🅻🅸🆅🅴 : BAWACHA WATANGAZA KUINGIA BARABARANI JUMATATU KUANDAMANA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 ноя 2024

Комментарии • 56

  • @raphaelmacha1173
    @raphaelmacha1173 Месяц назад +1

    Great speech your well understood

  • @FrenkMushi-i7f
    @FrenkMushi-i7f Месяц назад +2

    Ongerenii sanaaa sanaaa nawakubali makamandaaa ❤

  • @ivanrobert3071
    @ivanrobert3071 Месяц назад +3

    Asante sana wanawake tena wanawake haya maandamano yanawahusu mojakwamoja maana nyie ndio mnaingia leba na uchungu mnaujua haswaa hivyo tunategemea muwepo wengi sanaaaaaa 23rd

  • @BoniphaceManyama-y2s
    @BoniphaceManyama-y2s Месяц назад +3

    Wamama oyeeeeee

  • @GoodTeck90
    @GoodTeck90 Месяц назад +2

    Hongera sana Mama Sharifa tupo pamoja na ww

  • @SylvesterKameo
    @SylvesterKameo Месяц назад +2

    Hongereni akina mama, kweli nyie ni jeshi kubwa!

  • @fabianmainchanyangachika5017
    @fabianmainchanyangachika5017 Месяц назад

    Hongera sana

  • @madaiincubationcenter4947
    @madaiincubationcenter4947 Месяц назад

    Hawa wanawakr siku wakitoka kwenye maandamano basi siku hiyo utakua historia na ikumbukwe wengi wa watanganyika wanawategemea wapinzani wajitoe maisha yao kwa ajili ya watanganyika wote, tusiwe tunawadharau wente msimo wa kuandamana

  • @RoseKipimo
    @RoseKipimo Месяц назад

    🙌🙌🙌🙌🙌

  • @deborahmgedzi632
    @deborahmgedzi632 Месяц назад

    Wanawake Samehe na kuwapenda wanaowaudhi na kuwapenda, Mwenyezi Mungu Atawapigania na kupata haki na Amani.

  • @mwanakwetu6472
    @mwanakwetu6472 Месяц назад

    Kazi ipo!!!

  • @bakermusa9033
    @bakermusa9033 Месяц назад +2

    Shikamoo CDM . Mimi nitakuwa wa kwanza kupuuza huu ukatiri wa awamu ya sita kwa kuandamana.

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 Месяц назад +3

    Mama yangu nakuombeni sana sana msije kuona mnaonewa

  • @BungeyiSaiboku
    @BungeyiSaiboku Месяц назад +2

    Xafi njooni tuungane wote tudai haki yetu

  • @Globalpeace123
    @Globalpeace123 Месяц назад +2

    Nawaungeni mkono ukombozi unakuja kwa kujitoa muhanga kwani mnachosimamia ni haki ya binadamu wote
    Tanzania ni nchi yetu wote sio nchi ya samia na kikundi chake kidogo cha ccm kulicho kaa madarakani kwa kuiibia tanganyika yetu
    Huu ni wakati wa kupigania haki zetu

  • @JofreySanga-lu8pn
    @JofreySanga-lu8pn Месяц назад

    Nawaungeni Mkono namimi maana wanao beba mimba miezi 9 ninyie wanawake na watoto niwakwenu ndio munazo sota nao migongoni mwenu nawewe ndio unaejuwa nani alikupa mimba .nisili yako mbaya zaidi watoto wenu wanatekwa na kuwawa kwenye wongozi namihilmili mwili yote yawanawake wenzunu. Nawanajua uchungu wamwana kuku tetra ndio analinda vifaranga vyake nawanyama wote hike ndio mkali sana ukigusa watoto wake

  • @chrysanthushakaunga6560
    @chrysanthushakaunga6560 Месяц назад

    Tanzania tufungue macho kuwa maandamo ni haki ya kikatiba iwapo Kuna jambo la msingi kuwa maandamo ni kufikisha ujumbe duniani
    Wala hauna ubaya wowote

  • @lucianakweyunga8187
    @lucianakweyunga8187 Месяц назад

    Kumekucha......kumbe wako determined ,

  • @godfreyally-ps3fo
    @godfreyally-ps3fo Месяц назад

    Hapo ndio unapojua mtu mpole akikasilika inakuaje watanzania waoga haya sasaaa

  • @FransiscoKaiza
    @FransiscoKaiza Месяц назад

    🇹🇿♥️⛪✌️🙏🙏

  • @AliBaba-v7v
    @AliBaba-v7v Месяц назад

    Wanaambulia sillingi 50000 tu kila mmoja, hoteli bure, kula bure; hela za Mbowe mchaga wa Uru anaejifanya mmachame!

  • @SeverinepauloPeter
    @SeverinepauloPeter Месяц назад

    Sana tumeitikiya cc hatuna mbili ni mbaya tu

  • @adiaygo8546
    @adiaygo8546 Месяц назад +1

    Ingieni msije mkaanza America umeona wantupiga😅😅

  • @odoieriasmonga6591
    @odoieriasmonga6591 Месяц назад

    natamani kama wanawake wote Tanzania wangekua na ujasiri wa namna hii

  • @SuolFat
    @SuolFat Месяц назад

    Chadema ni porojo tu hawawezi kufanya maandamano

  • @LoitushulYamat
    @LoitushulYamat Месяц назад

    Wanawake wote wa vyama na wasio na vyama .

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 Месяц назад +2

    Mm mama nataka nikuone hiyo tarehe 23 uwe mstari wa mbele ww na familia yako usiwashaushi watoto wa maskini kwa faida yenu

  • @augustinomajebele
    @augustinomajebele Месяц назад

    Itakuwa nzuri ukiwa mbele wewe unaeongea

  • @latiphahood7764
    @latiphahood7764 Месяц назад +1

    Jmn jitambueni ,mjue thamani ya aman

  • @Globalpeace123
    @Globalpeace123 Месяц назад +1

    Nimependa majibu yako katibu wa wanawake wa chadema
    Haki inatafutwa haiombwi

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 Месяц назад

    YAN WANAWAKE NDO MAANA HAMUENDELEI SABAB HAMPENDAN SAMIA N MWENZENU MLIPASWA MUWEKEZE KWENYA KUMSAIDIA NA KUMSHAUR NA SIO KUMPINA SASA AKIFELL YEYE AFSIR N KWAMBA WANAWAKE HAMUWEZ NA MIAKA IJAYO WANAWAKE HAMTO AMINIKA EM MSAIDIEN MWENZENU

  • @lgf7297
    @lgf7297 Месяц назад

    Mama kutoka nchi jirani anataka nini Tanganyika kwet nao wana bandari zao

    • @SuolFat
      @SuolFat Месяц назад

      Nchi jirani ipi

  • @DaudiMakaza
    @DaudiMakaza Месяц назад +1

    Wamama wa nchi ytu wngne wamepata madaraka kw bahat wnajikuta miungu wt

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 Месяц назад

    Hamna kitu kama ni mti mpapai

  • @FrankMwakatundu-cu6bd
    @FrankMwakatundu-cu6bd Месяц назад

    CHADEMA NI MARA KILA IDARA KUSHIKA NCHI MNASTAHILI KUSHIKA DOLA.

  • @latiphahood7764
    @latiphahood7764 Месяц назад +1

    Jmn mtavunjwa miguu muache watoto mayatima bila sababu za msingi,mbona hampend amani

  • @Mjeda-q1m
    @Mjeda-q1m Месяц назад +1

    Kwa Nini tunaogopa maandamano?

  • @ZaidSeifSuleiman
    @ZaidSeifSuleiman Месяц назад +1

    Hakuna muingiaji barabaran

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 Месяц назад +1

    Jichanganyeni mvunjwe miguu uzuri askari wakike siku hizi ni wengi sana.

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 Месяц назад +1

    Tutaona hiyo tarehe 23 piga virunguu akuna huruma

    • @PeterNMzee
      @PeterNMzee Месяц назад +1

      Ni haki yao kikatiba.... Acheni ubabe.... Hakuna aliye juu ya sheria.... Wote ni wa TZ

    • @omarybakunda2554
      @omarybakunda2554 Месяц назад +2

      ​@@PeterNMzeelazima watapigwa sana hawa wajinga.

    • @bakermusa9033
      @bakermusa9033 Месяц назад +1

      We ni kibaka

    • @Globalpeace123
      @Globalpeace123 Месяц назад +1

      Katika watu wajinga wewe ni wa kwanza na wa mwisho
      Tatizo lako ni kwamba hujitambui

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 Месяц назад +1

    Ww mama acha ujinga ,mm naamini cku zote sisi ccm atuna vurugu nionyeshe sehemu Moja wapo ccm wamefanya vurugu, waliousika ni chadema wenyewe

    • @selemaniigosha
      @selemaniigosha Месяц назад +2

      Nyie ni majambaz wasamaria wema ndo wamechoka na ujambaz wenu ndo maana wanaandamana!!

    • @FrenkMushi-i7f
      @FrenkMushi-i7f Месяц назад +2

      Pumbavu wewe ccm mwizi mkubwa

    • @Mosmwampa
      @Mosmwampa Месяц назад

      Kwan kuandamana ni vurugu? Ni haki kikatiba. Ila anetisha na kukataza ndie analeta vurugu