AZIZ KI APEWA ZAWADI YA MILIONI HAMSINI NA SHABIKI AIRPORT | APAGAWA KISA GOLI UGENINI | TAZAMA ZAID

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 янв 2025
  • Hakikisha Umesubscribe Chaneli yetu ya #AyomaMedia kwa habari za uhakika
    Na pia tufuatilie Katika Mitandao ya Kijamii kama Instagram & Facebook na Twitter kama @Ayoma_tv

Комментарии • 63

  • @jessicaanania6326
    @jessicaanania6326 12 часов назад +4

    Aziz ana hela nyingi sana had izo hela anaona kawaida,ila shabiki umetisha sana 💚💛🤗🙌

    • @Samwel-y4d
      @Samwel-y4d 9 часов назад

      Hela nyingi animated wp

  • @AmonCharles-g2m
    @AmonCharles-g2m 13 часов назад +1

    Mwamba love kubwa sana Daima mbele.

  • @YustinaMartin
    @YustinaMartin 8 часов назад +2

    Ila yanga wanamdomo eee mwenyez mungu naomba uwaazibu siku ya j mos

    • @magorymara5515
      @magorymara5515 3 часа назад

      Huwezi mzuia shabiki kuongea hiyo ni moja ya njia ya kuzipa Tim zingne nguvu ya kupambana hasa hizi za ligi kuu bila maneno kwenye mpira hatuwez kutoboa

    • @fatmaally7252
      @fatmaally7252 3 часа назад +1

      Ushindwe na ulegee

    • @MarryIdabu
      @MarryIdabu Час назад

      @@fatmaally7252 wewe ndo una mdomo unayeumia na Yanga dakika 90 ndo zitakazoamua mbabe nani.

    • @stapinuswilliam860
      @stapinuswilliam860 Час назад

      Uwezi kutuzuia kuongea kenge ww yaan apo ndo tunaanza ikiuma sana chomoa

  • @yusrairakoze3966
    @yusrairakoze3966 14 часов назад +2

    Yanga tamu sanaaaaaaaaaa

  • @erastoemmanuel6571
    @erastoemmanuel6571 10 часов назад +1

    😂😂😂😢😢Elfu Hamsini au milioni hamsini mtangazaji kakosea😂😂😂😂😂

  • @MarryIdabu
    @MarryIdabu 12 часов назад +2

    Nyota njema huonekana asubuhi,ukisikia maumivu mwone daktari!Yanga oyeeeeeeeee

  • @joshuachimwejo5892
    @joshuachimwejo5892 12 часов назад +3

    Hiyo ni elfu 50 banaa😂😂

  • @Helina2025-v5f
    @Helina2025-v5f 14 часов назад

    Yang tamu sanaaaaaa💛💚💛💚💛💚

  • @HalimaMichael-x6x
    @HalimaMichael-x6x 11 часов назад +2

    Wadanganyeni mataira wenzenu huko yeye mwenyewe milioni 50 ushamba promax

  • @elvisoscar9912
    @elvisoscar9912 9 часов назад +1

    Kuna mtanzania wa kawaida atoe pesa iyo kwa wachezaji wa mpira apana akuna 😂😂

  • @TupokigweRaison
    @TupokigweRaison 13 часов назад +5

    Ki. Anaogopa kushuka alishawahi kupigwa simu mbili huyo, wabongo sio watu

  • @SaidMoshi-u3w
    @SaidMoshi-u3w 13 часов назад

    Hata angeshika kwa mkono mkojo we inakuhusu nin kolo mkubwa weeeee😊😊😊😊😊😊

  • @BaANGLE-AUSTINE-VERO-JOSEPHAT
    @BaANGLE-AUSTINE-VERO-JOSEPHAT 12 часов назад +3

    AKIOMBWA HELA YA MATIBABUU KWAO ANATUMA 20,000😂😂😂😂😂

    • @SylvesterKameo
      @SylvesterKameo 11 часов назад

      Unasalitiwa na roho ya kimaskini. Je, kawahi kuja kwako kuomba chumvi. Mtu anayejitambua hujali mambo yake. Matumizi ya fedha yake ni jasho lake, hayakuhusu! 1:37

    • @nicrashumemeartist5235
      @nicrashumemeartist5235 7 часов назад

      Hahaha 🤣
      Sawa mke wa Aziz ki.
      Hakuna usilojua kuhusu MUME WAKO 😅😅😅

    • @barnabashillegrimus1998
      @barnabashillegrimus1998 7 часов назад

      @@nicrashumemeartist5235 ww ndo mke sababu unahangaika na vipato vya wanaume, ulijuaje kama anatuma 20,000

  • @renatusmisigaro6332
    @renatusmisigaro6332 3 часа назад

    Yan haya jamaa kwa kujitekenya yenyewe yako vizuri! nahapo hawajafuzu

  • @ArnoldRwegasira-hp9gt
    @ArnoldRwegasira-hp9gt 14 часов назад

    Safi sana

  • @Clement-rm8xu
    @Clement-rm8xu 9 часов назад

    Nyie wandishi maandazi kweli kuna milion 50 happ mmeziona vip na pesa yenyewe hata laki haifiki. Pesa jiyo ni nyingi so yakupewa kihuni ivyo bwana kwendraaaaaaaa

  • @AishaMshamu
    @AishaMshamu 13 часов назад +2

    Mi50 kashika km sim kudadeki mi50 ya nyoko na January hii😅😅

  • @FadhiliMilowe
    @FadhiliMilowe 9 часов назад

    Ajatoka ndan ya gar shobo zenu nan atoke ndan endeleen kushobokea hvyo hvyo madilishani mbwa 😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅🤪🤪😜😜😜

  • @sarahchacha3235
    @sarahchacha3235 14 часов назад +1

  • @GeradinaJohn-xh8pw
    @GeradinaJohn-xh8pw 14 часов назад +1

    😳😳😳😳😳😳sioni vizur jaman

  • @vangraphixvan8320
    @vangraphixvan8320 14 часов назад +1

    Jaduuuu

  • @taucdulle7460
    @taucdulle7460 14 часов назад +1

    Ml 50 inashikwa kwa mkono maviii😂😂😂

    • @Abuu-gs1yi
      @Abuu-gs1yi 13 часов назад

      Hapana inashikwa kwa meno

  • @mgenikhalfan7471
    @mgenikhalfan7471 9 часов назад

    Ndo mulie nyie Makolo na nyie si mumpe Ateba si kasawazisha gol huko

  • @alishaplate6290
    @alishaplate6290 13 часов назад

    Me sijapenda kbs kwann hakutoka ndan ya gar na yeye kujisikia tu

    • @nicholousmtemi3902
      @nicholousmtemi3902 13 часов назад +1

      Walishawahi kumuibia simu zake mbili

    • @chrissantkaunda9958
      @chrissantkaunda9958 13 часов назад +1

      Si bora ata sisi amesimamisha gari ulaya ulishawahi kuona wanafanya hivyo

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 14 часов назад +4

    kwani washafuzu?

    • @IkoUwasi-it6qy
      @IkoUwasi-it6qy 13 часов назад +1

      tukuulize wewe unaonaje

    • @chrissantkaunda9958
      @chrissantkaunda9958 13 часов назад

      @@IkoUwasi-it6qy 😂😂😂😂 safi sana

    • @Abuu-gs1yi
      @Abuu-gs1yi 13 часов назад

      Kwani yanakuhusu haya ya wanaume bibie?

    • @SamwelikazimbayaKitahenga
      @SamwelikazimbayaKitahenga 9 часов назад

      Kufuzu wanaweza basi!furaha yao kupewa goli na Ibenge,kufuzu sio makalio kaka wee ngoja uone watakavyo kataana!Aziz k walitaka kumpiga juzi tu leo kawa shujaa wao!ndo ujue kuwa Uto wana mashabiki matahiraa😅😅

    • @chrissantkaunda9958
      @chrissantkaunda9958 9 часов назад +2

      @@SamwelikazimbayaKitahenga wakati hatuna point mechi 2 mlikua mnafarijiana hivyo hivyo kwamba hatutapata point, sasa tuna points 7 mmeamia kwa warabu 😂😂😂 makolo mapumbavu sana

  • @asmasalumu
    @asmasalumu 12 часов назад

    Mtu wa hovyo

  • @IdrisKabenza
    @IdrisKabenza 14 часов назад +1

    Kwahiy hapo anafurahi kushinda ivi yule ibenge angeweke full mkoko tungetoboa??

    • @RebeccaAndrew-dd4kj
      @RebeccaAndrew-dd4kj 14 часов назад +1

      We kolo😂

    • @omarirajabu9703
      @omarirajabu9703 14 часов назад +1

      Mbona Aliweka full mkoko alipigwa

    • @HamisiHussein-t3k
      @HamisiHussein-t3k 13 часов назад +1

      nani alikosekana kwnye kikosi Cha ibenge? tuambie kolo mavi ew

    • @IkoUwasi-it6qy
      @IkoUwasi-it6qy 13 часов назад +1

      Kazi kwenu makolo

    • @MariaMsuku
      @MariaMsuku 13 часов назад

      Uli angalia mechi,, maana wale walicheza juz ndo wakitufunga apa nyumbani

  • @PiusWerema-k2y
    @PiusWerema-k2y 13 часов назад +1

    Watu wa timu mbili walikaa waka bagain yanga ishinde alaf wao watakuja kujuana na ms alger qwa mkapa coz yule kashafuzu tiali 😅😅ibege kala mkwanja

    • @Abuu-gs1yi
      @Abuu-gs1yi 13 часов назад

      Ww umechangia shilingi ngapi

    • @DoreenTesha-kk2kw
      @DoreenTesha-kk2kw 13 часов назад

      Mpk msemeee😂

    • @PiusWerema-k2y
      @PiusWerema-k2y 13 часов назад

      @@Abuu-gs1yi mchango wanghu utauona ukicheza na Ms Alger qwa mkapa 😂👋🏾

    • @PiusWerema-k2y
      @PiusWerema-k2y 13 часов назад

      @@DoreenTesha-kk2kw 😁hatusemi mpaka tuongoze kundi Constantine apigike

    • @DoreenTesha-kk2kw
      @DoreenTesha-kk2kw 12 часов назад

      @PiusWerema-k2y Niko nimekaa apa mkiongozaaa😂

  • @taucdulle7460
    @taucdulle7460 14 часов назад +1

    Ml 50 inashikwa kwa mkono maviii😂😂😂