Mvutano Kati ya Madeleka na Hakimu Kesi ya Afande, Madeleka Apanga Kwenda Mahakama Kuu

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 дек 2024
  • Wakili Peter Madeleka anayemwakilisha Paul Kisabo kwenye kesi ya inayomkabili Afisa Fatma Kigondo kwa kuwezesha genge la watu wanne kufanya ukatili kwa binti wa Yombo amesema, kesho Oktoba 16, 2024 atawasilisha maombi kwa Mahakama Kuu ya Tanzania ili kuangalia shauri la kesi hiyo kama linakiuka sheria.
    Wakali Madeleka anatoa kauli hii baada ya kutokea mvutano baina yake na hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama ya wilaya ya Dodoma Nyambuli Tungaraja kwa kutupilia mbali hoja walizo wasilisha za kutaka afisa huyo kukamatwa kwa kuidharau mahakama kwa kushindwa kufika mahakamani Oktoba 7, 2024 na kutokupewa dhamana.
    Wakili huyo amesema, uamuzi uliyotolewa ni kuwa hakimu hawezi kutoa amri ya kumkamata Fatma Kigondo na wala hawezi kutoa amri ya kunyima dhamana kwa kuwa dhamana ni haki ya mshtakiwa.
    Unaweza kutufuatilia kupitia;
    TWITTER: / thechanzo
    INSTAGRAM: / thechanzo
    FACEBOOK: / thechanzo
    TIKTOK: www.tiktok.com....
    Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
    Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
    The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.

Комментарии • 7

  • @akilimendy1016
    @akilimendy1016 Месяц назад

    Uyo hakimu 😢😢ana watoto wa kike tumuoneshe upendo kidogo😅

  • @NorbethJosphath-hm1zb
    @NorbethJosphath-hm1zb Месяц назад

    Mungu futa wanadamu duniani tumekuwa kero weka samaki tu mwanachi akifanya makosa nikifungo askari swali tu Mungu tusaidie

  • @hadijatwahadossa
    @hadijatwahadossa Месяц назад +1

    Na watu kama hao ndo wanaomhalibia mama yetu Rais Samia.....Mama Samia kuwa makini sana na watu kama hao..wanaojiona wako juu ya sheria...

  • @abdalaseleman921
    @abdalaseleman921 Месяц назад +1

    Hakim Tungalaja kanyooka sana, hafuati mihemko. One of the best magistrate. Wanaomfahamu huyo hakimu watapata shida kushawishika na Bw. Madeleka

  • @DaudSuday-v5c
    @DaudSuday-v5c Месяц назад

    Tugalaja itakuwa kapokea rushwa mpenda pedal huyo hakimu mpumbavu sana

  • @violetcarroll4930
    @violetcarroll4930 Месяц назад

    🫡