+254...Ngoma imefika na inatamba kinomanoma,salute sana bro Hanstone,umeonyesha uwezo na unaweza,just blv n urself n evrythn wl b okay....God above all.
Nipo tena kutoa udhoefu wangu juu ya maswala ya mapenzi,watu wengi huwa wanajiuliza sana swali hili,nitamjuaje kama mpenzi wangu ananipenda kweli,swali hili huwa ni gumu sana kwa watu wengi,lakini minapenda kulijibu leo kama ifuatavyo njoo whastapp utajuwa zaidi 0655177067
Namuona mbali mno mno mdogo wangu Hanstone anaweza sana tumuunge mkono
nakupenda mpakanaumwa ni xaid ya motooo yan unajua mpaka unakera 💝💗💓💋💋👏 hanstone
Kumbe mzur hivyo jaman,nimekupenda ghafla hanstone
mademuuu ndio ohooooo... kila mtu jamaaan huyu kaka mzuri kweli... ushauri wangu... ukiwasikilza utapotea mdogo wangu
Daah wanataka kumpa ngoma dogo mapema tu😂😂
Dahhh!!! Hastone amenichanganya... Kijana mzuri huyo
Me kanichanganya tu na hayo macho yake handsome atari 😂😂😂😂😂🏃🏃🏃🏃🏃
Hahahahaaaaaaaaaaaaa mi mpk nime....... .
Eva Evance sanaa
Kahandsome
Eva Evance 😂😂😂😂😂😂😂💃💃💃💃
Tushakupokea bro ukiweka heshima kwa SIMBAAAAA tu ushapita dogo....
+254...Ngoma imefika na inatamba kinomanoma,salute sana bro Hanstone,umeonyesha uwezo na unaweza,just blv n urself n evrythn wl b okay....God above all.
jamani ningekua kama gigy money ninge kutongoza we mzurii😘😘😘 hongera mungu akusimamie ufike mbali
uko vizuri dogo una sauti nzuri nakupenda
Dativa Paschal mmmm kumekucha
ee bwana eeh......shkilia papo hapo tupe utamu,nasi twakwahidi suport...keep going
Wew msenge unatisha kama njaa iokote ndo wimbo wa taifa umeua kinoma noma kazaaa sema usilewe sifa askali wangu jah bless u
We kaka mzuri
congrutulation boy just proceed to create professional image you can . 😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍
Nakupenda sana honstone
Woq...huyu dogo mkali sana...namkubali pia....karibuni kwwnye chanili yangu pls
homa ya ya jiji baada ya diamond.
dogo hanstone hatare sana congrats sana
Jamani hastone😍😍😍😘
Dogo pmbana..unakuja mkali sana..kazaa
Hanstone ukiweka urafiki na simba maua atakuamkia amini au vp wadau
Dg kigugumiz xana lkn frexh always wenye vigugumiz huwaga wanapenda kuongea harakaharaka ili mradi tuu wasichapie ..weng wao tupo hvo
Very impressive ♥️♥️♥️
Ata siskizi kitu yenye unasema kazi yangu Tu ni kukuangalia enyewe nime fall so cute
Hanstone nakupenda buree
🔥 🔥 🔥
ahsante sana!!!
waiting for more hits kipenz
Huyu mtoto nampenda sana
Napenda sana ulivyoimba kwa wimbo wa maua
Daaaaa nakupenda bureee hanstone
+254 tumekupokea kwa moyo mkunjufu
Hanjiwe stone mwenyeweee bro unatisha
Hussein Abdi hahahhaahahhahah han jiwe
I like it
Dogo mkali chamsingi awe makini gemu yamziki sio ishu rahisi rahisi kaka
hand some boy uyu kaka walaah😋😋😋
Acha tuu nikimkamata namtafuna kbs
Justina Nicolous yan n nomaaa
Huyu dogo anajua na atafika mbali
Dogo we nomaaa
saf sana kaza zaid
Uko vizur nakupenda
dogo, sauti yako tamu sana hakika
Caleb Kathamba
Nakupendaga bureee
Kama na wew umemnoti kachanganya positive na negative gonga like tujuane wafatiliaji wa mambo
💥💥💥💥💥 pamoja sana Hanstone
kahandsome boy hatar xana❤❤
hatar kaboy
awesome boy
Huyu kijana namuona mbali sana
Nakukubali
#+254 iokote is🔥 go on cutie u can
Astone umeuuuuuuuwaaaaaa boy
P1 sana
Bro unasauti nimekutafuta sana nikujue kumbe mtanzania
Mmmh basi iokote ........unanikosha balaaaa sauti kama yote
Njoo king dogo
Nimekukubali bure
daaaaah umenoga iokote ngoma Kali
Woyoooooo
Uwe unaongea kwa point haraka haraka sana unaongea
Kaka sauti yako yanilegeza
Tafuta mabosslady mapema wakubusti mwaya upate kiki nyingi mjin
Muachen kakake tifahstone
Hansome
Madem huku rada sa mkicheki paskal tokodi...
Nenda Wcb utatoboa mapema Sana
Uko vizur dogo endelea kukaza buti
eti faa sokisi na koti kwasababu Kule kuna umbu😂😂😂😂😂😂😂
UMETISHA SANA KIJANA
Kaanglie xn hka
Kaza mwana me nko nafundisha... Ukihitaji mtaalamu wa lugha ya Kiingereza unicheki 0766268953
Nice
like
baba kaza
pwaaaaaaaaaaaa
KaHB wewe aiiiiiiiii uto tumacho ......kamdomo thatha yerewiiiiiiiiiiiiiiiii😂😂😂😂😂💃💃💃💃
A
Mh
Nipo tena kutoa udhoefu wangu juu ya maswala ya mapenzi,watu wengi huwa wanajiuliza sana swali hili,nitamjuaje kama mpenzi wangu ananipenda kweli,swali hili huwa ni gumu sana kwa watu wengi,lakini minapenda kulijibu leo kama ifuatavyo njoo whastapp utajuwa zaidi 0655177067
Huyu mtu anaongea lugha gani? Sio kiswahili hii... Ama ni vile mm ni Mkenya... 😂 bora uhai
😃😃😃 bora uhai tuuu