Aisha Jumwa: Mimi ndio Mekatilili wa Menza of the 21st Century

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 ноя 2024

Комментарии • 293

  • @marcellakarimi973
    @marcellakarimi973 2 года назад +3

    Madam simba in kenya I love women strength aisha keepup

  • @zakayomwamba7475
    @zakayomwamba7475 2 года назад +16

    Mekatilili fought for her people's welfare.Jumwa is fighting for her stomach.

  • @francismagambo4813
    @francismagambo4813 2 года назад +20

    siasa haifanani Kenya mzima but huku pwani ya kilifi ni azimio la umoja tutakukamatia chini

  • @noelalazarus8250
    @noelalazarus8250 2 года назад +13

    I love Aisha Jumwa bureeeee💝💝💝😍😍😍

  • @johnndirangu1053
    @johnndirangu1053 2 года назад +16

    Ruto hapana machezo ,watu watatii ,state house 2022

  • @rosemuthoni8109
    @rosemuthoni8109 2 года назад +17

    Proud of you my madam Aisha God bless you all the way

  • @mohamedmanga8391
    @mohamedmanga8391 2 года назад +15

    Nimekuona ulivyogeuka ukaangalia jamaa kama ameona hiyo kiuno, lakini mekatilili hakuwa na mpango wa kando wengi namna hii

  • @colvin9675
    @colvin9675 2 года назад +15

    mekatilili wa menza hajahusika na dhuluma kama ile ilifanyika ganda ward Malindi kwa ngumbao jola.

  • @mariawangari2670
    @mariawangari2670 2 года назад +8

    Aisha nakupenda bure .......Ruto tuko pamoja hadi ikulu miaka 10

  • @josephwanjohi8114
    @josephwanjohi8114 2 года назад +1

    Mama uko. sawa very firm ad courageous I like it pamoja sana yellow kilamahali

  • @josephinekaroki2776
    @josephinekaroki2776 2 года назад

    Hongera Aisha Jumwa the Simba wa Kilifi akiguruma wote wananyamaza. Pongezi Pongezi.

  • @abdallahamadi9380
    @abdallahamadi9380 2 года назад +4

    Hivyo ndio wananchi maskini hutumika. Wanatajiwa jina la Mungu ili waamini wanaambiwa ukweli na kupewa vipesa na matajiri ili watimize malengo yao.

  • @letsknowourrural5323
    @letsknowourrural5323 2 года назад +9

    Mekatilili Wa Menza The Great 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥let jah bless you guys to make the government come August 💯💯💯💯🤸💯🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @zipporahgichuhi2428
      @zipporahgichuhi2428 2 года назад

      What God has approved and annointed nobody can change.Keep up the good fight God is with you.

  • @princessa3060
    @princessa3060 2 года назад +4

    UDA hatupagwigwi 👏👏👏👏👏👏✔️✔️✔️ Aisha to the world

    • @princessa3060
      @princessa3060 2 года назад

      @Tumieni Akili Wakenya 💪💪💪💪✌️

  • @zkylieh204
    @zkylieh204 2 года назад +11

    Anaitwa mama lao Aisha Jumwa moto wa kuotea mbali 🔥🔥🔥

  • @joycemuigai5628
    @joycemuigai5628 2 года назад +19

    God bless our UDA

  • @peterwaweru2723
    @peterwaweru2723 2 года назад +13

    Rutooo 💯 Mt Kenya Kingpin

  • @mpendakiswahili3053
    @mpendakiswahili3053 2 года назад +14

    Ati mekatalili, huyu mwanamke ni sarakasi mtupu...

  • @gabrielchiwai1066
    @gabrielchiwai1066 2 года назад +38

    You compare yourself with mekatilili what did you do for the coastal people before you compare yourself

  • @iniesta1057
    @iniesta1057 2 года назад +32

    Sometimes I wonder Why our leaders shout all the time when making statements, be it in parliament or even when addressing the citizens ,they don't seem to mean what they say and history can prove that.

    • @lucyngunju8810
      @lucyngunju8810 2 года назад +3

      Why do also pastors shout in church you mean what they say does not mean anything?

    • @titus1846
      @titus1846 2 года назад

      Hahaa inaitwa siasa

    • @erickjuma7643
      @erickjuma7643 2 года назад +2

      @@lucyngunju8810 am a catholic and I've never heard even once the padri shouting and yelling

    • @godsfavorite8135
      @godsfavorite8135 2 года назад +1

      I wonder Why you hate luos so much Titus

    • @godsfavorite8135
      @godsfavorite8135 2 года назад +2

      @@samuelkamochu6808
      Kenya is still a tribal banana republic ✔️

  • @lugomicheal6718
    @lugomicheal6718 2 года назад +7

    Hakuna kitu hapo, mtaanguka nyote Aisha jumwa hakuna ugavana utapata kilif tulikuangusha zaman sana, utakua namba saba huku

  • @vivosereni
    @vivosereni 2 года назад +25

    Raila Odinga the 5th will have a very strong opposition in the next government which is good for any sound administration.

    • @mwaumark4372
      @mwaumark4372 2 года назад +3

      Hiyo mzee saa tatu asubuhi atakuwa bondo akikunywa supu ya pweza akisubiri time yake kuisha ...

    • @benjaminyeri3842
      @benjaminyeri3842 2 года назад +1

      Yes sir

    • @qrankmw.
      @qrankmw. 2 года назад +1

      @@mwaumark4372 ehh....jambazi sugu wa sugoi atakuwa saa tatu asubuhi akikunakuna hiyo kitu....kiuno itakuwa ikisuguliwa na mfadhili mwingine....
      .....tizama waruguru pia amegawa kiuno chake kwa huyo sugu wa sugoi....haki yao kugawa....lakini... those houses built on immorality are already collapsing.....
      .....poor wife wa sugu wa sugoi...viuno zinamfanya kukesha kanisani.......God have mercy.............

    • @hassantoo1575
      @hassantoo1575 2 года назад

      He is opposition himself

    • @joshwairimu253
      @joshwairimu253 2 года назад +1

      Good luck with your expectation. Ruto all the way by 9am....i respect baba raila but he wont make it against ruto.mark my words

  • @lucygaichiumia2791
    @lucygaichiumia2791 2 года назад +1

    Good bless 🙏🙏💯 UDA

  • @selamatapa3441
    @selamatapa3441 2 года назад +1

    Mpango wa Mungu🙏, nd İ choose Ruto

  • @billyochia2420
    @billyochia2420 2 года назад +17

    I love this opposition for next government

    • @johnndirangu1053
      @johnndirangu1053 2 года назад +1

      Take your 80 yr old home

    • @bakarimwaguzo4389
      @bakarimwaguzo4389 2 года назад

      We have no business with your azimio....but it's of much interest to see the tialalised following each and every step of the hustlers

    • @johnndirangu1053
      @johnndirangu1053 2 года назад

      @@bakarimwaguzo4389 Absolutely

    • @mwaurawawainaina9220
      @mwaurawawainaina9220 2 года назад +2

      Hahaha and yet you are following what they are doing, anyway tupatane kwa debe

    • @woimarateng
      @woimarateng 2 года назад +1

      @@johnndirangu1053 yes he's 77 years and we love it that way as azimio la umoja. so stop making it about 80

  • @josephmoseti5143
    @josephmoseti5143 2 года назад +3

    Who has noticed NTV withdrew the sound from the UDA rally endorsing Ruto. Kenya yetuh iko na maneno🤣🤣🤣 its either owners adviced their personel to do so or the Kenyan Media has no independence at all

  • @saasamaf7188
    @saasamaf7188 2 года назад +6

    Unalindwa vizuri mama hapo naona hautahama

  • @mercylinenyabinge1644
    @mercylinenyabinge1644 2 года назад

    Aisha and omanga you are just entertainmenters in the party

  • @alkasusjaasus7015
    @alkasusjaasus7015 2 года назад +5

    Mwanzo Mekatilili alikuwa mwanamke mzuri wa kiafrica na shepu umbo la kike. Sio wewe shepu kama bus la Githurai, umbo la simba dume juu mkubwa chini umenyutwa viguu fito ndio maana mumewako akakukimbia. Badala ya kumpa tendo unamvurujuwa 😂😂😂😂

  • @alicenalulwe4384
    @alicenalulwe4384 2 года назад +2

    Aisha nakupenda bure mama

  • @k.k1375
    @k.k1375 2 года назад +14

    AISHA did Mekatilili dump Her Husband coz he was a HUSTLER??? you dumped your husband coz he is a fisherman... Madam wewe ni con

    • @johnndirangu1053
      @johnndirangu1053 2 года назад +2

      Why didn't you tell us when she was with Baba ,Bure nyinyi

    • @woimarateng
      @woimarateng 2 года назад

      @@johnndirangu1053 now you know... so stop asking about time

    • @johnndirangu1053
      @johnndirangu1053 2 года назад

      @@woimarateng You don't have anything to tell us serial losers

    • @qrankmw.
      @qrankmw. 2 года назад

      @@johnndirangu1053 ehh...when she started kuhanyahanya....sifuna adviaed her...asikuwe mkeka wa kulaliwa na wote.....that fact is documented.....and that is why she was let go from odm....
      ....why do you think huyo jamaa wa sugoi alikutana na viuno vya voi.....by invitation from kiuno cha kilifi.....
      ....meanwhile...ratchel...or anaitwaje ...bibiye huyo jamaa sugu...atakesha kanisani kile siku....maana sugu anakesha akisugua viuno......tizama mambo...upate kuelewa vivnavyoelea....sasa waruguru pia anagawia watu kiuno....haki yake...raha yake.....lakini hasara kwa jamii nchi na uchumi.....kwa watu wanapumbazwa na viuono ukatili na wizi ukibamba kote-kote.

    • @paulwriter8360
      @paulwriter8360 2 года назад

      Tumia akili!! Alikuwa kwa raila ju raila ni bwanake?

  • @wabannah9009
    @wabannah9009 2 года назад +6

    Wazalendo:"Raila the 5th(No to Ruto Presidency Liwe Liwalo)"!!!.

  • @florencemukholi3152
    @florencemukholi3152 2 года назад +10

    God Almighty give us your chosen one

    • @sevenscounty409
      @sevenscounty409 2 года назад +1

      The ten commandments say thou shall not steal. Ruto is the chief priest of theft and will never see the glory of God

    • @alonsobrazzel3011
      @alonsobrazzel3011 2 года назад

      @Frolence Mukholi - If you don't Vote BABA then you will Regret later. Either way VOTE.

    • @pattiek1590
      @pattiek1590 2 года назад

      @@sevenscounty409 yet the thief on the cross saw it. Read your bible well.

    • @samuelkamochu6808
      @samuelkamochu6808 2 года назад +1

      @@sevenscounty409 does that law allow a man to be condemned unheard? I don't want to defend him as a clean guy, but the fact that he has not been prosecuted for corruption tells you a lot. His accusers may not be that clean, but they are mudslinging him for so long that we have come to believe his what they say he is.

  • @Kalenjinlady
    @Kalenjinlady 2 года назад +12

    WHAT I JUST PRAY IS TO HAVE PEACE IN KENYA ...MAY GOD LEAD YOU DP 🙏 YOU ARE MY 5TH

    • @salimkarama9354
      @salimkarama9354 2 года назад +1

      Ameen inshallah

    • @vivosereni
      @vivosereni 2 года назад +1

      He won't win Promise

    • @Kalenjinlady
      @Kalenjinlady 2 года назад +1

      @@salimkarama9354 amen

    • @Kalenjinlady
      @Kalenjinlady 2 года назад +1

      @@vivosereni sawa Acha kila mtu aombe mwenye atampigia kura whether atapita ama aezi let's only pray for peace juu kila mtu ako na kura moja tu

    • @rosemarymuriithi7038
      @rosemarymuriithi7038 2 года назад

      GOD IS THE WAY

  • @victormutuku9072
    @victormutuku9072 2 года назад +1

    I love the way you Dance

  • @tiktak1448
    @tiktak1448 2 года назад +2

    Mama in the house wacha mushene ipande mama hooiye

  • @mariamnasiche7397
    @mariamnasiche7397 2 года назад +5

    Imara na Rutoooo

  • @godsfavorite8135
    @godsfavorite8135 2 года назад +4

    Masculine Sugoi Thug Aisha Jumwa ✔️

    • @moeg8161
      @moeg8161 2 года назад

      Because she is not supporting Raila anymore she is a thug....

  • @lucasoketch
    @lucasoketch 2 года назад

    Let me advise you, i am not giriama but this one is not mekatilili,next year she will be in ...., Ushawahi kusikia wanawake wa pwani wakiwa na matusi hivi?

  • @ppemperweringpeople7183
    @ppemperweringpeople7183 2 года назад

    BOTTOM UP UP UP Itawakomboa Wakenya Wengi Kutoka Katika LINDI La Umaskini Kenya., Just Wake Up You My Fellow Kenyan's

  • @kijjambudeogratias4135
    @kijjambudeogratias4135 2 года назад +6

    Someone who confesses he is tired celebrating 77 across the country to say he wants to lead! Let him retire somewhere not in state affairs

  • @mohammadomar2872
    @mohammadomar2872 2 года назад +8

    Raila is a threat to your process.
    Your level is substandard.

  • @ferdinandmutua5573
    @ferdinandmutua5573 2 года назад +4

    Whatever the reason(s) the rally, peace in the country Kenya is of atmost importance. According to me, the rally was aimed at warning "MADOADOA" and putting them on notice wherever they are in the region.

  • @bethwambui99
    @bethwambui99 2 года назад +2

    Mungu bariki Ruto this time atuongoze kenya kwa Imani na washikane na Martha karua wako top

  • @JohnJuma
    @JohnJuma 2 года назад +9

    Mganga ni Aisha with fake certificates! Drop out at form 2, went back yrs later n failed kcse chenye anacho ni certificate in county governance chenye kila mtu anaweza somea hata primary drop out!

    • @risperkipchumba236
      @risperkipchumba236 2 года назад +3

      Unaweza fika kwa Class yake ?infact huyu mama ako level ingine

    • @stivanto8539
      @stivanto8539 2 года назад

      Green Media, listen yourself first please

    • @perfectionperfectionist3066
      @perfectionperfectionist3066 2 года назад +1

      Hayo yakuhusu nini? She has not asked you to help her with your certs. She's a drop out but has represented her people well in the parliament. You are the most learned but how much have you done? Acha wivu!

    • @peterkirui8468
      @peterkirui8468 2 года назад

      Taret taret.

    • @francismankurambiti5028
      @francismankurambiti5028 2 года назад

      @@perfectionperfectionist3066 😅😅😂

  • @ramadhansaid6345
    @ramadhansaid6345 2 года назад

    Kenya is bigger than one individual, let us moving our nation to the next level.peoples rights should be reserved and given first priority.

  • @davidmwanziu2350
    @davidmwanziu2350 2 года назад +1

    So Asha usijiite Mekatilili tuwachie Sisi tukuite Mekatilili.

  • @patrickmacharia4787
    @patrickmacharia4787 2 года назад

    Nature will take its course

  • @suzanotieno5091
    @suzanotieno5091 2 года назад +2

    Azimio LA Umoja....for Kenya's unity....!

    • @princessa3060
      @princessa3060 2 года назад

      Azimio la ujinga n uzeeeeee🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @suzanotieno5091
      @suzanotieno5091 2 года назад

      @@princessa3060 no no no Ann...baba is for PEACE and Tranquility....!

  • @frederickmuthomi7658
    @frederickmuthomi7658 2 года назад

    Kweli kabisa ruto tosha jameni sioni mwingine hapa Kenya???!

  • @welikherobert2823
    @welikherobert2823 2 года назад +3

    B Aisha b prepared for opposition, however much u dance kilifi county iz azimio, so u just look for money

  • @davidmwanziu2350
    @davidmwanziu2350 2 года назад +1

    Let the people beat the drum for you . Do not beat the drum for yourself. Kwani what do you have people don't have. You can say what ever you say na uwache matusi. Raila has followers not supporters like you. You claim Azimio Hawana ajenda , but it's you who don't have ajenda isipokuwa matusi. Saa yote popote malipo siasa zenu zimejaa matusi, kujigamba , chuki na hasira. Your song always Yule mtu wa vitendawili Yule mtu wa vitendawili Yule mtu wa vitendawili. Don't you think even this song may cause many Kenyans who loves you to retreat back.

  • @freegames462
    @freegames462 2 года назад +1

    Watu wa mtaa wamekula biryani hiyo biryani imelipwa na ruto pia matako ya aisha amenunu . balaa

  • @wycklifokumusure3171
    @wycklifokumusure3171 2 года назад +4

    Aisha jumwa and Ali be ready to be nominated come next year cause idont see you reelected, due to your pettiness in politics, sorry to say this.

  • @davidmwanziu2350
    @davidmwanziu2350 2 года назад +1

    Kumbuka ya kwamba Goliath aliuawa kwa sababu ya kudharau Daudi akiona ni mtoto mnyonge. Saddam Hussein kama sio kujigamba he could have been with his throne today

  • @memocheptabkipsigis312
    @memocheptabkipsigis312 2 года назад +1

    Ruto the 5th

  • @saidbarawa9096
    @saidbarawa9096 2 года назад +1

    Malaya wajiliganisha na shujaamekatilili wa menza

  • @vincentkademi5418
    @vincentkademi5418 2 года назад +3

    Raila is a Kenyan choice

    • @paulwriter8360
      @paulwriter8360 2 года назад

      Which Kenya???????

    • @qrankmw.
      @qrankmw. 2 года назад

      @@paulwriter8360 ehh...kweli baraka inatoka kwa baba....
      ...laana zinatoka sugoi....

    • @mercystins245
      @mercystins245 2 года назад

      UDA

  • @nureinimohamed449
    @nureinimohamed449 Год назад

    Aisha jumwa Simba wa mkowa wa Coast Province.

  • @wafulawasike1071
    @wafulawasike1071 2 года назад

    Papa ndani

  • @zion3655
    @zion3655 2 года назад +1

    Joho kamsambazia huyu mama madawa kweli....vioja kweli

  • @babasuleiman900
    @babasuleiman900 2 года назад +1

    Do not defile the name of mekatilili.A freedom fighter of honour she was.

  • @davidmwanziu2350
    @davidmwanziu2350 2 года назад

    Zidini Kupayuka, we wajua bibilia ni nini. Hamna cha kwambia wakenya hamna cha kuwapa wakenya , ila ni matusi na madharau. Endeleeni kuota mchana
    .

  • @hlimaabdullah9565
    @hlimaabdullah9565 2 года назад

    Barikiwa mama

  • @simonbenson1391
    @simonbenson1391 2 года назад +2

    Thanks Aisha, it's now or never

  • @onesmusngetich
    @onesmusngetich 2 года назад +1

    This gal Aisha

    • @asparagusonly
      @asparagusonly 2 года назад +1

      Gal?!!!😂😂😂 usijali bazu umenyonji tu😂😂🍻

    • @charlesbabu5845
      @charlesbabu5845 2 года назад

      haha mama bana mama..not gal

  • @janewambuinakubaliananawew2804
    @janewambuinakubaliananawew2804 2 года назад

    Madam nakupendea ukweli na msimamo wako mungu akupe guvu za kupambana na waongo

  • @florencemukholi3152
    @florencemukholi3152 2 года назад +1

    Uko poa lakini matusi ni mengi,just emulate mama Rachael Ruto,This is what we call kabila mimi hata sipigi kura

  • @oncharieric9437
    @oncharieric9437 2 года назад

    People forget about the owner of opposition

  • @bonfacekarani678
    @bonfacekarani678 2 года назад

    Kabisa Mama

  • @shabankolia8204
    @shabankolia8204 2 года назад +1

    Time will tell Aisha wacha makelele plz ni 7 months haiko mbali tutaheshimiana tu taree 9 August

  • @addisonchebukaka9686
    @addisonchebukaka9686 2 года назад +3

    I may agree with Aisha that she is like mekatilili . Only problem is that mekatilili was not a quisling

  • @tomotoigo4668
    @tomotoigo4668 2 года назад

    Nothing you have done people .. to compare yourself with mekatilili

  • @mohammedrajab6514
    @mohammedrajab6514 2 года назад +1

    Those people behind Ruto they will be out of the government come August. If you’re clever Jumwa to help your people get out.

  • @nancykemunto2899
    @nancykemunto2899 2 года назад +6

    Nakupenda tu mama

  • @MHJuma
    @MHJuma 2 года назад +28

    She is speaking on own self. Us at the coast belong to BABA

    • @MHJuma
      @MHJuma 2 года назад

      @Jamal Mohamed What will ruto or uda do about that?
      I. Don't know where u come from but us the coast know who is best for us not you

    • @danielmuse3399
      @danielmuse3399 2 года назад +1

      Hata mimi pia niko pwani ndani ya Uda

    • @asparagusonly
      @asparagusonly 2 года назад

      @Jamal Mohamed na wee ni wa wapi brathe pia tukutukane vile unatusi wenzako na ukabila?😂😂😂 I mean its only fair right?

    • @MHJuma
      @MHJuma 2 года назад

      @Jamal Mohamed Simama katika haki. Only a real democrat like baba can shape unity and prosperity and nobody else. Hao wengine ni uchoyo na ubinafsi mtupu.

    • @titus1846
      @titus1846 2 года назад +1

      Your vote is not that important to UDA than that of Aisha Jumwa. Umesikia Raila alishindwa na kura moja?

  • @joycewakoli5356
    @joycewakoli5356 2 года назад

    Loves u mamaaa

  • @OmarMohamed-tp4uf
    @OmarMohamed-tp4uf 2 года назад +2

    Opposition is very strong congratulations

  • @fredrickochieng3224
    @fredrickochieng3224 2 года назад

    It's there democratic right to try and pass or fail

  • @marykinuthia6067
    @marykinuthia6067 2 года назад +2

    I like your drama, we love you 😍 ❤ 😘.

  • @omarjumaan3061
    @omarjumaan3061 2 года назад +1

    Kampeni za KENYA hawana mpango ni ubishi na matusi badala yakuuza sera zako japo nizauwongo maana wengi ni waongo

  • @davidosoloajiambo5469
    @davidosoloajiambo5469 2 года назад

    May the best win

  • @walenisi9278
    @walenisi9278 2 года назад +5

    Mpango wa kando wa looter

  • @christophernzioka79k
    @christophernzioka79k 2 года назад +1

    Mekatilili wa Menza?

  • @nancykemunto2899
    @nancykemunto2899 2 года назад +7

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣Iron lady

  • @salmarajabu4712
    @salmarajabu4712 2 года назад

    asha nimetabili wewe utakua raisi wakenya uko vizuri una kofidesi

  • @stephengatonga4767
    @stephengatonga4767 2 года назад +1

    Kitedawiki kwisha,caanan,imewaka moto kwanza,atafute njia zingine za kufika kule

    • @Kalenjinlady
      @Kalenjinlady 2 года назад +1

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣kwenye ako sahi hana amani

  • @abdulbora812
    @abdulbora812 2 года назад +2

    Pwani ni baba raila ndio mzee wetu wa kenya aliebakia.raila for life

  • @zakariamohamed1763
    @zakariamohamed1763 2 года назад

    Eti mekatilili. Huyo ni oil change wa Arab Mashamba.

  • @tiktak1448
    @tiktak1448 2 года назад +1

    Jua wamama wote kazi yao ni kuropokwa kuchimbana
    Wee enda kataia manzi mswa wewe utajua hujui mushene si mushene tena washenzi
    Swali mbona mulipewa kuma

  • @salimkarama9354
    @salimkarama9354 2 года назад

    Baba baba safarihii atakuwa babu naona its rutos time

  • @zackmatayo7241
    @zackmatayo7241 2 года назад +1

    Hi

  • @alexandermutakha882
    @alexandermutakha882 2 года назад

    This is not true...you can't be like someone else.

  • @saidkaduka6786
    @saidkaduka6786 2 года назад

    Ww mama hujui kitu!

  • @markkip2001
    @markkip2001 2 года назад

    Mnganga kenyan poltics is rough

  • @cristalclear2499
    @cristalclear2499 2 года назад +2

    A murderer is still walking and acting like nothing really happened. Hii Kenya yetu.

  • @mwalimunyerere
    @mwalimunyerere 2 года назад

    Huyu akinipea, nachagua Ruto.

  • @esauzawadi
    @esauzawadi 2 года назад +1

    Aisha Jumwa wadanganye hawa wakale,ukiwa umeenda UDA peke yako

  • @titus1846
    @titus1846 2 года назад

    I like Aisha Jumwa. My favourite female politician

    • @asparagusonly
      @asparagusonly 2 года назад

      Umenyonji bro!😂😂😂... sio story na politics😂

    • @titus1846
      @titus1846 2 года назад

      @@asparagusonly 😂😂😂, huyo si ligi yangu.

    • @asparagusonly
      @asparagusonly 2 года назад

      @@titus1846 hakuna bro, slide kwa parliamentary DMs hapo and enjoy the viscosity😂😂😂

  • @doza1031
    @doza1031 2 года назад +5

    shangazi hoyeeee