Djamani sijuwi kama da wema ume weza kuelewa uchungu wa mama,heu ushungu wake ume pitiliza hadi ameamua ku tumia siku yako yaku zaliwa ili aku kumbushe malezi aliyo kupa naku kuonesha indirectement alio tarajia kwako.❤ kwako mama
Nakutakia ku cheza huu wimbo na mama siku ya ndoa yako da wema.samani ya malezi ya mama hailipui ila mupe haja ya moyo wake.toute mere aime voire sa fille dans une robe de gloire .ku ku kabidhi rami mumeo naku ku bariki na maneno yote.kwa baraka za mama hata mtoto utapata ila uwe tu ndani ya ndoa.nakuombea mwenyezi Mungu aku djaliye ndoa ya baraka naku dumu pia mama huyu mzazi akiwa hai
Jmn ad Raha am respectful❤❤❤❤❤❤❤❤
Ila lulu diva nae hakuvaa vzr hadi anajishtukia
vzr kumpa na swala mama umetisha
Djamani sijuwi kama da wema ume weza kuelewa uchungu wa mama,heu ushungu wake ume pitiliza hadi ameamua ku tumia siku yako yaku zaliwa ili aku kumbushe malezi aliyo kupa naku kuonesha indirectement alio tarajia kwako.❤ kwako mama
Hajaongea vibaya mama hata kumbe
Jamani hii ni sendoff au sioni vizuri
Nimeipenda mama wema
Kabisa mama ume ongea vzr mtoto wakike eshima n kanga
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
Ungempa na msala masihafu na tasbihi ili azidi kufunguwa macho duniani tunapita tu watt wa kike watake ndoa wasikaribishe wanaume kuwatumia
Mama wema kaongea na mabinti zake ukiwa umesoma cuba utamwelewa mama
Mma wema anatamani haruc
Hamisa kamfariji wema ,, wema alijua kabisa mama ataharibu 🤣🤣🤣
Ww umeona kaaribu ndo misingi ya dini yetu yule hawara sio mume kaongea vzr kbs
Nakutakia ku cheza huu wimbo na mama siku ya ndoa yako da wema.samani ya malezi ya mama hailipui ila mupe haja ya moyo wake.toute mere aime voire sa fille dans une robe de gloire .ku ku kabidhi rami mumeo naku ku bariki na maneno yote.kwa baraka za mama hata mtoto utapata ila uwe tu ndani ya ndoa.nakuombea mwenyezi Mungu aku djaliye ndoa ya baraka naku dumu pia mama huyu mzazi akiwa hai
Ndoa sio matako kila mmoja awe nayo
😂😂😂eti ndio mama kafanya nin
Mm naomba kuuliza ivi wasanii wasipo vaa nusu uchi hawawezi kuitwa wastanii maana hadi aibu badirikeni
Malaya tu Hawa wanatangaza biashara hapo
kavaa chupi
Hahahahahahahahhs
Vivian amevaa nini jamani amanimacho yangu 😂😂
Kavaa vichup
Sijamuelewa pia
Masikini mwe! Imebaki sherehe ya birthday tu utunzwe kanga za arusi, ndoa hakuna ni kulala na wanaume nchi nzima
Acha zako wewe
Kumbe nchi nzima?na mzazi wako pia?,
Wivu mpaka birthday za watu nyoo
Na si ulale noa pia...
Wivu utakuuwa