Nakuuliza wewe,ulipo kuwa hapo awali ulikuwa unasema kuwa Mungu alikwambia unafaa kubatizwa na mtume mali ya Bwana ,akaja akakubatiza kisha baaye tena umebatizwa ,kidogo sikuelewi abu nieleweshe .Huyo Roho Mbona anabadilika.mara ya kwanza hukukuwa unamsikiza,nani alinena na wewe huo wakati na sai ,nmechenganyikiwa
Kuna mambo Mungu huwa anaruhusu ili kjweka wazi mambo fulani....kabla ya mkutano nilipewa maono ambayo sio mazuri na niliwashirikisha baadhi ya watu ..pia kuna watu waliniambia wameonyeshwa hivyo hivyo ..lakini kwaajili ya huduma niliyopewa nilitakiwa niwe miongoni wa washuhudiaji ili nijifunze mambo fulani na vilevile nilipata neema ya kushuhudia kwa macho..maana hata mimi nisingekubali kama ningeambiwa hivihivi.....sasa kama hajabatizwa na tunatakiwa tutimize haki yote,hapo kuna shida ...maana anayekubatiza anatakiwa na Yeye awe amebatizwa......AMEN!
@@mjakazieunicelucasaaaah, kwani hiyo wakati Mungu hakuwa amekujalisha kuwa hajabatizwa na kanisa lote takatifu ndio kupata ufahamu ama vipi hapo sasa ,
@faithwangara1642kuna maono nilielezeaga kuwa nilipokuwa nasikiliza mafundisho ya Mtume nilijiona ulimwengu wa Roho tupo na baadhi ya watumishi na mwanangu wa mwisho wa kiume na mtume akiwa anafundisha vilevile....hayo ni maono ya nyuma sana kama mwaka au miaka miwili hivi ila nimekumbushwa mazingira tuliyokuwapo baada ya kuanza kutafakari maono ya nyuma niliyopata kuhusu huduma hiyo,sasa nikakumbuka tulikuwa katika chumba ila ni chumba cha zile nyumbaya kurasini ya zamani nilipokuwa naishi yaani nyumba ya miungu..ambapo ilimaanisha nilikuwa mimi na hao wote ni watumishi wa Mungu na neno ni la kweli ila bado kuna madhabau hazijavunjwa na tupo ndani yake...sasa kama madhabau haijqvunjwa unaweza siku ukatumiwa na roho chafu ukihisi ni Mungu kumbe sio Bwana Yesu Kristo....Sasa nilifahamisha kwastahili hiyo ila sikuelewa ...
Yani mimi baada ya ubatizo ilikuwa ni mashambulizi hata niombe vipi ,mpaka nikawa mkavu kunavitu niluachaga kula kama maandazi, nk nikajikuta nmeanza kula tena bila shida yani Mungu atusaidie jaman
We dada nakupenda jamani yani nikikusikiliza kuna namna najengwa kuna namna natiwa nguvu ya kusonga mbele kuna namna nafeel uwepo wa roho mtakatifu YESU akutunze kwa ajili ya utukufu wake
Hili ni gombo kweli Mungu anisaidie
Amen kweli kabisa
Amen
Amen dada kwa kweli tuombe roho mtakatifu atuongoze tuombee pia dada Veronica yaani ni hatari sana
Roho Mtakatifu atusaidie sana kutupa nguvu tuitii sauti yake
Amen nami namuomba Mungu pale ninapoenda kinyume na anavyotaka anionye, ubarikiwe dada
Amen..Bwana Yesu Kristo akupe roho ya utii katika maagizo yote
Amena, HalleluYAH, Bwana Yesu Asifiwe, ni kwel kabisa Roho wa Mungu Atuongoze
Amen mwana wa Mungu
Ameni nimekuelewa sana mtumishi wa MUNGU aliye hai
Sifa na utukufu ni kwa Bwana wetu Yesu Kristo
Ubarikiwe Sana Mtumishi wa YESU KRISTO
Amen..Mungu atusaidie sana
Amen Dada mimi nakuelewa barikiwe
Tubarikiwe sote. Amen
MUNGU akubariki
Amen. Tubarikiwe sote
shalom mjakazi naitwa mwasiti nahitaji maombi yakufunguliwa
Karibu whatsapp .Amen
Sasa da vero nisaidie shuleni watoto wanatakiwa kuvaa shungi nalo sio sahihi wavaaje shuleni
Kama wewe unavyojitanda
Nakuuliza wewe,ulipo kuwa hapo awali ulikuwa unasema kuwa Mungu alikwambia unafaa kubatizwa na mtume mali ya Bwana ,akaja akakubatiza kisha baaye tena umebatizwa ,kidogo sikuelewi abu nieleweshe .Huyo Roho Mbona anabadilika.mara ya kwanza hukukuwa unamsikiza,nani alinena na wewe huo wakati na sai ,nmechenganyikiwa
Mungu huwa anaruhu tupitie vitu fulani ili tujifunze mana bila kupitia unaweza usielewe kitu au vitu
Kuna mambo Mungu huwa anaruhusu ili kjweka wazi mambo fulani....kabla ya mkutano nilipewa maono ambayo sio mazuri na niliwashirikisha baadhi ya watu ..pia kuna watu waliniambia wameonyeshwa hivyo hivyo ..lakini kwaajili ya huduma niliyopewa nilitakiwa niwe miongoni wa washuhudiaji ili nijifunze mambo fulani na vilevile nilipata neema ya kushuhudia kwa macho..maana hata mimi nisingekubali kama ningeambiwa hivihivi.....sasa kama hajabatizwa na tunatakiwa tutimize haki yote,hapo kuna shida ...maana anayekubatiza anatakiwa na Yeye awe amebatizwa......AMEN!
@@mjakazieunicelucasaaaah, kwani hiyo wakati Mungu hakuwa amekujalisha kuwa hajabatizwa na kanisa lote takatifu ndio kupata ufahamu ama vipi hapo sasa ,
@faithwangara1642kuna maono nilielezeaga kuwa nilipokuwa nasikiliza mafundisho ya Mtume nilijiona ulimwengu wa Roho tupo na baadhi ya watumishi na mwanangu wa mwisho wa kiume na mtume akiwa anafundisha vilevile....hayo ni maono ya nyuma sana kama mwaka au miaka miwili hivi ila nimekumbushwa mazingira tuliyokuwapo baada ya kuanza kutafakari maono ya nyuma niliyopata kuhusu huduma hiyo,sasa nikakumbuka tulikuwa katika chumba ila ni chumba cha zile nyumbaya kurasini ya zamani nilipokuwa naishi yaani nyumba ya miungu..ambapo ilimaanisha nilikuwa mimi na hao wote ni watumishi wa Mungu na neno ni la kweli ila bado kuna madhabau hazijavunjwa na tupo ndani yake...sasa kama madhabau haijqvunjwa unaweza siku ukatumiwa na roho chafu ukihisi ni Mungu kumbe sio Bwana Yesu Kristo....Sasa nilifahamisha kwastahili hiyo ila sikuelewa ...
Hata mimi bado ninamaswali mengi mno najiuliza namuomba ROHO MTAKATIFU ANIFUNULIE MAJIBU YA maswali haya
Amen..Roho Mtakatifu akujibu sawasawa na mahitaji yako
hata mimi huwa najiuliza hivyohivyo,kwanini mimi tu,mbona wengine hawakatazwi mapambo??, mbona Mungu anawatumia?, dada,hata mi namshangaa Mungu sana
Shika sana ulichonacho na matendo yako yatakushuhudia
Yani mimi baada ya ubatizo ilikuwa ni mashambulizi hata niombe vipi ,mpaka nikawa mkavu kunavitu niluachaga kula kama maandazi, nk nikajikuta nmeanza kula tena bila shida yani Mungu atusaidie jaman
Yaani Mungu mwenyewe atusaidie
Roho Mtakatifu ni mwaminifu
We dada nakupenda jamani yani nikikusikiliza kuna namna najengwa kuna namna natiwa nguvu ya kusonga mbele kuna namna nafeel uwepo wa roho mtakatifu YESU akutunze kwa ajili ya utukufu wake
Sufa na utukufu zimrudilie Bwana Yesu Kristo. AMEN