As a beginner au mtu yoyote kwenye trading au business yoyote you should have the followings; 1)You should have plan which contains the followings; -you should have strong why you want to do trading, -you should have enough capital which can even be skills, -you should have realistic goals, -you should look what to sacrifice, -you should limit your expectations of making money easy and fast, -you should spend at list 10000hours for you to get good things, -you should spend a lot of education, -you should have money management,risk management and account management. THANKS FOR THE VIDEO.
Nimejifunza trading or any business without plan you are going to fail Na nitaanza kupanga goals zangu maana why yangu nilisha jiuliza before sijaona hii video lkn sikujua kama hiyo ndo why kingine nita weka my lifestyle, good money, account and risk management. Nitatafuta good and simple methodology. Then good growth plan my training style and good products for my trading life na kujiwakea rules nakuziheshimu Nimekuelewa sana Amrisaly big up bro 💪💪💪💪🏆🏆🏆
Having a trading plan is very important but further more nimejifunza kwamba you can set your goals , but the sauce is in mastering yourself fast,no cheat codes🙏🏽. Plan,wait ,execute,. It sounds easy but needs mastery 😊. Good video bro and very informative 🙏🏽
Just wanted to say thanks for the awesome forest trading video! It was super easy to understand, and your enthusiasm really shines through. You make complicated stuff seem simple, which is amazing. Your dedication to helping others learn is truly inspiring, and I'm sure many people will benefit from your video. Keep up the fantastic work, and I can't wait to see more from you!
Nimependa kwmb the great part of this video is that trading without a trading plan = failure .na pia ma trader tupunguze matarajio 👏👏. Such a full Golden course.... given for free thanks to IFX community ❤🎉
this is my best video made me to get stronger in planning🎉🥳GROLY TO YOU imenifunza pia trading without plan nisawa na kupoteza mda so people should us trading plan as thier strength 😊
As a beginner I have learnt entering trading (or any business,) you should consider the following: Having a plan that includes: - A strong reason for pursuing trading, - Sufficient capital, which can also include skills, - Realistic goals, - A clear understanding of what you're willing to sacrifice, - A mindset that avoids expecting quick and easy profits, - Dedication of at least 10,000 hours to achieve meaningful success, - Commitment to continuous education, - Solid money management, risk management, and account management practices. Additionally, delayed gratification is crucial, and setting reasonable expectations is key. All key in gradual growth Thank you for the video Bro
Trading isn’t a get-rich-scheme insted Focus on learning and gradual growth , every trade is a stape toward mastery also have a solid trading plan as a roadmap to success .
-this whole video its all about how to create a trading plan,following a plan for a succefully trading career. -more important thing I learn on this video is how to create RULES.and also the important of JOURNALING.
I have learned that I must first invest In skills and experience before investing my money , to have a strong reason on everything we do and to have a solid trading plan ,what I will do is to rebuild my trading plan and continuous learning with a help of good mentor.
Hapa nimejifunza kitu muhimu sana, kwamba tumekuwa tukisikia kuhusu kuwa na trading plan na kuzifuatisha trading plan zetu zinavyosema, kumbe wakati mwingine trading plan zetu wenda ndo chanzo cha sisi kufeli kwasababu hazijakidh vigezo vya kukuvusha ngazi moja kwenda nyingine, wooh thats crazy.
Asante sana alvin kwa kunishirikisha kwenye hii video nimejifunza kuwa technical stuffs hazitoshi katika kumfanya mtu awe successful kwenye hii industry but also kuwa na a sold trading plan ni muhimu sana kukuvusha sehemu moja kwenda nyingine
Nimestruggle for 1 year and ahalf kusogea mbele kwenye forex but through this video nmerealize makosa yangu sikua na trading plan nilikua natrade tu naingia sokoni ovyoovyo but from this video i think nitatoka apa nilipokwama i wish kupata your more mentorship ili nisogee mbele God bless you 🙏🙏🙏
Video hii imenifungua macho sana kuhusu umuhimu wa kuwa na trading plan imara. Nimejifunza kuwa trading bila mpango ni sawa na kusafiri bila ramani , kuna hatari kubwa ya kupotea njiani. Mafunzo haya yamenionesha jinsi ya kuweka malengo wazi, kutathmini hatari, na kuwa na nidhamu katika utekelezaji wa trades zangu. Hii ni hatua kubwa kuelekea kuwa trader mwenye mafanikio na nashukuru sana kwa maarifa haya ambayo yatmebadilisha kabisa jinsi ninavyofanya trading. Asante kwa kutoa mwongozo huu wa kina❤ Sio mtowaji wa comment but nakufatilia kwa kina sana na leo imenibidi nitowe comment kutokana nahitaji kuwa mmoja wa kushinda nafasi ulizozitowa ulizozitangaza naamini nitakuwa miongoni mwa washindi🎉
What I have learned is that we have to approach trading as a business and not as a money making thing, even if one is good at technicals without a good plan its like having a blunt knife. am going to use this half of the year to work and develop my plan.. IFX is the best
I learned that the failure to create a best plan result in a failure of performance and succeeding in your career, development of change itakua ngumu kupatina kabisa
Kwenye hii video nimejufunza kwamba..katika biashara yeyote especially hii lazima uwe na Trading plan..na kila jambo utakalofanya liwe kwenye Trading plan yako Pia you must have driving factor and strong "why" you're doing that Trading Na pia la muhimu mno kwa sisi begginners tutambue kwamba..a full time trader sio kukaa kwenye screen 24hrs bali ifanye Trading iwe inakupa amount kubwa ya kuendesha maisha yako Tukumbuke pia SKILLS AND EXPERIENCE ARE THE ONES TO SET UP YOUR EXPECTATIONS na sio video za medias La mwisho kabisa... Lets focus on setting goals Investing in quality contents Hard work Na wote tutafanikiwa tukizingatia haya PLEASE LIKE AND COMMENT 🙏✊
This Video is a great introduction to the starting point and maintainance of knowing Trading Plan as it covers general perspective of Trading. The editing and presentations are all good and keeps moving and the presenter's passion for the subject (Trading Plan) is well stated and clear. However i would like to recommend some additional visuals like Subtitles specifically in English language so that the Subject discussed from the video could reach the target audiences in a broader way. All in all itz the best Video for Beginners who want to start trading as well as maintaining Trading Plan. Thankyou
The point is making trading as a business maana wa2 wengi tunaingia tu kwenye trade bila kuwa na trading plan hivyooo inapeleka m2 kutojua nini anafanya eg 1.inapelekea m2 ku over trade since hajui au hana aim ya kupata kiasi flan kwa cku 2 .kutumia lotsize zisizo endana na mtaji 3.greed coz m2 anakuwa anafocus sana na chart 24 hrs Hivyo kuwa na plan helpa to make your business in a simple way N.B KUHESHIMU KITYU UNACHO FANYA INASAIDIA SANA KUKIKUZA ZAID NA KUKUPA FAIDA ZAID thanks for the leasson broo i got you 💯💯
mimi binafsi kwenye hiii video nimejifunza umuhimu wa trading plani ambazo ni 1. Miongozo ya kuitwata katika biashara kwa namba gani Inakupa mwongozo wa hatua za kuchukua na nini unapaswa kufanya katika plan yako 2. pia inasaidia Udhibiti wa hasara au changamoto zinazohusiana na biashara. 3. pia inasaidia kufanya maamuzi ya Kihisia kwa namna gan? Inazuia kufanya maamuzi kwa msingi wa hisia, ambayo yanaweza kuwa na athari mbaya apo baaadae kwenye biashara 4. Pia Inakuruhusu kupima mafanikio yako kwa kulinganisha matokeo halisi na malengo yaliyoainishwa. Like and comment if you agree with me
Whenever I see notifications from ifx channel... Kifatacho ni kudownload video b4 sijaview.... Master ufanye utasaidie na Trading Psychobiology.. Be blessed
nimejifunza maana ya trading plan na umuhimu wake, kwanza nimejifunza kuwa bila kuplan trade utakuwa na high probability ya kufail unapoingia sokoni ,hivyo basi unatakiwa uwe na cleare goals na reasons za wewe kuwa trader, hiz goals na reasons ndyo zitakazo determine growth na success kweny trading, pia unatakiwa uandae trading plan yako kwa usahihi ili unapofail ujue reason ya kufail kwenye trading yako, pia ni muhimu kuzingatia criteria ulizoziweka kabla ya kuingia sokoni pia, nimejifunzz kuwa trade ni inatakiwa iwe sehemu ya maisha yako, na siyo sehemu ya kupata pesa ya haraka,
Kitu nilichojifunza hapa nikwamba ili uwe profitable trader ni lazima uwe ni vitu vifuatavyo kama 1- A strong WHY on what forced you to start Forex Trading . 2- Have more lessons on Money , Account & Risk Management. 3- Have Methodology ( A BETTER METHODOLOGY ) 4- How you live your lifestyle , by knowing this it may lead you to know which type of trader are you . 5- And Have Good Rules , Which Contains You Must Journal Your Analysis.. Am Here To Thank You For The Quality Information , Beacause What Most Beginners Like Us Lack Is A Good And Correct Content About What We Learn .
A trading plan is a structured approach that outlines your trading goals, risk tolerance, and specific rules for entering and exiting trades. It includes market analysis, trading strategies, and risk management techniques to maintain discipline, minimize emotional decisions, and consistently apply a tested methodology. This helps enhance profitability and reduce the risk of significant losses.🎉
A trading plan is the bedrock of successful trading, providing structure, discipline, and risk management. Inasaifia kuwa mostly katika kugenerate goals, strategies, entry and exit points, position sizing, and performance pia inasaidia vyema kuweza kufuatilia muenendo wa njia yako. It also helps to defining clear rules and sticking to them.... trading plan helps you avoid poor decisions, kumanage risk effectively, to look on your progress, and maintain a calmness and focus, hata kipindi cha market volatility. It's the difference between trading on emotions and trading with a strategic mindset...leading to more consistent and profitable results in the long run. #Intelligencefx
Key lesson Is your first capital is the skills and expectations you have to offer your self is beyond your skills and knowledge, and the capital is not the only way you can make a huge profit, We have to invest in our knowledge
Lessons from the video it's trading or any business need to have a well prepared and stated plan -especially kweny trade imenifundisha kua trading plan sio kustate strategy na sheria za kujiridhisha ww mwenyewe kua you have plan something wakat unajidanganya mwenywe - Trading plan must involve realistic everything starts from planning how your lifestyle will support your trading career , realistic goals, and also to be responsible with my action by preparing rules to guide me - Lastly knowing that trading plan should be written so as to be like a stepping stone when I open it, it guide me and reminds me where to stand, what is right and what's my vision, mission and goals It's long but inakitu LIKE 👍🏼 IF UMEPATA MADINI KAMA MM
Splendid video, there are a lot of good strategies in the market but what makes them work are exceptional traders -being able to be disciplined with the trading rules, would make you stand out -understand and following proper risk managment would lead to account growth -this is why emphasis on proper learning is always given Investing in yourself is the best thing you can do, and as a part of investing in yourself; you should learn more about money management.
we have to invest on knowledge 1st, To learn from the losses then improve, focus on your improvement of skills in trading note; you have to learn on successful people not failures 🔥🔥🔥
Nmejifunza kua commited kwanza na pia forex trading sio sehem ya kupata pesa kwa haraka ila iwe sehem ya maisha pia kua na rules za kuzingatia kila unapoweka trade hii video imenijenga leo big up fam
Stick to a Trading Plan: Create a well-defined trading plan outlining your strategy, risk tolerance, and goals. Follow it religiously Stay Disciplined: Discipline is about consistency. Stick to your trading plan even when faced with temptation to deviate. Be serious coz trading is very hard , keep u time and ask why u do trading.
Nimejifunza kufanya vitu vigumu ambavyo watu wengine hawafanyii alisema mwana FA sku moja na hutakiwi kuogopa Fanya kwa juhudi zote as long as hakikuui Lets do it
Just a suggestion, having a 1 hour long video is very tiring however disciplined and Patience a person is all that time spent in the 1 hour long video only like 10-15m of the video is really with him or her and he or she won’t understand maybe make the video a little shorter 30min max. Just a suggestion brother ur doing good
Nimejifunza kuw trading plan/principles /laws or guidelines ni what to trade how to trade why to trade when to trade setting criteria of taking trade and follow up on my trading plans means every trade I'll take on the basis of my my guidelines and NOT otherwise.
Umeelezea umuhimu wa trading plan Kwa trader yeyote Ambae anaanza au ni experience trader lazima awe na trading plan trading plan ni kama njia na guider kwenye trading life yako, na usiache kazi yako na ku join FX kama bado haujaiva forex
Hakika kaka nimejifunza vitu kama vinne ndani yake ya hii video 1.kupanga target ya faida 2.kujipa muda wa kupata maalifa zaidi kuliko kuingia ivi ivi 3kujiwekea katika ambayo itakuongoza katika kutrade na nk
The key lesson I got is delayed gratification, focus on mastering the skills first, well document your trades, learn from the losses then improve.
Indeed
Well thought
Sure
Well said
nice
As a beginner au mtu yoyote kwenye trading au business yoyote you should have the followings;
1)You should have plan which contains the followings;
-you should have strong why you want to do trading,
-you should have enough capital which can even be skills,
-you should have realistic goals,
-you should look what to sacrifice,
-you should limit your expectations of making money easy and fast,
-you should spend at list 10000hours for you to get good things,
-you should spend a lot of education,
-you should have money management,risk management and account management.
THANKS FOR THE VIDEO.
🎉🔥
🔥
🔥🔥
🎉
Strong
Nimejifunza trading or any business without plan you are going to fail
Na nitaanza kupanga goals zangu maana why yangu nilisha jiuliza before sijaona hii video lkn sikujua kama hiyo ndo why kingine nita weka my lifestyle, good money, account and risk management. Nitatafuta good and simple methodology. Then good growth plan my training style and good products for my trading life na kujiwakea rules nakuziheshimu
Nimekuelewa sana Amrisaly big up bro 💪💪💪💪🏆🏆🏆
atar san mwamba upo vizur san upo good apo nmekupata vizur mnooo 💥💥💥💥💥💥💥💥👍🏽👍🏽
Ume plan vizuri sana hongera naona utafika mbali 🎉👏🚀
Apo upo sawa kabisa nmekuelewa kindak ndaki kiongoz 💯💯💯💯💯🔥
Sana man nmekuelewa 💥💥💥🔥🔥🔥🔥🔥👍👍
Umetisha sana kaka 🙏💪🏾
Having a trading plan is very important but further more nimejifunza kwamba you can set your goals , but the sauce is in mastering yourself fast,no cheat codes🙏🏽. Plan,wait ,execute,. It sounds easy but needs mastery 😊. Good video bro and very informative 🙏🏽
Kbsaa✅
🔥🔥
🔥🔥💪
Well said
Well said✌️🔥
Just wanted to say thanks for the awesome forest trading video! It was super easy to understand, and your enthusiasm really shines through. You make complicated stuff seem simple, which is amazing. Your dedication to helping others learn is truly inspiring, and I'm sure many people will benefit from your video. Keep up the fantastic work, and I can't wait to see more from you!
Hakika
Superb 🙌
Sure
Og anajua
Amazing
Nimependa kwmb the great part of this video is that trading without a trading plan = failure .na pia ma trader tupunguze matarajio 👏👏. Such a full Golden course.... given for free thanks to IFX community ❤🎉
beba madin hayo
Kweli kabisa
We just need to learn👌
Unyma
Fighter km fighter😂
this is my best video made me to get stronger in planning🎉🥳GROLY TO YOU imenifunza pia trading without plan nisawa na kupoteza mda so people should us trading plan as thier strength 😊
Good 😊
Nice kaka
✊✅✅✅
good💯
great bruh
As a beginner I have learnt entering trading (or any business,) you should consider the following:
Having a plan that includes:
- A strong reason for pursuing trading,
- Sufficient capital, which can also include skills,
- Realistic goals,
- A clear understanding of what you're willing to sacrifice,
- A mindset that avoids expecting quick and easy profits,
- Dedication of at least 10,000 hours to achieve meaningful success,
- Commitment to continuous education,
- Solid money management, risk management, and account management practices.
Additionally, delayed gratification is crucial, and setting reasonable expectations is key.
All key in gradual growth
Thank you for the video Bro
Trading isn’t a get-rich-scheme insted
Focus on learning and gradual growth , every trade is a stape toward mastery also have a solid trading plan as a roadmap to success .
Logical🙏
Cool
Good 👍
✅
👍
Thank you very much Braza AMRISALY, You provide a lot of value. Naenda kuandaa my trading constitution now.
-this whole video its all about how to create a trading plan,following a plan for a succefully trading career.
-more important thing I learn on this video is how to create RULES.and also
the important of JOURNALING.
Facts
just keep pushing
Trading
Thanks
I have learned that I must first invest In skills and experience before investing my money , to have a strong reason on everything we do and to have a solid trading plan ,what I will do is to rebuild my trading plan and continuous learning with a help of good mentor.
Nyc one lad
🔥
Diz is awesome ❤
Rebuilding the trading plans 😌
Right
Hapa nimejifunza kitu muhimu sana, kwamba tumekuwa tukisikia kuhusu kuwa na trading plan na kuzifuatisha trading plan zetu zinavyosema, kumbe wakati mwingine trading plan zetu wenda ndo chanzo cha sisi kufeli kwasababu hazijakidh vigezo vya kukuvusha ngazi moja kwenda nyingine, wooh thats crazy.
A trading plan is really a foundation for someone's success in the forex market
Asante sana alvin kwa kunishirikisha kwenye hii video nimejifunza kuwa technical stuffs hazitoshi katika kumfanya mtu awe successful kwenye hii industry but also kuwa na a sold trading plan ni muhimu sana kukuvusha sehemu moja kwenda nyingine
Aah, mimi nilichojifunza hapa ni kwamba kama plan zako hazijaka sawa basi kuna uwezekanonmkubwa wa wewe kufel katika unachokifanya
Thanks to alvn kwa kushare hii video personally nimejifunza namna trading plan inabidi iweje thanks
Personally nimejifunza jinsi ya kutengeneza trading plan iliyosahihi kitu ambacho sikukijua awal. Thanks alvin for sharing.
Nimestruggle for 1 year and ahalf kusogea mbele kwenye forex but through this video nmerealize makosa yangu sikua na trading plan nilikua natrade tu naingia sokoni ovyoovyo but from this video i think nitatoka apa nilipokwama i wish kupata your more mentorship ili nisogee mbele God bless you 🙏🙏🙏
Video hii imenifungua macho sana kuhusu umuhimu wa kuwa na trading plan imara. Nimejifunza kuwa trading bila mpango ni sawa na kusafiri bila ramani , kuna hatari kubwa ya kupotea njiani. Mafunzo haya yamenionesha jinsi ya kuweka malengo wazi, kutathmini hatari, na kuwa na nidhamu katika utekelezaji wa trades zangu. Hii ni hatua kubwa kuelekea kuwa trader mwenye mafanikio na nashukuru sana kwa maarifa haya ambayo yatmebadilisha kabisa jinsi ninavyofanya trading. Asante kwa kutoa mwongozo huu wa kina❤
Sio mtowaji wa comment but nakufatilia kwa kina sana na leo imenibidi nitowe comment kutokana nahitaji kuwa mmoja wa kushinda nafasi ulizozitowa ulizozitangaza naamini nitakuwa miongoni mwa washindi🎉
Plan is key of success in the business, without planning in everything you're going to fail!
Planning 🔥🔥
What I have learned is that we have to approach trading as a business and not as a money making thing, even if one is good at technicals without a good plan its like having a blunt knife.
am going to use this half of the year to work and develop my plan.. IFX is the best
Its a good thing a professional trader mwenyewe anakuambia forex aint a get rich quick scheme 🤝
Looking towards gaining more knowledge from you bruh
One of the things nimejifunza kwa hii video
Kuwa na goals n muhimu before doing anything, trading isn't for fun neither show off.u need to focus
Technical mindset and improvement
Sawa kabisa
😊😊
Naqbali
Pamoja😊😊
😊😊
I learned that the failure to create a best plan result in a failure of performance and succeeding in your career, development of change itakua ngumu kupatina kabisa
Kwenye hii video nimejufunza kwamba..katika biashara yeyote especially hii lazima uwe na Trading plan..na kila jambo utakalofanya liwe kwenye Trading plan yako
Pia you must have driving factor and strong "why" you're doing that Trading
Na pia la muhimu mno kwa sisi begginners tutambue kwamba..a full time trader sio kukaa kwenye screen 24hrs bali ifanye Trading iwe inakupa amount kubwa ya kuendesha maisha yako
Tukumbuke pia SKILLS AND EXPERIENCE ARE THE ONES TO SET UP YOUR EXPECTATIONS na sio video za medias
La mwisho kabisa...
Lets focus on setting goals
Investing in quality contents
Hard work
Na wote tutafanikiwa tukizingatia haya
PLEASE LIKE AND COMMENT 🙏✊
❤
Remember every action that you will be taking to be in your trading plan✍️
That's true bro
Forx ni industry ambayo kila siku unajifunza kitu kipya💪❤️
Brother unatufundsha mengi
Big up Brother Amri🫂
This Video is a great introduction to the starting point and maintainance of knowing Trading Plan as it covers general perspective of Trading. The editing and presentations are all good and keeps moving and the presenter's passion for the subject (Trading Plan) is well stated and clear. However i would like to recommend some additional visuals like Subtitles specifically in English language so that the Subject discussed from the video could reach the target audiences in a broader way. All in all itz the best Video for Beginners who want to start trading as well as maintaining Trading Plan. Thankyou
The point is making trading as a business maana wa2 wengi tunaingia tu kwenye trade bila kuwa na trading plan hivyooo inapeleka m2 kutojua nini anafanya eg
1.inapelekea m2 ku over trade since hajui au hana aim ya kupata kiasi flan kwa cku
2 .kutumia lotsize zisizo endana na mtaji
3.greed coz m2 anakuwa anafocus sana na chart 24 hrs
Hivyo kuwa na plan helpa to make your business in a simple way N.B KUHESHIMU KITYU UNACHO FANYA INASAIDIA SANA KUKIKUZA ZAID NA KUKUPA FAIDA ZAID thanks for the leasson broo i got you 💯💯
Its big idea
mimi binafsi kwenye hiii video nimejifunza umuhimu wa trading plani ambazo ni
1. Miongozo ya kuitwata katika biashara kwa namba gani Inakupa mwongozo wa hatua za kuchukua na nini unapaswa kufanya katika plan yako
2. pia inasaidia Udhibiti wa hasara au changamoto zinazohusiana na biashara.
3. pia inasaidia kufanya maamuzi ya Kihisia kwa namna gan? Inazuia kufanya maamuzi kwa msingi wa hisia, ambayo yanaweza kuwa na athari mbaya apo baaadae kwenye biashara
4. Pia Inakuruhusu kupima mafanikio yako kwa kulinganisha matokeo halisi na malengo yaliyoainishwa.
Like and comment if you agree with me
Yaaah sure man asante kwa kuni invite nimekuwa interest na hii chanel🫡🫡
Asante allan nmependa sana mafunzo yako 🥰🥰 i hope yatanisaidia sana
Whenever I see notifications from ifx channel... Kifatacho ni kudownload video b4 sijaview.... Master ufanye utasaidie na Trading Psychobiology.. Be blessed
Whenever you feel alone and unsupported just use this video as your fuel more life, together with your community + the heart of keeping impacting us
sure
Jamaa anjua sana
This video I watched it twice 💪
Sure brother
Real brother
Plan is the key for success in the business.
nimejifunza maana ya trading plan na umuhimu wake, kwanza nimejifunza kuwa bila kuplan trade utakuwa na high probability ya kufail unapoingia sokoni ,hivyo basi unatakiwa uwe na cleare goals na reasons za wewe kuwa trader, hiz goals na reasons ndyo zitakazo determine growth na success kweny trading, pia unatakiwa uandae trading plan yako kwa usahihi ili unapofail ujue reason ya kufail kwenye trading yako, pia ni muhimu kuzingatia criteria ulizoziweka kabla ya kuingia sokoni pia, nimejifunzz kuwa trade ni inatakiwa iwe sehemu ya maisha yako, na siyo sehemu ya kupata pesa ya haraka,
👏👏👏👏 clear understanding broh
High knowledge😮
👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽
Woow
Thats nice❤
Very important information for every person with a future
I don't understand Swahili but I think I've understood almost 60% of that you thought...🙏🙏
First of all thanks for sharing this wonderful knowledge basically in Forex.
Nmejifunza kuishi katika plan zako no matter what. ❤
Kitu nilichojifunza hapa nikwamba ili uwe profitable trader ni lazima uwe ni vitu vifuatavyo kama
1- A strong WHY on what forced you to start Forex Trading .
2- Have more lessons on Money , Account & Risk Management.
3- Have Methodology ( A BETTER METHODOLOGY )
4- How you live your lifestyle , by knowing this it may lead you to know which type of trader are you .
5- And Have Good Rules , Which Contains You Must Journal Your Analysis..
Am Here To Thank You For The Quality Information , Beacause What Most Beginners Like Us Lack Is A Good And Correct Content About What We Learn .
"Strong why" ndio mzizi wa kila biashara ili ku archive goals 👍
A trading plan is a structured approach that outlines your trading goals, risk tolerance, and specific rules for entering and exiting trades. It includes market analysis, trading strategies, and risk management techniques to maintain discipline, minimize emotional decisions, and consistently apply a tested methodology. This helps enhance profitability and reduce the risk of significant losses.🎉
Surely ❤🎉
It effectively highlights the key components and benefits of having a structured approach to trading. Great job!
Maintaining discipline, minimizing emotional decisions, and focusing on tested methodologies are indeed crucial for successful trading.
A trading plan is the bedrock of successful trading, providing structure, discipline, and risk management. Inasaifia kuwa mostly katika kugenerate goals, strategies, entry and exit points, position sizing, and performance pia inasaidia vyema kuweza kufuatilia muenendo wa njia yako. It also helps to defining clear rules and sticking to them.... trading plan helps you avoid poor decisions, kumanage risk effectively, to look on your progress, and maintain a calmness and focus, hata kipindi cha market volatility. It's the difference between trading on emotions and trading with a strategic mindset...leading to more consistent and profitable results in the long run.
#Intelligencefx
Yeah sure..
MAY GOD HELPS U GUYS..
Am really interested on this because I know at a point in future might make me gain financial freedom
Not only things in forex but in any business
Best of the best plan ever🎉
My opinion or what I got as a trader do not let your feelings cloud your judgement, treat your trading like a business.
Key lesson Is your first capital is the skills and expectations you have to offer your self is beyond your skills and knowledge, and the capital is not the only way you can make a huge profit, We have to invest in our knowledge
Lessons from the video it's trading or any business need to have a well prepared and stated plan
-especially kweny trade imenifundisha kua trading plan sio kustate strategy na sheria za kujiridhisha ww mwenyewe kua you have plan something wakat unajidanganya mwenywe
- Trading plan must involve realistic everything starts from planning how your lifestyle will support your trading career , realistic goals, and also to be responsible with my action by preparing rules to guide me
- Lastly knowing that trading plan should be written so as to be like a stepping stone when I open it, it guide me and reminds me where to stand, what is right and what's my vision, mission and goals
It's long but inakitu LIKE 👍🏼 IF UMEPATA MADINI KAMA MM
Best of the best plan 🔥
Thank you brother, for taking your time to teach people🧠
I knew bro that one day you'll make it out 👏👏👏👏👏👏
Splendid video, there are a lot of good strategies in the market but what makes them work are exceptional traders
-being able to be disciplined with the trading rules, would make you stand out
-understand and following proper risk managment would lead to account growth
-this is why emphasis on proper learning is always given
Investing in yourself is the best thing you can do, and as a part of investing in yourself; you should learn more about money management.
Tunashukuru kwa somo zuri nimejifunza vitu vingi mmenifungua
Nimeelewa kuhusu hii trading planing na kweli I'm a beginner and nina passion ya kufnya trading
we have to invest on knowledge 1st, To learn from the losses then improve, focus on your improvement of skills in trading note; you have to learn on successful people not failures 🔥🔥🔥
This lesson in unmatched🔥🔥🔥🔥
Nipo kwenye hii biashara kwa sababu ninaamini kuwa nitafanikiwa kupitia hii biashara ❤
Be blessed intelligence fx very informative content
Nmejifunza kua commited kwanza na pia forex trading sio sehem ya kupata pesa kwa haraka ila iwe sehem ya maisha pia kua na rules za kuzingatia kila unapoweka trade hii video imenijenga leo big up fam
Well said 0:38
Ninabidi nikutafute uendelea kunipa somo vzr big up
Stick to a Trading Plan: Create a well-defined trading plan outlining your strategy, risk tolerance, and goals. Follow it religiously
Stay Disciplined: Discipline is about consistency. Stick to your trading plan even when faced with temptation to deviate.
Be serious coz trading is very hard , keep u time and ask why u do trading.
Nimejifunza kufanya vitu vigumu ambavyo watu wengine hawafanyii alisema mwana FA sku moja na hutakiwi kuogopa Fanya kwa juhudi zote as long as hakikuui Lets do it
sana nimepoteza si chini ya dollal 500 kwasababu hizii shukrani broo
Asante saaana ni mara kwanza leo nimekutana na video yako istangram 🥺
Thank you brow
I have learnt a lot
Learnt alot. Appreciate 🤜🤛
Good;
You may also lecture on the use of cryptocurrency and forex trading market
Plan is base of any business idea
Classic and mainteined my G 👐
Just a suggestion, having a 1 hour long video is very tiring however disciplined and Patience a person is all that time spent in the 1 hour long video only like 10-15m of the video is really with him or her and he or she won’t understand maybe make the video a little shorter 30min max. Just a suggestion brother ur doing good
Karibu chungwa
Well said brother
Big up mkuu
Super informative
Thank you bro🎉
Amazing
For sure
Is true everything you do in a little things or big thing inahtaji plan sio tu kwenye fx bali ni kwenye maisha kwa ujumla
Nimejifunza kuw trading plan/principles /laws or guidelines ni what to trade how to trade why to trade when to trade setting criteria of taking trade and follow up on my trading plans means every trade I'll take on the basis of my my guidelines and NOT otherwise.
Good advice 🎉
Hii nzuri nimepata madini mengi kaka #FOREX
Thanks
more informative
kuna level ya newbie hata umuelezee vp hawez elewa mpaka market ifanyee yake kwenye kumpga makofi ndo akl inakaa saw
Umeelezea umuhimu wa trading plan Kwa trader yeyote Ambae anaanza au ni experience trader lazima awe na trading plan
trading plan ni kama njia na guider kwenye trading life yako,
na usiache kazi yako na ku join FX kama bado haujaiva forex
Asante sanaaa
Somo zuri sana
amazing😍😍😍
Let's go
Nimejifunza kua na msimamo kwenye lile jambo ulio kusudia ili kusaccesaful
Keep it up broo
Let's gooo 🔥
Hakika kaka nimejifunza vitu kama vinne ndani yake ya hii video
1.kupanga target ya faida
2.kujipa muda wa kupata maalifa zaidi kuliko kuingia ivi ivi
3kujiwekea katika ambayo itakuongoza katika kutrade na nk
Useful🤝
We should have a logic behind before pressing sell or buy button ❤❤❤
Hapa newbie haelewi mpaka market imchape.. 😂
Damn, very informative
Big up bro🙌
That's good 💪💪
True 👍
Nilichojifunza most of us tunaingia kwenye fx market bila muongozo we just wants money only lakini kuna secrets behind za kufatilia like hizo plans
good man
good
Yes
Trading plan is like Bible in Christianity it's must