Hello family if you have a word to GRACE WACHERA or any kind of support please reach her on 0746741548, more also if you would like to share your story with us call or WhatsApp on 0700484190
Pole sana . just forgive your husband that you may move on. you have suffered a lot my dear, don't be in a prison of uni forgiveness . May God give you another chance
Waah Nimepitia hao kwa waiguru kurudi 254 hakuna kitu watoto wamaechiliwa ilinibindi ni rudi hadi wa leo niko huku kaa kemboi thanking GOD ameniwezesha kufulfil mydreams
Gulf is a no go zone..I have been there na life ni ngumu uko I never thought nitarudi home nikiwa Hai...I will share my story Niki heal 😢...pole Sana grace we thank God for the gift of life
Hugs hugs gal it will be well , your singing is on another level I pray that God make a way you record them . Salute to you gal , you are a strong woman , you are blessed...💪🙏
These are the questions that should stop in Kenya. Whats your name? Grace.✔️ Where do you come from? NAKURU✔️ . Where were you born?❌ Thats shouldnt be asked. Now thats Tribalism. They want to know what tribe you are!! It should STOP so that we eliminate this steretype of what tribe we are??? Lets ALL embrace our diversity as KENYANS🇰🇪
Being asked place of birth does not mean you are being asked about your tribe. You could be Luo or Kikuyu born in Mombasa for example, or Kamba born in Western Kenya. People think and see tribalism, that is the problem.
touched by your story girl,God has your life in his palm, wait this will always be a testimony you going far and very far,God love you girl don't lose hope It is now dawning on you .keep on the faith
God can do the worst to do the best! Grace take heart, forgive even your hubby and everyone else, forget everything and start your life and God is going to life you up mpaka kila adui ashangae! Mungu akuonekanie na Mungu akubariki!
Huku gulf ukiamua kukuja ni either ukuwe gaidi ama uuwawe😢warabu sio wote wabaya huku maombi ndio hutusaidia na wakianza makelele unanyamaza tu kuavoid dramas zao.
Yani nikidhani nimeyapitia na kuyaona mengi kumbe kyna wengine kabla hawajajieleza hutajua.may GOD be always with us saana single ladiesvwenye tulisukumwa gulf by fos juu ya situations tofauti.unarudi unapata doh ulikua unatumia your patner ameoa bibi ingine.sorry.that wasnt your rib.yours will stay.girl you really have a nys voice.alafu gulf ni kama tu kwingine ata kenya.coz kuna wapoa pia.kama mimi napenda wangu kabisa.kenya ata kulikua na mwingine alikua ananinyonganga.na food hasikii poa ukikula.ni vile saudi ni islam na wengi ni heartless.but thank GOD ulirudi salama.
Rudi gulf because of your kids uachie your sister ama mother watoto wako, sio waarabu wote wambaya, mimi pia first contarct nilipatana na wambaya kabisa hadi kuna time tulifight waiguru akachukua kisu na anikate mkono dio niachilie simu na ananiambia ataniua na anitupe desert hakuna mtu atajua nikitoka huko after kumaliza contact niliwaambia sitawai rudi Saudia but kufika home after 2yrs nilijirudisha mwenyewe coz of my kids and where am i now i thank God miaka kadhaa kama kemboi sijasuffer and still pushing on Saudia nitatoka Mungu akipenda.
@@derrickngaywa3197 and did I force her to go back? Also even first time no one forced her to go there she decided it herself i said according to my own experience before and now get my point sir.
Kamamii uko strong mm niko na nogwe nilikaa nayo miaka 9 but nikatoka nilimwasha nakila kitu nikatoka niko huku gulf miezi mbili haikuisha aliuza adi nyumba sai ananitafuka mungu awasamehe
We never learn lessons especially ss tuko gulf,sio wote bt some of us bado tuna tumia bf /hubby pesa ati wa save,utalia the last min na hakuna kitu utapata,kazi yao ni kukula na mahoe zao,watu wakome,tumia watu wenyu pesa period
@makkawi4294 kwni unadhania na comment nikiwa heaven? Am commenting nikiwa gulf naniko na evidence of what am saying,juzi niliona dem amekuwa akitumia bwana the same way, so hakuna kitu unaniambia plz
mbona huwa wanaskia vibaya mtu akimaliza contract?wengi wana roho ya unyama.they wanted her to extend wa renew ikhama by force asiende nyumba ingine...#teamstrong
I really few sorry for our kenya/African ladies who work so hard in Gulf that they can support their children and families but they get mistreated or killed by the employers. Why can the government do something about it?
Don't give up miii nilicam nyumba yenye nilikua aikuniendea poa na nilikua nasema siezi rudi saudi bt juu ya watoi wangu nilirudi niko na watu wako poa na niko karibu kumaliza contract aki
Nguvu ya kutumia mwanaume pesa ulitoa wapi na hauko na yy ,,huna dada Wala mamako? Coz heri mamako akule coz ata ukigonjeka au ukue kiwete hawezi kukutupa ,,kwaga hakiri kúu
Hawa watu ni kama wananenea pesa zako before wakupee,,pesa zinaisha without any progress the real thing they want is wanajua definitely kama Hauna pesa you will end up renewing the contract urudi tena you work for them,,,they want you ,you work for them moreso if you are friendly to them and their children ,,unashangaa Hauna pesa yet you are working kumbe imenenewa😅
Niko Saudi for three good yrs but it's not easy....kila mmoja na bahati yake, bosses hawako the same, wengine ni wazuri wengine si wazuri....hapo Kwa pesa lazima usave wewe mwenyewe don't trust even your shadow with your hard earned money.
Same story na yangu hata i think hiyo nyumba ulikuwa ndo mm nilikuwa,bt ww hukuamua kutoka because mm niliwaambia wanirudishe ofisi wakakataa alafu ofisi za kenya huwa hazina say ukifika saudi,i tried but nikajiamulia mm na Mungu wangu.nilitoka asubuhi after mama kunivuruga vilivyo nikaenda kwa msikitini that ilikuwa saa 12 saa ya kuomba nikapata good samaritan wakaniitia gari ya polisi within 10 seconds gari ikafika nikaenda police station hapo ndo life yangu ilibadilika i thank God nilimaliza 2yrs 6months tukiwa tumeheshimiana na mwarabu.this people hawafai uwaonyeshe ww ni mnyonge wala waone machozi yako utaumia bana.yes inafaa tuwaheshimu bt nao pia hawafai kuruka mpaka bt inakaa ww ulimuentertain sana na akajua weakness yako...mwarabu ukimwambia tu mara moja unataka urudi ofisi akatae next time hata usimwambie, pack manguo zako toka mbele kuzuri.
Kosa ni lakwako my dear , huwezi kuolewa halafu uondoke kufanya kazi miaka umeacha mumeo peke ake.....it's your fault my sister 😢...mara nyingi huwaambia watu kama umeolewa au umeoa kamwe usiwahi kukaa mbali na mmeo au mkeo maana tayari ni talaka inakuita, pole lakini
Eee kama mimi 2 months tu kutumia my hubby na akamess na akaoa.. that was the end of it..hadi anafungiwa nyumba mi nikama siskii..nilmblock kila mahali..wacha nilipe iishie kwa school fees at least na invest kwa watoto
Hi mwangi kumbuka here is Alter vs Alter...what's your Alter be4 you go meet other Alter.how much have you stood by your Alter to depend on it against odds...Arabs havev their Alter and they operate on them
Hello family if you have a word to GRACE WACHERA or any kind of support please reach her on 0746741548, more also if you would like to share your story with us call or WhatsApp on 0700484190
Uyo niwakwetu ushagoo
Pole sana . just forgive your husband that you may move on. you have suffered a lot my dear, don't be in a prison of uni forgiveness . May God give you another chance
Waah Nimepitia hao kwa waiguru kurudi 254 hakuna kitu watoto wamaechiliwa ilinibindi ni rudi hadi wa leo niko huku kaa kemboi thanking GOD ameniwezesha kufulfil mydreams
What did you feel
Gulf is a no go zone..I have been there na life ni ngumu uko I never thought nitarudi home nikiwa Hai...I will share my story Niki heal 😢...pole Sana grace we thank God for the gift of life
Her singing!!!!!!!!!!!!!!
Sister, you will RISE!!!!!!🫂🫂🫂🫂🫂
She is giving me Ruth Wamuyu, Joan Wairimu ❤❤❤
We listen but we don't judge.Team strong May God's favour be upon you all.
600 thousand 😢😢😢😢😢ntakukata makende walahi .so bad ...aneway hugs mum cha muhimu you are live team gulf lets pray for each other its not easy 😢😢
Aki 😢
Kidney nauza aki
Makendee ndio umekula pesa yawaa mildred
Who is watching this in 2025
🤔🤔🤔
😅
Jini wewe
Ushavuka 😅😅😅😅
😂😂😂😂
Hugs hugs gal it will be well , your singing is on another level I pray that God make a way you record them . Salute to you gal , you are a strong woman , you are blessed...💪🙏
this story has really touched me 😢my God see through my sister❤
You are a refined gold, through fire strong and shining ,angelic voice you're going far restoration is your portion in Jesus mighty name
Mungu akupe tuu nguvu...dear sister...Utasimama tena.
These are the questions that should stop in Kenya.
Whats your name? Grace.✔️ Where do you come from? NAKURU✔️ . Where were you born?❌ Thats shouldnt be asked. Now thats Tribalism. They want to know what tribe you are!! It should STOP so that we eliminate this steretype of what tribe we are??? Lets ALL embrace our diversity as KENYANS🇰🇪
I think names wont affect anything...the rest i agree with you
Even in the West these questions are asked. Place of birth. Tembea ujue mengi
Hu make sense
Even Jesus ' village city and country of birth is well known
Being asked place of birth does not mean you are being asked about your tribe. You could be Luo or Kikuyu born in Mombasa for example, or Kamba born in Western Kenya. People think and see tribalism, that is the problem.
touched by your story girl,God has your life in his palm, wait this will always be a testimony you going far and very far,God love you girl don't lose hope It is now dawning on you .keep on the faith
Am sorry Grace, i pray the Lord will open a great door for you and you you will be great in the land
My siz Grace God is faithful all the time am happy that you came home alive.
Sijawaijua kwanini watu wazuri hupatana na magaidi
Nakwambia na gaidi upatana na mtu mzuri
I can't understand, so huyu dem ni gaidi😂
Your voice is at notch wow.
Thahabhu nzuri hupitishwa kwa moto keep on moving girl
God can do the worst to do the best! Grace take heart, forgive even your hubby and everyone else, forget everything and start your life and God is going to life you up mpaka kila adui ashangae! Mungu akuonekanie na Mungu akubariki!
Huku gulf ukiamua kukuja ni either ukuwe gaidi ama uuwawe😢warabu sio wote wabaya huku maombi ndio hutusaidia na wakianza makelele unanyamaza tu kuavoid dramas zao.
aty kunyamaza No
Pole my dear it is well ... our God is able
Yani nikidhani nimeyapitia na kuyaona mengi kumbe kyna wengine kabla hawajajieleza hutajua.may GOD be always with us saana single ladiesvwenye tulisukumwa gulf by fos juu ya situations tofauti.unarudi unapata doh ulikua unatumia your patner ameoa bibi ingine.sorry.that wasnt your rib.yours will stay.girl you really have a nys voice.alafu gulf ni kama tu kwingine ata kenya.coz kuna wapoa pia.kama mimi napenda wangu kabisa.kenya ata kulikua na mwingine alikua ananinyonganga.na food hasikii poa ukikula.ni vile saudi ni islam na wengi ni heartless.but thank GOD ulirudi salama.
Thanks Mwangi🎉 Girl you will make it❤
Rudi gulf because of your kids uachie your sister ama mother watoto wako, sio waarabu wote wambaya, mimi pia first contarct nilipatana na wambaya kabisa hadi kuna time tulifight waiguru akachukua kisu na anikate mkono dio niachilie simu na ananiambia ataniua na anitupe desert hakuna mtu atajua nikitoka huko after kumaliza contact niliwaambia sitawai rudi Saudia but kufika home after 2yrs nilijirudisha mwenyewe coz of my kids and where am i now i thank God miaka kadhaa kama kemboi sijasuffer and still pushing on Saudia nitatoka Mungu akipenda.
God is good all the time
I thank Him you're now doing well.
@janemwangi6932 Amen dear, He is a faithful God.
Si lazima aende everyone has his or her own experience...let her try huku she can still make it
@@derrickngaywa3197 and did I force her to go back? Also even first time no one forced her to go there she decided it herself i said according to my own experience before and now get my point sir.
Siamini bwana ya mtu kaa anaweza mufanyia hipo ak pole dada mungu hupo usijari
Kamamii uko strong mm niko na nogwe nilikaa nayo miaka 9 but nikatoka nilimwasha nakila kitu nikatoka niko huku gulf miezi mbili haikuisha aliuza adi nyumba sai ananitafuka mungu awasamehe
Pia mimi nilirudi nikapata ako na bibi na wamezaa😂😂.
Uzuri sikuwa namtumia pesa na watoto wangu walikuwa kwetu.
Good 👍ulifanya vinzuri kukosa kumtumia pesa
Muambie aendele kuzaa kabisa bora. Uko na pesa zako😂😂😂
mwambie atafutie bibi yake na watoto asiwahi kuingilia na watoto wako
Good girl... don't give him your money.... wachana naye
Aki ladies ata kama unapenda mwanaume aje, usimpee pesa yote, ona sasa hukupea your sister ndio anakufaa. Pole sana I hope utainuka tena
God atakubless na akuinue to another level 🙏
We never learn lessons especially ss tuko gulf,sio wote bt some of us bado tuna tumia bf /hubby pesa ati wa save,utalia the last min na hakuna kitu utapata,kazi yao ni kukula na mahoe zao,watu wakome,tumia watu wenyu pesa period
@makkawi4294 kwni unadhania na comment nikiwa heaven? Am commenting nikiwa gulf naniko na evidence of what am saying,juzi niliona dem amekuwa akitumia bwana the same way, so hakuna kitu unaniambia plz
It's really sad!!@@SashaHussein-g1e
Good advice kriss to this men
Mwanamke unatoanga wapi nguvu ya kutumia mwanaume pesa yako yoooote
Shes even healthy me nlikuja jan this year kunyimwa food kupigwa na stress saa hii nko na kilo less than 35
Pole utarudisha
mbona huwa wanaskia vibaya mtu akimaliza contract?wengi wana roho ya unyama.they wanted her to extend wa renew ikhama by force asiende nyumba ingine...#teamstrong
Nilifanyiwa ivo sijaheal😢
Kris peleka hio studio to be recorded... plus apate pesa na talent that is needed to be released...
I like the parting shot...kudos
Send hugs my dear 😢Cha mahana ni ulirudi home ukiwa mzima Wacha mungu azidi kukutia nguvu you will never safer again 😭😭😭😭😭😭😭
Story xingine zina confused mtu how comes ulikua unanjibaiya sabuni and all those umesema na hungeweza ata kununu mikate uweke kwa room yako.
Si ni kukatwa Saraly wanakununulia
Pole gal..may God grant you a 2nd chance
AK mtu akiolewa na mwanaume mjiga kama huyu anakuanga na wakati mungumu sana
Is the fridge locked or what??hizo chakula si azikule kwa fridge kabla zi go bad?kesi baadae,uchapwe kama umeshiba...sorry for what you went through!
Kushindwa shule, kupotea home,issues na job kawangware…… it’s okay but ukishindwa maisha gulf tunalaumu waarabu. Shida zetu huanza from home.
You pple u have to compile a list of all the Arabs who have frustrated househelp n be blacklisted
Just talk like you know your future people go through things to make them strong and face life of blessings
Blood covenants are dangerous. They remain active forever, those involved never settle in other relationships.
Grace pole sana
go to the bank upate statement of how your money was spent,
may God heal you
Woiye pole dear kwa kupitia mangumu huku ni Mungu anatulida si kurahisi
I really few sorry for our kenya/African ladies who work so hard in Gulf that they can support their children and families but they get mistreated or killed by the employers. Why can the government do something about it?
Pole Soni kwa Yale umepitia. Mungu akukumbuke aky...not all madams are bad but ni neema ya God tu.
Hizi nyumba za bosses wakenya zina mambo,before they point at Saudi,they should start with kenya😢
Dawa ya waiguru usimuogope
Very very true
Mimi nilikuanga muoga..lakini siku moja nikamwaamulia..tunaheshimiana...
@@lynnfleity3903 pia mimi alikuwa ananifanyia mchezo Sana siku hizi ako mpole
Huku inatakanga kichwa ngumu,na alot of prayers,sikurahisi 3yrs in saudi, Mungu atulinde,
Niko huku Lebanon nakapitia alafu nirudi nipate pesa yangu amna nitakufa aky pole grace wacha tu mungu atuonekanie sisi wamama
Pole sana God will open the door for you
pole grace,,enyewe umepitia mengi
Don't worry grace God has a better plan for you🙏
U are such a strong girl
Pole madam Mungu atakuvungulia njia
Pole saana kwa uliyopitia ni God atakusaindia tew saana yawa...
Aki grace l remember you we came in at the same time may God give you peace ❤
Most of us we have stories to narrate . but God above all.lakini pesa wallai I can mutisha
Don't give up miii nilicam nyumba yenye nilikua aikuniendea poa na nilikua nasema siezi rudi saudi bt juu ya watoi wangu nilirudi niko na watu wako poa na niko karibu kumaliza contract aki
Wah!saudia needs a stubborn and talkative person bure mtu anaweza kufa
Awachie watoi Siz yake aende atakama ni dubs ama Qatar,never gv up try another chance you never know
How is Qatar,wanataka ex Saudi,how much is the salary in kenya ksh,alafu lazima commission, kindly answer ndio nijipange almost finishing my contract
@annestaciahwangui eee commission lazima bt salary iko juu na kiasi depending na boss wako
Sijui bona nataka kuimba "kasongo yeeyee🎤🎤
Imba tu kenya tuko free😊😊😊
imba hio kitu ikutoke😂😂😂
mapenzi hufanya mtu asikie vile pesa za watu hukulwa kama ni story za jaba
Nguvu ya kutumia mwanaume pesa ulitoa wapi na hauko na yy ,,huna dada Wala mamako? Coz heri mamako akule coz ata ukigonjeka au ukue kiwete hawezi kukutupa ,,kwaga hakiri kúu
Kwani ixi pesa za gulf husumbua madem kwani huwezi jiwekea mpaka uje Kenya
Huyo mama apana alikua na zake wueh ata yenye mi nilipitia ni afadhali 😢
Sijui mbona i feel like crying 😭😭
I feel like screaming
Please gracie endanga kwa saloon uanzie kufanya kazi kwa saloon..
Hapo kwa 600 nimekataa ukiwa gulf for 2 yrs juu watoto wanasoma .... Grace God will open door for you
Pole sana Muso.
❤her voice . hoping all goes well dear
na Bado watu hawasikii na wanaona wenzao vile wanateseka,na wanataka kwenda huko tu
Hawa watu ni kama wananenea pesa zako before wakupee,,pesa zinaisha without any progress the real thing they want is wanajua definitely kama Hauna pesa you will end up renewing the contract urudi tena you work for them,,,they want you ,you work for them moreso if you are friendly to them and their children ,,unashangaa Hauna pesa yet you are working kumbe imenenewa😅
Hubby wako mpeleke polisi then watoto Wako angalau wasome.. + wakule..
Mmmh! Waarabu wanaabudu mungu gani😢
Grace, God will restore you... Wait upon him, his time (God) is the right time
Kwani waume zao ni mabwege, mabibi wanafanya vituko kama hizo nahawaongei
Niko Saudi for three good yrs but it's not easy....kila mmoja na bahati yake, bosses hawako the same, wengine ni wazuri wengine si wazuri....hapo Kwa pesa lazima usave wewe mwenyewe don't trust even your shadow with your hard earned money.
Same story na yangu hata i think hiyo nyumba ulikuwa ndo mm nilikuwa,bt ww hukuamua kutoka because mm niliwaambia wanirudishe ofisi wakakataa alafu ofisi za kenya huwa hazina say ukifika saudi,i tried but nikajiamulia mm na Mungu wangu.nilitoka asubuhi after mama kunivuruga vilivyo nikaenda kwa msikitini that ilikuwa saa 12 saa ya kuomba nikapata good samaritan wakaniitia gari ya polisi within 10 seconds gari ikafika nikaenda police station hapo ndo life yangu ilibadilika i thank God nilimaliza 2yrs 6months tukiwa tumeheshimiana na mwarabu.this people hawafai uwaonyeshe ww ni mnyonge wala waone machozi yako utaumia bana.yes inafaa tuwaheshimu bt nao pia hawafai kuruka mpaka bt inakaa ww ulimuentertain sana na akajua weakness yako...mwarabu ukimwambia tu mara moja unataka urudi ofisi akatae next time hata usimwambie, pack manguo zako toka mbele kuzuri.
Hi Mwangi Kriss I had missed you.
Kosa ni lakwako my dear , huwezi kuolewa halafu uondoke kufanya kazi miaka umeacha mumeo peke ake.....it's your fault my sister 😢...mara nyingi huwaambia watu kama umeolewa au umeoa kamwe usiwahi kukaa mbali na mmeo au mkeo maana tayari ni talaka inakuita, pole lakini
@@Mumslihang_Swahili_foodI agree with you, si uliskia ata bwana alikua amekataa aende but akatumia kifua kuondoka
Ungeeda embassy
Bwana hua anaenda kazi.mbona bibi hungoja hadi narudi?
May God comfort her very sad
Hawa agents kwani hua vipi? Hawasaidii wateja wao
Maji ya tap ya gulf hiwezi kukuchoma utoe ngozi haraka...ni moto but sio hivo huyu dem anasema....not unless niko gulf tofauti
Wacha zako.... nyumba yako sio yake.... learn to listen and learn something 😮
Anaweza kunywa kama chai
Ngai usiseme ivo Mimi pia nimewai jichoma ivo 😢😢😢
Kuna place ya ku regulate hot water so depends with the setting. Ni mtu hupima how hot itakua inatoka..siko uko but kila mtu hu set yake.
Usiseme sio Moto na waiguru alichomeka vimbaya mikono
Am sorry bt haungeruka gate surely
+ usikae tena na sister yako kwa sababu Kuna shida Kenya hii...
I have the most wonderful bosses i can say,i thank God for them
May God be with you this coming year 2092
Pole dadaangu mm naye siamini mtu na pesa yangu wacha iishe na school fees 🥺🥺🥺🥺
Eee kama mimi 2 months tu kutumia my hubby na akamess na akaoa.. that was the end of it..hadi anafungiwa nyumba mi nikama siskii..nilmblock kila mahali..wacha nilipe iishie kwa school fees at least na invest kwa watoto
kurudi kwa nyumba ilikua ni ujinga ulifanya
😢God forbid me cz my anger with someone playing with my emotions en my sweat i swear i will do something that i won't regret in my life
Wao❤❤❤❤❤❤❤
Sasa hii mambo ya kwitwa bibi yamtu hutoka wapi
ukienda pole pole kwa familia za egency,utapa wako na mangonjwa isiyo jitibu,laana tu ndio siko kwa familia.zao
Huku ni neema ya Mungu imetubeba si warabu wote wabaya but Kuna shetani hata Hao ma waititu
wanaogopa kifo kama kitu ingine 😀😀😁
😂😂😂
Hi mwangi kumbuka here is Alter vs Alter...what's your Alter be4 you go meet other Alter.how much have you stood by your Alter to depend on it against odds...Arabs havev their Alter and they operate on them
True
Na bado tuko huku ni Ngai ario gitiini maisha ya gulf ni kurisk kufa kupona
😢😢😢oops!!! Girls!!! Keep your cash for your own peace
She's so sweet girl
I know,yes
my sis nakupenda
May God continue blessing you, and may his favour never cease in your life
Mzoee kusave vitu Google
Why? Why kuzaa watoto hovyio. Hovyio. Kama mbuzi