SIMU YA MARTHA MWAIPAJA LIVE, SAKATA LA BEATRICE MWAIPAJA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 янв 2025

Комментарии • 143

  • @EricTrillz
    @EricTrillz Месяц назад +19

    Nimejifunza kunyamaza.Hongera dada Martha umekomaa sana kiimani.Ubarikiwe mpaka umshangae Mungu

    • @KANGAKARANI
      @KANGAKARANI 28 дней назад +2

      Hajakomaa.kitu.anajua chenyenkinaendelea juu anauchungu ajibu nini mama.ni mama mbali na yote

    • @Angelmsuya-m2w
      @Angelmsuya-m2w 24 дня назад

      amejua imani bora ni kukaa kimya kumshtakia mungu tu na sio kugombana

  • @NoellaMoses
    @NoellaMoses Месяц назад +21

    Martha nimemkubali sana ametumia busara sana kukaa kimya "Nifundish kunyamaza nisije nikakukosea Mungu"

  • @FaithEmanuel-u1e
    @FaithEmanuel-u1e Месяц назад +21

    Matha asanteee sana Mungu akubariki we kaa kimya mamangu

  • @GladyKazungu
    @GladyKazungu Месяц назад +21

    Martha mungu akubariki ❤❤❤

  • @julieluziga4773
    @julieluziga4773 Месяц назад +20

    Ana hekima sana Martha 🥰

  • @Montana12-v2c
    @Montana12-v2c 29 дней назад +1

    Beatrice ana msingo wa mawazo na msipo kua nae karibu 2026 hatoboi
    Niko hapa nawasubiri kwenye hii comment yangu

  • @EsteR-dt9iw
    @EsteR-dt9iw 25 дней назад +1

    Safi sana Martha kumbe unakumbuka nyimbo zako za nyuma ❤❤❤❤❤ ume nifurahisha sana Martha 😂😂😂😂

  • @MiriamLoy
    @MiriamLoy Месяц назад +23

    Una hekima sanaaa dada Martha nakupenda

  • @Pretty22750
    @Pretty22750 26 дней назад

    😂😂😂me here typing Rip Mr nyundo as i Said nita type nimetimiza,na mdogo wako amepata mwenzie salute kwako Mr Edgar mbogo bila kusahau Mr Felix Mwenda AKA panya na Simulizi mix wote ❤❤❤🎉🎉🎉 here waiting for September 11 Habibi ❤️🫂🔥🔥

  • @GatekaFatma
    @GatekaFatma Месяц назад +15

    Martha mimi ni mwisilam ila nakupendaga sn Mungu azidi kukusimamia dadaangu kutoka burundi

  • @ReginaManyangu-u4j
    @ReginaManyangu-u4j Месяц назад +10

    Safi sana Bora kukaa kimya❤❤❤❤

  • @NeemaDavid-r4o
    @NeemaDavid-r4o Месяц назад +9

    Matha well-done

  • @assaningyoku5948
    @assaningyoku5948 Месяц назад +2

    Amewekwa wazi ndugu. Maandiko matakatifu yanatuambia utampendaje Mungu usiye muona na ukakataa ndugu zako .andika Hilo limemfichuwa

  • @JujuGurugu04
    @JujuGurugu04 Месяц назад +8

    Mamangu Ni mpare anasemaga chwiiii yemkomie ani??? Definitely no one so thanks marther🎉❤

    • @annakadamanja2196
      @annakadamanja2196 Месяц назад +2

      Jamaniiiii, mwenyewe mamangu mpareeee

    • @Bambagatz
      @Bambagatz Месяц назад +1

      dooh
      Tunevonana Kihemageri😂

    • @NeemaKwayu-g5m
      @NeemaKwayu-g5m 29 дней назад +1

      @@Bambagatz😂😂😂😂 Nmecheka mm mama yangu mpare Ila kunyamaza hawezi😂

    • @LuluMkojera
      @LuluMkojera 26 дней назад

      ❤❤❤

    • @Bambagatz
      @Bambagatz 24 дня назад

      @@NeemaKwayu-g5m 😂😂😂😂😂ukiskia hyo tunevonana kihemageri jua tu msala unakuja 😂😂wamama wa kipare sio mchezo

  • @Fatima-v9k6f
    @Fatima-v9k6f 29 дней назад +1

    From 🇧🇮 mama Martha kasema Joan anatuma message za viticho 😢san

  • @neemamasimba2981
    @neemamasimba2981 Месяц назад +5

    Mimi nimempenda sana marther . Anajuwa kuwa Wana miungu Na hawezi kujitetea Na sijaona kosa la Beatrice maana amesema kile wanachopitia Na naamini Mungu atawafungua kweli kweli . Na atawaunganisha Sasa kwenye kumwabudu Mungu wa kweli , Na ninyi acheni kukuza Mambo eti shutuma nzito .

    • @AtifaIslam-t6g
      @AtifaIslam-t6g Месяц назад +1

      Wewe ina mana ujui thamani ya mama mtu akikosea mamaa ni ambiwe kwa nini amtekeleze mama alizaa kwa uchungu na kumlea kwa shida acheni kubobea kwenye kosa kosa ni likemewe na sio kushabikia

  • @marymanoni5536
    @marymanoni5536 Месяц назад +7

    Mathar anaakili sn mathar Mungu akubaiki sn

  • @SalomewanguiNjoroge-x8r
    @SalomewanguiNjoroge-x8r 11 дней назад

    Martha nimejifuza kunyamaza na wewe God bless you dada

  • @neemamalakilevi2661
    @neemamalakilevi2661 22 дня назад +1

    Mmmh wa rohoni wanaelewa zaidi Beatrice nimemwelewa Sana

  • @JoyceStevenMabula
    @JoyceStevenMabula 28 дней назад +3

    Kaa tu kimya dada martha Mungu akutete nasi tunakuombea

  • @SteshStesh-cx2yn
    @SteshStesh-cx2yn Месяц назад +6

    Martha uko na busara "sitaki kujibu niwe nimejibujibu nikijibu mungu awe amejibu"

  • @AnitaBobu
    @AnitaBobu Месяц назад +6

    Hilo ndo jibu la mjingaaa ukimya wako ndo mzurii ❤❤❤❤

  • @HorizonLtd-ty7ep
    @HorizonLtd-ty7ep 26 дней назад

    Dah!
    Martha unauwezo mkubwa sana hapa duniani mpo wachache sana sana ,
    NAOMBA MUNGU akuvushe salama katika kipindi hichi kigumu

  • @HorizonLtd-ty7ep
    @HorizonLtd-ty7ep 26 дней назад

    Dada matha kwa hilo kama wanakuzushia nikwambie tu lazima sanamu yako ijengwe Mbinguni.
    Na kama ni kweli unahusika hakika MUNGU atakuvusha salama
    Duh! Nimeshangaa sana tena sana
    Nimekupenda bure leo na hata kesho

  • @jeanmiruho4770
    @jeanmiruho4770 24 дня назад

    Usikubali kuongea Mungu pekeake atakutetea!Ubarikiwe sana kwa ekima iyo!

  • @TerezaHenry
    @TerezaHenry 29 дней назад +2

    Nakupenda sana martha Mungu akuzidishie hekima na uvumilivu

  • @elizabethnyanchama8382
    @elizabethnyanchama8382 14 дней назад

    Martha ako na hekima sana.Mungu azidi kumtumia.

  • @JuliethKaly-j9d
    @JuliethKaly-j9d 24 дня назад

    Haki ya mungu huyu martha ana hekima jmn eeeeeh Mungu wangu unisaidie unipe upole na hekima kama wa martha aiseee

  • @SangaGroly
    @SangaGroly 26 дней назад

    Nakupenda sana matha endelea kua na hekima na mungu atawajib hao wanao kunenea mabaya

  • @AcelineNyoni
    @AcelineNyoni 27 дней назад

    Shalom mwanangu hupigani mwenyewe yuko anayekupiganania keep it up

  • @MasikaMarry
    @MasikaMarry 21 день назад

    Ongera sana mama yangu wa Imani unaendeleya kunipa nguvu

  • @gertrudekivuva9271
    @gertrudekivuva9271 Месяц назад +3

    Mungu akubariki Martha

  • @rachelmsekena603
    @rachelmsekena603 Месяц назад +3

    Hilo ndo jibu la mjinga,vizuri sana Martha

  • @dorisgolden3472
    @dorisgolden3472 Месяц назад +4

    Martha nakupenda leo mpaka kesho mbinguni

  • @magdalenajoel4409
    @magdalenajoel4409 Месяц назад +12

    Daah hapo dida angekuwepo 😢😢😢

  • @MariaTino-b1k
    @MariaTino-b1k Месяц назад +16

    Ila uyo bite kataka umaarufu hayo siyo mambo yakuongea hadharani nimambo ya familia

    • @Emp_ress_anna
      @Emp_ress_anna Месяц назад +8

      Me nimeona katoa ushuhuda ili nawengne wapone,,nimesikiliz ushuhuda wake wote hakun sehemu kasem dad yangu ni mtu mbaya,, kasema chanzo ni vifungo alivyofungwa mam Yao,wal hamn sehemu kamlaumu

    • @AbigailMuthalemwa
      @AbigailMuthalemwa Месяц назад +3

      Unajua watu wamekurupuka kumhukumu Beatrice bila kusikiliza vizuri shuhuda aliyokuwa anaielezea

    • @EmmilianaDeodath
      @EmmilianaDeodath Месяц назад

      Ww unajua ushuhuda kweli ​@@Emp_ress_anna

    • @NickoKasebwa
      @NickoKasebwa Месяц назад

      Ni Sawa kutoa ushuhuda ili wengine wapone lkn angetumia namna ya kutoa ushuhuda sio kutaja jina la dada yake moja kwa moja angesema kuna dada yangu anahela lkn hamsaidii mama​@@Emp_ress_anna

    • @jamesjohn2127
      @jamesjohn2127 Месяц назад

      Tena madhabahuni mxiiuu

  • @MarryKiula
    @MarryKiula 26 дней назад

    Hongera Martha unaye Hekima sana

  • @MaryAsantaely
    @MaryAsantaely 9 дней назад

    Kawakomesha safi sana

  • @ImanNjogolo
    @ImanNjogolo 25 дней назад

    Amina martha kichwa.duniani wenye akili wachache mengi maboga.

  • @charlessheks7166
    @charlessheks7166 Месяц назад +2

    Martha❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @marymwatsum98
    @marymwatsum98 Месяц назад

    I love Martha 💕 be blessed

  • @EzrahMassawe-ug5uo
    @EzrahMassawe-ug5uo 28 дней назад

    MARTHA YUKO SAHIHI SANA ILA UYO NDUGU YAKO APIMWE AKIL KWANINI AMCHAFUE NDUGU YAKE NI UJINGA IMENIUMA SANA

  • @mariambokero6920
    @mariambokero6920 26 дней назад

    Nakupenda dada kaakimya hivyo hivyo

  • @erastopascal
    @erastopascal Месяц назад

    Martha I lavi u ❤

  • @FredrickMatiku-xf2uk
    @FredrickMatiku-xf2uk Месяц назад +3

    Daaah RIP didaaa wa mashamsham ndio tushamsahauuuu sasa hivi kuna wakina lokoleee na idrisaa wa kitaaa

  • @EzrahMassawe-ug5uo
    @EzrahMassawe-ug5uo 28 дней назад

    Dada Martha usiogope vitisho songa mbele

  • @veronicangwale7159
    @veronicangwale7159 Месяц назад +14

    Kila familia inamatatizo yake

    • @salumualoyce5620
      @salumualoyce5620 Месяц назад +2

      Upo sahihi.

    • @IreneMsile
      @IreneMsile Месяц назад

      Mimi mwenyewe nina matatizo na familia yangu ila huku mitandaoni kufanyaje kuja kutafuta huruma mitandaoni unanyamaza tu

  • @GROLYKIBONA
    @GROLYKIBONA Месяц назад

    We nawe kama una Hela alafu unakula mwenyewe unawasahau Hadi wa nyumbani mwako Inakuwa sio vizuri mtumishi

  • @NgasaBoy-m6s
    @NgasaBoy-m6s Месяц назад +4

    Anahofu na munguu huy bint

  • @mashayoangel7385
    @mashayoangel7385 25 дней назад

    🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰❤❤❤❤kimyq nalo neno

  • @malaikajabali-oj2fh
    @malaikajabali-oj2fh Месяц назад

    Aende asaidie mamake wacheni kusema hapo hongera sasa hongera ya nini mama mzazi anateseka

  • @happypiusi3801
    @happypiusi3801 28 дней назад

    Martha kipenzi cha watu kaa kimya wacha. Dunia. Ijibu

  • @dorisgolden3472
    @dorisgolden3472 Месяц назад +2

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @FatmasaidhamesaHamesa
    @FatmasaidhamesaHamesa Месяц назад +2

    Huruma sana

  • @doricedaniel-g6s
    @doricedaniel-g6s 29 дней назад

    Mungu nipe hekima kam huyu dada jamn nijue kunyamaza😢

  • @glory34495
    @glory34495 Месяц назад

    ❤❤❤ Martha

  • @AshaJuma-dz6hq
    @AshaJuma-dz6hq Месяц назад

    Dada una hekima kwa kweli Mungu akusimamie

  • @NaomiSanga-ed9ss
    @NaomiSanga-ed9ss Месяц назад

    Penda saana dadaangu mzurii MUNGU akutunze uzidi kufanyika baraka

  • @fadhililihinda6491
    @fadhililihinda6491 Месяц назад

    Mtoto ana busara sana, nimempenda sana wallah

  • @givenmsomba9358
    @givenmsomba9358 29 дней назад

    Martha nyamaza kimyaaa

  • @azizahuruma7463
    @azizahuruma7463 Месяц назад +2

    ❤❤

  • @UpendoMaduhu
    @UpendoMaduhu Месяц назад +1

    Mungu nipe hekima kama ya matha kwa ulimwengu wa sasa

  • @JojojoJojojo-wx1vi
    @JojojoJojojo-wx1vi Месяц назад

    Martha❤❤❤

  • @ZaituniNyanje
    @ZaituniNyanje Месяц назад

    Ata ongaaje na kuna kamtu kaliko mbele yake kanako leta habari kamili kutoka kwa Martha 😅😅

  • @tielyelibariki8958
    @tielyelibariki8958 Месяц назад

    Uongee usiongee kamuombe mama Yako msamaha Amelia sana ametuliza hata sisi majirani zake. Mungu yupi wakati mzazi ndio Mungu wa kwanza Duniani😮😮😮

    • @OscarFrancis-mx7iy
      @OscarFrancis-mx7iy 24 дня назад

      Ukimya ni jibu kwa mjinga...angalia usije ukawa kwenye kundi la wajinga

  • @zakiamseka9698
    @zakiamseka9698 Месяц назад +1

    Martha wanyamazie hivyo hivyio wakome

  • @lazarosoja6522
    @lazarosoja6522 29 дней назад

    MARTHA ATAKUWA MSAGAJI NA YULE JOAN ALISHAMCHUKUA VIDEO WAKIFANYA UJINGA HUO HIVYO SASA HIVI AKIAMBIWA FANYA HIVI NA HIVI ILI NISIVUJISHE VIDEO ANAFUATA SHERIA NA AKIMKATAA JOAN NDO VIDEO ZITAVUJA

  • @kulwalucas8848
    @kulwalucas8848 28 дней назад

    Mmh et aongee kitu,,😂😂😂, siwez kumtetea huyo ata nyimbo zake nyingi zinajirudia af ukisikiliz kw makin zinamlinga mtu au zinamsema mtu, nyimbo za mafumbo😂😂

  • @AmisamauridNgagada
    @AmisamauridNgagada Месяц назад

    Huyu dada anamashauzi xana wote ni wakina mwaipaja ila nilichokiona Kwa matha anadharau xana mm kama mnyaki mwenzake nimeligundua hilo

  • @EdgarMjanja
    @EdgarMjanja 20 дней назад

    Mnaomuxhkuru Martha mxhaxikilza maojiano ya mama mzazi wake hyo Martha ni mchafu

  • @DeborsJoseph
    @DeborsJoseph Месяц назад

    Martha nakupenda sana

  • @meesipro6799
    @meesipro6799 23 дня назад

    Kwanza tumuulize ukongo,ukenya hiyo lafidhi kaitoa wapi.?

  • @AginetaBamuhiga
    @AginetaBamuhiga 11 дней назад

    Juma anang'ata na kupuliza

  • @talentshow2024
    @talentshow2024 Месяц назад

    Jamani wamuache dada wa watu😢😢😢

  • @NellykafyaTandia-w2m
    @NellykafyaTandia-w2m Месяц назад

    Amen 🙏🙏

  • @elizabethakinyi534
    @elizabethakinyi534 11 дней назад

    Nilmpenda Martha lakini sahizi kidogo naogopa

  • @AgnesJohn-f1r
    @AgnesJohn-f1r Месяц назад +4

    Eti ukimya ni mzuri wakati si jibu mlilokuwa mnalitaka 😂😂 mmenyooshwa na Martha wambea wakubwa

  • @davidsamson8292
    @davidsamson8292 Месяц назад

    KWA UZOEFU WANGU HAWA WATUMISHI WA MUNGU WENGI WANA BACK SIDE AMBAZO HATUZIJUI. Beatrice better repent kuliko kutafuta defensive mechanism...

  • @azizahuruma7463
    @azizahuruma7463 Месяц назад

    ❤❤👏👏👏

  • @فاطمهفاطمه-ش2ز9ج
    @فاطمهفاطمه-ش2ز9ج Месяц назад

    😢😢😢😢ivi wadogo zetu wakoje sikuizi yaan ndg yako anataman yeye kuwa nawewe

  • @CHUYUTV
    @CHUYUTV Месяц назад +2

    Ila martha hatali nime mkubali

  • @Oneboy.t
    @Oneboy.t 26 дней назад

    Siyo anashindwa kujibu ila anawaza ataongea kitu gani mpaka watu wamuelewe

  • @LouisPadiri-im4xm
    @LouisPadiri-im4xm Месяц назад

    Alafu uyo lokole uyo 😊

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 Месяц назад

    Amejibu vema kukataa kuongea kitu, ila aende kwa mama yake akapatane na mama yake

  • @nyakahodenis1473
    @nyakahodenis1473 Месяц назад

    Jamani dida

  • @SuzieMahalu
    @SuzieMahalu 26 дней назад

    😂😂😂😂

  • @AmosSniper
    @AmosSniper Месяц назад

    Yaani haya matangazaji Manafiki kweli😮

  • @Glady-Lu1lu
    @Glady-Lu1lu 29 дней назад

    Heri kukaa kimya kuliko kusemasema

  • @CaroDzame
    @CaroDzame Месяц назад

    Ametumia hekma sana martha

  • @carlosleonard6050
    @carlosleonard6050 Месяц назад

    Ila wabongo....ukiwamanipulate kidogo tuu...unawapiga chenga..comment wanamsifia ana hekima....hiyo hekima kama ipo kwanini asiitumie kumshauri Joan asiropoke kule insta....na muda wote yupo nae....kucheza tuu na akili za watu

  • @issashabani-c7r
    @issashabani-c7r Месяц назад

    Kwendeni huko mme kosa content haooooooo

  • @MsNajma-j7e
    @MsNajma-j7e Месяц назад +1

    Jmn ata km kwenye family kunashida sio vzuri kusema kwa huma

    • @RajabuHayyan
      @RajabuHayyan Месяц назад

      Sana kaboa

    • @FatumaJumanne-p4d
      @FatumaJumanne-p4d Месяц назад

      Alafu anasema ushuhuda kama co kudhallshana maana ku2nza wazaz n jukumu la wote pia kuna wazee wa family au wakansa il wayqzungumze

  • @NorahNeondo
    @NorahNeondo Месяц назад

    If truly she's quite why is her daughter writing those messages be born again some things needs to be addressed for once

  • @JenipherShao
    @JenipherShao Месяц назад

    Nipeni hizo namba za martha mi nimpigie ataongea tu

  • @mwesigyeglory215
    @mwesigyeglory215 Месяц назад

    Hajamtuhumu kwa lolote yeye alisema amefungwa
    Hilo sio kosa muache kumusingizia

    • @OscarFrancis-mx7iy
      @OscarFrancis-mx7iy 24 дня назад

      Sasa iyo ni kazi ya mungu au kazi yake..Ivi dada yako aje kukutangaza uku mtandaoni kwa skendo za umalaya utajisikiaje alafu ndio unakuta ni ukweliii

  • @LucyOgego
    @LucyOgego 29 дней назад

    Mngwana akivuliwa nguo huchutama... Martha zidi kupambana kushinda ni lazima, usikate tamaa. Vita ni ya Mungu si ya kwako

  • @LizzyAloyce
    @LizzyAloyce 25 дней назад

    Sio busara hicho ni kiburi

  • @vaxminja9053
    @vaxminja9053 25 дней назад

    Mbona Joan anatukana watu

  • @ZainaMiraji
    @ZainaMiraji Месяц назад +1

    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @tiffan2807
    @tiffan2807 Месяц назад +1

    ❤❤