DIAMOND anamiliki Rolls Royce kama Christiano Ronaldo Bei yake Bilioni 1.5 Jionee Uzuri wa Gari hii

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 ноя 2024

Комментарии • 57

  • @fababindawood8363
    @fababindawood8363 3 года назад +10

    Badhi ya wabongo wanaroho mbaya sana cjapata kuona kijana ametimiza ndoto yake jaman vjana wenzangu hakuna linaloshindikana tujitume jaman 🔥🔥🔥🔥👉💎💎💎 hongera diamond

  • @Amranhassanm
    @Amranhassanm 4 месяца назад

    Ronaldo ❤❤❤❤❤❤ mashallah Boss

  • @manuelconstantinoconstanti3790
    @manuelconstantinoconstanti3790 2 года назад

    Safisana diamond

  • @erickmichael3936
    @erickmichael3936 2 года назад

    Good explanation but rolls Royce is combination of designers fathers name and not their names

  • @charleshaule4008
    @charleshaule4008 3 года назад

    Madini ya Diamond yanapatikana Tanzania peke yake..!!!!! Mtangazaji fanya utafiti kwanzaaa usiropoke! spirit anaita split!!

  • @allymuhamadahmadahmad793
    @allymuhamadahmadahmad793 3 года назад

    Acheni huboya hii rose royse ya Ronaldo si sawa na diamond

  • @rashidismail3006
    @rashidismail3006 3 года назад

    Kaka simba safi sana mungu akuzidishie upate zingine kikubwa pumzi. Ila inawauma

  • @lexq-sm6lq
    @lexq-sm6lq 3 года назад +2

    Ronaldo kaona Mondi ka posti na yeye ka posti😂😂😂😂😂

  • @semkiwamganga4405
    @semkiwamganga4405 3 года назад +2

    Angalia hizi gari vizuri...hata kipofu ameona tofauti

    • @lexq-sm6lq
      @lexq-sm6lq 3 года назад +1

      Sijui ni akili yako ndogo au vipi!!
      Sasa ume ambiwa hayo magari ni aina moja!!?
      Ya Ronaldo ni rolls Royce ghost
      Ya diamond ni rolls Royce Cullinan
      Unaona ni aina moja hizo!! Mweeeeeeee unasikitisha

  • @ibrahimfarha3853
    @ibrahimfarha3853 2 года назад

    Diamond Pata rizk jazaaa hadi maauduwi wabishane kabisa bisheni msimalizee

  • @alibinali_
    @alibinali_ 3 года назад

    Haziko sawa hii ya diamond uko juu na ya Ronaldo niko chini pia ziko tofauti ila Zote ni RR

  • @anjelinakasembe845
    @anjelinakasembe845 3 года назад

    No sadalaya Ronaldo Iko tafauti Hiyo Ni of yako aifanani halafu Ronaldo sio mshamba anawalinzi nyingi mno

  • @0dennisdominic864
    @0dennisdominic864 3 года назад

    Bro mond umetishaaa👏👏👏👏

  • @nomadictraveller336
    @nomadictraveller336 3 года назад +1

    Kenya haya magari tunayaona kila siku hii so kitu cha kujaza mtandao

    • @lexq-sm6lq
      @lexq-sm6lq 3 года назад +1

      Na ndio maana hatuja jaza mtandao wa Kenya,
      Tumejaza Tanzania

  • @SomeOne-wh4yu
    @SomeOne-wh4yu 3 года назад

    Simbaaaa

  • @lm6373
    @lm6373 3 года назад

    Yes Cristiano Ronaldo original lakini diamond mmmmh kwanza kiyo unaonecha sio ya diamond.

  • @barakamahundi2535
    @barakamahundi2535 3 года назад

    awezikushindana
    naRonado

  • @Amranhassanm
    @Amranhassanm 4 месяца назад

    From

  • @athumanikulwa8798
    @athumanikulwa8798 3 года назад

    Sanaaaaa

  • @rajabnassor75
    @rajabnassor75 3 года назад

    Katsh sana

  • @ramazanzibar8264
    @ramazanzibar8264 3 года назад

    Usifananishe phantom na vi2 vya ajabu BRO.

  • @alexmwalim9714
    @alexmwalim9714 3 года назад

    Ukitaka kujua simba hajazengua angalia gari LA CRC matairi yalivyokua upara

  • @johnmtemi4925
    @johnmtemi4925 3 года назад

    mi nimeona simba kavaa Rozali

  • @Bilioneabichwa331
    @Bilioneabichwa331 2 месяца назад

    Mbona gari la kAwaida tu, kila kitu kina original na fake yake

  • @manuelconstantinoconstanti3790
    @manuelconstantinoconstanti3790 2 года назад

    Kwani imekua tatizo

  • @KheriSalum-x5q
    @KheriSalum-x5q 4 месяца назад

    8

  • @fathiafathia8701
    @fathiafathia8701 3 года назад

    Niskie mtu anasema mbona tairi zimeisha na bado mpya..simba big up

  • @fababindawood8363
    @fababindawood8363 3 года назад

    Wew gari ya bei ghali ni R.R anayomiliki Jay z kaitafute

  • @danieljeremia8629
    @danieljeremia8629 3 года назад

    Ametishaaa

  • @suleimankahindi2531
    @suleimankahindi2531 3 года назад +1

    YA RONALDO NI ROLLS ROYCE PHAHTOM 2021 NA YA DIAMOND NI ROLLS ROYCE CULLILAN YA 2016 ACHA KUDAGANYA WATU FANYA UPELELEZI KWANZA ACHA LUGHA

  • @nomadictraveller336
    @nomadictraveller336 3 года назад

    Watanzania muna ujinga kweli hii rolls mzee ya ronaldo do ya 2021 yaone mataa difference,,,

    • @augustuss4503
      @augustuss4503 3 года назад

      Stop hating on someone else success. Wivu na roho mbaya haitakufikisha popote

  • @janiaoma7093
    @janiaoma7093 3 года назад

    YIYI MNAMFANANISHA RONADO NA DAIMODI YIYI WENDAWAZIMU SASA KAMA ANA JEURI AKANUNUWE BUGATI YA MILIONI 6 $ DOLA

  • @yusufkamonde9191
    @yusufkamonde9191 3 года назад +2

    hard work pays diamond made it

  • @sleyman573shabani7
    @sleyman573shabani7 3 года назад

    Waandish wa habar mushaanz kutukan ten , habr inasemaj ,roll roys km ya ronaldo hya nd tushifngua habr yen ,wachen kutufany wajing sw

  • @anjelinakasembe845
    @anjelinakasembe845 3 года назад

    Muone Sadala kachanganyikiwa hapo da anasahau yote ya dunia ahaahaa

  • @scholarlunar1818
    @scholarlunar1818 3 года назад

    That brooh has a Bugatti Divo one of one na unaongeaa🤣🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️

    • @scholarlunar1818
      @scholarlunar1818 3 года назад

      Yaani anapendwa na Bugatti hivyo hadi anajengewa garii..na umeskia Diamond amejengewa gari yoyote🤣🤣🤣🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️

  • @erickzephania1030
    @erickzephania1030 3 года назад

    Tuzo ya bet vp!!? Tukiachana na huo usimamizi wa mali za vigogo

  • @sureitnassoro3572
    @sureitnassoro3572 3 года назад

    kwa speed ipo bugati

  • @esauedison8136
    @esauedison8136 3 года назад

    Uongo huo wa bei

  • @infinitygamerxhd6257
    @infinitygamerxhd6257 3 года назад

    weee,, ucfananish nding y Ronald na vitu vy kijing

  • @kingrasdee445
    @kingrasdee445 3 года назад

    Wanaosem n fake kutok dubai mna maan gan asa. Nyie Nnua orginal bs.

  • @arroyyo9597
    @arroyyo9597 3 года назад

    Una chongo originally cr7

  • @athumanmarekano2454
    @athumanmarekano2454 3 года назад

    Ha ha ha Sara ile bugatti ya cr7 kiasi gani mpaka avimbe weweeee usimfananishe cr7 na dai

  • @bobsalim4285
    @bobsalim4285 3 года назад

    Wacha bangi

  • @ibrahemhames1937
    @ibrahemhames1937 3 года назад

    Bugat

  • @ibrahemhames1937
    @ibrahemhames1937 3 года назад

    Bugat ndy hatarr

  • @shebbyabisai2901
    @shebbyabisai2901 3 года назад

    Unatombwa we mtangazaj