UFAFANUZI Hadi mapumziko umiliki wa mpira Yanga ilikuwa mbele kwa asilimia 57 na siyo 43% (ambazo zilikuwa za Namungo). By Mhariri - Mbwaduke Stats "Spoti Next Level"
Nakubali Sana uchambuzi wako ni wa kitaalamu uliojaa takwimu za kimahesabu, si kama wengne wapga polojo endelea kutulisha uchambuzi wenye afya ya kimpira
Kongore kwako kaka mkubwa mungu Akubariki ujawahi kuikashifu timu yoyote Ile uwa unatoa statement nzuuri ktk uchambuzi wako na ujawahi kukosea Uko safi
Mimi natofautiana na hawa jamaa kwa kutokuwa consistence ktk uchambuzi wao! Yaani ni mapopo au vinyonga leo hivi kesho vile. Misifa kama kazi na kuwavimbisha vichwa wachezaji wetu. Nimegundua wanatumia uwelewa wetu mdogo kula bando zetu. Yaani wasipotoa hizo data za kupamba hawatapata kula hivyo tuwe makini nao, tuishi nao kwa akili!
Wakwanza leo from Tanzania 🇹🇿 nipeni like kama wew fans wa mwaduke
Mr Mbwaduke. Mchambuzi bora kabisa Tanzania kiukwel!👏👍🙏
Asante sana Uncle kwa kudadavua vizuri! Nimekisoma vizuri.
Shikamoo mzee wa data
Nakukubali sana Bwanduke
Nakubali uchambuz wako hongera sana.
Nilikuwa uwanjani mpira umepigwa mwingi sana yanga hii hadi raha
Ahsante Sana yanga mmetufurahisha
UFAFANUZI
Hadi mapumziko umiliki wa mpira Yanga ilikuwa mbele kwa asilimia 57 na siyo 43% (ambazo zilikuwa za Namungo).
By Mhariri - Mbwaduke Stats "Spoti Next Level"
Hongera sana jembe letu Mwaduke mzee wa data.
Hanna shida kaka
Show show kaka, piga kazi
Kuna watu wameumia sana na bado.
Aisee kazi mzuri
Ramovich pira giant pira machine pira machine yanga imewafunga namungo na Simba na mgunda wake
Nakukubali mbwaduke maana wengine wengi hawachambui huaga kama wanaimba tarabu2
Nakubali Sana uchambuzi wako ni wa kitaalamu uliojaa takwimu za kimahesabu, si kama wengne wapga polojo endelea kutulisha uchambuzi wenye afya ya kimpira
Mmeanza si mkiluwa mwatusema vibaya
Yanga daima
Safi sana nakukubali muchambuzi wa Dunia hunaga usimba na yanga wewe
Namkubali sana mbwAduke
Kongore kwako kaka mkubwa mungu Akubariki ujawahi kuikashifu timu yoyote Ile uwa unatoa statement nzuuri ktk uchambuzi wako na ujawahi kukosea Uko safi
Leo nimewahi na mmnamkubali sana mbwaduke
Nipo
Hongela sana
👏👏👊
Asante mzee wa data kwa uchambuzi wako mzuri 🎉🎉🎉
Ahsante sana tunakuelewa
Timu imeludi na bado tuta wafunga sana
Asnte mzee wa data
Tuko pamoja mzee Mbwaduke, huna mpinzani
wapili leo like zangu watan zangu wameupiga mwingi
Shukran sana mtani 👍
Ninakuelewa sawasawa
Mema zaidi yako mbele yanakuja
❤❤
Wa kumi na NNE leo
We ndo mchambuzi wangu bora achana na wale wala pumba
Asante sana
Ilikua dakika ya 49 sio 50
% 43 yanga umekosea hapo mwanzo
Yes. Ndiyo maana tumeeleza humu kwenye comments fuatilia utaona. Ahsante sana kwa kuendelea kutuunga mkono.
Wa pili n mm
💛💚💛💛💪🏾🙏🏽🙏🏽
Safi
Mpira unapigwa hadi unasahau kama ulikuwa unakula chakula makolo yatatapika damu msimu huu we subilieni tu tumeyapa mda ili yapate Furaha sasa ngoja
🎉
ha hs ha ha ,waliofungwa ni namungo ya majaliwa ila wanaoumia nimikia fc na wauza ukwaju poleni milichonga sana midomo pepe
Kaka nakukubali kwa uchambuzi wako wa kiumakini
Mzee wa data heshima zako mzee wangu mi nataka namba zako kama huto jali mzee
Waweza kumcheki Mzee wa Data kupitia namba yetu ya Voda 0759464186. Shukrani sana kwa kuendelea kutuunga mkono.
Swamchungaji
Mimi natofautiana na hawa jamaa kwa kutokuwa consistence ktk uchambuzi wao! Yaani ni mapopo au vinyonga leo hivi kesho vile. Misifa kama kazi na kuwavimbisha vichwa wachezaji wetu.
Nimegundua wanatumia uwelewa wetu mdogo kula bando zetu. Yaani wasipotoa hizo data za kupamba hawatapata kula hivyo tuwe makini nao, tuishi nao kwa akili!
Mbwaduke inashindikana vipi wewe kupata mkataba wa analyst au kipaji kipalilie Kwa kozi umalize Biashara