UFUGAJI KIBIASHARA WA MBUZI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 янв 2025

Комментарии •

  • @samsonbaraka3145
    @samsonbaraka3145 11 часов назад

    Hii presentation ina vitisho haiivutii watu kwenye industry....!

  • @gabrielkondoro4175
    @gabrielkondoro4175 3 месяца назад +1

    Sawa, lakini unaeleza habari zako tu, huelezi jinsi ya kufunga mbuzi pamoja na changamoto zake.

  • @thomastarimo8556
    @thomastarimo8556 8 месяцев назад

    Boer goat nawapataje Boss

  • @lomu7733
    @lomu7733 6 месяцев назад

    Hongera sana

  • @Kingo1410
    @Kingo1410 2 месяца назад

    Habari naomba utoe mawasiliano.

  • @tianarest
    @tianarest 7 месяцев назад +1

    Nitajipanga kwa ajili ya mbuzi ngoja niandae mazingira ndugu

  • @KasianiGabreli
    @KasianiGabreli 2 месяца назад

    Samahani kiongozi kwa wastani wanatakiwa wawe uzito gani ili tayar kwa biashara?

  • @madukurumwanileles7909
    @madukurumwanileles7909 5 месяцев назад +1

    Mbuzi mill 2.5 du basi wote tutafuga mbuzi

  • @madhuru2554
    @madhuru2554 7 месяцев назад

    Kuna hatari gani ya kuchanganya Boaer goat na chotara?

  • @PaskaliCharles-pz8ds
    @PaskaliCharles-pz8ds 3 месяца назад

    Unapatikana wapi

  • @mebumohammed6844
    @mebumohammed6844 7 месяцев назад

    Kaka tupe number naitaji wadogo kike na dume