Hongera Sana Natasha kwakuwa umefanyika lango la familia. Mungu atafanya kitu kikubwa ndani ya familia yenu na mtabaki mkimshangaa! Hongera Dada kwa kuokoka
Mtazamo tu lakini kukaa wazi ukimaanisha nini?Mungu wetu mwema saana hutazama dua zetu kutoka moyoni itasaidia nini kama ukijisitili lakini matendo yako ni machafu.Kitu gani utamficha Mungu ndio kakuumba anakujua ulivyo nje ndani.ila tunatakiwa tuvae nguo za heshima.
Hongera Sana Natasha kwakuwa umefanyika lango la familia. Mungu atafanya kitu kikubwa ndani ya familia yenu na mtabaki mkimshangaa! Hongera Dada kwa kuokoka
Mungu ni mweza dada endelea kumtumikia Bwana na usikate tamaa. Bless you you much sister.
Amen🔥🔥🔥🔥
barikiwa sana natasha Mungu azidi kukulinda
Amen mungu azidi kuwa bariki sanna
Ubalikiwe sana
Nakupenda dada uliamua
Woww Mungu mkubwa, hongera
Hongera dada kwa kuokoka karibu kwa yesu
ameen nabarikiwa sana na sauti yako
God bless u
Zakia jaman mungu ambariki sanaa
Natasha Mungu azidi kukubariki
Had raha mungu awabariki Sana nataman
God bless you all
Madam Natasha. We can meet??
Nice bidada
Jambo
Jambo
Kuabudu na mavazi ya wazi wapi na wapi vaeni Nguo xa heshima itapendeza zaid
Mtazamo tu lakini kukaa wazi ukimaanisha nini?Mungu wetu mwema saana hutazama dua zetu kutoka moyoni itasaidia nini kama ukijisitili lakini matendo yako ni machafu.Kitu gani utamficha Mungu ndio kakuumba anakujua ulivyo nje ndani.ila tunatakiwa tuvae nguo za heshima.
Mungu haangalii mavazi anaangalia kilichopo ndani yako
Zakia jaman mungu ambariki sanaa
God bless you all