JE MUA'WIYAH ALIKUFA MUISLAMU? SIKIA JAWABU LA MTUME (S.A.W.W), SHAFII BASALIM AL-SALIMY

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 ноя 2024

Комментарии • 13

  • @hassanrangambo8007
    @hassanrangambo8007 2 месяца назад +1

    Maashaalla tupe elimu sheikh

  • @Khalid-xd2yl
    @Khalid-xd2yl 2 месяца назад

    Allah akufedheshe

  • @IphoneIphone-p8b
    @IphoneIphone-p8b 2 месяца назад +1

    Ushia ni dini ya kutukana maswahaba wema. Allah awe nao radhi. Na msingi wa ushia mwengine ni kuwachukia waislam na maulamaa wanaopinga batwil zao.

    • @SaidJuma-ru7vm
      @SaidJuma-ru7vm 2 месяца назад

      Soma ufaidike usiwe mbumbumbu,sheikh snatoa references ww unaleta siasa

    • @HamadHamduni
      @HamadHamduni 2 месяца назад

      Elimu sio chochote kama huna ufahamu, kama huyo Muawiya r.a. alikua muovu na kafiri ilikuaje mtume s.a.w. amtumie kwenye mambo ya kidini? Na kama Muawiya alikua muovu ilikuaje Ali r.a. amkubari afanye kazi ya dini chini ya ukhalifa wake? Fikirini nyinyi makafiri mnao watukana maswahaba, ilikuaje mtume s.a.w. awe karibu Sana na hao maswahaba mnao walaani na kuwakufurisha! Shafii historia unazotoa kuhusu Muawiya r.a. na hao wengine ni kashifa na udhalilishaji dhidi ya waislaamu na ahlilibayt pia, shafii elimu yako ni ya upotoshaji ulopindukia mipaka. Muawiya r.a. hakua maasumin kama Kuna sehemu alikosea Allah amsamehe. Shafii huna haya,huna hofu kwa huo uongo na upotofu unauotoa dhidi Muawiya r.a. sisi waislaamu Muawiya r.a. kwetu tunaamini alikua swahaba bora,na tarekh ya kiislaamu inasibitisha hivyo.. shafii na wafuasi wako wote nyinyi ndo makafiri,malu'un,waovu,wapotoshaji,wazushi,wafitinishaji,maadui wa mtume s.a.w. na ahlilibayt. Allah akuangamizie mbali na huo upotoshaji wako, na Allah awajaalie wanaokusikiliza wakupuuze, Allah akulaani ufe ukiwalaani maswahaba r.a. shafii Allah awaongoze unao wafundisha huo uvundo unaonuka dhidi ya Muawiya r.a. na maswahaba wengine. Ina lilahi wa Ina ilehi raajiuun. Nakuchukia Sana kwa ajiri ya Allah......mnafiki mubwa, kafiri mkubwa, kadhaabu mkubwa.

    • @IphoneIphone-p8b
      @IphoneIphone-p8b 2 месяца назад

      @@SaidJuma-ru7vm references gani. Kwanza kwa kujibu wa mashia watu weusi hawaingii peponi

    • @SaidJuma-ru7vm
      @SaidJuma-ru7vm 2 месяца назад

      @@IphoneIphone-p8b ww ni Juha tu kama vile Muawiya au Abuu Sufiani

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 2 месяца назад

    Nyie mashia wenye nyie MAKAFIRI,halafu mwawatia UKAFIRI wanafunzi wa mtume (MASWAHABA)Muawiya bin abu SUFIANI,alikuwa swahaba wa mtume na alikuwa mwiislam MZURI allah amrahamu!!
    Hadith zenu mnazotunga wenyewe!!hazina silisla !!MASHIA ni waongo waovu ktk mgongo wa ardhi!!ALLAH awavunje migongo yenu!!

  • @Nurudiin-vp7sz5gf3v
    @Nurudiin-vp7sz5gf3v 2 месяца назад +1

    Aduyi wa nawaaswib na khawarij wenye kuchukiya ahlul bayt