@@UjingaZaVictorNaman - LOL. BTW, my sister’s real name is NYABOKE. I wonder if Ms. Gloria decided to call her character after her! We have laughed so hard every single time we talk about “Nyaboke” & Victor.
The clowns are at it again! Wah, Nyaboke amekagaya hiyo ugali. 🤣🤣🤣🤣🤣 These two will be the end of me. I have laughed so hard at their shenanigans and I still continue to laugh even when I am not watching their skits.
On behalf of my family, my village people, my ancestors and also my wicked landlord, we approve this hit...we love it ama Niaje WAKENYA 🇰🇪🇰🇪'''
Hapo sawa
@@UjingaZaVictorNaman - LOL. BTW, my sister’s real name is NYABOKE. I wonder if Ms. Gloria decided to call her character after her! We have laughed so hard every single time we talk about “Nyaboke” & Victor.
@@WILMA_ yafaa utukutanishe
@@UjingaZaVictorNaman - she is in Kenya. Your “wife” NYABOKE, knows my sister. She also is a good friend of my sister’s!
🤣🤣🤣🤣🤣qwani hamukuwa munatumia mboga, best comedy my people
Ugali kwanza
Unga wa Taifa imefika kwenu?
Sana....
Fikita mnakula ugali Ady mnasahau kuku 😂😂😂😂😂😂
imefika mbaya sana
IPO,na hiyo kuku inaregeshwa kwa hotel,nini?😏
Unga ya taifa ata haiivi😂😂😂😂.... Guys it's #RAHAPREMIUM ❤️❤️❤️❤️
#KAVANGARA
😂😂😂hii comedy hunibamba sana
For the first time Victor 🔥has won it 🔥🔥🔥🔥🔥🤣🤣🤣🤣wapi likes za Victor
Hahahaha ghaky mnaeza saau mboga surely 😅😅
Hiyo unga imefika uku Diaspora pia taifa ni unga Smart number one unga
Uko diaspora wapi
@@UjingaZaVictorNaman Doha Qatar 🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭
Stephen sang... hiyo ni Unga gani
Aki my kenyan pple...I love us! Nimecheka hadi mgongo imeniuma walaii
Waluya na ugali weeh😅😅😅
The best comedians on this earth 🌍 keep it up 🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪
The clowns are at it again! Wah, Nyaboke amekagaya hiyo ugali. 🤣🤣🤣🤣🤣 These two will be the end of me. I have laughed so hard at their shenanigans and I still continue to laugh even when I am not watching their skits.
Leo Fikita hakuna vita nimezoea kuona ukivurukwa
Si mko na vituko😂😂🤣😂🤣
Bro kazi nzuri mutumishi nilikuwa nawewe ulitoka kakamegq
Asanta
Noma sanaa 🤣🤣🤣🤣🤣
NYaboke Victor juu pia unga wa Taifa
😂😂😂😂😂Walai iyo kuku na nimekula hapa omena
Hehehe.kujia kidogo
This is in a another level congrats keep it up
Thanks
😂😂😂😂😂chakula ya kuku fikita usikule
Hehehe.lazima iwe Taifa
Best comedian😁💯
Sante
Taifa ishafika nairobi, na vile nilikuwa nafikilia nitumane pesa mombasa niletewe taifa bandari 3 hua iko tamu sana
Ishawasili
There is nyashinki then there is nyaboke. Gems from egusii land
Akh nyaboke umenigwesa hahaa hata Mimi sichui reo ni rini na keso ni rini
Ukimaliza ujue nimelala njaa kwa mama brayo
Utajipanga
Mmetisha
Victor 🤣😂🤣🤣😂mtashindwa Ile kazi ingine kushiba nayo excess 😂😂
Hatuezi
Good content 👌
Nimejaribu kuzoom nyaboke camera man hakufanya kazi poa
Hehe.Tabia mbaya
😂😂😂
😂 chakula ya kuku
Hiyo imeweza
Thanks
This combination of Fikta and Nyaboke breaks my ribs🤣🤣🤣
Today am the first one to watch, leta Zawadi #victor
Nikupee unga ya Taifa?
akhi nyaboke uchunge usituonyesha vitu personal
Sisi watanzania tunapendaga comed zetu na wasanii wetu Ila wewe comed zako zinanifanya nikufatilie Sanaa kalbu tz ndg 4:07
Aki nyinyi Fikita na Nyaboke ni wanoma
Victor hana bahati hapa😂😂😂😂ameulizwa kama ata dania alileta
Patco was just chilling then boom💪🤣🤣🤣🤣🔥
Change ya kuku was chilling 😅😅😅😅😅
Boom 🔥🔥
Victor hiyo ni ugali unashambulia...hiyo taifa inakaa ni tamu kwelii 😋😋😋
Hapo sasa
Na hamkuli mboga jameni
Utamu ya Taifa imetucomfuse
😂😂😂😂😂 nipeko kuku
Part gani.Na ukuje na unga ya Taifa
Fikita anahitaji apetaiza.
Mmm nice saaana
😂😂😂😂bila mboga
🤣🤣🤣 ati chenge
Victor the typical luhyia anapenda hii sima sana
Hehehe.lazima
@@UjingaZaVictorNaman Nyaboke anafaa kukupikia wali sio sima kila siku
What a wonderful advert
Nyaboke moraa atakuja maliza hii kijana yetu ya navakholo
Hawezi ua mzee
@@UjingaZaVictorNaman hiyo ugali ni ya mtoto wa week moja
@@willingiewawishtv7695 hehe.We call it eshiteru
😅😅
Well advertised
Thenkuyu
Ugali sura mbya 🤣🤣🤣
Hii unga ya Taifa ni tamu sana
Sana
Great work❤
Kwani hamkuli mboga bana
Tumeenda kupika ya mboga sasa
Nyaboke 😂😂😂
A very talented duo
Yaani mkalile eshiteru bila tsifwa
Just imagine
Hahahahaha... Ladies will never stop complaining. Enda nunua UNGA, ikinunuliwa umetoa wapi pesa
Hehe
i really love this cast crew.
Tunashukuru
Muko na mambo
Obeee!😂😂😂
Unapenda chakula v
Kwa nini mmekula Kenya? Kbs mmeamua kutafuna nchi yenu? Mnapeleka taifa kwa choo kabla ya kulipa deni ya China?😂🤣🤣😅😁
Mluhyaaa
Fikta umetowa wapi pesa 😂😂😂😂😂
Hehe nimeokota
Whaaaat 🤣🤣🤣🤣
Nipee kuku🤣😂😂😂
Iko kwa tumbo aki
Aki😃😃😃😃😃
Lakini Nyaboke kasirika upanue eyo miguu VIZURI tuone izo SURUALI 🩲 zako🥱🥱🥱🥱
Hio giza hitaona kitu
@@UjingaZaVictorNaman 😂😂😂😂😂😂IPO SIKU atapanua miguuu tu
Kama Taifa inaweza leta Nyaboke na Victor pamoja mbona mimi na wa kwangu tuachwe nyuma 🤷♂️🤷♂️🤷♂️🤷♂️
Tafuta Taifa
Nilishangaa sana, eti ugali inamangwa kaf kaf! Na vile mboga ndio huipea ladhaa...liked, had to overlook the marketing.
Weka ikue atleast1 hrs
🤣🤣🤣kula
Best commendy
sasa kuku tutakula kesho
🤣🤣🤣🔥🔥🔥
For once Fikita has won.
I will keep winning
@@UjingaZaVictorNaman please keeping winning.
@@UjingaZaVictorNaman for once leo mluya amekataa obusuma
Sasa adverts haziendi TV...
Hapa hapa
Mliamua kula ugali bila mboga figita na Nyaboke 🤔🤔
Imagine
patco ilikua ile sweet ya white...lol
🤣🤣🤣🔥🔥🔥🔥
Usive😂
Mnakuka kweli
Fikita hauchomeki
Crazy 😜
Mjaribu kuongeza mwanga wa video zenu
Hehe .Najua ulitaka kuona nini
"Feri afoteboli" , Company imewalipa mfanye advertisement hapa nyinyi acheni kutuchocha.... UNGA NI DOLA, kitu shwari Victor bana.
😂😂😂🤣😁😁😁
Kama kasusa ulete uku tuule
🤣🤣🤣🤣🤣
Victor hata umenunua dhania
Si bibi yuko
😆 🤣 😂
Kwani hamkua mkule na mboga?
Ndio tumeenda kupika ya kula na mboga sasa
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Naona ushawatch
@@UjingaZaVictorNaman yes mkuu 😂😂😂
@@jeccywachira Chukua Taifa hapo kwa shop nakuja na mboga
😂😂😂😂😂
😅😅😅
Bora ugali au ugali bora
Ugali
🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂
Miss ur content
It's here
Nkona channel ,watchhours ndio imenilemea ,unaeza nisaidia aje
Mzee leo nataka ukule,ushibe kazi iko mbele ati ugali ni sura mbaya.