Tanzania tuko na uhuru wa bendera tunahiji kujikomboa ki fikra na mbona Tanzania tuna hitaji misada yao ilhali sisi tuko na kila kitu kinacho hitajika katika maisha ya binadamu
Endapo utakuwa unachambua jinsi Africa inavyoendeshwa kipumbavu utakuwa umetusaudia sana. Jambo kubwa liko kwenye elimu, na jambo la pili liko kwenye Uzalendo jambo la Tatu, liko kwenye ukabila, japo Tz wanajifanya kuwa hakuna ukabila.
Dj unafanya vizuri sana kuamsha mijadala ila upunguze kuwa “judgemental na defensive unapoweka hoja zako”. Remember there is NO RIGHT or WRONG or BLACK AND WHITE katika maswala haya. Kwa hiyo unaposema toeni maoni yenu mean it na sio lazima hayo maoni reference yake iwe kile ulichopresent. There is a myriad of sources of information and knowledge. Otherwise you are doing a good job 👍🏿
Sijasema lazma watu wafate reference nilizo toa? Nilisema niweka all possible reference video itakuwa 3 hours! Pili sijachukua upande nimeiweka kilichopo na kutoa fursa Wana FUSE watoe maoni
Nchi yetu pamoja nakuwa inakatiba yake haifuati hata hiyo katiba, mwenye mamlaka some time akiona mambo yake hayaendi anaenda kuingilia mamlaka zingine ili atimize haja zake kumbe ange heshimu katiba . Nchi pia ingeheshimika
Mimi nitakujibu kwa njia ya maswali pia ,,, je ni vibaya kwenda kuamua ugomvi kwa jirani au kwa mtu mwingine yeyote nahisi jibu lake umelipata,,,, wanasema hivi banian mbaya kiatu chake dawa... Hakuna kitu kinanikwaza katika inchi kama kila kitu kuwapa hao wazungu na ndio maana hata likitokea jambo tunakimbilia kwao ambako serikali yetu inatolea macho kutaka misaada.. wakati huo tuna kila kitu lakini bado tunakuwa masikin na misaada yenyewe ikifika haielewek imeishia wapi wala nini... Kaz kila siku kwenye lipot za CAG tunatajiwa mahela wanayokula bira huruma,,, kwa upande wangu hata wapiga hzo kura alienc mimi naona fresh tu kama sisi wenyewe hatuon kuna shida gan wanaoona wakatusaidia,,,, tatzo la inch nying za kiafrika tunatabia ya kufichiana ujinga kwa sababu wote tunafanana na ndio maana hata kikitokea kitu gani hakuna anayeingilia ,,, kwa mimi fresh, nitaona sio mfresh wao kuingilia mpaka pale kila kitu chetu kitakapokuwa chini yetu na viongoz wetu kufahamu wajibu wao kwa wanaich hvyo tu kwahyo jibu langu mm ni kawaida na ni jambo zuri tu, haimaish et kisa alikuwa mbaya bas akitoa point yenye mashiko na faida tupuhuze,, huo msamaha wakiomba fresh wasipoomba fresh lakin kama wameona jambo ambalo sio zuri kwa inch yetu ni sawa wao kufanya walichokifanya
Ukombozi wa fikra kwa viongozi na kwa watanzania unahitajika, na bahati mbaya ukitokea ukiwa umekombilewa fikra ukataka kuwaonyesha uhalisia wa mambo ulivyo wabakuua; Mungu okoa Afrika
Dj Sma hii kitu inasumbua mataifa yote ya Afrika bado tupo chini ya ukoloni mambo leo na hili ndivyo lilivyo kiukweli inaumiza ndo maana huwa inakuwa ngumu sana wakati mwingine huwezi kupinga baadhi ya vitu eg. Chanjo, mikataba, n.k kwasababu tayari viongozi wanakuwa wamechukua mikopo umiza na kupewa ulinzi wa hari ya juu lakini mambo ni mengi sana ya hovyo mengi ambayo yanaendelea Afrika viongozi wanaficha hela huko Ulaya, China, Marekani, n.k ni hii yote ili kukichafuka huku wakimbilie huko ni aibu kubwa sana sijui mbaka Mungu ashuke
Waafrika nikuamka tu nakuamua kuleta mabadiliko yetu wenyewe kama walivyo fanya wachina wahindi wairan wakorea achaneni na lugha Yao Elimu Yao tukubali kuumia kwa muda kidogo miaka 20 viongozi wenye kasumba za ulaya wakae pembeni tunatoboa saiv
Leo tuna waona Marais wa Bokinafaso Nigera Mali nawaambia mtaona muda sio mrefu watatengena vitu vyao ni ujinga kabisa tunangoja Ukreni amalize vita tukawaombe chakula kweli tumelaaniwa Hawa viongozi wetu ndio matatizo matawafunga watu wanaowakosoa kwa faida ya nchi badala ya kuwasikiliza mawazo Yao Ili myachukue Mya jaribu mmeshindwa
Mimi naunga mkono Bunge la ulaya kwasababu wa bongo waongo waongo wanapokuwa ulaya wanajionyesha kama kwamba mambo ni mazuri lakini kumbe ujanja ujanja tu
Kwa upande mmoja unapinga bunge la ulaya kuingilia mambo unayoita ya ndani ya nchi, wakati huohuo hutaki kutoa hoja yako kama kinachofanyika ngorongoro ni sawa au siyo sawa. Sasa elewa hivi :Kwa mujibu mikataba tuliyoridhia ya Haki za binadamu kiulimwengu ,Kama kinachotendeka ngorongoro ni uvunjifu wa haki za binadamu, basi bunge la ulaya wako sahihi.
Ili mbuga ziwe za wote na kwa manufaa ya wote inabidi wahame na utalii uendelee kwa manufaa ya wote sisi ma wanyama kwa kuwaachia maeneo yao ya malisho mazalio na vingnevyo lakin kama awahami na sisi haturuhusiw kuishi huko ni wao tu peke yao basi hapo tunatengeneza tabaka la wengne kunyimwa haki ya msingi
Wazungu wameona thamani ya uwepo wa wamasai pale ngorongoro dah aibu kubwa kwa taifa hii yaan mzungu anaona masai hastahili kuhama eneo lake la asili ila serikali mukawapiga na kuwahaamisha kwa nguvu then mukawapa wawekezaji wajenge mahotel, shame on you Tanganyika
Kama ulaya hawana mandate ya kuhoji kuhusu wamasai, ni kwanin inategemea misaada ya ulaya. Kama tunataka kufanya mambo yetu tujitegemee na tusiwategemee wao ambacho sisi Tz hatuwezi. Acha wawanyooshe viongozi wanyonyaji wa baadhi ya nchi za Africa
Bunge la ulaya lipo sahihi asilimia 100 wao ndio wanajazia bajeti ya nchi kwa asilimia kubwa hivyo wanajua huu mchongo wa ngorongoro mnataka kujipigia pesa kwa kuwaonea wamasai kwahiyo Wana HAKI maana uchumi wetu upo mikononi mwao.
Yeyote anaelifanya jambo hili kuwa la sera za vyama vya hapa tz ni mpotofu na ni sehemu ya bunge hilo la wahuni wanatafuta kuiendesha dunia kwa maslahi yao nyuma ya shirika la haki za binadamu
Kwanini wapige kura,,,,,ko wakizuia wanakuwa serikali haiwezi endelea na mipango yao???? Na je wana interest gani,,,,tukiachilia mbali kuwa hata mimi sijakubaligi kuhamishwa kwao
Hapo sijaona link ya wamasai na huyo mpoland na wa fifa ...ukialinganisha na kichwa cha habari, jaribu kujiboresha kama unataka kuwa real and not business wa fasters for short time..na hayo tu
Na wewe pia ni mpambe wa mama e. Watafute na wengine muwe wengi, tatizo na wewe hujui kinachoendelea ngorongoro badala ya kuhoji kama mwandishi kwanini hamuruhusiwi nyinyi kuja ngorongoro, Acha ushamba
Acha wawa saidie kwanza ,sababu watanzania mna zingua Dj sma serekali yenu ilifanyaga makosa .kuhamisha jamii sehem yake ya asili nikupoteza utamaduni wake .wako sahihi acheni mbwembwe
Yani ww uelewa wako mdogo! Mada inayo ongelewa ni ni kulia ww unakuja unaongela kushoto! Shida watu mnaelewa macho taka nyingi kuelewa na sio kusikiliza mada inaelewesha Nini ila kwavile ww mjuani sana! Nenda katengenezw video Yako na uonge maneno Yako UNAYo ona ww sawa
@@djsma255 uelewa wangu mdogo au wewe ndo auku nielewa , siku lenga mada yako nilikenga maamzi ya mama tako . We haujuwi kama kuamishaa jamii fulani sehem yao ya asili nikuvunja utamaduni . Yani wewe ulichukulia poa tu . Alafu uwe n'a adabu ndugu , sisi tulianzaga arakati kitambo tulishaga fanywa vinaya kwajili ya Africa kaka . Mi sio mtanzania lakini kiswahili changu nazani unakielewa . Msiwe mna fumbia macho mazuri ya wabaya wenu naku tazama mabaya yao . Kumbuka kua ata m'baya wako anaweza aka fanya mazuri .kama ilo la jamii ya wamasaiyi sio haki walio tendewa kaka . Kutuamulia ni vibaya ndio ila kama maamzi ni mazuri tuwe nakaushia Asante smaa ila iyo lugha yako ya kejeli sio nzuri Naitwa djuma Panafrican kutoka canada ottawa
Bunge la ulaya lingeomba ushirikiano na UN ili kuongeza nguvu ya pamoja kupinga swala hili ambalo linahusisha michango mingi ya ufadhili wa mataifa haya. Lkn kama watajali maslahi yao binafsi wanayopata basi hawatajali haki za Wamasai wananchi yasiyowaathiri wao.
WATU WANAHAMISHWA KILA SIKU SEHEMU TOFAUTI , MBONI HAWAINGILII AU KWASABABU HAWO WANAITWA WAMASAI , JUZI TU WALIKUJA KUOMBA MSAMAHA KWA KUWAUWA BABU ZETU. HAKI ZA BINADAMU, WAKE UP AFRICA LEADERS AFRICA FOR AFRICAN.
Tatizo ni moja tu! Nalo ni kutotoa taarifa sahihi juu ya kinachoendelea huko Ngorongoro na Loliondo! Kulikuwa na sababu gani za msingi za kuwazuia kina Lissu na wengine waliotaka kwenda huko kujionea kinachoendelea. Siku zote mficha uchi hazai! Kama wahusika wangetoa taarifa zilizo sahihi unadhani haya yangetokea? Kama Watanzania tuna haki ya kujua kinachoendelea huko kabla ya kuwalaumu hao EU!
U gotta learn how global politics work bro, bunge la ulaya n other multinationals have influence huko kote Africa whatsoever, aids n other projects zenye mnatumia so that's a price for it, the moment uta liberalize economy Yako with highest level of integrity ndo day utakomeshw the influence of north south model, otherwise kwa sasa chill tu
Hata hujua sheria za kimataifa? Hujui bunge lolote linaweza kukaa na kuonyesha msimamo wao dhidi ya ukandamizaji unaotokea nchi yoyote? South Africa wame amua kuondoa uhusiano wa kibalozi na Israeli kwa sababu ya mauaji ukanda wa Gaza. Je Gaza iko Afrika ya kusini?
sawa je kwa mantik hio hio, iumesema bunge lolote linaweza kukaa na kupiga kura kuonesha msimamo dhidi ya ukandamizaji nchi yoyote! mpaka saivi wamekufa raia 20,000 watoto wakiwa takrubani 15,000 huko ghaza, je wameka na kuinesha msimamo wao dhidi ya ukandamizaji huo?
Sielewi wewe unasema nini wakati Watawala wanatumia dola kunyanyasa wananchi wake bila aibu. Afadhali kuna watu wenye utu hata kama hawaathiriki na mateso husika.
@@djsma255 Sawa haina shida maana kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake ila ukweli utabaki pale pale kwa siasa za Afrika ambapo Watawala wanawakandamiza watu wao huwezi kutegemea taasisi kama African Union kuingilia kati ukatili unaofanywa na Viongozi wa nchi ya Kiafrika kwa kisingizio cha kutoingilia mambo ya ndani ya nchi husika. Mfano angalia Kinachoendelea Niger na etc.
unadanganya watanzania kwa sababu unacover mambo ya ulaya mbona sijaona wamasai wa ngorongoro wakiwa wanaongea kwenye chanel yako. Unajua kinachoendela Ngorongoro. Acha Dhambi watu wanateseka uko Ngorongoro. GOD will punish u. Sikilia watanzania achana na siasa za ulaya utachanganya watanzania. Uko very bais. Huosio uandishi wahabari infact umeharibu sns wangu ukose simu na tv. bogas view. balance story don't mix topic
Kama dj sima ni ccm basi Na wew ni kibaraka wa wazungu..basi bora kuwa kibaraka wa ccm mana wa tz wenzetu kuliko kuwa kibaraka wa mzungu mleta vita na fitna katk nchi
@@djsma255sure umepanic, huja relax kabisa ts like your tamper imepanda, voice tone yako haiko sawa, au labda unahis baridi au unaumwa unless otherwise umepanic, stay calm bro, nenda kasome Al israa, verse 1 to 4, huenda ukapata nafuu ya yanayoendelea Duniani,,
Wewe Ni mpuuuzi unachokifanya kinaitwa SPIN. in short F*U. Sikia Unajua kinachoendelea Ngorongoro. Chukua Topic Moja usichanganye topic. Ngorongoro Hakuna mahali hatitaenda kutafuta msaada. Mahakama ikichelewesha haki. Ukoloni na Ngororongo ni two different topic. Wewe Hujaongelea kuhusu ngorongoro hapa mara moja. Mbona Huja cover mambo ya ngorongoro uone wanaona vipi kuhusu kuamishwa. Unaongerea Ulaya kuliko Ngorongoro hapo wewe na sns ur going spin and it's stupid.
KUMBE NDUGAI ALIKUWA SAHIHI KUSEMA HII NCHI IPO SIKU ITAKUJA KUPIGWA MNADA " ...
Big up sma 255 youre among the freedom fighters,na hakuna mkamilifu my bro❤ you all
Wanacho kifanya siyo sawa
Ila wanacho kifanya wanao wafukuza Masai ndio sio sawa kabisa
Tanzania tuko na uhuru wa bendera tunahiji kujikomboa ki fikra na mbona Tanzania tuna hitaji misada yao ilhali sisi tuko na kila kitu kinacho hitajika katika maisha ya binadamu
Endapo utakuwa unachambua jinsi Africa inavyoendeshwa kipumbavu utakuwa umetusaudia sana. Jambo kubwa liko kwenye elimu, na jambo la pili liko kwenye Uzalendo jambo la Tatu, liko kwenye ukabila, japo Tz wanajifanya kuwa hakuna ukabila.
Hawa jamaa waliwahi kukataa tusijenge bomba la owima mpaka tanga yani sijui wanatuchukuliaje hawa😢😢
WAZUNGU HAWAWEZI WAACHA WAAFRIKA MPAKA WAAFRIKA KWANZA WAONDOE COLONIAL MENTALITY 😢😢😢😢😢
Dj unafanya vizuri sana kuamsha mijadala ila upunguze kuwa “judgemental na defensive unapoweka hoja zako”. Remember there is NO RIGHT or WRONG or BLACK AND WHITE katika maswala haya. Kwa hiyo unaposema toeni maoni yenu mean it na sio lazima hayo maoni reference yake iwe kile ulichopresent. There is a myriad of sources of information and knowledge. Otherwise you are doing a good job 👍🏿
Sijasema lazma watu wafate reference nilizo toa? Nilisema niweka all possible reference video itakuwa 3 hours! Pili sijachukua upande nimeiweka kilichopo na kutoa fursa Wana FUSE watoe maoni
@@djsma255from 9:24 umezingua
Nchi yetu pamoja nakuwa inakatiba yake haifuati hata hiyo katiba, mwenye mamlaka some time akiona mambo yake hayaendi anaenda kuingilia mamlaka zingine ili atimize haja zake kumbe ange heshimu katiba . Nchi pia ingeheshimika
Mimi nitakujibu kwa njia ya maswali pia ,,, je ni vibaya kwenda kuamua ugomvi kwa jirani au kwa mtu mwingine yeyote nahisi jibu lake umelipata,,,, wanasema hivi banian mbaya kiatu chake dawa... Hakuna kitu kinanikwaza katika inchi kama kila kitu kuwapa hao wazungu na ndio maana hata likitokea jambo tunakimbilia kwao ambako serikali yetu inatolea macho kutaka misaada.. wakati huo tuna kila kitu lakini bado tunakuwa masikin na misaada yenyewe ikifika haielewek imeishia wapi wala nini... Kaz kila siku kwenye lipot za CAG tunatajiwa mahela wanayokula bira huruma,,, kwa upande wangu hata wapiga hzo kura alienc mimi naona fresh tu kama sisi wenyewe hatuon kuna shida gan wanaoona wakatusaidia,,,, tatzo la inch nying za kiafrika tunatabia ya kufichiana ujinga kwa sababu wote tunafanana na ndio maana hata kikitokea kitu gani hakuna anayeingilia ,,, kwa mimi fresh, nitaona sio mfresh wao kuingilia mpaka pale kila kitu chetu kitakapokuwa chini yetu na viongoz wetu kufahamu wajibu wao kwa wanaich hvyo tu kwahyo jibu langu mm ni kawaida na ni jambo zuri tu, haimaish et kisa alikuwa mbaya bas akitoa point yenye mashiko na faida tupuhuze,, huo msamaha wakiomba fresh wasipoomba fresh lakin kama wameona jambo ambalo sio zuri kwa inch yetu ni sawa wao kufanya walichokifanya
We we ni mtumwa kiakili
Ukombozi wa fikra kwa viongozi na kwa watanzania unahitajika, na bahati mbaya ukitokea ukiwa umekombilewa fikra ukataka kuwaonyesha uhalisia wa mambo ulivyo wabakuua; Mungu okoa Afrika
Dj Sma hii kitu inasumbua mataifa yote ya Afrika bado tupo chini ya ukoloni mambo leo na hili ndivyo lilivyo kiukweli inaumiza ndo maana huwa inakuwa ngumu sana wakati mwingine huwezi kupinga baadhi ya vitu eg. Chanjo, mikataba, n.k kwasababu tayari viongozi wanakuwa wamechukua mikopo umiza na kupewa ulinzi wa hari ya juu lakini mambo ni mengi sana ya hovyo mengi ambayo yanaendelea Afrika viongozi wanaficha hela huko Ulaya, China, Marekani, n.k ni hii yote ili kukichafuka huku wakimbilie huko ni aibu kubwa sana sijui mbaka Mungu ashuke
Tz hatuna Uhuru ndomana tumelazimishwa wanaume tuzagamuwane sisi kwa sisi
Hawa Wamagharibi hutembea na faida. Huenda kuna madini hapo ambayo waliyataka wao ila kiongozi aliopo mamlakani kauza kwa Mchina mzigo. Ndio wanapinga
AFRICA bado tuko chini ya Wakoloni Indirect
Waafrika nikuamka tu nakuamua kuleta mabadiliko yetu wenyewe kama walivyo fanya wachina wahindi wairan wakorea achaneni na lugha Yao Elimu Yao tukubali kuumia kwa muda kidogo miaka 20 viongozi wenye kasumba za ulaya wakae pembeni tunatoboa saiv
Leo tuna waona Marais wa Bokinafaso Nigera Mali nawaambia mtaona muda sio mrefu watatengena vitu vyao ni ujinga kabisa tunangoja Ukreni amalize vita tukawaombe chakula kweli tumelaaniwa Hawa viongozi wetu ndio matatizo matawafunga watu wanaowakosoa kwa faida ya nchi badala ya kuwasikiliza mawazo Yao Ili myachukue Mya jaribu mmeshindwa
Mimi naunga mkono Bunge la ulaya kwasababu wa bongo waongo waongo wanapokuwa ulaya wanajionyesha kama kwamba mambo ni mazuri lakini kumbe ujanja ujanja tu
Hao ndo mabosi zetu wanaotulipa hela za kula kila siku no way
Na Tanzania kuna Vibaraka Wengi wa hayo mataifa yanayotutawala, ikiwemo vyombo vya Habari kama hii JAMIIFORUMS..
Nchi za Africa zina uhuru bandia ipo haja ya kuunganga bara Zima ili kupigania Tena uhuru wa kiuchumi na wakimaamuzi.
Kwa upande mmoja unapinga bunge la ulaya kuingilia mambo unayoita ya ndani ya nchi, wakati huohuo hutaki kutoa hoja yako kama kinachofanyika ngorongoro ni sawa au siyo sawa. Sasa elewa hivi :Kwa mujibu mikataba tuliyoridhia ya Haki za binadamu kiulimwengu ,Kama kinachotendeka ngorongoro ni uvunjifu wa haki za binadamu, basi bunge la ulaya wako sahihi.
Da umemjibu sahihi anaonekana uyu ni boya
Ili mbuga ziwe za wote na kwa manufaa ya wote inabidi wahame na utalii uendelee kwa manufaa ya wote sisi ma wanyama kwa kuwaachia maeneo yao ya malisho mazalio na vingnevyo lakin kama awahami na sisi haturuhusiw kuishi huko ni wao tu peke yao basi hapo tunatengeneza tabaka la wengne kunyimwa haki ya msingi
Vifo vya watoto Palestine haki za binadam hazion ...
Sam form four bt not failure ila naona tunawapa colonieser sababu za ku colonies
Wazungu wameona thamani ya uwepo wa wamasai pale ngorongoro dah aibu kubwa kwa taifa hii yaan mzungu anaona masai hastahili kuhama eneo lake la asili ila serikali mukawapiga na kuwahaamisha kwa nguvu then mukawapa wawekezaji wajenge mahotel, shame on you Tanganyika
Kama ulaya hawana mandate ya kuhoji kuhusu wamasai, ni kwanin inategemea misaada ya ulaya. Kama tunataka kufanya mambo yetu tujitegemee na tusiwategemee wao ambacho sisi Tz hatuwezi. Acha wawanyooshe viongozi wanyonyaji wa baadhi ya nchi za Africa
Bunge la ulaya lipo sahihi asilimia 100 wao ndio wanajazia bajeti ya nchi kwa asilimia kubwa hivyo wanajua huu mchongo wa ngorongoro mnataka kujipigia pesa kwa kuwaonea wamasai kwahiyo Wana HAKI maana uchumi wetu upo mikononi mwao.
unachanganya faili wanao kimbimbilia mafichoni kwa nn wasijifiche ndani ya inchi yao afu kw nn wakimbizi wanatokea kw sbb wanapo ishi msaada ni mdogo
Wacha awanye hivyo hivyo maana kama nyee ndani hamelewani mpaka kuuana si nafuu watu wanje waingilie
Kujerekebisha sisi wenyewe tutaumizana mpaka Dunia itashangaa! Waafrica sisi niwakatili kushinda watu wa Ulaya
Yeyote anaelifanya jambo hili kuwa la sera za vyama vya hapa tz ni mpotofu na ni sehemu ya bunge hilo la wahuni wanatafuta kuiendesha dunia kwa maslahi yao nyuma ya shirika la haki za binadamu
Poleni sana 😢
Sawa kabisa mchambuzi
Na ssi bunge letu lipige kura kuzuia mauaji ya wapalestina
White police in American wanawapija Risasi na kuwauwa Africans American kila siku tena zaidi ya miaka 50 Usikii Haki za Binadamu hapo
R.i.p magufuli
Kwanini wapige kura,,,,,ko wakizuia wanakuwa serikali haiwezi endelea na mipango yao???? Na je wana interest gani,,,,tukiachilia mbali kuwa hata mimi sijakubaligi kuhamishwa kwao
Hapo sijaona link ya wamasai na huyo mpoland na wa fifa ...ukialinganisha na kichwa cha habari, jaribu kujiboresha kama unataka kuwa real and not business wa fasters for short time..na hayo tu
Wamasai ni moja Kati ya makabila yanayotambulika Duniani Sababu ya preservation of culture Yao..Huwezi mkawaamisha tuu ovyo ovyo.
Dj Sma kwani wewe huu mgogolo huujui au ndo unaogopa kusema ukweli?
Pumbavu San ebu wazung watuache na Africa yetu
Siyo.sahi.sisi.afirika..matatizo.yetu.kututariiya.na.ichi.za.uraya
Na wewe pia ni mpambe wa mama e. Watafute na wengine muwe wengi, tatizo na wewe hujui kinachoendelea ngorongoro badala ya kuhoji kama mwandishi kwanini hamuruhusiwi nyinyi kuja ngorongoro, Acha ushamba
Lakini mbona wanatoa wamaasai kwenye ardhi Yao
Inauma sana maskin
Acha wawa saidie kwanza ,sababu watanzania mna zingua Dj sma serekali yenu ilifanyaga makosa .kuhamisha jamii sehem yake ya asili nikupoteza utamaduni wake .wako sahihi acheni mbwembwe
Yani ww uelewa wako mdogo! Mada inayo ongelewa ni ni kulia ww unakuja unaongela kushoto! Shida watu mnaelewa macho taka nyingi kuelewa na sio kusikiliza mada inaelewesha Nini ila kwavile ww mjuani sana! Nenda katengenezw video Yako na uonge maneno Yako UNAYo ona ww sawa
@@djsma255 uelewa wangu mdogo au wewe ndo auku nielewa , siku lenga mada yako nilikenga maamzi ya mama tako . We haujuwi kama kuamishaa jamii fulani sehem yao ya asili nikuvunja utamaduni . Yani wewe ulichukulia poa tu . Alafu uwe n'a adabu ndugu , sisi tulianzaga arakati kitambo tulishaga fanywa vinaya kwajili ya Africa kaka . Mi sio mtanzania lakini kiswahili changu nazani unakielewa . Msiwe mna fumbia macho mazuri ya wabaya wenu naku tazama mabaya yao . Kumbuka kua ata m'baya wako anaweza aka fanya mazuri .kama ilo la jamii ya wamasaiyi sio haki walio tendewa kaka . Kutuamulia ni vibaya ndio ila kama maamzi ni mazuri tuwe nakaushia
Asante smaa
ila iyo lugha yako ya kejeli sio nzuri
Naitwa djuma Panafrican kutoka canada ottawa
Kwahiyo tumeuzwa wazi wazi sasa nchi yetu mamuzi yatoke kwao huko ata ngorongoro wengine hawajui rangi yake heee heee mbona sina taifa
Tujiulize Tunajitawala au tunatawaliwa.Na ushoga tunalazimishiwa.Tujitoe kwenye misaada hili tuwe huru.
Jibu lipo wazi
Wamasai wapo sahihi asilimia 1000.
Aaaah si tushachoka bhn wacha wafanye wanavotaka
Nisawa kushitaki huko kwa sababu masuwala ya kupiga kura tuu hamuyawezi wizii na visasi sasa wawatu wakashtaki wapi
Bunge la ulaya lingeomba ushirikiano na UN ili kuongeza nguvu ya pamoja kupinga swala hili ambalo linahusisha michango mingi ya ufadhili wa mataifa haya. Lkn kama watajali maslahi yao binafsi wanayopata basi hawatajali haki za Wamasai wananchi yasiyowaathiri wao.
😢😢 subbhana Allah bismillah astaghfirulllah. Kwann lakin raisi hawasikilizi matatizo yamasai kila mara wanahama Kwan wanataka kuwapeleka wapi 😢
Ulaya wanasema wanaume waoane je unaonaje hapa hawa watu wana akili kweli?
Vyema
WATU WANAHAMISHWA KILA SIKU SEHEMU TOFAUTI , MBONI HAWAINGILII AU KWASABABU HAWO WANAITWA WAMASAI , JUZI TU WALIKUJA KUOMBA MSAMAHA KWA KUWAUWA BABU ZETU. HAKI ZA BINADAMU, WAKE UP AFRICA LEADERS AFRICA FOR AFRICAN.
Je unadhani ni sahihi wamasai kuondolewa ngorongoro?
Je, anajua kinachoendelea ngorongoro au ni kutafuta nafasi Ya Ayo tv
Wapige kura na bandari yetu basii mbona wabaguzi hao wazungu
Mwanaume nafasi huwa hazijaii 😂😂😂 nadhani tumeelewana
Brother Africa bado ni colony la nchi za Magharibi.. Wanafanya kile wanachokitaka, Ndo mana ukiwa hukubaliani nao wanakumaliza...
✌️👍👊.
Ndomana kagame kasema usitupangie
Tatizo ni moja tu! Nalo ni kutotoa taarifa sahihi juu ya kinachoendelea huko Ngorongoro na Loliondo! Kulikuwa na sababu gani za msingi za kuwazuia kina Lissu na wengine waliotaka kwenda huko kujionea kinachoendelea. Siku zote mficha uchi hazai! Kama wahusika wangetoa taarifa zilizo sahihi unadhani haya yangetokea? Kama Watanzania tuna haki ya kujua kinachoendelea huko kabla ya kuwalaumu hao EU!
Kwa hiyo unaungana na ulaya, wakati wao wenyewe Wana Yao tele mabovu.
@@maryamtan682 kabla sijakujibu nami naomba nikuulize, Je! Unajua kinachoendelea Ngorongoro na Loliondo?
@@georgewarioba9769 kwa hiyo hao marekani wanao waua watu weusi kl sk ndo unaona wa nakupenda ss. Akili kichwani mwako.
Akina lisu ni vibaraka wa mabeberu
So waamini Lisu angelikwamvia ukweli ?
U gotta learn how global politics work bro, bunge la ulaya n other multinationals have influence huko kote Africa whatsoever, aids n other projects zenye mnatumia so that's a price for it, the moment uta liberalize economy Yako with highest level of integrity ndo day utakomeshw the influence of north south model, otherwise kwa sasa chill tu
Facts
Hata hujua sheria za kimataifa? Hujui bunge lolote linaweza kukaa na kuonyesha msimamo wao dhidi ya ukandamizaji unaotokea nchi yoyote? South Africa wame amua kuondoa uhusiano wa kibalozi na Israeli kwa sababu ya mauaji ukanda wa Gaza. Je Gaza iko Afrika ya kusini?
sawa je kwa mantik hio hio, iumesema bunge lolote linaweza kukaa na kupiga kura kuonesha msimamo dhidi ya ukandamizaji nchi yoyote! mpaka saivi wamekufa raia 20,000 watoto wakiwa takrubani 15,000 huko ghaza, je wameka na kuinesha msimamo wao dhidi ya ukandamizaji huo?
Hii video yako inapidi Fute. Rudia nyingine properly
Kwenye hili nipo upande wa ulaya
Following chief
Na palestina je?
Bado huelezi vizuri unaludia kuwa kama denisi mpagaze
Ww katengenzw video Yako ueleze vizuri zaidiiiiii
😢😢😢😢
Sasa tuelewane wewe unabariki wandolewe wa lipo zaliwa
Mkiwatoa wamasai tza hawatakuja tena watalii
Wapo sahihi kabisa, wamasai wanateseka sana. Jueni hilo kingine Jueni wamasai na wanyama wetu wametunzana, miaka n miaka, wanajuana hata kihalufu.
Mimi nilikua sijui kama wanataka kuhamishwa
😂😂😂
Sielewi wewe unasema nini wakati Watawala wanatumia dola kunyanyasa wananchi wake bila aibu. Afadhali kuna watu wenye utu hata kama hawaathiriki na mateso husika.
Na kweli huelewei hata mada ya hi inahusu Nini, kilicho ongelewa na unacho ongea vitu tofauti
@@djsma255 Sawa haina shida maana kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake ila ukweli utabaki pale pale kwa siasa za Afrika ambapo Watawala wanawakandamiza watu wao huwezi kutegemea taasisi kama African Union kuingilia kati ukatili unaofanywa na Viongozi wa nchi ya Kiafrika kwa kisingizio cha kutoingilia mambo ya ndani ya nchi husika. Mfano angalia Kinachoendelea Niger na etc.
Ideology means the system you use to rule
asante
@@djsma255 Assalaam alaikum , ongera sana kaka kwa kutusanuwa ; je napataje link ya WhatsApp ?
unadanganya watanzania kwa sababu unacover mambo ya ulaya mbona sijaona wamasai wa ngorongoro wakiwa wanaongea kwenye chanel yako. Unajua kinachoendela Ngorongoro. Acha Dhambi watu wanateseka uko Ngorongoro. GOD will punish u. Sikilia watanzania achana na siasa za ulaya utachanganya watanzania. Uko very bais. Huosio uandishi wahabari infact umeharibu sns wangu ukose simu na tv. bogas view. balance story don't mix topic
Booss ww nikama mchochezi ee
Mpumbavu wewe.. mhamishe mama Yako mpeleke msomera kama ni vizuri kuhamisha wamasai kwao.
RULE OF LAW : UTAWALA YA SHERIA
🙏
Bro watata tv size gani
65"
Acha unafki.
Kwani unadhani hii nchi ya tanzania ni ya kwetu hii nchi ni ya queen elizabet kaka
😂
Si wanatoa Hela.. Unafikiri miradi inayoendelea ni Hela za watanzania?😂 Mwenye kutoa hela ndo mfalme.
Ni uroho wa samia na kikwete mbona magufuli hakukubari huo ujinga?
@@florencemeza6540 Magufuli kashaondoka…asiyekuwepo na lake halipo.
Shame on SnS
Ni sahihi, wewe ni chawa wa Ccm
Kama dj sima ni ccm basi Na wew ni kibaraka wa wazungu..basi bora kuwa kibaraka wa ccm mana wa tz wenzetu kuliko kuwa kibaraka wa mzungu mleta vita na fitna katk nchi
Dj Sma 😂 Mbona kama Mwanangu umepaniki 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kivipi? Wakati sijatoa maoni yoyote yangu binafsi!
@@djsma255sure umepanic, huja relax kabisa ts like your tamper imepanda, voice tone yako haiko sawa, au labda unahis baridi au unaumwa unless otherwise umepanic, stay calm bro, nenda kasome Al israa, verse 1 to 4, huenda ukapata nafuu ya yanayoendelea Duniani,,
Mifumo yetu ya uongozi ni yao! Lazima tuwaombe ushauri kuona tunafeli wapi?😁😁
😂😂😂Hii nayo kali,imefanya mpka nchi zingine zimekua na vita siku zote,tuacheni hizi ili tuwe na Amani ya maisha,peace needed everywhere.
Mtanikunbuka jpm
Futa
Wewe.ni mjinga tukama wajinga wengine
Wewe Ni mpuuuzi unachokifanya kinaitwa SPIN. in short F*U. Sikia Unajua kinachoendelea Ngorongoro. Chukua Topic Moja usichanganye topic. Ngorongoro Hakuna mahali hatitaenda kutafuta msaada. Mahakama ikichelewesha haki. Ukoloni na Ngororongo ni two different topic. Wewe Hujaongelea kuhusu ngorongoro hapa mara moja. Mbona Huja cover mambo ya ngorongoro uone wanaona vipi kuhusu kuamishwa. Unaongerea Ulaya kuliko Ngorongoro hapo wewe na sns ur going spin and it's stupid.
🤣🤣
Yaani huyu jamaa kwanza ni muongo sana na makala zake,hivi yeye kama muandishi ashawahi kufika Ngorongoro?
Ni bunge la kipumbavu tu hawana mamraka ya kutupangia cha kufanya kwenye nchi yetu nchi yetu ni huru