WHAT HAPPEN ?

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 янв 2025

Комментарии • 139

  • @AMREAL_KE
    @AMREAL_KE 2 года назад +57

    Kama umejifunza kitu kupitia kijana wetu shadow pitia hapa na mlike hii comments 🔥🔥💯

  • @swahiliplate466
    @swahiliplate466 2 года назад +6

    Was shadow uko juu sana

  • @msetiiginga5857
    @msetiiginga5857 2 года назад +13

    Hapo mi mwenyewe. Siwezi kumwamini mtu

  • @Valline-u1z
    @Valline-u1z Год назад +2

    Kweli shadow umefundisha wengi kwenye hii movie respect my brother

  • @jacquesmulalirya1704
    @jacquesmulalirya1704 2 года назад +19

    Nipe Likee za rahma

  • @annabelkadzo5470
    @annabelkadzo5470 2 года назад +6

    Nmejifunza kitu congratulations bro shadow

  • @peterbody690
    @peterbody690 2 года назад +6

    Huyu mwamba namkubali sana asee shado

  • @laureanclaudia409
    @laureanclaudia409 2 года назад +3

    Ujumbe umefika, maamxi ya haraka mara nyingi uharibu Kila kitu. Kaz nzuri nduguzangu

  • @MOPEBLETv657
    @MOPEBLETv657 2 года назад +11

    Kaboooooom, kafa kwa ajili ya mapenzi, kiuhalisia hamna urafiki wa mfumo huu, mmmmmh tuwaachie wenyewe, love your work mr Shadow and your team, big 🆙

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 2 года назад +1

      Hipo hiyo usipinge

    • @MOPEBLETv657
      @MOPEBLETv657 2 года назад

      @@Mpakauseme wala sipingi mm, ila duuuuuuuh mapenzi bwana😆😆😆

    • @MOPEBLETv657
      @MOPEBLETv657 2 года назад

      @@Mpakauseme wala sipingi mm, ila duuuuuuuh mapenzi bwana😆😆😆

    • @Wizkid584kviews1daysago
      @Wizkid584kviews1daysago 2 года назад

      @@MOPEBLETv657 vioe

  • @nadiakabura1506
    @nadiakabura1506 2 года назад +8

    Waliyo elewa neno ndagukunda cane wanipe liké zangu

  • @zulachama1067
    @zulachama1067 2 года назад +11

    Yataka moyo mapenzi hakuna rafiki mkweli katika mausiano ya kimapenzi.

  • @jumamartin6916
    @jumamartin6916 2 года назад +6

    Tuliambiwa hakuna urafiki wa Mtoto wa kike na wa kiume kosa ni la rahma tu kwanini ampende sana rafiki zaidi ya mpenzi wake?

  • @djafroempire
    @djafroempire 2 года назад +12

    usjali ndio hali ya maisha

  • @BinKingg
    @BinKingg Год назад +6

    Wala Hakuna Urafik Wa Dizaini hiyo Weee😂😂😂

  • @moulynnyaboke-sh9vj
    @moulynnyaboke-sh9vj Год назад +2

    Pole sana shadow kwa maumivu ya mahaba😢

  • @mabulajonaslukaja
    @mabulajonaslukaja 2 года назад +4

    Kweli kabisa shadow

  • @jay-bshujaboyofficie3201
    @jay-bshujaboyofficie3201 2 года назад +6

    First 🇨🇩🔥

  • @mariamdennis9576
    @mariamdennis9576 2 года назад +6

    Unajua brother @shadow❤️❤️❤️

  • @imanipirfa225
    @imanipirfa225 Год назад +1

    Kosa ni la mke wa shadow kwa sababu akuna urafiki wa namna ii, iyo ni mausiano kimapenzi♥️♥️♥️♥️♥️

  • @OFFICIALOMMYBOY_YZ
    @OFFICIALOMMYBOY_YZ 2 года назад +6

    #shadowtv nakubali sana kaka

  • @alisaida4080
    @alisaida4080 2 года назад +3

    Shadow man uko sawa

  • @kelvinmokuamclion7582
    @kelvinmokuamclion7582 2 года назад +7

    Shadow my star #kelvin from kenya

  • @Sambigmondy6558
    @Sambigmondy6558 2 года назад +5

    Kibingwa 🔥🔥🔥

  • @majeedmbarouk2457
    @majeedmbarouk2457 2 года назад +7

    1st

  • @patrickilambona5042
    @patrickilambona5042 2 года назад +3

    Pnzi wangu nilimpnda fanya mpka sasa kajiua fikra zake ziko vibaya kwa kudhania kwamba ule dem nilimpenda nikwel nilimpenda lakini nikama rafiki wa mtima hahahahahaha

  • @philomenafredy6702
    @philomenafredy6702 2 года назад +3

    Hakuna urfiki wa aina hyo binafsi swez kuvumilia

  • @Royalluxurytours
    @Royalluxurytours Год назад +1

    Bro kuna kitu nimejifunza 💪💪

  • @mohsensaidi3040
    @mohsensaidi3040 2 года назад +4

    Na Kibeat Cha Kanumbaa kwa mbaaaal

  • @novatuskitta840
    @novatuskitta840 Год назад +1

    tuchunge sana kuendekekeza urafiki uso kuwa na tija hali tukijua tupo kweny mahusiano i mean tuwe na mipaka katika kila jambo .shadow kwa upand fulan unalo kosa na hao marafiki wanayo makosa

  • @vicentmlumba591
    @vicentmlumba591 2 года назад +8

    Wadada ndio zaoo kuwaa na marafiki wa hivii😀😀😀😀😀🙌🙌🙌🙌 Ata mm siwezi weeeh

  • @abdulgeorge5968
    @abdulgeorge5968 2 года назад +9

    Yalinikuta km hya daaah 😔😔

  • @saliimomary7293
    @saliimomary7293 Год назад

    Shad kazi yenu ziko poa ndugu na rahma anajua

  • @gabrielndungu9122
    @gabrielndungu9122 Год назад +1

    Jmn wanao pendana wapendane tuu mimi ♥ nataka chapati namahalageeee nipo paleeee

  • @jacquilinenoah949
    @jacquilinenoah949 2 года назад +3

    nmependa hapo mwisho😂😂😂

  • @esterkimalio8846
    @esterkimalio8846 Год назад

    Shadow,uko vizuri sana my friend

  • @ElizabethSitta-mc5mq
    @ElizabethSitta-mc5mq Год назад

    Big up bro uko fresh m ni kijana ila hakuna urafki kama huo

  • @kizodewizyy427
    @kizodewizyy427 2 года назад +2

    Uaminif nilazima Ila sio kwahilo hata ninyi mnge fanya nini

  • @neemamkemae2580
    @neemamkemae2580 2 года назад +5

    Khaaaaaaa huyo anayeimba sio kubana sauti huko, mwisho atakunya

  • @eddiemohamed9003
    @eddiemohamed9003 Год назад +1

    Penzy penzini🔥🔥🔥

  • @annabelkadzo5470
    @annabelkadzo5470 2 года назад +1

    Rahma ND mwenye makosa ni urafiki gani huo ingekua mm siezi elewa

  • @bakarhamc4512
    @bakarhamc4512 2 года назад +2

    It gud story

  • @patrickbeza526
    @patrickbeza526 2 года назад +2

    Ndakukunda chane.

  • @titowere2598
    @titowere2598 Год назад

    Shadow big up man💪💪💪✌️

  • @razackramazane
    @razackramazane Год назад

    Akuna ulafiki kama uwo💯🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @nurusweet52
    @nurusweet52 2 года назад +2

    Shaodoh naku kubali ila akuna mapenzi ya hivo kwa ulafiki wakike na wa kiume

  • @mamymdogomamy3670
    @mamymdogomamy3670 2 года назад +2

    Hakuna rafiki wa hali mapenzi yauma asikwambie mtu bia tamu😂😂😂😂

  • @bostonic
    @bostonic 2 года назад +3

    Rafiki rafiki rafiki chubwii.

  • @shaddydrammer-48
    @shaddydrammer-48 Год назад

    amakwelih hawah mbwah inatakiwah kuishinaoh kwah akili 2:07

  • @tumajunior6080
    @tumajunior6080 2 года назад +2

    Brother nimejifunza

  • @saidiabdalahshabani941
    @saidiabdalahshabani941 2 года назад +3

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣ila shadow

  • @saidsaha594
    @saidsaha594 2 года назад +3

    Umeweza kinoma shadow ❤️💯

  • @RutexNalex
    @RutexNalex 2 года назад +2

    Hamna urafiki wa namna hiyo lakini usiwe wakukata kauli haraka

  • @hamisahamisa5896
    @hamisahamisa5896 2 года назад +2

    Kosa la mwanamke urafiki gani huo

  • @patrickilambona5042
    @patrickilambona5042 2 года назад +2

    Sikatai yule muonyesha wivu ndio mweny mapnzi yakweli kwa mwenzie lakini pia uvumilivu na vitendo vya karaha vilimuumiza mwenzio me ni mtulivu na kuiba mali ya mtu sijafunzwa unadhani lawama ulionipa mimi leo inaniuma
    Jamani alietambua kama mimi agonge like

  • @patijohhullian5372
    @patijohhullian5372 2 года назад +1

    Shadow nimemiss hayo mapenzi yako yalete huku basi sitakuumiza 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @Massivegangtnt
    @Massivegangtnt 2 года назад +4

    Urafiki huo hamna

  • @loislouiseniyakire1803
    @loislouiseniyakire1803 Год назад

    Ndagukunda cane, nawapenda Sana,from burundi

  • @dismasjuma7440
    @dismasjuma7440 2 года назад +4

    Today you have killed it.

  • @carlraphoo275
    @carlraphoo275 Год назад +1

    Shadow best movie scene

  • @veroslaa1041
    @veroslaa1041 2 года назад +2

    Sijawahi kuona

  • @aishafrancis7714
    @aishafrancis7714 Год назад

    Shado hongera sana

  • @deeanahnyanchera5177
    @deeanahnyanchera5177 2 года назад +5

    😍😍😍😍😍🥰🥰🥰🥰

  • @sabunibakarimakhawe2880
    @sabunibakarimakhawe2880 2 года назад +2

    Maana ya penzi ni pamoja na kuheshimu sheria za mpazi wako ikiwa mume alishasema hataki urafiki wao kwanini mke ilang'a gania?

  • @ramsourathmour5596
    @ramsourathmour5596 Год назад

    Sema uyu toto mzuri

  • @nasraabdallah850
    @nasraabdallah850 Год назад

    Ndio shadow upo urafik waivo mi mwenyewe nilikuwanao uwo lkn kwasas nimekuwa nanimishajifunza .kipindi chanyuma nilikuw bint skujua kutofautisha. Namaa ya isiya kwamwenza wang. Nilikuwa nikiona nisawa tu

  • @salmawani2352
    @salmawani2352 2 года назад

    Urafiki uwo nyoko 🤔🤔Ila nimejifunza kity

  • @MisanyaHamadi-ne8te
    @MisanyaHamadi-ne8te Год назад

    Aisee kaka shadow hii kali mno kaka somo

  • @lassijanethexaviour4545
    @lassijanethexaviour4545 Год назад

    Kweli nmeamini mpenz wangu anaponiambia hataki niwe mazoea na wanaume huwa anamaanisha

  • @koteimbamai6793
    @koteimbamai6793 2 года назад +1

    Urafk was school kimbe Hadi ukubwani upo sema Kuna kitu nimejifunza

  • @abedysteven4930
    @abedysteven4930 2 года назад +3

    Urafk gan wa kisenge wa kukaliana mapajan!!

    • @stephanmallya2886
      @stephanmallya2886 2 года назад

      Ni umaku kinyama😂😂Sema si kwavile wanaigiza ao

  • @kendrickoffset981
    @kendrickoffset981 2 года назад +1

    Upo ndio

  • @asinajasna3347
    @asinajasna3347 2 года назад +4

    😭😭😭😭😭

  • @bakarimakame4694
    @bakarimakame4694 2 года назад +2

    Dar. Sio poa

  • @juliaslotannjoolai6700
    @juliaslotannjoolai6700 Год назад

    Shadow ivi karibuni utakua star

  • @mhinajerome5964
    @mhinajerome5964 Год назад

    Nimeipenda hii shadow

  • @sophsoph4740
    @sophsoph4740 2 года назад +1

    🥰😍kaza shadow

  • @patrickilambona5042
    @patrickilambona5042 2 года назад +2

    Mapenzi ya run dunia

  • @maryamsoud2059
    @maryamsoud2059 2 года назад +2

    Uko

  • @starman3697
    @starman3697 2 года назад +2

    Urafiki wa ivyo ndio uleta tatizo kama hii

  • @dancanomari6157
    @dancanomari6157 Год назад

    Waah😥😥rama

  • @skylider77
    @skylider77 Год назад +1

    Hakuna urafiki wa ivo shadow alikuw sawa kabisa

  • @mzeepandu3514
    @mzeepandu3514 Год назад +1

    Story imenigusa sana babu

  • @selempenda9597
    @selempenda9597 2 года назад +1

    siyo urafiki

  • @imanipirfa225
    @imanipirfa225 Год назад

    Duuh lakini inaumiza Sana Na machozi itadondoka tchini,

  • @Damacline4004
    @Damacline4004 Год назад

    Me ata siku moja sijai amini kama mwanamke na mwanaume wanaeza Kwa na urafiki wakawaida

  • @sayunimbate5758
    @sayunimbate5758 2 года назад +4

    😍😍😍😍😍😍😥

  • @samsonpeleka3630
    @samsonpeleka3630 2 года назад +1

    Jinyonge tu hata mimi siwezi

  • @princejobic9036
    @princejobic9036 Год назад

    Rahma ndiye mwenye makosa

  • @miburoaaron1804
    @miburoaaron1804 2 года назад +1

    Imeshawahi nitokeya namimi karibu nife

  • @Salumulhat001-lw4ez
    @Salumulhat001-lw4ez Год назад

    Hakuna

  • @nancynkya4462
    @nancynkya4462 2 года назад +1

    Huo wimbo toeni naharibu picha

  • @salimukipusa8685
    @salimukipusa8685 Год назад +1

    Kak hp umfunza

  • @issasaidi5781
    @issasaidi5781 2 года назад +1

    Ndo nimeelewa tayar

  • @erasmusleonidas6105
    @erasmusleonidas6105 Год назад

    Hakuna urafiki wa hivi hata kidogo hata kama walikuwa marafiki zaman hicho kilikuwa kipindi cha kuheshimu ndoa yake

  • @halimaa9367
    @halimaa9367 2 года назад +1

    💝🌹

  • @sarahkassim51
    @sarahkassim51 2 года назад +2

    Jmn me nampenda rahma nino naomba number zakw

  • @ZaituniAmani-v8v
    @ZaituniAmani-v8v Год назад

    Ulafiki duuh sio poa

  • @SaidaAli-kr3bi
    @SaidaAli-kr3bi 6 месяцев назад

    ❤❤❤❤😊

  • @skrapa142
    @skrapa142 Год назад

    hilo nyimbo yaitwaje

  • @mohdmanjoro629
    @mohdmanjoro629 2 года назад +3

    Uo SI urafiki Bhana ustake kudanganya watu ata ninge kua mm nisinge kubali 😭😭