SH.MZIWANDA"- KAMA HUNA AKILI TIMAMU USITANGAZE DINI | ELIMU GANI INAYOKUFANYA UWATUKANE WANAWAZUONI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 ноя 2024

Комментарии • 92

  • @sikandarsuleimanTV
    @sikandarsuleimanTV 6 часов назад

    Waalaykum asalaam warahmatullahi taala wabarakatuhu

  • @omanoman-ir1ez
    @omanoman-ir1ez 6 дней назад +4

    shekh mziwanda umenena kweli tupu mungu akuhifadhi hata mimi madufu ya sasa siyapendi kabisa yanautukana uislam kwa ujumla

  • @Golden54shine
    @Golden54shine 4 дня назад +1

    Hii kichwa kinatoaga madini kuliko hata dhahabu. Allah akuhifadhi Manshaallah

  • @rushu1232
    @rushu1232 7 дней назад +1

    Mashaallah Tabaraka sheikh hayo ni maneno ya dhahabu lakini yako wapi masikio yakuelewa maneno mazuri kama hayo.

  • @salmaanfaqiih
    @salmaanfaqiih 6 дней назад +5

    Basi utakuta mtu anatukana watu wa taswawwuf na anawaita watu wahuni Swuufiy ilhali hata definition ya taswawwuf hajui

  • @karimniyo1909
    @karimniyo1909 5 дней назад +1

    Sh. Mziwanda Allah akuhifadh kbsa

  • @TwahayusufuMaziku
    @TwahayusufuMaziku 7 дней назад +1

    Shekh Muharramu mziwanda nakuelewa sanaaa

  • @YusufuMustafa-c5m
    @YusufuMustafa-c5m 7 дней назад +3

    Nyie mashekhe wapenda dunia namuomba Allah awadhalilishe

    • @hassanmambomambo8442
      @hassanmambomambo8442 6 дней назад +1

      Allah aanze na wewe kwanza

    • @mussaissa6796
      @mussaissa6796 6 дней назад +1

      NA WEWE MUNGU AKUULIE MBALI, MALUUNI MKUBWA WEWE.

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 6 дней назад +2

      Amiin

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 6 дней назад +1

      ​@@mussaissa6796wewe ulitakiwa useme amini au na wewe ni katika wapenda dunia

    • @darajanida
      @darajanida 6 дней назад +1

      mungu atakuangamiza wewe kwanza

  • @jaguarman8393
    @jaguarman8393 7 дней назад

    Mashaa Allah maneno mazito Kwa mwenye kuzingatia

  • @TwahayusufuMaziku
    @TwahayusufuMaziku 7 дней назад

    Shekh Allah akuhifqdhi

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv 5 дней назад

    MASHA ALLAH 💚

  • @kijitamfyomi5598
    @kijitamfyomi5598 2 дня назад

    Wameshaanza kusigana masufi wenyewe kwa wenyewe mtafika hata maulidi na khitma kua ni bidaa

  • @zakariam199
    @zakariam199 6 дней назад

    Allah peke yake ndiey mkamilifu , hakuna mkamilifu chini ya juwa ,acheni kutukana mashekh,
    Sikilza kitu anacho ongea

  • @funnysmile8666
    @funnysmile8666 6 дней назад +1

    kwaiyo mukiambiwa ukwelii mumekosewaa acheni uzushii kama mtasumbuliwaa

  • @AliOmar-bx2oz
    @AliOmar-bx2oz 5 дней назад

    Wallahi hawa watu wangeondoka uislamu ungekuwa juu sana. wamengangania madaraka kwa nguvu

  • @mashakalonka7767
    @mashakalonka7767 6 дней назад +1

    Shaikh mziwanda,wewe ni Sheikh uliyejaaliwa ufasaha mkubwa sana ktk kufikisha na kufundisha!.

  • @yahfatmudswiddiq2271
    @yahfatmudswiddiq2271 3 дня назад

    شیخ کشک حفظه الله لیس منکم لا تجعل صورته فی علانتکم مره اخر

  • @MohamedSaidi-lj9ei
    @MohamedSaidi-lj9ei 2 дня назад

    Mnatumia nguvu kubwa sana kutetea ujinga ndio akili mnavyo itumia hivyo elim mnazo ila akili ni mmeipa nafasi kubwa mwisho mnatunga na kuzusha vicivyopo katika dini bali mnatumia akili angalia shekhe hayo maneno yatakugeukia mtu mwenye akili ni mtu anaefata mafundisho ya Allah na mtume Muhammad kwa usahihi hakuna zaidi ya hapo nyinyi mnaleta siasa mtawapoteza watu watu wataanza kutumia akili zao kwenye mambo ya dini

  • @alexmukama3801
    @alexmukama3801 4 дня назад

    Weslam wanakwaka na daganyana wenyewe kabisa uone uyo papa gizi akona daganyana watu

  • @allymtito8117
    @allymtito8117 6 дней назад

    Rudini katika haki acheni kupamba maneno muonekane nyinyi ndo watu wasawa

  • @abdulndali6141
    @abdulndali6141 День назад

    Mbona wasiokuwa na akili timamu wanafanya tiba yenye viashiria vya shiriki na kutamka kuwa kuroga ni Sunna na hamsemi/ hamkemei?

  • @saidmohamed6543
    @saidmohamed6543 3 дня назад

    Picha ya sheikh kishki na Sheikh Bachu imefikaje hapo acheni kupotosha watu na kuingiza fitna kwa watu na kupotosha watu

  • @MatelefoneMustafaMatelefone
    @MatelefoneMustafaMatelefone 3 дня назад

    Nyinyi ni walamba sukari

  • @RizikiMohammed7
    @RizikiMohammed7 7 дней назад

    shekhe polee njaa mbayaa

  • @AbuuSiiriin
    @AbuuSiiriin 6 дней назад

    Mziwanda kanyewa na kunguru

  • @FadhilaMwema
    @FadhilaMwema 4 дня назад

    Picha ya shekh kishiki imeingiaje apo

  • @KhamisLisakasa
    @KhamisLisakasa 6 дней назад

    Simuelewa anakusudia Nini?

  • @AboubakarRashid
    @AboubakarRashid 7 дней назад

    We sheikh vp jmn upo mbele ya mashenk wezako iksha waongea hvo

  • @BabySheni
    @BabySheni 7 дней назад

    Yaani hivi wazee wazamani walimwita sharifu Alie zaliwa ametahiriwa

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 2 дня назад

    Bachu anataka kurithi umaarufu wa baba yake!!!ila baba yake alikua mchamungu ila yeye sifa zinamsumbua

  • @BabySheni
    @BabySheni 7 дней назад

    Shekhe itajibu nafasi yako nafasi Iko wapi imejuficha kifuaniwallahi sikudangajnyi shekhe

  • @DaudFataki
    @DaudFataki 7 дней назад

    Sbekhe anataka kote dunian na akhera na kuwapamba waja wa allha ilakila moyo wakinafki alhah anaujua wapenda v8 hujui imetokawapi

  • @Al.habeebAl.habaaib
    @Al.habeebAl.habaaib 5 дней назад

    ACHENI KUTUMIA PICHA ZA SHEIKH KISHKI.

  • @dullahbatuf9223
    @dullahbatuf9223 6 дней назад

    Hii inakurudia na ww

  • @WazirBoy-fe5ew
    @WazirBoy-fe5ew 6 дней назад +2

    Katika mashekhe wabovu Tanzania huyu wa kwanza, mimi simsikilizagi hata dakika tano nabadirisha chanel

    • @mpogonm5203
      @mpogonm5203 6 дней назад

      Kaka hakili ya ina afyaa

    • @Fadhilahemedy
      @Fadhilahemedy 6 дней назад +1

      Ufahamuwako mdogo ujamuelewa

    • @allyhemed6380
      @allyhemed6380 6 дней назад

      Masaa2 zako ziweke wazielewe

    • @awadhifuraha7931
      @awadhifuraha7931 5 дней назад +2

      Kwanza yeye hayuko kwa ajiri yako tu, yuko kwa ajiri ya jamii, kwakua uwa unamsikiliza japo dakika moja au 2 maana yake unamfuatilia Ila unachokitarajia wewe sicho, hiyo shida yako,

    • @ramakizito4934
      @ramakizito4934 4 дня назад +1

      Kwanza jifunze kishwahili vizuri,ndio uweze kumrekebisha sheikh.

  • @omarathuman5813
    @omarathuman5813 7 дней назад +1

    MUNGU MKUBWA ANAJUA KINACHO ENDELEA KAMA KWEL huyu kijana Yuko sawa Allah ndiye anajua Ila Mimi binamfsi naona niuongo mtupu kwasababu Quran bado anajua kuisoma vizuri...
    IKO SIKU MUNGU ATAFECHUA UKWELI.
    KISHKI MUNGU ATAKUSAIDIA KAMA UKO MKWELI...

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 6 дней назад +1

    Wazee wa kubuluta makanzu chini😂😂

    • @darajanida
      @darajanida 6 дней назад

      nanyinyi wazee wakuvaa vichwiri punda wewe

    • @DjumaAsha
      @DjumaAsha 5 дней назад

      😂😂😂😂

    • @DjumaAsha
      @DjumaAsha 5 дней назад

      😂😂😂😂

    • @MohamedSaidi-lj9ei
      @MohamedSaidi-lj9ei 2 дня назад

      Masheikh hekima anayoitaka ni mtu akifanya uzushi apakwe mafuta na kumbembeleza mmemzid hekima mpaka mtume mtume alichukia bidaa mpaka akaiita upotevu na na ni motoni kila bidaa sasa hiyo akili itumike kusoma na kufanyia kazi kilichosomwa na sio kuzua kwa kisingizio cha hekima na masitumie akili kuwafunga watu midomo waacha kukemea Madudu kwa kuhofia wataambiwa hawana hekima twendeni sawa

    • @MohamedSaidi-lj9ei
      @MohamedSaidi-lj9ei 2 дня назад

      Halali ipo wazi na haram ipo wazi kati ya halali na haram kuna shubhaat huku haipo na huku haipo mtume asema atakaokaa kwenye shubhaat yupo kwenye haram na shubhaat ni kazi ya akili sio elim na shubhaat na bidaa ni pacha hivi kwaivyo tuwe makinisana waumini nyoyozetu zimeumbwa kupenda haqqi mambo ya kuvavagizana hatuwezi kuyachekea.

  • @hafidhnzota2142
    @hafidhnzota2142 6 дней назад

    HUYU chawa na DINI WAPI MNAFIKI wewe toka

  • @bimumaulid1171
    @bimumaulid1171 7 дней назад

    YAANI HUYU SHEIKH SIKU HIZ NI KUSUTA TUU 😳😳

  • @AliBakar-f5k
    @AliBakar-f5k 7 дней назад +4

    Matapeli wafuasi wa Sharif firdaus tayari tushawajua nyie Dini sio chaka LA kutaftia pesa

  • @JabirHaji-vj2nf
    @JabirHaji-vj2nf 7 дней назад

    Mziwanda tushakujua huna jipya ni mfuasi wa masufi huna Cha kutudanganya na wewe

  • @magrammagreens3873
    @magrammagreens3873 7 дней назад

    Mziwanda nilikuwa namkubali sana lakini Sasa Kawa anatafuta Maslahi tuu.
    Allah Akuongoze katik haki .
    Akili ni Quran na sunna tuu Mziwanda.

  • @StephenOmoit
    @StephenOmoit 6 дней назад

    Bachu aendelee kuwanyoosha nyinyi watu wa bidaa makhurafi na masufi.Hakuna unachokielewa mziwanda ni kufuata bidaa tu

  • @Athmandeo-kn7ri
    @Athmandeo-kn7ri 7 дней назад

    Wewe hiyo akili na hekma unayo masikini tunakuonea huruma baba muziwanda mumesaga saga dini na uzushi alafu unakuja kudanganya watu daganya hizo kondoo ziko hapo mbele yako sio sisi baba

  • @magrammagreens3873
    @magrammagreens3873 7 дней назад

    Hakuna wakati mgumu ni Quran na sunna tuuuuuu.
    Acheni kutisha watu .
    Vijana wanasoma dini sasa wanaelewa na wakielewa wacha waseme hakki usimtie mufti hapo ni hakki tuuu.
    DAH!!!! . UKWELI UNAUMA SANA. Anatoa jasho kwa kutetea bidaaa.
    Inna lillahi waina ilayhi rajiuun.
    Pesa mwanaharamu sana.
    Vijana tunasimama sasa mpaka kieleke. Hakki itasimama tu matapeli wajinyonge.

  • @ShabanijumaShebby
    @ShabanijumaShebby 7 дней назад +1

    Sheikh dini ni yakila mtu.Alafu watu wote wanapendwa na Allah.Kikubwa kuombeana dua na mwisho mwema .Dini siyo falsafa unazozileta Wewe.Kama unapinga maneno ya Allah wewe ni hatari.Kwa maana hiyo wewe utaki watu waseme (Qalallahu taala).Dini imekamilika msituyumbishe na viarabu vyenu.Zuieni ushirikina Mufti zuia shiriki wewe ndiyo mwenye Dhima.Juu ya waislamu wote nchi hii.Maamir watapelekwa kwa Allah wakiwa na minyororo shingoni mwao.Ndugu yenu ktk dini .Mazingira yasitubadilishe .Lakum dinu kum kumwalidini.Hawatokuwa radhi mbaka tufuate Milla zao.Tusisahau haya hizi kwa wakati wote tuwapo Dunia.

  • @mohdkhatib223
    @mohdkhatib223 6 дней назад

    Mziwanda ni mwehu na mpumbavu, usufi wenyewe ni upumbavu

    • @darajanida
      @darajanida 6 дней назад

      wewe jahil kwel hivi kuna wagonjwa kuliko mawahab duniya hii

    • @abuubakri2970
      @abuubakri2970 3 дня назад

      Acha upumbav ndugu soma kwanz nipo uwaite watu wapumbav

    • @darajanida
      @darajanida 3 дня назад

      @@mohdkhatib223 lete dalili inaosema usuf ni upumbavu kama huna wacha ujinga

    • @mohamedrashid7864
      @mohamedrashid7864 2 дня назад

      Acha kutoa lugha chafu

    • @abuubakri2970
      @abuubakri2970 2 дня назад

      @@mohdkhatib223 Subhanallah. Usufi ni upumbavu? Hivi unajuwa sufi wewe?. Nina was was umetok kwenye ukristo juz ndio umeingia ktk dini ya haki kwa maana hiyo Huna unacho kijuwa zaidi ya kuwatukana wanao juwa

  • @Hamis-ks1sy
    @Hamis-ks1sy 7 дней назад +6

    Kwahiyo kila sehemu lazima muweke picha ya huyo dogo?? Kweli huyo kijana kawashika pabaya masufi Wallah

    • @SalumSaid-w8i
      @SalumSaid-w8i 7 дней назад +2

      Hujielewi ndio mana

    • @Hamis-ks1sy
      @Hamis-ks1sy 7 дней назад +1

      @SalumSaid-w8i mtasema2 zaman mlikua mbatumia mda mwingi kusoma vitu vyenu saivi mda mwingi mnatumia kupiga kelele mawahabi mawahabi

    • @saidali9255
      @saidali9255 7 дней назад

      Tumuombee Allah Bachu aendelee na kutuelimisha dini ya Allah! UKWELI UNADHIHIRIKA POLE POLE! 2:56 😊

    • @Hamis-ks1sy
      @Hamis-ks1sy 7 дней назад

      @saidali9255 Masufi hawna jjipya saivi

    • @WazirBoy-fe5ew
      @WazirBoy-fe5ew 6 дней назад

      Money, money, money pesaaa

  • @BabySheni
    @BabySheni 7 дней назад

    😂😂😂😂

  • @HijaSaid-t6c
    @HijaSaid-t6c 7 дней назад

    Mtume asema , msilifuate jeneza lamtu wa bidaa, tumieni dalili, sio akili, tufuate akili ya nani

    • @RizikiMohammed7
      @RizikiMohammed7 7 дней назад

      muombe msamaha jalala wewe na yeye wote chungu kimoja

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 6 дней назад

    Kama ulivo wewe

  • @AthumaniBakari-o6r
    @AthumaniBakari-o6r 2 дня назад

    MOHAMMAD BACHU NISHEKH MWENYE ELMU TATIZO HAMTAKI KUKOSOLEWA MAULIDI BWANA MTUME HAKUYA SOMA VIPENZI VYAKE WAKINA SAYYIDINA ABUBAKARI UMMART OTHMANI WAO HAWA KUYAFUNDISHWA NJIE NIKINANANI MBONA MM SIJASOMA LAKINI NAELEWA HILO