Sasa kama diamond kaiga amapiano,. Mbona Africa kusini akuna mtu yoyote yule mfano kama nyimbo ya tswala bam mbona aipo na ya Africa kusini imefanya vizuri Sanaaaaa,... nyimbo ya Asake na wizkid MMS imetrand wapi
@ms123ru jamaa kaongea fact shwala bam ingeingia bas km ss tunaiga mziki wa watu wale titom na yupe nyimbo yao ilipaswa ingie kuhusu kutrend sawa km wanaangalia streams kwenye spotify sisi wametuacha mbali sana wenzetu
Bro konk nataka nikushauri jambo, unachosema kuwa na identt yet n sawa, lkn cyo kinachomzuia diamond kutolewa ktk tuzo, maana hata walioko ktk tuzo hawaimbi mziki wao mfano hao wasanii wafatolie vzur wanafanya miziki tofaut, brown kaimba afrobeat cyo kimarekani sasa wao hawaigi kwani?
Hapana iyo sio ndio sababu. Yemi Alade ni Nigerian na nyimbo ya Tomorrow yake ni Amapiano sio Afrobeat, MMS ya Wizkid na Asake haija hit hata hapo Nigeria, Shwalabam niya South Africa na imehit dunia nzima ila haija wekwa kwa Grammy. Komasava ni nyimbo kubwa sana duniani lakini kuna connection tu Diamond hajajua ila akijua tu atabeba Grammy nyingi tu. Ni swala la muda. Na yengine Dudubaya weka facts bila kutanguliza chuki.
@ nimefatiliya baathi za interview za Dudubaya, kila kitu cha Diamond Platnumz anakiponda. Hapa kwa tuzo hainishtui yeye kuongeleya DP vibaya tena. Lakini ukweli ni kwamba Komasava ilistahili kuwekwa Grammy
Kma kuna msanii yoyote Africa alishinda Grammy kabla P Diddy akamatwe na kashirikiana nae kwa mziki basi watakua haohao kwa Grammy nominations bt kma Diamond kupata Grammy maybe mpaka P Diddy aachiliwe kutoka jela 😂😂😂
Kwan Tyra wa south Africa alivyochukua tuzo alitumia beat ya wp? muongo tu huyu. Hii tuzo ukubali ukatae hata ungepiga bongo fleva sio rahisi kutoboa, wenzetu baadhi ya nchi kama nigeria, south Africa, ghana.... Wana watu wao kwny Grammy academy wkt ww huna hata mmoja. Kama ni swala la nyimbo za asili basi kwann walimuweka kwny nominees? Si wangemweka hata dulla makabila au sholo mwamba kwa upande wa singeli
Hamo Alisha sema sisi bado thanaaa hatuwezi shindana na wanaija haowatu walisha tuacha kitambo thanaaa labda kizazi kijazo sio mond Wala Hamo Wala Mario
Swala la kusema ooh mziki anaonfanya sio asili yake eti ndio maana hapat tuzo 1. Mbn Chris brown ypo kwa yy ana fanya afro beat 2. Mbn burnaboy ypo yena kwa nyimbo ambayo ni piano Kwan yy ni m south 3. Mbn yemi alade kaingia kwa ngoma ambayo ina amapiano beats
Amebakia kuwahukumu wenzie utafikiri yeye aliweza,ukiletewa mada za kina Diddy unaingia ujuaji ukiletewa Grammy ww unajua ,ni mjuaji kuliko unavyohojiwa huo ni ugonjwa sasa😅😅😅,unasema amapiano sio yetu sasa mbona wasouth hawamo na ndo amapiano ni yao? Mbona ulimsingizia ka Pdidiwa leo hii umeona kwa kukosa huko atakuwa ajapididiwa so umekuja na sababu ingine tena,punguza pombe chafu
@babiddi8620 jiongeze bac naww,wengi tu tumesomea mziki kini sasa ukae ukijua kila somo lina wa kwanza na wa mwisho,so ka alisomea afu akawa kilaza ndo utamkubalia tuu hata ka kakupeleka chaka
Asake amapiano barns boy boy copy tupu ila wapo yemi alade ameimba nini mwaka Jana na huu mwaka Grammy ya sai sio ya zamani hii ya sasa Niya wanaigeria ndio wapo kwenye academy wote
Huyu mzee kuna muda anaongeaga tu pumba ili mradi tu asikike...sijaona cha maana alichokiongea... Mim ni mkenya 🇰🇪🇰🇪 ila siungi mkono kauli yake...Ommy alichokisema kipo sahihi,mpuuzi mwingine anasema ni ujinga?? Ndo naelewa ile kauli ya kwamba sio kila mzee ana hekima,hata wajinga wanazeeka
Kichwa cha dida pekee hakitoshi, apekele mpaka mama yake,mashabiki uchwara kama mimi na wajinga wengine hapo kidogo shetani atamfikiria kidogo maana shetani ni muongo wa karne
Kichwa kimebeba madini sana...... Umeongea point nzuri sana Konki!
Km huna D mbili huyu jamaa huwez kumuelewa ila anaongea fact kabisa wasanii wetu ni wazee wa kukopi kuanzia ngoma lifestyle mpka muonekano
Sasa kama diamond kaiga amapiano,. Mbona Africa kusini akuna mtu yoyote yule mfano kama nyimbo ya tswala bam mbona aipo na ya Africa kusini imefanya vizuri Sanaaaaa,... nyimbo ya Asake na wizkid MMS imetrand wapi
Wee ndio huijui tatizo sisi only tz tunajua RUclips tuu 😅😅
@ms123ru jamaa kaongea fact shwala bam ingeingia bas km ss tunaiga mziki wa watu wale titom na yupe nyimbo yao ilipaswa ingie kuhusu kutrend sawa km wanaangalia streams kwenye spotify sisi wametuacha mbali sana wenzetu
Tuacheni kuingia
Wewe mbona mbishimbishi msikilize jamaa
Bro konk nataka nikushauri jambo, unachosema kuwa na identt yet n sawa, lkn cyo kinachomzuia diamond kutolewa ktk tuzo, maana hata walioko ktk tuzo hawaimbi mziki wao mfano hao wasanii wafatolie vzur wanafanya miziki tofaut, brown kaimba afrobeat cyo kimarekani sasa wao hawaigi kwani?
Sasa dudu mwanangu nawe c msanii kaimbe ww bongofreva haris tukuone
Siku zote unaonge ukweli konk master🎉🎉🎉
Huyu jamaa hodari wa kuongea lakini yeye kwenye mziki kichwa maji. Si anze. Yeye awe mfano shout your mouth Dudu
cha kushangaza hao waloimba bongo flaver wote wamekufa maskini
Anasema point
Ipi naww ka c umasikini unakusumbua ka yeye
Weeeeh😂😂😂 atabebaaa tu siku mojaaaa.
Big Mamba umeongea point kwakweli hata Master Jay amewahi kulizungunzia hilo kwenye interview na CROWN MEDIA
Ila ule mpua wa baba level upo kama fungu la nyanya😢
Nigerians sing in English also not big deal.
Hapana iyo sio ndio sababu. Yemi Alade ni Nigerian na nyimbo ya Tomorrow yake ni Amapiano sio Afrobeat, MMS ya Wizkid na Asake haija hit hata hapo Nigeria, Shwalabam niya South Africa na imehit dunia nzima ila haija wekwa kwa Grammy. Komasava ni nyimbo kubwa sana duniani lakini kuna connection tu Diamond hajajua ila akijua tu atabeba Grammy nyingi tu. Ni swala la muda. Na yengine Dudubaya weka facts bila kutanguliza chuki.
Unaweza kuandika maneno meeeengi kweli kutetea, lakini huyo jamaa kaongea ukweli kbs
@ nimefatiliya baathi za interview za Dudubaya, kila kitu cha Diamond Platnumz anakiponda. Hapa kwa tuzo hainishtui yeye kuongeleya DP vibaya tena. Lakini ukweli ni kwamba Komasava ilistahili kuwekwa Grammy
Tutabeba tukiwa na mziki wetu Sio wa ku copy and paste.
@@mbunamax na mziki wetu ndio gani?
Boss razima atetewe usipomteteya Boss utakura wap?? $
Uyu dingi mziki umemshinda kawa mbeya skuhizi. Mbona umli umeenda afungue ata kijiwe cha kahawa atauza sana kwa umbea wake
Unavailable ya davido imekua nominated mwaka jana na ni amapiano.uyo vip
Nialubam
Bongo mziki wetu tunao sema hatuko serious ,,mfano Singeli na taharabu ,mchiriku sema wasanii wetu wanaudharau na kuuchukulia poowa...😢
Ila sisi tunamuona ka mlevi lkn anaongea kitu straight ukweĺi mtupu ila hata ni hater
True anaongea ukweli
Zamana TZ warikuwa n'a mziki sikikiza feruzi île ya kwahelini mpaka Léo
20% nyimbo zake kwanini hazipigwi wakati zinaelimisha
😂😂😂hapo kwenye kumtetea boss da!! 😢😂
Uyu mi namuonaga kama choko tu
Dudu kaidhiwa point. South Africa wenyewe hawapo kwenye Grammy kwani na wao wana fake?
Kma kuna msanii yoyote Africa alishinda Grammy kabla P Diddy akamatwe na kashirikiana nae kwa mziki basi watakua haohao kwa Grammy nominations bt kma Diamond kupata Grammy maybe mpaka P Diddy aachiliwe kutoka jela 😂😂😂
Mbona wanaigeri wanaiga sauz afu wanaingizwa grami iyo tuzo ni zaupendeleo tuu
djshimba king@ hii ndo tz
Kwenye hiyo mada manji wa muziki anaongeaga, mtaguyeni masoud masoud
Konki upo sahihi😊
Leo umeongea
Kwani uyu jamaa kapatwa na nn mbona ku cha kumuongelea mtu mmoja huo ni ujinga
Kumbuka dudu anatafutwa nawaandishi na anaulizwa maswali na waandishi hakurupuki kumuongelea mtu mmoja kama unavyo sema wewe mambaz 24
Yaani Africa nzima Nigeria pekeake ndio wanafanya mziki kweli?
Ila diamond kasibitisha kuwa ajaliwa
Ameliwa ila aliemla yupo jela
Bas wangeweka mahaba ya Alikiba kama ishi ni amapiano
Kumbe ndio rahisi hivyo, sasa mbona hukufanya hivyo wakati unaimba ushinde Grammy? Au wewe ulikuwa hutaki Grammy? Talk is cheap
Kwani hy hip hop lliomtowa yy kaiga wp jinga kbs
Kwan Tyra wa south Africa alivyochukua tuzo alitumia beat ya wp? muongo tu huyu. Hii tuzo ukubali ukatae hata ungepiga bongo fleva sio rahisi kutoboa, wenzetu baadhi ya nchi kama nigeria, south Africa, ghana.... Wana watu wao kwny Grammy academy wkt ww huna hata mmoja. Kama ni swala la nyimbo za asili basi kwann walimuweka kwny nominees? Si wangemweka hata dulla makabila au sholo mwamba kwa upande wa singeli
Hamo Alisha sema sisi bado thanaaa hatuwezi shindana na wanaija haowatu walisha tuacha kitambo thanaaa labda kizazi kijazo sio mond Wala Hamo Wala Mario
😄😄😄😄😄😄😄😄🤙
Umeongea ukwer kabisa
Sasa Dudu anataka Lil ommy amtetee Alikiba ama..? Sabab msanii namba moja East Africa anajulikana
Swala la kusema ooh mziki anaonfanya sio asili yake eti ndio maana hapat tuzo
1. Mbn Chris brown ypo kwa yy ana fanya afro beat
2. Mbn burnaboy ypo yena kwa nyimbo ambayo ni piano Kwan yy ni m south
3. Mbn yemi alade kaingia kwa ngoma ambayo ina amapiano beats
Mziki wako mbona haujawahi kukufaidisha
Kama tunashindwa kutengeneza ata chupi tutaweza nin sisi..
😁😁😁😁
Sasa tz tumeamsha nini sasa shida nyimbo nyingi mapiano sio bongo fleva
Amebakia kuwahukumu wenzie utafikiri yeye aliweza,ukiletewa mada za kina Diddy unaingia ujuaji ukiletewa Grammy ww unajua ,ni mjuaji kuliko unavyohojiwa huo ni ugonjwa sasa😅😅😅,unasema amapiano sio yetu sasa mbona wasouth hawamo na ndo amapiano ni yao? Mbona ulimsingizia ka Pdidiwa leo hii umeona kwa kukosa huko atakuwa ajapididiwa so umekuja na sababu ingine tena,punguza pombe chafu
Fuatilia dudu ameusomea mziki
@babiddi8620 jiongeze bac naww,wengi tu tumesomea mziki kini sasa ukae ukijua kila somo lina wa kwanza na wa mwisho,so ka alisomea afu akawa kilaza ndo utamkubalia tuu hata ka kakupeleka chaka
Asake amapiano barns boy boy copy tupu ila wapo yemi alade ameimba nini mwaka Jana na huu mwaka Grammy ya sai sio ya zamani hii ya sasa Niya wanaigeria ndio wapo kwenye academy wote
Ao hawana details zozote ila wanapenda kutafutwa na kuongea ujinga
Hao hawana kitu wanapenda kuongea ili wawepo kwenye platform
Nyanoko. Dudu hunajipya
Lushindo lyako😂
Mahari Ep 2 is now out Karibu kutazama usiache kutuwekea maoni Yako
🙏
ruclips.net/video/dzhV0QS0MK4/видео.htmlsi=BExG9ALwS4_43hJk
boss sauti yako inakera balaaa.
Kwa hio tumsaidiaje
Huyu mzee kuna muda anaongeaga tu pumba ili mradi tu asikike...sijaona cha maana alichokiongea... Mim ni mkenya 🇰🇪🇰🇪 ila siungi mkono kauli yake...Ommy alichokisema kipo sahihi,mpuuzi mwingine anasema ni ujinga?? Ndo naelewa ile kauli ya kwamba sio kila mzee ana hekima,hata wajinga wanazeeka
Asake ana nyimbo na central cee
Ile Ngoma kali mno!
Mbona tyla aimbi amapiano na ni msauzi na anapata tunzo 😀😀😀 wacha ibyo bitu culture aimpi mtu tunzo mze
What does dudu baya mean when he says we live your life?? The English is not englishing
May be he mean We live our life.
Peleka ukuma wako huko