MR MONEY_EP18

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 ноя 2024
  • #mzeelikoma #mrmoney #kpnazebuu

Комментарии • 649

  • @JafariSudi-cn1sw
    @JafariSudi-cn1sw 20 дней назад +132

    Marehemu wa kwanza kula rambi rambi zake mwenyewe 😄😄

  • @RizikiStadza
    @RizikiStadza 16 дней назад +9

    😂😂😂😂mbona mbona njaa mbaya jamani mzee likoma kauliwa gafla hii sasa kali😅😅😅

  • @NaimaAli-q5r
    @NaimaAli-q5r 20 дней назад +229

    😂😂😂😂😂😂😂jmn njaaaa imemfanya KP kuuwa babake ili apate Hela ya kula chips, jmn mwenye amecheka kama mm agonge like

    • @JaneAnyona-bu3rj
      @JaneAnyona-bu3rj 20 дней назад +6

      😂😂karibu nife kwa cheko

    • @WinfridaZakayo-mj7co
      @WinfridaZakayo-mj7co 20 дней назад +7

      Yy si alimuua dibozi malipo hapa hapa duniani😅😅😅😅

    • @NaimaAli-q5r
      @NaimaAli-q5r 20 дней назад +7

      @@WinfridaZakayo-mj7co Sasa yeye anakula Hela yake ya rambi rambi akiwa hai🤣🤣🤣🤣

    • @NaimaAli-q5r
      @NaimaAli-q5r 20 дней назад +3

      @@JaneAnyona-bu3rj pole🤣🤣🤣🤣

    • @mwanamisikifogo869
      @mwanamisikifogo869 20 дней назад

      😅😅😅😅😂😂😂😂😂❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @MESAID-j4g
    @MESAID-j4g 20 дней назад +7

    Njaa mbaya mzee ameuliwa 😂😂😂

  • @BintiMweluhanga
    @BintiMweluhanga 19 дней назад +8

    Hahaahahahahaah😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂nimecheka sana daaah likoma hapo huna watoto jamani mii nawapendaa❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

    • @Char-z5b
      @Char-z5b 14 дней назад

      Eriudkinmhxm. Dough okk

  • @GentilKakule-rd2pz
    @GentilKakule-rd2pz 20 дней назад +7

    Yaani nimecheka paka basii😂😂😂😂 hapo mwishoni sasa 😂😂😂

  • @OmmyFamily
    @OmmyFamily 20 дней назад +39

    Hahahahaaa likoma hongera kazi nzuri mauwa yako Hy 🌺🥰🌹💐🥀🪻♥️❤️

  • @Matayo-sh9xb
    @Matayo-sh9xb 20 дней назад +78

    Me nacheka kwa fraha kubwa hakika watu hawa ni noma yaani mbavu zinauma sana kama na ww umefrahi ngoja like

  • @SummaiyaKassim-zv5nt
    @SummaiyaKassim-zv5nt 20 дней назад +8

    Duuuh hii noma KP master plan

  • @NesterJoseph
    @NesterJoseph 16 дней назад +8

    Sema kimeumanaa 😂😂

  • @salumuwembo-fo5rr365
    @salumuwembo-fo5rr365 19 дней назад +13

    Naipenda Saaana Tangu kongo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🥰🥰🥰🎉🎉

  • @HelenaKabanja
    @HelenaKabanja 20 дней назад +30

    Kusema kweli siku zote nimekua nikiangalia movi hii bila kulike wala kukomet ila nimekua nikivutiwa sana nayo leo nawapa maua yenu hongereni sana na mungu Zaid kuwasimamia na kuwalinda nawapenda sana ❤❤and together we can 🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹❤️❤️👌🤝🤝

  • @Antony-k6z
    @Antony-k6z 19 дней назад +12

    Likoma uko poa bro good job kp na zebu

  • @wilberforcemwongera
    @wilberforcemwongera 20 дней назад +32

    Much love from MOMBASA KENYA 💥🔥💥💥🔥💥

  • @BerthaMwakipesile
    @BerthaMwakipesile 18 дней назад +6

    Du kwel ii kubwa kulik du awa watatuvunja mbav kwakwe maua yen🎉🎉🎉❤

  • @Seranjoroge9244
    @Seranjoroge9244 20 дней назад +50

    Acha nione kama Leo nitapata marafiki hapa❤❤❤

  • @gonjielikana2241
    @gonjielikana2241 20 дней назад +22

    Mr. Money siyo ya kitoto kitoto mmewaza Sana wajombaaa hongereni kwa kazi nzuri sana

  • @YohanaNgosi-by8nz
    @YohanaNgosi-by8nz 19 дней назад +12

    Yani bola uwa busu nyuki kuliko hiii ukisikiaa kujaa kwenye mfumo ndo huku 😂😂😂😂😂

  • @phabianmwakilasa
    @phabianmwakilasa 20 дней назад +28

    Tunaosoma comments huku tukiwa tunaendelea kuangalia tujuane 😂😂

  • @salmasalam3268
    @salmasalam3268 20 дней назад +18

    Wowo❤❤🎉ka mvua npo kitamdan bas na Mr money

  • @FailaKisubi-h3l
    @FailaKisubi-h3l 20 дней назад +4

    😂😂😂😂😂😂Mutanihuwa jamani hapo mwanzo nimerudiy mara 7😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @LizzyBeb-m6s
    @LizzyBeb-m6s 20 дней назад +8

    Kazi nzuri sana 🎉🎉 nmeipenda ❤❤❤❤

  • @jazilaahmed7791
    @jazilaahmed7791 20 дней назад +18

    Hahahahaaaa nmecheka sana sas mzee likoma utaamua mwenyew ujitokeze upate hela ya nyumba au ujifiche upate hela ya rambirambi Patamu hapooo .ila next epsode iwah basi

  • @MryamHusan
    @MryamHusan 19 дней назад +5

    Malehem maajabu nimecheka hatali 😂😂😂😂😂

  • @marthatinga
    @marthatinga 20 дней назад +9

    Ahahaaa daaaah sijacheka toka movie ianze ila leo nmecheka sana

  • @RosalineWakina
    @RosalineWakina 20 дней назад +14

    Hahahaha napendezwa na wazo la kp,,pesa muhimu kaka❤❤

  • @jaymapepefatma5936
    @jaymapepefatma5936 20 дней назад +16

    This is first love From Mozambique 🇲🇿❤💞

  • @METRINEOKELLO
    @METRINEOKELLO 20 дней назад +3

    Kp,,,KP,,,KP nimeikuita 😂yani unaua babako akiwa 😂😂😂mzee likoma ulipata watoto alafu zebuu anaenda nalo 😂😂😂❤🎉yani nimecheka hadi tumbo linauma 😂😂😂 wew KP na zebuu mgezaliwa twins sijui wazazi wangekuaje 😂😂

  • @edwardpastory6892
    @edwardpastory6892 19 дней назад +3

    Hiki kipande kinataka kuniua kwa kicheko 😂😂😂😂😂

  • @mohamedlopa8410
    @mohamedlopa8410 20 дней назад +52

    Yoyote utakayesoma hii coment MUNGU AKUPE HITAJI LA MOYO WAKO 🤲🙏🤲🙏🤲🙏🤲🙏🤲🙏🤲

  • @PhilipoSalumu-s4m
    @PhilipoSalumu-s4m 20 дней назад +3

    Likoma likoma we sio mtu mzuri nimecheka kdg nivunjike mbavu

  • @Gustaboy_Tiger_wagusta
    @Gustaboy_Tiger_wagusta 20 дней назад +4

    Makubwa, makubwa kabisa na mzee likoma. Baba unachekesha kweli na filamu yako😂😂😂. Ama kweli we ni fundi kwa kupanga👍👍. Basi nisaidie kwa like kama tupo pamoja👇👇. From kongo 🇨🇩🇨🇩

  • @Johnleeofficial
    @Johnleeofficial 12 дней назад +2

    Wanao mkubali kp weka mauwa yake apa🎉🎉🎉

    • @anthonyaugustino1113
      @anthonyaugustino1113 6 дней назад

      🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😢❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤

    • @AnastaziaDeus
      @AnastaziaDeus День назад

      🎉🎉🎉🎉🎉

  • @wilberforcemwongera
    @wilberforcemwongera 20 дней назад +51

    Wa kwanza toka kenya ,, jameni wepi likes na subscription

  • @LeylaMgaya-og5mm
    @LeylaMgaya-og5mm 18 дней назад +1

    😂😂😂😂 jamani mbavu zangu ni hatarii sana

  • @-kagerayetubw9jx
    @-kagerayetubw9jx 20 дней назад +3

    Nimesha anza kucheka kabula sijangakia 😂😂😂😂😂😂

  • @aishawhite1107
    @aishawhite1107 20 дней назад +4

    😂😂😂😂Kumsukuma Mzee wa watu hy vp 😂😂😂

  • @bahatisamo5168
    @bahatisamo5168 18 дней назад +3

    Kama unakubali siku zote mali ya dhuluma haina furaha gonga like hapa😢😢😢

  • @Doreen254-up1mp
    @Doreen254-up1mp 20 дней назад +7

    Sasa hapo nyuma ya kochi Dibozz angetokeza na kofi kungekuaje 😂😂

  • @MwanakomboAliKhamis
    @MwanakomboAliKhamis 20 дней назад +2

    Napenda mie jamani mzee likoma utatoa watu mbavu

  • @abdallahassan6378
    @abdallahassan6378 20 дней назад +2

    KP unamkanyaga baba mpaka nimecheka kwa sauti na boss kanikasirikia Dah jmn😢😢😢😢

  • @JumaMtabuzi
    @JumaMtabuzi 19 дней назад +4

    kp kajihongeza jambo nimakosa ila akuna namna

  • @BrendaMogambi
    @BrendaMogambi 20 дней назад +2

    Kp uliongopea babako amekufa au 😂😂😂😂😂

  • @DanMaster3-l7k
    @DanMaster3-l7k 13 дней назад

    Kp na zebu pokeeni ua hilo kama mke na mme wake hongereni sana🎉🎉🎉🎉 ❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @jovithatibatekeleza6598
    @jovithatibatekeleza6598 20 дней назад +2

    Nyie mtaninua na vicheko😂😂😂😂

  • @EagerBlueLake-fv7yp
    @EagerBlueLake-fv7yp 18 дней назад

    yaaan jamn me nimecheka had xn mbavu hahahahahhaahha nawapenda xan kp na zebuu na mzee likoma jamn❤ kaz nzuri xan ety waooooooooooooooooo

  • @CollisBill-mu3zp
    @CollisBill-mu3zp 20 дней назад +5

    Ni wikii ya kula viepee🎉 maisha si ndio aya sasa❤❤❤

  • @AnnKirungu
    @AnnKirungu 20 дней назад +8

    Pia sijachewa sana,,,like zangu Toka kenya

  • @DianaMkembelwa
    @DianaMkembelwa 20 дней назад +4

    127,,Daaa ila KP nimecheka sana😅😅😅😅

  • @elosygatwiri-r4l
    @elosygatwiri-r4l 20 дней назад +4

    Mzee likoma umenichekesha sana na watoto wko

  • @manyanya-g2m
    @manyanya-g2m 14 дней назад +2

    Kazi nzuri sana

  • @RobinaKerubo-b6m
    @RobinaKerubo-b6m 20 дней назад +2

    😂😂😂kimewaramba leo ndio hile siku😅😅😅😅😅😅❤

  • @Chebaibaiever
    @Chebaibaiever 20 дней назад +3

    😂😂😂😂 Bwana marehemu hello😅😅

  • @justinmagonze4089
    @justinmagonze4089 20 дней назад +17

    Ila kp balaa amempiga mzee likoma kikumbooo

  • @azizahmohamed3495
    @azizahmohamed3495 17 дней назад

    😂😂😂😂😂sio kwa konzi lile la kumbonyeza marehem aludi kaburini kwake 😂😂😂

  • @sharifamahamudu182
    @sharifamahamudu182 20 дней назад +3

    Niliimiss jaman munachelewa sana

  • @bettyharrison8169
    @bettyharrison8169 20 дней назад +2

    Me nilijua tu KP alienda yatimbua😂😂😂😂😂😂

  • @محمدالقحطاني-ظ3ط1ص
    @محمدالقحطاني-ظ3ط1ص 19 дней назад +2

    😂😂😂😂😂yani nmecheka adi nikachanganyikiwa😂😂😂

  • @stellanyamuhogota1832
    @stellanyamuhogota1832 20 дней назад +2

    😂😂😂😂😂likoma Leo umepatikana

  • @jacklineteresia2629
    @jacklineteresia2629 20 дней назад +2

    Kp utalipia mbavu zangu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤸🤸

  • @vevevechou-yu5gk
    @vevevechou-yu5gk 20 дней назад +2

    eliekufa chini ya meza ss😂😂

  • @wasakamtema9721
    @wasakamtema9721 18 дней назад

    Hahahahahaha Yan kp umenifurahisha ulipompiga likoma alipokua nachungulia unapopewa Ramb rambi daah😂😂😂😂

  • @ZahadiShauri
    @ZahadiShauri 20 дней назад +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 uwiiiiiiiii yaani leo kp na zebuuu wamejua kunivunja mbavu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @RachelMdao
      @RachelMdao 20 дней назад

      Nimecheka pale mzee kapigwa kofi

    • @ZahadiShauri
      @ZahadiShauri 20 дней назад

      @@RachelMdao 🤣🤣🤣

  • @kwizeracedrick-p6u
    @kwizeracedrick-p6u 20 дней назад +2

    Mnanichekesha had nife😂😂

  • @peterKasonso-l8x
    @peterKasonso-l8x 20 дней назад +15

    Leo nimewai kidogo dur Mungu kaniona

    • @khadija2113
      @khadija2113 18 дней назад

      😂😂😂😂jaman mbavu zangu

  • @KidumeRashid
    @KidumeRashid 20 дней назад +7

    Mzee likoma umepatikana na watoto hawa

  • @EagerBlueLake-fv7yp
    @EagerBlueLake-fv7yp 18 дней назад +2

    mihemko hahahahahhahah❤

  • @mnyaturu_only
    @mnyaturu_only 20 дней назад +7

    Nakubali likoma😅😅😅😅😅

  • @happyDarmaIgiraneza
    @happyDarmaIgiraneza 20 дней назад +4

    Léo nimecheka san kwel Yani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @ZeynahKassitah
    @ZeynahKassitah 20 дней назад +7

    Na me nimekuw miongoz mwa 1stz from Tz

  • @JamilaNkungu
    @JamilaNkungu 20 дней назад +2

    Zebuu kuona chips tu kapona🎉🎉❤

  • @Kissindotooko5
    @Kissindotooko5 20 дней назад +21

    Ata 10 like wakuu Leo wakwanza

  • @dieumercimutware
    @dieumercimutware 20 дней назад +7

    Mazeeee wa kwanza kutoka Kivu ya Kusini
    like zangu jameni😪😪😪🤤🤤

  • @robertokibingo
    @robertokibingo 19 дней назад

    Mzee likoma VC já ganhou sério,do jeito que estás olhando

  • @RehemaMbogela
    @RehemaMbogela 20 дней назад +3

    Nimecheka mpaka shingoni pananiuma

  • @BrigitteMelly
    @BrigitteMelly 20 дней назад +10

    Baba amezikwa nabado mzima 😂😂😂😂😂

    • @RachelMdao
      @RachelMdao 20 дней назад

      Amewekwa kofi mzee bhna😂

  • @Awoshy
    @Awoshy 20 дней назад +1

    Jamani Kp na babake🙌🙌 😂😂😂😂😂 maajabu 😂😂😂😂

  • @Shamilahamisi-f5t
    @Shamilahamisi-f5t 20 дней назад +3

    Kwa mala ya kwanza nimewahi nipe like Zang team galf Moja iyo✌️✌️

  • @FelixJames-s8t
    @FelixJames-s8t 20 дней назад +7

    Wa kwanza leo like zenu jaman

  • @nadiakhalid3511
    @nadiakhalid3511 20 дней назад +2

    Kwani dibos na shei shei ndo hawapotena aiseeé😢😢😢

  • @AishaRashed-m5o
    @AishaRashed-m5o 20 дней назад +1

    Kp na zebuu napenda San vipande vyenu pia utafikira so mke na Mme unaonaje huyo wape🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 yaooo

  • @MohamedHassan-ji8it
    @MohamedHassan-ji8it 18 дней назад +2

    😂😂 nimekua wakwanza naimba lik zen niko Kenya 🇰🇪

  • @Msaniitz
    @Msaniitz 19 дней назад

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂kp Wewe Leo umenifurahisha Sana yaani kp chips imefanya umuue babako kweli 🤣😂😂😂😂

  • @ZZawadi-s5v
    @ZZawadi-s5v 20 дней назад +1

    Jamen mwalimu ni huyu dokctar🎉🎉🎉😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂kumekuchar

  • @AsakeJunior-h7u
    @AsakeJunior-h7u 20 дней назад +2

    Ni hatari hizi series 🎉

  • @NeemaVicent-nf8tg
    @NeemaVicent-nf8tg 20 дней назад +2

    Jaman kuishi ni akili KP kaniacha njia panda

  • @JoyJack-x5x
    @JoyJack-x5x 18 дней назад

    😂😂😂😂😂nimelia sana marehemu mwenyewe hatulii😅😅😅😅😅

  • @Fatumahassan-h5m
    @Fatumahassan-h5m 20 дней назад +1

    😂😂😂😂😂huna bahati mzee likoma

  • @MarKarim-km2yh
    @MarKarim-km2yh 20 дней назад +2

    SEMA Kimeumana 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 likoma kunywa sumu uwokoe jahazi

  • @NdayishimiyeClaudine-k3o
    @NdayishimiyeClaudine-k3o 19 дней назад

    Hahahaha,eeeeehhh mungu wangu,hapa sina cha kuongeza!from burundi

  • @ErickJonhfredy
    @ErickJonhfredy 18 дней назад

    Asant Sana kwa kazi nzuri Cha kukulipa Sina Mimi ila Shukran Sana Kaka KP

  • @EmmanuelShigela-js9dk
    @EmmanuelShigela-js9dk 18 дней назад +2

    Jaman hii episode KP mitano tano

  • @BRmwtjoseph
    @BRmwtjoseph 18 дней назад

    Hahahahaha poleni jaman 😅😅😅😅😅

  • @AdmiringCherryDumplings-co1dc
    @AdmiringCherryDumplings-co1dc 20 дней назад +2

    Jamni ingine ijee mapemaa tunaisubir kwa jamu

  • @kelvinrobertmalangalila
    @kelvinrobertmalangalila 20 дней назад +3

    Wasaba leooo ❤Norah,zebuu and all guys

  • @SophiaPaulo-w4i
    @SophiaPaulo-w4i 20 дней назад +3

    Nawapenda sana ety mungu awabariki mnanifrahisha sana jaman

  • @RettyMulefu
    @RettyMulefu 20 дней назад +1

    Ila huyu Mwalimu kafanana na kp, atqkuwq dadake😅😅😅

  • @DatashzyaMahamoud-p8q
    @DatashzyaMahamoud-p8q 20 дней назад +4

    Mamb moto😂

  • @JoslineKavugho
    @JoslineKavugho 20 дней назад +5

    Wakwanza nipe like zangu toka congo

  • @ringstone5388
    @ringstone5388 20 дней назад +4

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂kwakweli tangu nizaliwe sijawahi kucheka nimecheka leo aiseee hadi nikajikuta nipo hospital 😂😂😂😂😂😂