Neema
HTML-код
- Опубликовано: 9 янв 2025
- Je, inaamisha nini kusema kuwa Mungu wa Biblia ni mwenye neema? Katika video hii, tutayatazama maneno ya Kiebrania yanayomaanisha neema na tuielewe kuwa dhana nzito iliyo na maana kuu katika jinsi tunavyomuona Mungu. Tunapoitazama maana ya kibiblia ya neema na kumuelewa Mungu kuwa mwenye neema, tunamuona Mungu anayependa kutoa zawadi nzuri kwa watu wasiostahili.
#BibleProject #Biblia #Neema
Wahusika Katika Utayarishaji wa Video:
Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili
Tai Plus
Dar es Salaam, Tanzania
Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake
BibleProject Portland, Oregon, USA
Asante kwa kazi nzuri.
Asanteni