelea,kwa hivyo mamake ashukuru sana, kwa sababu Mwanaye alimpeda sana kuliko kitu chochote,kwa hivyo mamake achange kusema mwanaye aliuliwa na Eliza, na wakati huyo kuligana na vile story inaelezwa hapa kwa kweli Eliza alikuwa mdogo ata miaka ya kupata kitaburisho alikuwa hana, Mamake Mtu ashukuru sana na awe Mtu wa Maombi.

    • @husseingabo5497
      @husseingabo5497 2 года назад

      Huyo Eliza unaemsema alikuwa mdogo vip na wakati ameanza kuingiliwa kimwili na huyo mtu akiwa na Miaka Tisa na mbona hamkukasilika Kwa mtu mzima kama huyo kumfanya mtoto wa Miaka Tisa mpenzi wake na akawa anamuingilia kama kawaida hapa alielengwa ni sholo milionie ndio alikuwa Kwa ajali na sio huyo unaemfikilia wewe

    • @heritier5119
      @heritier5119 2 года назад +1

      Msikilize katekela, mama yake alikuwa ana sali ndio kilichomuokoa, ila Mdogo wake seti walimchukua

  • @kalangwapaschal7718
    @kalangwapaschal7718 2 года назад

    Mbona hutamki yesu

  • @moraarebecca3627
    @moraarebecca3627 2 года назад

    Utamtafuta Mara nyingine aelezee chapa

  • @heritier5119
    @heritier5119 2 года назад +1

    Ray vs kanumba

  • @sarahsalehe6188
    @sarahsalehe6188 2 года назад +8

    Ninaomba saaana kama kuna mtumish wa MUNGU aliyehai amefanya vizur na kwenye simuliz amegundulia anatumikia MUNGU wa kweli mtajeni ili tupate makimbilio maana wengi tumeumizwa na watumish wa uongo ...msimfiche kama utumish wake unamtukuza MUNGU pliiiz okoeni watu jamani ....ao wa uongo ndio msiwataje @davista 🙏🙏🙏

  • @josephmaganga1931
    @josephmaganga1931 2 года назад

    Kiukweli nimejikuta najifunza kitu kikubwa sana nimepatwa na nguvu kubwa sana yaani kuna kama nilipoteza kitu ila nahisi kimerudi tumuombe sana mungu bila kujali dini zetu wala madhehebu kikibwa tumuombe alie tuumba mungu

  • @josephmuyabi3373
    @josephmuyabi3373 2 года назад +2

    Huu Ushuda Unatisha na Mafunzo mengi ndani yake

  • @heritier5119
    @heritier5119 2 года назад +2

    We ni mtu wa sita TB Joshua alikuwa nabii wa uongo

  • @Patience.67
    @Patience.67 2 года назад +1

    Ebu davistar mueleze aongee kuhusu kulishwa ndotoni

    • @heritier5119
      @heritier5119 2 года назад

      Ingia youtube andika kulishwa ndotoni

    • @Patience.67
      @Patience.67 2 года назад +1

      @@heritier5119 Asante wazadownload part 11kweli?

  • @winifrida8641
    @winifrida8641 2 года назад +2

    Ila tunamjua huyo mtu na huyo binti saiv ni mke wa mtu

  • @alexjos7625
    @alexjos7625 2 года назад +1

    MBONA KAMA ANAMSEMA MTU FLANI HIVI

  • @heritier5119
    @heritier5119 2 года назад +1

    Huyu muigizaji kaburi lake lina chata ya freemason

  • @acimamalingano8556
    @acimamalingano8556 2 года назад

    Pamoja saana Mr everything 💪 I

  • @peterrulagora7403
    @peterrulagora7403 2 года назад +1

    Shetani mbaya sn,dogo alizaliwa mwenye akili sn

  • @heritier5119
    @heritier5119 2 года назад +1

    Kwa shetani ni lazima tu wakutengenezee ukosee masharti

  • @lispamagu5810
    @lispamagu5810 2 года назад +4

    Tb Joshua huyo

    • @victoremmanuelmwasalwiba9926
      @victoremmanuelmwasalwiba9926 2 года назад

      No so kwel kiongoz!! Jamaa alikuw n mtu wa Mungu kwel kwel…..japo yaliyo fichik machon pa wanadam n mengi sana

    • @heritier5119
      @heritier5119 2 года назад +1

      Wengi washasema.

  • @JoyfulGod
    @JoyfulGod 2 года назад

    🔥🔥🔥🔥

  • @babafranco3366
    @babafranco3366 2 года назад

    Mwanza namuona malisa hapo

  • @heritier5119
    @heritier5119 2 года назад +2

    ruclips.net/video/eT6OiCmxuu8/видео.html katekela kuhusu kanumba

  • @wilsonkakili2481
    @wilsonkakili2481 2 года назад +2

    Mhulize kwani kuna ushilika gani kuzimu na hii dini nyingine mbona wahatumwi huko awaendi kuzuia kaxi zao ,sadaka zao?

    • @husseingabo5497
      @husseingabo5497 2 года назад

      We umeshaona wapi nguvu ya mungu ya kweli et mwanadam atumwe kuijaribu huko huyo mungu wenu ni bandia na ndio maana anatumwa kwenda kuiharbu mungu wa kweli hajaribiwagi hata siku moja

    • @sweetlisious
      @sweetlisious 2 года назад

      @@husseingabo5497 mnafuga mapepo na hula mnajaa sana makanisani hasa kwa kuhani MUSA mnajamle weeengi je huyo mnae muabudu hawatoshelezi mnajaa makanisani mwetu..mnajaa kwa GWAJINA, manajaa kwa MWAMPOSA tena na mijuba yenu myeusi usipende kufuru, ushahidi tena tunao na majina mnajitambulisha na wengi mnaokoka na kuuacha uchawi. wewe pia unakaribishwa kumkiri YESU kama ni mwokozi jako kamą wenzio wanavyofanya karibu YESU anakupenda.

    • @heritier5119
      @heritier5119 2 года назад

      Shetani amwogopi shetani mwenzake

    • @husseingabo5497
      @husseingabo5497 2 года назад +1

      @@heritier5119 na mungu kamwi hawez jaribiwa na shetan na Kwa mungu wa kweli hawawezi kwenda kumjaribu hata siku Moja tangu lini mungu akajalibiwa na binadam labda mungu bandia

    • @husseingabo5497
      @husseingabo5497 2 года назад +1

      @@heritier5119 na siku zote shetan humjaribu shetani mwenzio kasome ufunuo 2,12 andiko linasema kanisani ndio palipo na kiti Cha enzi Cha shetani Kwa hiyo wanakuwa wameenda kuijaribu nguvu ya nyumbani kwao narudia Tena nguvu ya mungu wa kweli haijalibiwi na wala haizuiliki acheni kudanganyana

  • @babafranco3366
    @babafranco3366 2 года назад

    Mwingira alishasema tb Joshua ni boma

  • @heritier5119
    @heritier5119 2 года назад

    Ukila vya Shetani ni lzm ulipe

  • @mysskibe
    @mysskibe 2 года назад +1

    Kanumba huyo

  • @ebywinery3800
    @ebywinery3800 2 года назад +2

    Je Kanumba alienda kwa TB Joshua ?? Na Je huyo mwanamke alikua Elizabeth ??
    Story ya katekela kuhusu Kanumba mbona iko tofauti na ya huyu Jamaa alafu wote walikua kuzimu ??
    Labda tuwaulize kama Katekela na huyu jamaa Je wanajuana ??

    • @heritier5119
      @heritier5119 2 года назад +1

      We ndo ujaelewa, mbona anaeleweka SAwa na katekela

    • @ebywinery3800
      @ebywinery3800 2 года назад

      @@heritier5119 Katekela alisema kwamba walimchoma kanumba sindano ya beast ili akatae kufata masharti ya kumtoa mama yake,,
      Pia huyu jamaa amesema kwamba walimroga kanumba asiende Kwa mtumishi wa Mungu wa ukweli ila kanumba mwishowe alibahatika kwenda kwa mtumishi wa Mungu wa ukweli ambaye alimshauri kanumba aokoke na aoe mke ila kanumba alikataa kuokoka na kuoa mke sababu alisema kwamba umaskini utamdhalilisha.

    • @heritier5119
      @heritier5119 2 года назад +4

      @@ebywinery3800 alisema walimchoma sindano ya monster spirit Ili awe mzito kurejesha mali, kumbuka mali za freemason zote zinachapa yao. Moja ya mbinu ya kujitoa freemason ni lzm urejeshe mali zao

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 2 года назад +1

    Kanumba

    • @petermwaibofu3260
      @petermwaibofu3260 2 года назад

      dah, mkuu haupitwi na udadu, hapo ni kama ulikuwepo

  • @evachuw8092
    @evachuw8092 2 года назад

    🔥🔥🔥🔥🔥🤭

  • @captainndoxy5769
    @captainndoxy5769 2 года назад

    Mbona sijasikia wakiagizwa misikitini kutapanya waamini?

    • @lispamagu5810
      @lispamagu5810 2 года назад +1

      Hamna nguvu mle ya Mungu kwaiyo haiwasumbui

    • @sweetlisious
      @sweetlisious 2 года назад

      Angalia video zingine hama unapenda hapa kwa hui channel masheikh Wengi walitumika akuharibu dini na sasa wameokoka.. nia yak utofautishe ukrisho na uislam.. swali mbona wenye majini wengi wanaokuja kwa Kuhani Musa na Gwajima ni waislam.😄 tena wanavaa na mijuba yao kabisa.

    • @sweetlisious
      @sweetlisious 2 года назад

      @@lispamagu5810

    • @heritier5119
      @heritier5119 2 года назад

      Shetani ashughuliki na wake

  • @hamisikitwana7957
    @hamisikitwana7957 2 года назад

    KEKO MADAWA NA MAGEREZA MBONA KUKO MALI SANA

  • @josehkibona7565
    @josehkibona7565 2 года назад

    Kuna jambo nimeshindwa kuelewa amesema huwa wanachukua watu kwaajili ya kulima mashamba ya kichawi sasa mbona amesema tena huko hakuna mvua na hawalim? Imekaaje hapo ufafanuzi tafadhali

    • @bakari-si1pw
      @bakari-si1pw 2 года назад +2

      Kulima ni uku kwenye mashamba le2 uku duniani

    • @heritier5119
      @heritier5119 2 года назад +2

      Mashamba ya duniani sio ya kuzimu

  • @melisakatu8668
    @melisakatu8668 2 года назад

    MUULIZE HUYO MTUMISHI ANAJUA MTUMISHI AMIELI KATEKELA

    • @charlesmapunda5905
      @charlesmapunda5905 2 года назад +1

      Atakua anamjua maana kasema usafiri alokua anatumia ni Kijiko na Amiel alisema ndio ilikua Ndege Yake hiyo

    • @heritier5119
      @heritier5119 2 года назад

      Katekela alikuwa boss wao

    • @rahmayohana2583
      @rahmayohana2583 2 года назад

      Dav naomba mulize jenawezaje kurudisha nyota yangu,maana alisema mtu ukiota uko ofes,au kwenye msiba au kwenye harusi namm nimmojawapo jamani nafanyaje

    • @rahmayohana2583
      @rahmayohana2583 2 года назад

      Natafuta hela napata lakini sifanyi chaamana mpaka nashindwa nifanyeje mm

    • @heritier5119
      @heritier5119 2 года назад

      @@rahmayohana2583 ingia youtube zipo elimu tele

  • @skeetergodwins2576
    @skeetergodwins2576 2 года назад +1

    Mimi kuna kitu nashindwa kuelewa mbona hawa waliomuabudu shetani zaidi ya watu wanne kwenye shuhuda zao wanadai walimchukua huyo msanii. Sasa tuamini la yupi?

    • @egospeltz9486
      @egospeltz9486 2 года назад

      Hapo nami naanza kupata mashaka. Tujifunze mengine tuchukuwe mengine mmh yamkini nao walifanyiwa kiini macho.

    • @heritier5119
      @heritier5119 2 года назад

      Sikiliza zote uziunganishe, walimchukua kama kikundi la watu na sio mtu mmoja mmoja msikilize katekela

    • @muamedsaidi3350
      @muamedsaidi3350 2 года назад +1

      Amini wote kwani wote waliishi kuzimu

    • @edwardmwalukware9734
      @edwardmwalukware9734 2 года назад

      Ukiskia katekela alisema kwamba walimchukua si alimchukua kumaanisha lilikua ni kundi la watu.

    • @heritier5119
      @heritier5119 2 года назад

      Walikuwa lundo