BWANA ATAWALE [Official Video]

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 дек 2024

Комментарии • 19

  • @yovinampale4873
    @yovinampale4873 2 года назад

    Zangu ni pongezi Kwa utume huu wa uimbaji. Hakika mnamwagilia moyo wangu na kunifanya niwe na Imani kubwa Kwa Mungu. Safi sana.

  • @edwinsande8237
    @edwinsande8237 2 года назад +5

    Kenyans really love Tanzanian songs keep it up. good work

  • @josephabunde5480
    @josephabunde5480 Год назад

    Mungu ni Mungu milele. Pongezi sana, Mwenyezi Mungu awabariki kabisa.

  • @paschaledward4681
    @paschaledward4681 2 года назад

    Hongera sana wapendwa taifa la Mungu tusichoke tumuachie Mungu atawale milele

  • @jonathanntare4787
    @jonathanntare4787 2 года назад

    Mwaka huu nitanenepa kwa Nyimbo za nyumbani hongereni IJITU na KILOLELI .
    Mzee Nyese hongera , vs LUKA HONGERENI SANA ninafurahi nikiwa hapa Zanzibar Unguja.
    Mungu awabariki Ktk Utumie wenu.

  • @gasparymwakanyamale4429
    @gasparymwakanyamale4429 2 года назад

    Hakika mmenikosha sana hongela wanakwayawote

  • @bonifacemusau8074
    @bonifacemusau8074 2 года назад +1

    safi kabisa!

  • @dorothymbuere5832
    @dorothymbuere5832 2 года назад +2

    WI WI Safi kabisa wimbo mzuri na waimbaji walivyo jipanga vizuri sana na mpiga kinanda wote safi. Kumtukuza Mungu mimi napenda sanaa.

  • @clementmazik5381
    @clementmazik5381 2 года назад

    Hongereni kwa utume

  • @ireenmunga3558
    @ireenmunga3558 2 года назад

    Good work

  • @janemwangi6065
    @janemwangi6065 2 года назад

    Hongereni wanakwaya

  • @pauljarju6127
    @pauljarju6127 2 года назад

    Oh the song is very nice

  • @estherkithure4749
    @estherkithure4749 2 года назад

    It's wonderful and best songs

  • @antoniodonizettiseveriano5454
    @antoniodonizettiseveriano5454 Год назад

    Deus abençoe todos vcs 🙏

  • @pasilisajerono7409
    @pasilisajerono7409 2 года назад

    Nice song congratulations

  • @wabulegrace6335
    @wabulegrace6335 2 года назад

    Wonderful song. Thank s

  • @matirdequesada4725
    @matirdequesada4725 2 года назад

    Dimenata

  • @matirdequesada4725
    @matirdequesada4725 2 года назад

    Poketelefonadikematidejimindeshilijiramira

  • @emmanuelondoua5358
    @emmanuelondoua5358 2 года назад

    Nice song congratulation