A Day in My Life: Live Trading, Losses & How I Deal with Challenges

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 дек 2024

Комментарии • 70

  • @alakhy9448
    @alakhy9448 3 месяца назад +9

    Huyu jamaa anaielezea trading psychology katika namna ya kipekee saaana aisee.
    Hizo ni past trauma zinatutesa sana kwemye trading,inatakiwa tubadilishe life style nje ya trading na life style ambayo tutaichagua lazima itusaidie kwenye trading.
    Mfano mtu ambaye hana nidhani ya kusimamia alichojipangia katika maisha ya kawaida huyo hawezi kufanikiwa kwenye trading why ?
    Kwa sababu kweny trading pia jnahitajika nidhamu hiyo ya kusimamia na kufanya ulichopanga.
    Kama ulipanga utatake one trade kwa siku Hata kama iwe ni losing trade basi kama una nidhamu hautatrade tena kwa siku hiyoz,ila kama hauna nidhamu ha kusimamja ulichopanga utajikuta unavunja nidhamu hiyo na kutaka kurecover loss yako.
    So trading psychology is the key in trading carieer

    • @intelligencefx
      @intelligencefx  3 месяца назад +1

      Umeandika vizuri sana, that is very true,
      I appreciate 🤝🤝

  • @athumanyahya
    @athumanyahya 3 месяца назад +4

    Life style
    Discipline
    Learning more
    Help others
    Ur a kind of people that appreciate to know u

    • @intelligencefx
      @intelligencefx  3 месяца назад

      I appreciate for your feedback brother, thank you🙏🤝

  • @mathiasmsami-v6k
    @mathiasmsami-v6k 3 месяца назад

    Psychology in endless expression hii kitu ni balaa maamuzii yetu ni akili yetu Kuna matatizo unayaona makubwa sana kumbe ni changamoto ndogondogo not only in trading but generally in life 👍🔥🔥

  • @ronniedaniel3616
    @ronniedaniel3616 3 месяца назад +4

    Nice one Amrisaly more content like this ipo siku pia nitaja kufanikiwa kwa hii trading industry...Hoping to joing your community love from Nairobi👍

    • @intelligencefx
      @intelligencefx  3 месяца назад +1

      Thank you! All the best in your journey 👏

  • @japhetalphonce8286
    @japhetalphonce8286 3 месяца назад

    For sure, toka nimeanza kukufuatilia najifunza vitu vingi sana, the way upo calm, the way unarelate skills, psychology, social the way you talk ni ishara tosha uko so Smart I appreciate kuwepo wewe nalearn everything you post.

  • @obbys3269
    @obbys3269 3 месяца назад +4

    Njombe is listerning..........ifx millions impacted

    • @intelligencefx
      @intelligencefx  3 месяца назад

      Thank you for turning in, let’s impact millions🔥

  • @jeykhanbaddest06
    @jeykhanbaddest06 3 месяца назад +1

    Bro you changed lives of many

    • @intelligencefx
      @intelligencefx  3 месяца назад

      Sure brother, let’s keep going🔥🚀

  • @abdallahmgude5331
    @abdallahmgude5331 3 месяца назад +2

    Brother kweli nimeamin “Only another trader will understand your journey.” Umegusa tatzo la wengi wetu issue ya consistency. Tunaendelea kujifunza vingi sana kupitia hizi videos Be Blessed Brother

    • @intelligencefx
      @intelligencefx  3 месяца назад

      Thank you brother, more videos to come, stay blessed too🫡

  • @hancychriss721
    @hancychriss721 3 месяца назад

    6:00 First thing first ni kuifunza kujielewa kwanza wewe wenyewe especially jinsi ya ku deal na matatizo, coz the way una deal na mambo yako, routine, problem solving will determine and sometimes affect your trading character. so ni vzuri ku train yourself to be more focused in everything you do. key point is DISCIPLINE DISCIPLINE DISCIPLINE

  • @PeterNyika-sp3dx
    @PeterNyika-sp3dx 3 месяца назад

    Everything begins in our minds.....Sometimes we encounter small issues but we perceive them in a big picture or we create certainty within uncertainty. Strong mindset over everything is super important.
    Nice content brother Amrisaly ❤❤❤

  • @christalized
    @christalized 3 месяца назад

    My taken points
    1. Very true, Point of view is relevant to time inference to decisions we make in trading na hata maishani mwetu. Powerful point in psychology
    We need to settle before making decisions not triggered by proximal emotions.
    2. Treat trades as separate investments
    3. Our trading actions maybe a reflection of our lifestyles, so root problem kwenye trading sometimes inakuwa tu kwenye maisha yetu tu
    Top notch market analysis ✍️

  • @Busybrainfx
    @Busybrainfx 3 месяца назад

    i have learnt something new from this market analysis and the EURCAD trade explanation

  • @emma3860
    @emma3860 3 месяца назад +3

    Ni kweli mara nyingi miaka au miezi au hata siku zikipita baada ya tatizo kuisha huwa tunajiona wajinga kwa ku panick saaana maana tatizo kumbe lilikuwa dogo. Ila mimi kwenye maisha yangu kuna hayo mapigo matano nimepata, asee yashapita ila yalikuwa ni mabonge ya problems.

    • @intelligencefx
      @intelligencefx  3 месяца назад

      Kweli kabisa mkuu, let’s keep moving forward 🤝

  • @saibululazaro9189
    @saibululazaro9189 3 месяца назад +1

    Always on time here🔥

    • @intelligencefx
      @intelligencefx  3 месяца назад

      Thanks, i appreciate, more to come🔥

  • @edgarcharles2488
    @edgarcharles2488 3 месяца назад +1

    #Let's impact the millions

    • @intelligencefx
      @intelligencefx  3 месяца назад

      Let’s impact millions brother🔥🚀

  • @florakambo5748
    @florakambo5748 3 месяца назад

    Appreciation from dodoma🔥

  • @MussaSilla-v6w
    @MussaSilla-v6w 3 месяца назад

    You open my eyes bro! 🧨

  • @RayollaKenneth
    @RayollaKenneth 3 месяца назад +1

    Valuable information as always 🔥🔥

    • @intelligencefx
      @intelligencefx  3 месяца назад

      I appreciate that, more to come🚀🔥

  • @itszombietz
    @itszombietz 3 месяца назад +4

    A month to go brother! See you soon🩶🫡

  • @KelvinLaizer-lu8ws
    @KelvinLaizer-lu8ws 3 месяца назад +1

    👌👌👌❤❤❤ All Love from Arusha Brother 🙏🙏

  • @saibululazaro9189
    @saibululazaro9189 3 месяца назад

    Taking notes

  • @BlessedInnocent03
    @BlessedInnocent03 3 месяца назад

    Nmejifunza kuw reaction katika trading ndo kila kitu sio kitu kupata hasara but ni namna gani Nina amka tena kutoka kwenye challenge ambayo inanifanya nianguke kweny trading zangu I agree with you Broh.

  • @FadhiliGwaje
    @FadhiliGwaje 3 месяца назад

    Learning with you bro

  • @Kingclv1
    @Kingclv1 3 месяца назад

    I understand that their are alot of concepts in this video...but my take home is " the nature of trading is that the results are instant, in comparison to other business where you buy stocks of certain good and sell them in a period of time " a trader and a non trader both take #RISK but the time to which one gets answers is different....a trader gets instantly a nontrader not instantly ✊✊

  • @iddyzotz2898
    @iddyzotz2898 3 месяца назад +2

    Broo you inspire me a lot

    • @intelligencefx
      @intelligencefx  3 месяца назад

      I really appreciate, let’s keep going🫡

  • @mathiasmsami-v6k
    @mathiasmsami-v6k 3 месяца назад

    @intelligence fx ni platform nzurii ya financial education as well as life as whole perception and psychology is all about trading and life in general apa nmepata kitu kipya thinking in probabilities is key in trading

  • @Respecthumanworld
    @Respecthumanworld 3 месяца назад

    NIMEJIFUNZA MENGI KUPITIA TEAM HII , SMART MINDSETS , KUFANYA VITU KWA USAHIHI KATIKA TRADING NA HATA KWENYE MAISHA YA KAWAIDA ,iM❌POSIBLE✅ , EWE MWENYEZI MUNGU WEWE NDIE MPANGAJI WA YOTE KWETU SISI WAJA WAKO KAMA NI RIZKI YANGU BASI NITAKUA MMOJA WAPO NDANI YA TEAM HII INSHALLAH 🙏🏼🙏🏼

  • @radianceinc5298
    @radianceinc5298 3 месяца назад +1

    🔥🔥🔥

  • @AnastaziaSichinga
    @AnastaziaSichinga 3 месяца назад

    🎉🎉

  • @NICKSONNELSON-ij3qv
    @NICKSONNELSON-ij3qv 3 месяца назад +1

    Bro cku moja uje utupe video kuhusu sessions time , trading view setting and how to relate new York time with Tanzania time na u uhusiano na Trading view na time to trade

  • @_waijaha
    @_waijaha 3 месяца назад +1

    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @georgenkanawa7156
    @georgenkanawa7156 3 месяца назад +3

    IFX📊

  • @Skipper-r8m
    @Skipper-r8m 3 месяца назад

    How many types of trade as your a trader

  • @colinebernard6697
    @colinebernard6697 3 месяца назад

    There is a time which will be part of Intelligence Fx member.

  • @P.r.o.l.f.i.c
    @P.r.o.l.f.i.c 3 месяца назад +1

    ❤❤❤❤

  • @GeofreyVincent-q2u
    @GeofreyVincent-q2u 3 месяца назад

    👍

  • @KarimMshule-jy8ev
    @KarimMshule-jy8ev 3 месяца назад +1

    HIO GYM NI YA WAPI KAKA?

    • @intelligencefx
      @intelligencefx  3 месяца назад

      Hii gym ipo Dar es saalam, palm village, mikocheni

  • @FrenkKelvin-mk8ly
    @FrenkKelvin-mk8ly 3 месяца назад +1

    Strategy unatumia ipi..??

  • @julianmsele3880
    @julianmsele3880 3 месяца назад +2

    uko vizuri ila matumizi ya english tu sio poa bana kama unalenga watanzania wenzako sa english yanini, hapo unamwelekeza mtanzania kwann kisitumike kiswahili 89%

    • @intelligencefx
      @intelligencefx  3 месяца назад

      Thank you brother, hapo kwenye hiyo live trading analysis session kuna zaidi ya 30% sio wa-Tanzania mkuu🙏

  • @poohwashington2752
    @poohwashington2752 3 месяца назад

    @Amrisalichamp 🎉Nimejifunza kuwa mtulivu unapopatwa na tatizo na ndipo unapata utulivu wa kulisolve na unabaki ukiwa salama

  • @GodfreyMakoba-n5r
    @GodfreyMakoba-n5r 3 месяца назад

    Salute brother nméjifunz ving

  • @humphreyrichard7028
    @humphreyrichard7028 3 месяца назад

    Mentor🫂💪
    Always unatupa madini ambayo huwezi pata kwa Mentor yoyote yule❤️🫂

  • @MichaelMbeche
    @MichaelMbeche 3 месяца назад

    Broo i need that chance you announced on Instagram 😢

  • @berthaphilemon
    @berthaphilemon 3 месяца назад +4

    mylove 🫶🏾

  • @gipikilindu9607
    @gipikilindu9607 3 месяца назад

    🎉🎉