Vipi utajijua kuwa na una vidonda vya tumbo

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 ноя 2024

Комментарии • 12

  • @hannanhayyam1398
    @hannanhayyam1398 3 года назад

    Maelezo mazuri asante Dr.Othman

  • @RajabuMduda
    @RajabuMduda 2 месяца назад

    Vp tatizo la kubeua au kupiga mboo

  • @RajabuMduda
    @RajabuMduda 2 месяца назад

    Vp kupiga mboli kwa wingi

  • @omarkitwana9410
    @omarkitwana9410 10 месяцев назад +1

    Naweza pata numbr zako doctor ? Pls Mm nimuhanga na nnahangaika sana

  • @LatifaIssa-iu2ex
    @LatifaIssa-iu2ex 5 месяцев назад

    Tumbo kuunguluma mda wote ni dalil ya nin doctor

  • @HunaiyaMohamed
    @HunaiyaMohamed 5 месяцев назад

    Unaweza kua na vidonda then miguu ikakosa nguvu

  • @gracemanga2282
    @gracemanga2282 8 месяцев назад

    Nimepewawa h.pylori kit ya siku 14 lakini bado tumbo linawasha nikikula naomba usaidizi

  • @janesanga2661
    @janesanga2661 5 месяцев назад

    Je mtu mwenye vidonda vya tumbo anaweza kuwa naa dalili ya kupiga miayo mara kwa mara , kupata kichefuchefu lakini hatapiki mpaka ajitapishe kwa kuingiza vidole au mswaki.
    Pia kuumwa viungo vya mwili kama mgongo au kiuno
    Pia uchovu wq mara kwa mara

    • @ElizabethNicholas-uv1hs
      @ElizabethNicholas-uv1hs 4 месяца назад

      Duu wewe n mm kbsa

    • @janesanga2661
      @janesanga2661 4 месяца назад

      @@ElizabethNicholas-uv1hs pole mwaya hii hali inatesa mpaka bas

    • @janesanga2661
      @janesanga2661 4 месяца назад

      @@ElizabethNicholas-uv1hs vipi ukila chakula huhisi kama kinarudi kinasimama kooni afu kooo linauma kama linaungua vile na ukicheua unacheua ka umekula tindikali