karibu ubarikiwe na wimbo mpya wa ITAZAME- BY GITI SDA CHOIR.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 янв 2025

Комментарии • 19

  • @RebecaMgonja
    @RebecaMgonja 6 месяцев назад

    Jamani!!! Hakika MUNGU ni mwema mnazidi kubariki watu kupitia uimbaji MUNGU na azidi kuwabariki Sanaaaaaaa ❤❤❤

  • @lovenesschuma7349
    @lovenesschuma7349 6 месяцев назад

    Mungu awabariki Kwa ujumbe mzuri Ni kweli unabii unatimia, Mungu awapatie mafunuo zaidi mzidi kumtimikia

  • @rosemtey8562
    @rosemtey8562 5 месяцев назад

    Barikiweni Giti Vhoir...Songeni mbele na Bwana.

  • @hazinamjema5259
    @hazinamjema5259 5 месяцев назад

    Amina mungu awabariki mzidi kusonga mbele

  • @marthapaul1722
    @marthapaul1722 5 месяцев назад

    Amen mungu wabariki kwa wimbo mzuri

  • @KimilaSayi
    @KimilaSayi 5 месяцев назад

    Mungu awabariki sana watumishi wa Mungu

  • @NeemaShababi-nu8dr
    @NeemaShababi-nu8dr 4 месяца назад

    Jamani hongeni ndugu zangu wimbo mzuri

  • @RoseMrindoko-m8e
    @RoseMrindoko-m8e 6 месяцев назад

    Mbarikiwe sanaa❤

  • @NathPaulo
    @NathPaulo 3 месяца назад

    Barikiweni sana

  • @NeemaElikunda
    @NeemaElikunda 5 месяцев назад

    Barikiwen sana kanisa langu jaman

  • @Vin_silver
    @Vin_silver 5 месяцев назад

    Amazing sana

  • @blackboys6854
    @blackboys6854 6 месяцев назад

    ❤❤❤Amina sana wapendwa mbarikiwe

  • @NathPaulo
    @NathPaulo 3 месяца назад

    🎉🎉🎉🎉

  • @meshackmgonja9616
    @meshackmgonja9616 5 месяцев назад +2

    HIVI SIKU HIZI GITI HAITUMII GITAA YENYEWE, MAANA NASIKIA MLIO WA KINANDA PIA. TURUDINI KWENYE MAPITO YA ZAMANI. TUNATAKA GITAA YENYEWE

  • @zainabuchaligha3225
    @zainabuchaligha3225 6 месяцев назад

    Amina Giti mmenibariki vyema

    • @SuzanMjema
      @SuzanMjema 6 месяцев назад

      Asante pamoja

    • @SuzanMjema
      @SuzanMjema 6 месяцев назад

      Asanten wote mnazid kutufuatilia hakika tunabarikiwa sote

  • @SamweliNkondo
    @SamweliNkondo 5 месяцев назад

    Peace Africa