Kila mtu ni mkosaji iwe Kwa kujua ama Kwa kutojua Cha muhimu ni kusimama katika nguvu ya Muumba maana yey hatuchoki na hutupambania kila tunapokosea❤❤❤
Mm ni shabiki mkubwa wa simulizi katika simulizi zote nilizosikiliza muandishi Lissa Mwalla katika simulizi 3 zilizonigusa na kuniumiza ni simulizi ya Neria Banka na cara ila hii ya cara yaani lissa umetisha sna hongera kwa uandishi mzuri haki inagusa maisha ya watu na mitihani tunayopitia hongera sana sana mimi nakupa maua yako kwa hii simulizi imeniumiza hadi kutokwa na machozi❤❤❤❤
Tumpe 2 maua yake 🌹🌹anastahili maan hata mm katika simulizi zote nilo pata kusikiliza ya NERIA na CARA zimenigusa sana hususan katika huu ulimwengu wa ssa n kweli haya mambo yanatendeka kwa baadhi ya watu kwa uhalisia kabisaa inauma mnooo💔💔 hongera kwa anko j unapendezwa n kaz yko 😅
waah huyu dada cara kweli kapitia alitanguliza tamaa mbele sana na kuachia mwili wake kwa kila aliyemtaka hadi wanawake bila kuhurumia,ametumika vibaya mno kachezea mfumo mzima wa maisha yake,ama kweli nimejifunza vingi na pia namwomba mungu aniridhishe na hiki kidogo ninachokipata inshallah 🙏🏼😢 pole sana dear, & thanks so much anko jay mungu azidi kukuweka tuzidi kufrahiyia story zako 🎉❤❤
Haa mishe ni ya mungu hukijesa hutapotesa shetani ndiyo haliarimbu maisha yako pole Sana Dada. Mungu Hana kupenda Sana bado wewe ni mdogo hutapata wako shatani Hapendi mema ya mtu ni laana kutoka kwa wazizi. Wazizi walikutakiya mema lakini wewe hukuwasikiliza shatani halikuoyeshe hupade moja wa bili hakuonyesha kama jela hayo meingi
Jamani BINTI CARA kwa kweli hapa kujifunza kitu hizi simulizi tunajifunza mengi sana asante kwa simulizi ankojay tujifunze kitu tamaaa ya maisha mazuri mwisho wake ni mbaya 🥰🥰
This is called lack of parental guidance if only her parents were there for her all this could have not happened plus she was big but not matured, engaging yourself into things without questioning if it will coast you or will bring benefits in to your life 😢pole sana Cara hope you've learn your lessons
Exactly mama sometimes parental love is very important, if her father was supportive to her from the start all this would not have happened, end also the girl her self was very stupid, she always said yes in everything even though she new it was risk to her life
Yaan huyu mdda ni marafiki ndo walo mpotosha heshi kusikiliza ya watu sijui lilikuaje wakati nasikiliza hii simulizi llikuwa linanikera kufata fata watu ushaur wa hovyo jmn 😅😅😅 na yye likikua haliachi linaenda 2 💔💔
😢😢😢😢😢😢😢imeniskitisha sana ila ni somo kubwa sana maana wasichana wanao enukia huwa wanapenda sana soft life na short cut of life mwisho wake ndio huu heri utoke jasho kwa pesa yako ya halali jasho lako kuliko maisha mepesi mwisho wake mbaya inafunzo kubwa sana
Ahsante sana Anko jay,,,hii simulizi imenitoa sana machozi na imenipa mafunzo mengi sana,,,,ila cara amenikera mno😢😢 yani mtu umeponea kwenye tundu ya sindano alafu ety uasahau kirahisi unarudia yaleyale ..yakishakupata ndio unamkumbuka mungu 😂😂😂😂😂 pesa shikamoo,,kipochi manyoya changu nakitia kufuli the 😂😂🔒🔒🔒funguo naitia chooni 😂😂
Binty Cara kumbuka King alkuwa kazin mwenzio,,,,msamehe jamaniii,,,,mm kma mwanafamilia wa Anko J,,,namuombea msamaha kutoka kwako umsamehe tafandali,,,
Mwana kuli find CARA alikua mpumbav bdo umesahau kwan angekua kwa king sley upuuz wake na moyo wke mgumu yaan huo moyo wake mgumu kwa king sley ndo ungekua kwenye kukataa madawa ya kulevya angenifurahisha sana ila💔💔

Acha weee..ndo maana nakupenda anko wetu...acha nijikusanye na mm end month nikusapoti kwa kazi nzuri ❤❤❤
Nitashukuru 🙏
@@ankojay_ mm pia ni shabiki wako end month ntasupport show
@@TinahAdhiambo Ubarikiwe 🙏
Tupe no tutoe nchango
@@AnastasiaWanja-g3u Mungu akubariki, Namba ni +255684689541
❤❤ ximuliz nzur sana ankoj nimejufunza kitu kutokana na maixha ya cara❤❤
Pole binty Cara kwa uliyo pitia yote nimejifunza k2 asanten nanyi pia mbarikiwe
Kila mtu ni mkosaji iwe Kwa kujua ama Kwa kutojua Cha muhimu ni kusimama katika nguvu ya Muumba maana yey hatuchoki na hutupambania kila tunapokosea❤❤❤
Waaaah!hili kama ni movie ingeitwa jeraha la moyo au maumivu mana si kwa mikosi hii loo awe pole sana maisha hufundisha kwel
Nakukubali sana anko Yan napenda sana sauti Yako pia kila simuliz huwa naifatilia mpaka mwiso❤❤❤❤❤❤
Pole sana binti cara Mungu yupo endelea tu kwa kazi , piko siku utaona mwanga
Pole sana Cara ila wazazi ndio chanzo cha haya mapito yote unayopitia
NB wazazi tuwe makini na maisha ya watt wetu InshaAllah 🙏
Wala sio wazaz tabia zake mwenyewe kama ilikua bahati mbaya alivyo pata pesa asingerudia
Tumejifunza sana asante sana ankojay ❤❤❤
Mungu ni mwaminifu sanaaa jamn anahuruma sanaa
Tumepata mafunzo asante sqna ❤❤❤❤
Mm ni shabiki mkubwa wa simulizi katika simulizi zote nilizosikiliza muandishi Lissa Mwalla katika simulizi 3 zilizonigusa na kuniumiza ni simulizi ya Neria Banka na cara ila hii ya cara yaani lissa umetisha sna hongera kwa uandishi mzuri haki inagusa maisha ya watu na mitihani tunayopitia hongera sana sana mimi nakupa maua yako kwa hii simulizi imeniumiza hadi kutokwa na machozi❤❤❤❤
Kweli Cara nunmwisho wa matatizo nu nzuri na nunmwisho wa matatizo
Tumpe 2 maua yake 🌹🌹anastahili maan hata mm katika simulizi zote nilo pata kusikiliza ya NERIA na CARA zimenigusa sana hususan katika huu ulimwengu wa ssa n kweli haya mambo yanatendeka kwa baadhi ya watu kwa uhalisia kabisaa inauma mnooo💔💔 hongera kwa anko j unapendezwa n kaz yko 😅
hii simuliz kweli,,,, ni nzur na inamafunzo mengi sana,, tena yote yanapendwa na watu ,,
waah huyu dada cara kweli kapitia alitanguliza tamaa mbele sana na kuachia mwili wake kwa kila aliyemtaka hadi wanawake bila kuhurumia,ametumika vibaya mno kachezea mfumo mzima wa maisha yake,ama kweli nimejifunza vingi na pia namwomba mungu aniridhishe na hiki kidogo ninachokipata inshallah 🙏🏼😢 pole sana dear, & thanks so much anko jay mungu azidi kukuweka tuzidi kufrahiyia story zako 🎉❤❤
Dah anko jay umeniliza jamni haya maisha mungu akupi unacho kitka
Waooooo daa nimisubiri sana❤
Haaa pole sana dada cara kwa yote ila endelea kumtumaini Mungu maana ndie muweza wa yote
Asante sana anko jay kwa simulizi ya tamu nimejifunza mengi sana thanks 🙏🙏 alot
Haa mishe ni ya mungu hukijesa hutapotesa shetani ndiyo haliarimbu maisha yako pole Sana Dada. Mungu Hana kupenda Sana bado wewe ni mdogo hutapata wako shatani Hapendi mema ya mtu ni laana kutoka kwa wazizi. Wazizi walikutakiya mema lakini wewe hukuwasikiliza shatani halikuoyeshe hupade moja wa bili hakuonyesha kama jela hayo meingi
Asante sana Anko wetu leo cjachelewa sana
Pole daa cara
Jamani huyu cara chizi heeee nacheka peke yangu 😅😅😅😅😅😅
I have been waiting for this omg leo nimeingia kuchungulia kama mara 7 Hivi
Asante sana j nimejifunza mengi sana kupitua hii cara najiulza kamaingekuwa me ningefanyaje nimeumizwa muno pia Allah akuripe mema dunia in akhela
Hi iko pw sana yn nimeinjoi san❤❤
Caraaa weee yaani hajui kukataa aaah umekuwa mama huruma wa ngono si Bora ata nifungwe maisha weee apana mengine bwana yakujiongeza🙆🏿🙆🏿🙆🏿🙆🏿
Adi nalia jamn ino part ya mwisho inauzunisha sana jamn kazi nzuri liza kwa kuandika story ya maisha wallahi😢😢😢😢❤❤❤❤❤❤ankojei tunakupenda sana
Cara ni nusu ya maisha yang asante anko j now nitajifunza matako sio kitu ila utu na utafutaj wa halali❤🙏
💪💪🥰🥰🥰💕💕🔥🔥🔥fire fire 🔥 ni nzuri
Nakupenda saan anko jay 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
King mpelelez
Jamani BINTI CARA kwa kweli hapa kujifunza kitu hizi simulizi tunajifunza mengi sana asante kwa simulizi ankojay tujifunze kitu tamaaa ya maisha mazuri mwisho wake ni mbaya 🥰🥰
Kabisa
Nakubalian nawe ila huyu binti CARA dah yye ni shda mwanzo mwisho hongera kwa anko j maan tumejivunza mengi aisee
This is called lack of parental guidance if only her parents were there for her all this could have not happened plus she was big but not matured, engaging yourself into things without questioning if it will coast you or will bring benefits in to your life 😢pole sana Cara hope you've learn your lessons
It's true gal..I support you
Exactly mama sometimes parental love is very important, if her father was supportive to her from the start all this would not have happened, end also the girl her self was very stupid, she always said yes in everything even though she new it was risk to her life
@violet mulya beauty with no brains inauma sana
We have to pray God only in every situation
Asante sana anko Jay kwa simulizi tamu yenye mafunzo .....binti Cara ulichezea bahati pale ulipopendwa na naibu waziri
Yaan huyu mdda ni marafiki ndo walo mpotosha heshi kusikiliza ya watu sijui lilikuaje wakati nasikiliza hii simulizi llikuwa linanikera kufata fata watu ushaur wa hovyo jmn 😅😅😅 na yye likikua haliachi linaenda 2 💔💔
Duuuh cara ni kiboko ya wanaume yaani wanamfuata sana❤❤❤❤
Haya nami doo naigia uwachani Asante saana akojey kwakutumpeda asakwamwedelezo gojakwaza niisikilize mbadaye nitarudi❤❤❤❤🎉
Daa Cara ulikuwa unahatari sana hatakujiurumia hukuweza.❤❤❤❤❤❤
Amazing ,zimulizi kali sana ,, maisha haya, n Mungu tu
Dahhh pole sana bint cara.
Yaani kwa uliyopitia mmmh jamani nimemaliza simulizi na udhuni, maisha yako yamekuwa magumu mmh.
😢😢😢😢😢😢😢imeniskitisha sana ila ni somo kubwa sana maana wasichana wanao enukia huwa wanapenda sana soft life na short cut of life mwisho wake ndio huu heri utoke jasho kwa pesa yako ya halali jasho lako kuliko maisha mepesi mwisho wake mbaya inafunzo kubwa sana
😭😭 jamaniiiii hi story ilinihuzunishaaa sanaaaaa
Asante Anko jeyi tulisubiri hatimaye tumefanyikiwa kuibata ya mwisho kabisa
😂😂😂kuibata tena
Ahsante sana Anko jay,,,hii simulizi imenitoa sana machozi na imenipa mafunzo mengi sana,,,,ila cara amenikera mno😢😢 yani mtu umeponea kwenye tundu ya sindano alafu ety uasahau kirahisi unarudia yaleyale ..yakishakupata ndio unamkumbuka mungu 😂😂😂😂😂 pesa shikamoo,,kipochi manyoya changu nakitia kufuli the 😂😂🔒🔒🔒funguo naitia chooni 😂😂
😂😂😂😂 khaaa dada yangu
😂😂😂😂😂😂😂😂
Leo ndo nimejua kipochi manyoya ni nini😂😂😂😂😂😂
Cara patamu hapo 😂😂🤣🤣 hii simulizi ni yakuchekeza na kulia dah pole Cara 😭😭😭😭🥱🥱🥱 shukran Anko Jay
Binty Cara kumbuka King alkuwa kazin mwenzio,,,,msamehe jamaniii,,,,mm kma mwanafamilia wa Anko J,,,namuombea msamaha kutoka kwako umsamehe tafandali,,,
Asante sana Anko j nilisubili kwaham mungu akubaliki
Daaah iyi Simulizi jamani himeniacha mdomo wanzi kweli 😭 eheee mungu ni Epushe na tamaa
Asante sana kwakweri hii hadithi ina mafunzo mazuri sana CARA pole lakini umehu i
Wewe ni motto Kwa simuxi zako,kiukweli zinafundisha
Mmmh cara hujifunzi? Anko jay asante sana
😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢nimeuliza aki
Mhm funzo kubwa tuache tamaa tukinai na tunachopata japo kidogo lakini cha halali...shukran anko J simulizi zako zinatufunza kweli ❤🥰
Kwakweli unatufunza mengi sana anko J hongera kwa hilo
Asanteen sanh da lisa n ankjay wet ❤❤
Pole sana cara, nimejifunza sana mengi kupitia simulizi
Hi Lissa Mwalla? ahsante Anko Jay 🙏
Anko jey unawezaa sanaa
Kwakweli simulizi hii inamafunzo makubwa kwa watu wenye tamaa za urajir waharakaharaka kwakweli bigup
Kabisaa
Nime jifunza san marafiki sio watu wa kufuta kabisa Allh atu saidie😢😢😢😢
Jamani cara amukubalitu huyo ndiyo anatuma anageuka jamani anamupenda
Daaah story inahuzunisha mmmh dada anatamaa mpaka basi🎉
Mungu akusaidie cara
Anko jei peleka mahari uko ukamuwokowe cara. 😂😂🎉🎉🎉😂😂😂🎉🎉
We Dada umenikela sana
Kwa kweli inauma pole sister
Ankojoy mungu akuzidishiye uzima simulizi nzuri sana imenitowa 😂😂😂😂😂😂
Anko wewe 😂😂😂yaani namwnea huruma sana binti Cara
Daah inasikitisha sana kwakweli tamaaizi sio zuli nimejifuza meng kwenye hii simulizi thnx anko jey
Mamalisa Ahsantesana kwamafunzo umenifunzakwakweli naskitika
MSIMLAUMU. SANA. CARO. NISHETANI. NDIO. ALIOMPITIA TUMUOMBE. MUNGU. KTK. HII. DUNIA. NI. MUNGU. PEEE. NDI. WA. KUWEKWA. MBELE😊😊😊😊🇹🇿🇮🇹
Wamwisho munipeni like zangu cara anatufunza mengi sana
Jamani maisha aya mungu atusamehee pole sana dada Cara
Nimekuwa wakwanza naomben like zangu
😊😊😊ep.😊
🎉🎉🎉❤❤❤
Waacha weeeee😂😂😂😂 unajamba adi kinyesi kinatoka
Uwiiiiiiiî mungu wangu dunia ndio iko ivyo mpaka nimekua gafla kimawazo
Hilaaa ankoo jamn sijapenda😢😢 yaaaan pamoja na cara kuniliza kooote kule alaf anaishia kuwa mke wa pili😢😊
Mwana kuli find CARA alikua mpumbav bdo umesahau kwan angekua kwa king sley upuuz wake na moyo wke mgumu yaan huo moyo wake mgumu kwa king sley ndo ungekua kwenye kukataa madawa ya kulevya angenifurahisha sana ila💔💔
Ansante san🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮👍🏽
Asnt anko j nimejifunz😊much love
Uyu dada mbona story yke inasisimua sanaaa loooh amepitia magumu jomn huluma 😢sanaaa
Yaani hi simulizi... loo!
Achaaaaaaaaa😂 akomeeeeeeeee simulizi Tamu 😂 mwenye kulifind mwenye kuligeti akili yake ilikua matakoniiiiiii🎉 😂
Yaan cara kha anaboa sanaa cjui ana pepo
Asante sana for kazi yako ya juu sana Anko j. Pokea our ❤
Hakika cara kapitia mengi story imenitoa machozi
Asante sana Ankojay, mafunzo tele hapo.. lol....
Nyiee mambo ni moto🔥😜
Nyie kila mtu na ulevi wake mimi wangu simulizi 😂😂😂❤
Enjoy
😅😅😅 hta mm naon hivo ili nilale nisikie saut ya anko j 😂😂😂
@@ankojay_ ni saa 2:40 uck, nalizwa na simulizi... cjalala toka jana nackliza simulizi😢
Dah kwakweli stor mzuri mno inasisimua ❤
Dah kwakweli stor mzuri mno inasisimua ❤
Ukomwisho sasa❤❤❤❤
😂😂😂😂😂😂dah jamani hii story ni motoo,
Jamani bebe kanusurika kukeketwa mara ya pili😂😂
🤣🤣🖐
❤❤❤❤Asante sana Anko jay
Ok
Ila kuzaa na tajiri raha sana
Asantaa sanaa Kwa simulizi
Kweli hii Kali xna xnte ankoj kwa mafunzo mema ubarikiwe xna
Asant Sana Ankojay
Pia asante anko kwa mwendelezo wa hii simuliz
Jamn cara umeliwa na wanaume weng jamn mungu anakuona
Daaah hatimae kumefuka mwisho jamani moto sana 😂😂
Nimelia 😢😢😢😢
waah huyu dada cara kweli kapitia alitanguliza tamaa mbele sana na kuachia mwili wake kwa kila aliyemtaka hadi wanawake bila kuhurumia,ametumika vibaya mno kachezea mfumo mzima wa maisha yake,ama kweli nimejifunza vingi na pia namwomba mungu aniridhishe na hiki kidogo ninachokipata inshallah 🙏🏼😢 pole sana dear, & thanks so much anko jay mungu azidi kukuweka tuzidi kufrahiyia story zako 🎉❤❤
Hii simulizi inamafunzo mengi sana asante sana ankoJ❤❤❤
Anko j usimuoee cara ana mashauzi❤❤❤