MZUNGU ALIYELETWA KUOKOA WATU AFUNGUKA "NIMEPIGIWA SIMU NIJE KUONGEZA NGUVU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 ноя 2024

Комментарии • 210

  • @EdnaMkamanga
    @EdnaMkamanga 11 дней назад +5

    Jamani English tunatakiwa kukijua. Big up Bro 🙌

  • @HaikaSelle
    @HaikaSelle 11 дней назад

    Twashukuru juhudi za serikali,Eeeh Mwenyezi MUNGU wasaidie waliokwama kwenye kifusi,pia wajalie nguvu na maarifa team yote ya uokoji,naipenda Tanzania yangu 🇹🇿 ❤

  • @NilahIsmail
    @NilahIsmail 13 дней назад +6

    Hongera muandishi umejitahidi kweli. Ahsanteee

    • @omaryibrahimu7822
      @omaryibrahimu7822 11 дней назад

      😅😅😅mungu nisamehee kwa kweli daaah😢😢😢😢😢

    • @sheehamadnganzi8317
      @sheehamadnganzi8317 10 дней назад

      Kiengereza mitini,duh😂😂 tusomeni niaibu😂😂

  • @ShufaaRamadhan-hz5kf
    @ShufaaRamadhan-hz5kf 12 дней назад +5

    Ameweza kiasi chake mpe maua yake❤

  • @LinahMichael-g3z
    @LinahMichael-g3z 11 дней назад +4

    Waandishi wa habari someni kingereza jaman, aibu naona mimi

    • @hellendaniel3809
      @hellendaniel3809 10 дней назад

      😂😂😂kaongee wewe tukuone km ni rahisi

  • @sheehamadnganzi8317
    @sheehamadnganzi8317 10 дней назад +1

    Duh jamani kiengereza cha chekechea kule kenya na unajiita mwandishi😂😂😂😂 umetuaibisha sana😅😅

  • @MAURASCHANNEL
    @MAURASCHANNEL 13 дней назад +8

    Jamani mwache Mzungu akaokoe 😂😂😂

  • @bonifacekalima5273
    @bonifacekalima5273 11 дней назад

    Aacheni kiki mnachelewesha kazi ,,eee eeee eee zimekuwa nyingi ,,hongela umejitahidi

  • @rosemarysulle9288
    @rosemarysulle9288 9 дней назад

    Hapa naona aliyejirahidi ni mzungu kuelewa kinachoulizwa😂😂😂

  • @IdimaelNdosi
    @IdimaelNdosi 12 дней назад +6

    Haya ndio madhara ya kuongea kiswahili mda wote ukikutana na mzungu lazima uguwe kigugumizi😂😂😂

  • @shedrackmgude5972
    @shedrackmgude5972 8 дней назад

    😂😂😂 kizungu bongo bahat mbaya

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 13 дней назад +14

    Mwandishi nilipe hela kidogo nikupatie mafunzo ya kiingereza.Umejitahidi sana.🎉

    • @sharafisaidi7999
      @sharafisaidi7999 13 дней назад

      Njoo nifundishe mimi

    • @stellahlinusi8215
      @stellahlinusi8215 13 дней назад

      nifundishe mm dear

    • @hadijaismail3619
      @hadijaismail3619 11 дней назад

      Wabongo kwa kukosoa tu hatujambo,kwani mwandishi yupo ktk mashindano ya kuongea kiingereza?

    • @hadijaismail3619
      @hadijaismail3619 11 дней назад

      Wabongo kwa kukosoa tu hatujambo,kwani mwandishi yupo ktk mashindano ya kuongea kiingereza?

    • @hadijaismail3619
      @hadijaismail3619 11 дней назад

      Wabongo kwa kukosoa tu hatujambo,kwani mwandishi yupo ktk mashindano ya kuongea kiingereza?

  • @LeilaJoshua-b7m
    @LeilaJoshua-b7m 14 дней назад +7

    hajui kingereza anajua ki germany

  • @hadijatwahadossa
    @hadijatwahadossa 13 дней назад +2

    Wandishi na ninyi jifunzeni kingereza...kazibyenu hiyo inatakiwa ujue lugha zaidi 10...

  • @edwinkaombwe831
    @edwinkaombwe831 13 дней назад +3

    Waandishi mnatudharirisha. Kama lugha haipandi vizuri fanyeni kwanza rehearsal kabla ya kurusha. Kama imeshindikana kabisa tafuteni wakalimani na then nyie mnahoji kwa Kiswahili. Ni Aibu sana kwetu.

  • @sofiakhan9706
    @sofiakhan9706 13 дней назад

    Thanks sir for coming front to help Tanzania 🇹🇿 WELCOME sir for ur afford

  • @RichardKinvunvu-qn1or
    @RichardKinvunvu-qn1or 13 дней назад +3

    Ila mwandishi sasa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂tujifunze lugha banaaaa😂😂😂

  • @RehemaZuberi-q4i
    @RehemaZuberi-q4i 13 дней назад +1

    Mungu wanusulu ndg zetu ambao ajatolewa chini ya kifusi

  • @alwiyiynmission2820
    @alwiyiynmission2820 11 дней назад +2

    Lakini Mzungu anajua anavyoulizwa ....!!!!?
    Hoja zenu zipo WAPI???

    • @hassanbilali1697
      @hassanbilali1697 11 дней назад

      Bro nikwavile tu mjerumani mwenyewe ni mbovu vinginevyo English yake 😂😂😂😂😂

  • @MusaSelemani-x2c
    @MusaSelemani-x2c 11 дней назад +3

    Wote mmemcommentia mwandishi hajui kiingereza, mcomment kwa kiingereza tujue km nanyi mnakijua kweli😂😂😂

    • @omaryibrahimu7822
      @omaryibrahimu7822 11 дней назад

      😅😅😅😅

    • @princenelsonsinko5237
      @princenelsonsinko5237 10 дней назад

      This journalist is not perfect in English, is just trying, but if he can attend British council, am sure will become best we have in our country 😅😅😅😅, nimepatiaa😅😅ety???

    • @princenelsonsinko5237
      @princenelsonsinko5237 10 дней назад

      What is your name? What is your origin? What is your professional? How did you learn about this tragid? What is your position in this problem ? Do you think you will manage to rescue the victims who are still trapped in this collapsed building?

    • @princenelsonsinko5237
      @princenelsonsinko5237 10 дней назад

      Hayo ndio maswali

    • @sheehamadnganzi8317
      @sheehamadnganzi8317 10 дней назад

      This is totally broken English,an academic dwarf of journalist 😂go back to school 😂😂 English is very important to any journalist 😅😅

  • @ZenabAli95
    @ZenabAli95 10 дней назад

    🤐🤐🤐🤐😁😂jamani msituchekeshe msiban😂😂😂🤭🤭

  • @hassanbilali1697
    @hassanbilali1697 11 дней назад

    Hahahha😂😂
    Nikiwa mtwara napata raha kusikia king'eng'e maridhawa jamaa anafurahisha sanaa licha ya huzuni iliyopo😅

  • @soundmale
    @soundmale 10 дней назад

    Mzungu pamoja na ujanja wake hajui kiswahili mshamba mmoja😂

  • @FlorenceMwamelo
    @FlorenceMwamelo 8 дней назад

    Hahaha enheee instead of yes...daah

  • @LevocatusRweyemamu
    @LevocatusRweyemamu 12 дней назад

    Ni simanz kwa watanzani kwa kuwapotezs ndg rafki, jamaa hakika tuendelee kumuomba mwenyezi mungu.

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv 13 дней назад +2

    Mwacheni mwandishi coz ni mbongo sio mwingereza anajitahidi mafala washamba humu ndo mtajidai ulimbukeni unawasumbua

  • @HabbyChambuso
    @HabbyChambuso 13 дней назад +1

    😂😂daah yn nmecheka japo na majonzi

  • @ndimuelias6183
    @ndimuelias6183 13 дней назад +1

    Hiyo ndo elimu yetu ni ya kijasiliamali tupu hakuna kidhungu Wala kizungu eee mungu tusaidie

  • @georgeasalla8542
    @georgeasalla8542 10 дней назад

    Wana apolo wanaweza hiyo kazi kwa haraka sana

  • @MohdOmar-v6h
    @MohdOmar-v6h 11 дней назад

    Daaaah 😂😂😂😂muandishi kafika latatu c 😂😂😂😂

  • @meshacknyandongo577
    @meshacknyandongo577 10 дней назад

    Acha kuhoji watu waende kuokoa watu mnapoteza muda

  • @princenelsonsinko5237
    @princenelsonsinko5237 10 дней назад

    Achana na kizungu bro unachanganya mzungu, present na past tense zote😅😅😅

  • @EliudiJastini
    @EliudiJastini 13 дней назад +1

    Kizungu kizungu zungu😢

  • @tiffanymo9453
    @tiffanymo9453 13 дней назад +2

    Bless you gyz for the help

  • @ibrahimally8073
    @ibrahimally8073 13 дней назад +2

    Mzee MAGOMA tv😂😂

  • @ElizabethDaudi-b6v
    @ElizabethDaudi-b6v 11 дней назад

    Asante ndugu yetu mzungu🙏🙏

  • @emmanuelbenedicto589
    @emmanuelbenedicto589 13 дней назад

    Ukifuatilia amehitimu chuo na anajiita mtaalamu wa uandishi halafu uajiriwe kwenye makampuni ya watu hapanaaa tuache lawama shukran, thanks.

  • @sarahkinyashi6213
    @sarahkinyashi6213 11 дней назад

    Mwenzio kaja kiokoa,mbona unamchelewesha kufanya kazi??how many niniiii weweeee🙏🙏🙏🙏🏃🏃🏃

  • @moshifrank9622
    @moshifrank9622 12 дней назад

    Kwakiingereza hicho mzungu lazima akameze panadol kaumiza kichwa sana kumuelewa muandishi 😂😂😂

  • @keliviniwambuikamau
    @keliviniwambuikamau 11 дней назад

    mwandishi yupo vizuri acheni usenge

  • @AMOSEXAVERY-fm4qm
    @AMOSEXAVERY-fm4qm 11 дней назад

    Nashauri ukapambane kujifunza kiingeresza kaka, kinakupiga mbaya kabisa.

  • @DevotaIjumba
    @DevotaIjumba 13 дней назад +2

    We mwandishi jamani 😂😂umenitoa machozi kingereza gani sasa hicho

    • @davidmalila9221
      @davidmalila9221 11 дней назад +1

      😂😂😂 shkamoo tanzania

    • @hadijaismail3619
      @hadijaismail3619 11 дней назад

      ​@@davidmalila92214:58 marhabaa! Lakini c kaeleweka?😊😊😊

    • @hadijaismail3619
      @hadijaismail3619 11 дней назад

      ​@@davidmalila92214:58 marhabaa! Lakini c kaeleweka?😊😊😊

  • @noelmbosa2736
    @noelmbosa2736 13 дней назад

    Kwa hili mungu tusimamie ndugu zetu watoke wakiwa hai

  • @Zawia-y2j
    @Zawia-y2j 13 дней назад +1

    Utamuhoji akimaliza muache kwanza jaman aende kuokoa watu

  • @edinafaustinez8514
    @edinafaustinez8514 10 дней назад

    Amejaribu English sana

  • @JenethFrank
    @JenethFrank 12 дней назад

    Kwa kweli Tanzania bado sana. Ila Mungu tuu ndiye anaetuhurumia. Kuna vitu vikifanyika vifanyike Kwa uangalifu mfano kariakoo maghorofa ni mengi mno haijawah kutokea janga kama hili sehem yenye population kubwa hivi. Ifike mahali wanaoishi maghorofani waletewe vifaa maalum vya kujilinda ikitokea majanga kama haya, yawepo maoveroll na element ambayo watu wanaweza kuvaa ikitokea janga kama hili watu wavae wasiumie. Miundo mbinu ya oxygen iwekwe tofauti na system za umeme kutokea ardhini kusud ikitokea inawashwa kusaidi wahanga, ikiwezekana hayo maoveroll yatafutwe yenye uwezo wa kujazwa oxygen isiyopungua siku saba kusud wakivaa wawe na uwezo wa kupata hewa safi hadi pale watakapookolewa. Majanga kama haya watu wengi watakufa sababu ya Brain injury, fracture sehem za moyo, kukosa oxygen pamoja na njaa.

  • @RamadhanHassan-k8t
    @RamadhanHassan-k8t 13 дней назад

    Poleni sanamunguawalaze mahalipema malehemu

  • @cosmascastory9193
    @cosmascastory9193 13 дней назад +3

    Waandishi wengi wa bongo hawajui kiingereza aiseee wanatutia aibu sana

  • @JenethFrank
    @JenethFrank 12 дней назад

    Lingine watu wapewe training au mazoezi ya kuhifadhi pumzi na kustahimili hewa ambayo sio safi Kwa muda mrefu. Jambo lingine Kwa sehem kama kariakoo wawe na sehem ya makutano kama Whatsapp na mtu ahakikishe sim Ina chaji na bando kusudi ikitokea janga kama hili awepo mtu special wa kutoa maelekezo ya nn Cha kufanya waongeze pumzi au nn Cha kufanya wasipaniki huku wakiendelea kusubiria msaada

  • @HappyFrance-w4g
    @HappyFrance-w4g 14 дней назад +1

    😂😂😂kingereza cha la7 yamkoani😅😅😅

  • @ThomasAlay
    @ThomasAlay 12 дней назад

    Unamhoji nn siaendelee na kazi sijui wandishi mnatafutaga nn mdawote unamhoji unatafuta masifa

  • @jayjay4313
    @jayjay4313 13 дней назад +1

    Baba kimombo hicho, ungeongeza kidogo tu, ungelipuka ka radi! 😂😂😂😂

  • @meryshekoloa961
    @meryshekoloa961 12 дней назад

    Acha ujinga kama anaweza toa solution yetote usimcheleweshe

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u 13 дней назад +1

    Mwandishi wa Habari kajitahidi bhana

  • @MohabeChacha
    @MohabeChacha 13 дней назад

    Mzungu amekuja kuokoa au kuona uwezo wake wa kingeleza,bado mungu atuebushe na majanga

  • @DevotaIjumba
    @DevotaIjumba 13 дней назад

    😂😂😂😂😂 Asante.😂😂😂 Thanks😂 hata wee mwenyewe umecheka😂😂

  • @matikowambura7657
    @matikowambura7657 11 дней назад

    Mwandishi viaz kwel

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 12 дней назад

    Mwandishi nimekuelewa unakitwanga Kimombo umemuhoji mzungu

  • @MosesDamas-p5n
    @MosesDamas-p5n 14 дней назад +1

    We acha ujinga muacha akawasaidie watu maojiano ya nn angekua niwewe uko chini ungependezwa na maojiano

  • @maisarah6819
    @maisarah6819 11 дней назад

    amejitahidi jaman huyu mwamba kinge chake

  • @amonindelwa4
    @amonindelwa4 14 дней назад +3

    Muache akafanye kazi ngeri ngumu kaka

  • @ibrahimkajugusi7529
    @ibrahimkajugusi7529 14 дней назад +4

    Huyu muandishi anaongea kingereza cha ndani chenyewe kabisaaaa.

  • @bonifacelugo2941
    @bonifacelugo2941 12 дней назад

    Huo muda wote wa kumuhoji angeshafanya kazi kubwa ya kuokoa watu

  • @MagrethCharles-ne2ts
    @MagrethCharles-ne2ts 13 дней назад

    Kikweli kajitahidii ila mazoezi ya kuongeaa anahitaji, ifike mahali jamani tuache kupondaa ila kutiana moyo, huyo mjerumani mwenyewe anajitahiidi! Kaka nasema hongera ila jitahidii tu ku practice kuongea especially kwenye public !

  • @Patrick-w1j
    @Patrick-w1j 12 дней назад

    Wizara ya habari simamieni hii tasnia huyu mwandishi anaaibisha tasnia ya habari..Hajitambui na hana sifa za kua mwandishi

  • @khadija2113
    @khadija2113 14 дней назад +5

    Ila kajitahidi kaka kuzungumza na mzungu jaman mpeni sifa yake ila watanzania bwana nyie huwenza ila poleni sana kwa ajali hii idiot tokea jaman mungu azidi kuwatia nguvu ya uwokoaji Amina poleni sana watanzania wenzangu

  • @AgnessJohn-v8p
    @AgnessJohn-v8p 13 дней назад

    Muache sasa huyo mzungu akasaidie kuokoa jamani

  • @jumanesaidi7635
    @jumanesaidi7635 13 дней назад

    Mwandishi unamuhoji huyu mzungu, kwa manufaa ya nani ?
    Sisi unaotuletea habari hizi, hiyo lugha wengi hatuijui, nina shaka,hata wewe mwenyewe,hiyo lugha unavunja vunja tu.

  • @mrgasper4045
    @mrgasper4045 13 дней назад

    When you came and who call you haisaidii mwambie aite wenzake watu waokolowe hilo ndo ja msingi. Ila mwandishi na wewe daaah.

  • @mbaruksaid5775
    @mbaruksaid5775 13 дней назад

    Hongera yake kanishinda

  • @jacksonkoisi6189
    @jacksonkoisi6189 10 дней назад

    Huyu jamaa aridi darasa

  • @raymondmjebe2412
    @raymondmjebe2412 13 дней назад

    wafanye Basi kazi ulimbukeni tuu wa kuhoji hojii uo muda unampotezea angkua anawaz wap apitiee bhann acha upuuzii punguz manen kuna watu chini

  • @EliasMwita-q3x
    @EliasMwita-q3x 13 дней назад

    Mwandishi Onyeshea 2 kwa mikono yaishe

  • @muzafarsharif9465
    @muzafarsharif9465 14 дней назад +1

    Hapo waandishi wa bongo hawasogei wanaogopa kiengereza ,ingekuwa anaongea kiswahili angekoma mzungu

  • @minzamsengu1683
    @minzamsengu1683 13 дней назад +2

    We mwandishi acha basi 😂😂😂

  • @AngelChino-v8f
    @AngelChino-v8f 13 дней назад

    Nimecheka 😂😂😂 you where going now mmmm hikikitu yani unamuliza hanaenda wapi wakati unamuona hamekuja kuokoa watu

  • @amosmahona433
    @amosmahona433 13 дней назад +1

    Badala umuache afanye kazi kwanza halafu unaamza kumchelewesha

  • @Bistwishs
    @Bistwishs 11 дней назад

    Sasa mwataka mwandishi aseme kizungu na sio lugha yake

  • @MariaSalome-q9e
    @MariaSalome-q9e 13 дней назад +1

    Adi mzungu anachoka 😂😂

  • @aaminaasljbgbvf745
    @aaminaasljbgbvf745 13 дней назад

    Sina mudy yakucheka msichekeshe watu ayasiyakucheka 😱😭

  • @مريم-ث5ذ9ع
    @مريم-ث5ذ9ع 13 дней назад +5

    Sitaki, kucheka, nakuomba, muwache, aende, kwanza, kutowa, msadaa, jaman😢😢😢😢😢

  • @davidsebastian661
    @davidsebastian661 13 дней назад

    Kwani lazima mbona Wachina wanaamini lugha zao ss nikujifanya to na niutumwa tunazidi kuutukuza😢

  • @shemuulenje7588
    @shemuulenje7588 10 дней назад

    Kwanini unakwepesha hiyo mike wewe kaka

  • @YusuphBakari-k9p
    @YusuphBakari-k9p 13 дней назад

    Sasa badala muache watu waendelee kuokoa mnaanza intervew zenu za kutafuta hela ila wabongo aiseee😢😢😢

  • @noelmbosa2736
    @noelmbosa2736 13 дней назад

    Mwandishi naye kavurugwa jamani

  • @JacklineMfumbilwa
    @JacklineMfumbilwa 14 дней назад +3

    Mwache afanye Kaz kwanza

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 12 дней назад

      Jamani wa TZ mbona hamtakagi kujifunza??!! Utakuta huyu mwandishi kamaliza kidato cha 4 lakini daah!!! Aibu!!! ukiona huezi zungumza kwa ufasaha lugha za kigeni bora usikomae!!!

  • @maufadhili5500
    @maufadhili5500 13 дней назад

    Maswali mengne ya hvyo kabixa .....mnakera sana

  • @simonphabiano9050
    @simonphabiano9050 12 дней назад

    Kiingereza gani hiki 😮😮😮😮

  • @priscangimba6194
    @priscangimba6194 13 дней назад

    Maswli ya nn badala umwache akoe watu mkoje

  • @AsmasaidiTitu
    @AsmasaidiTitu 13 дней назад

    Kingereza jaman tz naona aibu mie uzembe hamtaki kujifunza mumeshindwa na dada wakazi wa nandy

  • @pastorjully3657
    @pastorjully3657 12 дней назад

    Wameelewana hakuna shida

  • @Jumadominiko-i1e
    @Jumadominiko-i1e 13 дней назад

    Pore pore sana watanzania😭😭😭😭

  • @musaeliasi
    @musaeliasi 13 дней назад

    anapigajepgaje ngeli. Mwandishi we2

  • @ImaniTinda-h6x
    @ImaniTinda-h6x 14 дней назад

    Mwandishi haelewi 😁😁😀😀😀😀

  • @tanzaniawomenyouthempowerm267
    @tanzaniawomenyouthempowerm267 12 дней назад

    Shikamoo kingereza

  • @chandeyusufu9570
    @chandeyusufu9570 6 дней назад

    Mjitahidi kusoma waandishi

  • @moshifrank9622
    @moshifrank9622 12 дней назад

    Nadhani kama ww ni mwandishi jitahidi tu kujua lugha mwana

  • @YusuphBakari-k9p
    @YusuphBakari-k9p 13 дней назад

    Watangazaj mkasome English course kwanza mana unaongea broken sana hata mdhungu hakuelewi vizur

  • @MbaroukMkumba
    @MbaroukMkumba 13 дней назад

    Wameleta wazungu hao wakati majaliwa wa mwanza yule yupo hapa....

  • @onesmomwakasege5215
    @onesmomwakasege5215 11 дней назад

    Apo mwandishi amna kitu jifue brow

    • @makondorshimora5017
      @makondorshimora5017 10 дней назад

      Mmmh ndugu yangu; amna sahihi ni hamna na brow maana yake kwa kiswahili ni ‘nyusi’. Je wewe kwa hayo 2 umemaanisha nini🤭😂?.
      Lugha ni changamoto hata hii yetu ya kibatu😂😂

    • @onesmomwakasege5215
      @onesmomwakasege5215 10 дней назад

      @@makondorshimora5017 iyo nimeweka nikama swaga 2 brother..siyo mbaya akiambiwa ukweli ili aumie akajifunze naimani 2the next day.s atafanya vizuri