Bring Mama Troy or Troy to the show before we end the year, wamechangia sana especially after Troy amezaliwa, Kila siku Troy, mama Troy, I want to see them hata 2 minutes😊😊
Hapo pa wakenya hawapendani Iko all over ...kwanza huku Doha unapata adui yako ni mkenya mwenzako Hadi huku wa ningerians wame take over na upendo kutukiko 😢
... Story ya watchman wa gate kuchezesha mtoto imenikuta mahali pabaya na earphones nimeraruka waombolezi wameniangalia vibaya... Sijaexplain ju baba wa hii nyumba ni security guard. Wameniwekea lawama😂 fuggit!
Mbona hamsemi tume rankiwa position 1 podcast 2024 kwa Spotify 🥳
Bring Mama Troy or Troy to the show before we end the year, wamechangia sana especially after Troy amezaliwa, Kila siku Troy, mama Troy, I want to see them hata 2 minutes😊😊
Kama ume finya hio bell finya like ikutoke❤❤😂
Wale wa notify me finya like tukisonga😂❤💯💪
OTC the whole world will have no choice but to Acknowledge the 3men army ☝️☝️
Wagwan wadau... wapi likes za 3men army tukisonga
Hii show inafaa ikuje daily. Monday's are becoming exciting 🎉
Hii kitu mtu hungoja 😂😂mnafaa kutoa episode mbili per week you are my therapist
Same 😅
Walai tena😅
Niaje Fahm ,Ningependa kua kwa interview zenu manze , Im a Rapper and naezakam tufanye interview moja safi fahm , thanks hit me up 💥⚡️⚡️👌👑🔥🔥
This is the 97's podcast with Dante,Frank and me Andrew Trevor,,na ikibamba sana unaeza tuita Three men army,,,,,me nishai itika😂😂😂😂
Sitasahau episode ya Dark chocolate Dante alitupromise hii mwaka haitaisha kama hajafall in love na tuko December hakuna dalili
Mwaka haijaisha Bado 😂😂
Si ufall inlove Na yy basi😂😂
1 minute down na nishaanza kucheka ufala😂😂😂😂😭
3Men Army ❤❤ been waiting for this Notification
Acha nizime nyongii sasa😂😂😂 namwambianga usiwahii kuja kwa wadau kama uko sober😂😂😂
From Busia to Nairobi I feel that locked in
That willy Paul part ya Trevor killed me....yani mimi😂😂😂😂
wagwan wadau!!! kama unapenda three men army kama mimi.. wapi like❤🔥💢
the number one raw podcast back to back
Mtuletee kalala sasa na waambatane na Prince Kev
Kabisa
Nyinyi ndio mnafanyaga my gal akam over Kila Monday 😂😂
❤nime finya na nime skia nime tokwa
Hapo pa wakenya hawapendani Iko all over ...kwanza huku Doha unapata adui yako ni mkenya mwenzako
Hadi huku wa ningerians wame take over na upendo kutukiko 😢
Episode as always was 🔥 🔥
Waagwan wadau👊👊
3Men Army All the way from MOI'S BRIDGE ✅✅✅✅
Hii December mmeamua ni new episodes back to back🥳🥳 kaende kaende hii show hukua lit🔥🔥💥
Huwa napata notifications za hii podcast naweka kila kitu kando for an hour😂😍
Wagwan wadau 97 podcast ❤️🔥🔥🔥🔥
vibe iko top🎉🎉🎉🎉 all the way,, msa Locked 🔐
Kama Dante ashawai okota chakula kwa takataka na sai ako on 😂😂😂aaaah ain't giving up am coming nyuma yenu dogodogo 😂
Nawapenda ❤❤
Episode is just started and Dante is already cooking Trevor 😂😂
"We unatumianga drugs"🤣🤣😅
Yani mulikua na prince kev juzi na mumekata kumleta kwa podcast 😅
😂😂😂uncle T
Ni kama nimeanza kuwa in love na montii shindwa pepo monti ameoa😂😂
😂😂😂
Mimi 😅😂😂nipewe tu trevor sitakataaa
Trevor mniachie uyu😂😂😂
... Story ya watchman wa gate kuchezesha mtoto imenikuta mahali pabaya na earphones nimeraruka waombolezi wameniangalia vibaya... Sijaexplain ju baba wa hii nyumba ni security guard. Wameniwekea lawama😂 fuggit!
Wagwan wadauuu💥💥💥
Aaaah Stories za mdaudante pale IG huwa kaa chain pia😂🤣😂
Mnaongea mbaya na nko tz apa kigamboni dar es saalam ,,,.mlienda mbezi mgekama kigambon kwa mababi
Vibe ya jamaa wa finance/accounts, ni warui......i relate.......Fun wa Meru012 CPA
Ati kudangany inafanya unone😂😂😂
Wagwan wadau 🤘🏾 Trevor amejam 😂😂 ayuko on anyway we here to support every talent
😂😂masaa gani hii nawatch you are a vibe😊
Nani amengoja kaa mimi🎉
mlete Prince Kev next podcast 😂😂
Ni kama ako yues
😂😂 huyo gaidi ako Kenya kweli 🫴
@@ZachariaNjema actually he is back in kenya
Was waiting for this notification
Its about to go down ..Wagwan wadau, Leo na represent mbogi ya kitale,piga like kama hujachelewa
mnatarget hr wenu....semeni tu ukweli😂😂
Prince kev ametajwa Sana wadau😂😂
Leo mmeamua ni juice 😂😂na glass transparent 😂
Lakini mnakuanga na ujinga 😂😂😂😂😂😂
Hii episode imeanza ikiwa😂😂😂🔥🔥
Wagwan wadau,,,locked from Mombasa 💥
Trevor unibamba mbaya ❤❤❤❤❤
Mwenye kunyimwa stimulants ako mavitu😂😂
Happiness Happiness 😊 ❤
Eldoret Locked Innnnn🎉🎉🎉🎉🎉
Mna unyaamaaa🥳😂😂😂 wagwaaannn!!!🔥🔥🔥
Next episode tunataka prince kev tumemwona ako around🎉
Ameniacha nyumbani me nanyonyesha watoto "😂😂
Dante ; Nitapea sistako mimba
Trevor : atatoa
Mont :😂😂😂😂
Trevor eti umeachwa nyumbani unanyonyesha watoto?
Kumbe ni ukweli Frank alisema umenona hadi uko na matiti 😂😂😂
Leo watu wa loitoktok tumetajwa na trevor😊😂😂❤❤
manze maguys wangu @three men army another shotsonshots episode🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Wangwan wadau mi niwakupeana likes juu Huwa mna- comment Kila kitu ningesema😂
watu wako na hasira huku nje try kuaribu relationship mwanzo harusi uone kama haita turn into burial ceremony dont try that trevor at home
Hii ya leo iko ON fayaaaa😂😂😂
Wagwang wadau tupitiane tugrow pamoja ❤
🔥🔥🔥🔥
ati si drugs ni stimulants😅😅
Wacha monte aongee imtoke 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Niko addicted na hii podcast😂
From 30;34 nmecheka ajabu upto 35:00😂😂😂😂😂
Waguan wadau💯💪
Tuache kudharau wakenya wenzetu jameni!
Mafans bado mupo😂
Wadau sasa wale wa Silver lever 45 minutes ikiisha before gathering iishe M-she anadu
🔥🔥🔥
Tevor angekuwa bado ananunulia maboys wake Kdf busia😂
walai tushaiokotoka zile karatasi za omo alafu mnapewa ndoo na mia mia bana😂😂
Kwani mama troy hayuko kwa chama unakopa aje vitu kwa duka😂😂
😂 Tasa ni kwa wanawake.
Gumba ni kwa wanaume...
hyo ya punch ni serious😂😂
Hii ya leo ni lit🔥😂😂
Let's support own talented Artists Globally
Tuchangie prince kev za ndenge akuje huku
Trevor unaongelelea yule security guard wa Chanadria Adlife Plaza
Luckysummer n estate jamani huko watu hawaokoti takataka😂😂
@3men army fireeee🚀🚀🚀🚀
Trevoh mluhya amechanuka 😅
Wacha niwashe hii foreign nikiskiza hawa wadau😂
Sijaanza kuwatch lakini acha nicheke tu😂😂😂
I was here on wed 18 dec 2024 @ 6:21
Hapo kwa status imeshikana niko guilty 😅😅😅
Hii podcast ndio ilikuwa imeniweka Nairobi,kesho nko location yenye iko nyuma ya I'D
Sasa tena msha ita Dan chokosh😅
Hio hukua 100 ya kupiganiwa😂😂
Leo niko apa mapema baana
Wale wa doba mnipitie
wagwan wadau
Not me listening this topic ya promoters nkiwa nmetoka kusoma story ya Koffi na Indah🤦🏽♂️