SIRI NZITO YAIBUKA, GATUNDU CAVES OF DEATH - APPOSTLE YOHANA EXPOSES

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 фев 2025

Комментарии • 52

  • @ceciliahjohn4995
    @ceciliahjohn4995 7 дней назад

    Dear God help me never fall in the hands of diviners may you quicken my spirit in Jesus name

  • @raka19853
    @raka19853 9 дней назад +2

    This is real truth. The sad part is that, not many people listen to such people.

  • @shalomkind4575
    @shalomkind4575 9 дней назад +9

    False prophets ni ngumu kujua Africa sababu watu huitaji healing ya mwili na wanapenda miracles signs n wonders badala kwanza waokoke ..wasome Neno sana na wajazwe Roho wa Mungu ambae atawafundisha ..

  • @davidmwangi222
    @davidmwangi222 2 дня назад

    Kweli kapsaa

  • @margaretkinyanjui497
    @margaretkinyanjui497 8 дней назад +1

    Diviners are worse than sorcerer's. Their victims can really defend them and even fight for them

  • @suzansuzzy9494
    @suzansuzzy9494 7 дней назад

    This is very true.manabii wa uongo ni wengi.

    • @tabithacharles8545
      @tabithacharles8545 6 дней назад

      @@suzansuzzy9494 heheee! Are you watching TV what she said it's happening...ni wivu ako nayo Hana gift of holy spirit..na nimeenda alot is coming

  • @damarisnjerichege100
    @damarisnjerichege100 8 дней назад

    Nice show.

  • @theefootball2365
    @theefootball2365 8 дней назад

    True

  • @MuiruriWanjiku-s7j
    @MuiruriWanjiku-s7j 8 дней назад

    Ukweli kabisa

  • @daphnesyevosembuthia1040
    @daphnesyevosembuthia1040 6 дней назад

    Another one gave me just one month to survive gulf kama si mpatii pesa ,,ilibidi ni extent to show him Christ exists

  • @carendeborah5687
    @carendeborah5687 8 дней назад +1

    I'm here but these days I'll never listen to someone talking about God's way I'll rather confirm from the bible,,the bible has got all that we want to know on this world..

    • @BettyWanjiku-y5n
      @BettyWanjiku-y5n 8 дней назад

      Sasa apostle have heard you say people you asking to pray for ni those in abroad.. most people ata within the country goes to divine and need to be helped

  • @agathamburu8910
    @agathamburu8910 9 дней назад

    Very true..

  • @Nancy-wc5ch
    @Nancy-wc5ch 8 дней назад

    Kweri kabisa 😢

  • @gigimarco2592
    @gigimarco2592 9 дней назад +3

    Pastor wewe ukweli hata Pastor Lay ni Diveiner coz mamangu alienda kuombewa kwa Pastor Lay na baada ya mwezi Babangu akapoza na hapo ndio tukaona pia Familia yote sasa kugombana na hata sasa Familia yote kila mtu ako kiviake hatuewani na tuko Familia ya watu 8.Watoto 6 na Wazazi wetu lakini wote sisi hatuewani.Na hiyo sasa 32:41 nimejua ni kwa nini. Pastor wewe umeongea ukweli wote.

    • @wainainanjeri8783
      @wainainanjeri8783 9 дней назад +2

      Asante sana pastor.watu wamendanganywa sana

    • @wainainanjeri8783
      @wainainanjeri8783 9 дней назад +2

      Aki when will Kenyans learn.Fuateni biblia...Mko na wachungaji Kwa kanisa..Nini mnaenda kutafuta in risky places.

    • @shalomkind4575
      @shalomkind4575 9 дней назад +3

      Ezekiel manyuru kakande wore NI WA kuzimu na wakenya hawaskii NGO!

    • @janemwendiaofficial3653
      @janemwendiaofficial3653 7 дней назад

      Kwetu kuko Ivo dear juu ya dada zangu pia kuenda huko Hadi wanapeangwa maji na vitambaa so familiar ni kama kwenu ,I hate those diviners with all my heart

  • @linahmutende-zv4ns
    @linahmutende-zv4ns 9 дней назад +2

    Hawa watu ni manabi wa miungi baali ndio walikuwa wanayumbayumba wakijikata aty wanaomba hao ni wajawi na waganga

  • @JacklinemunyivaMutie
    @JacklinemunyivaMutie 9 дней назад +1

    Hio ya watoto kuona giza kwa vitabu nimeyashuudia😂

    • @ShantelFashion
      @ShantelFashion 8 дней назад

      Pia mimi nkifanya kcse.paper za mwisho nliona giza.na nikapururu.😢

  • @lizgardner-jy4lq
    @lizgardner-jy4lq 9 дней назад +2

    Well the truth is All this people who tell others that they are giving them Holy Oils , holy blood & holy breads are All telling pokes working with evils !!

  • @davidndambuki1733
    @davidndambuki1733 8 дней назад

    😢people are indeed tired of seeking the truth in the word. Reading n understanding the word brings light to one’s life but if that cunning person interprets it you, it’s just hell. Even the witch doctor uses bible.

  • @marykamau3508
    @marykamau3508 9 дней назад

    Wewe sio watu wooteecwabaya sio stability wote mbaya No No please let us play wariofugwa wafuguliw

  • @evalinemwangi4532
    @evalinemwangi4532 9 дней назад +1

    NGAI...you were once staying in kahawa west...ulienda wapi?

  • @faithpius6401
    @faithpius6401 6 дней назад

    Huyu Yohana ameongea ukweli mtupu hizo sarakasi za uko kwa hizo mapango ...ni ushirikina tu

  • @rosewambui5076
    @rosewambui5076 9 дней назад +2

    Ukweli kabisha

  • @priscillahchemeli4826
    @priscillahchemeli4826 9 дней назад +1

    Apostle,mtu hujitenga aje na kurecover from effects ya diviners?

  • @phoebewanjiru1955
    @phoebewanjiru1955 9 дней назад

    Familiar spirits

  • @tabithacharles8545
    @tabithacharles8545 9 дней назад

    Can same one explain to me meaning of both divine and Nabii?

    • @shalomkind4575
      @shalomkind4575 9 дней назад +1

      Nabii NI prophet
      Divine NI Holy

    • @ruthee1895
      @ruthee1895 9 дней назад +1

      I think she meant diviner-Diviner is someone who uses the spirit of divination to perform miracles. Nabi is a prophet

    • @tabithacharles8545
      @tabithacharles8545 6 дней назад

      @ruthee1895 hehe, ako wapi huyu mhubiri ....ana watch TV juu VITU zina happen 😅😅

  • @lydiamburia4113
    @lydiamburia4113 9 дней назад +1

    APOSTLE YOHANA has put it as it is on matters these diabolic prayer centres.

  • @puritypk3323
    @puritypk3323 8 дней назад

    Not all don't judge you are not God

    • @evasavai956
      @evasavai956 8 дней назад

      Can I ask you which clothe have powers or if you read bible which clothes did Jesus used to heal , Walk by faith not sight

  • @RickMarions254
    @RickMarions254 9 дней назад +2

    Hii ni kali😂😂😂😂😂😂😂😂😅

  • @blakantcreative5072
    @blakantcreative5072 9 дней назад +3

    Sasa wenye wamekua brainwashed tutawasaidia vipi wafunguke.

  • @smithshosh
    @smithshosh 9 дней назад

    Puhu! Kuna kamoja kalijaribu kunitoanisha nikamshow anyowe vuthii zake auze...
    Too nany fake prophets kwanza wakorino

  • @marykamau3508
    @marykamau3508 9 дней назад

    Lakini sio wootteee wewe usiharibu inability sio wote wako na kaju bona unaingol kanju Bona catholic wanafaa caju na ACK WAKO NA KAJU APCEA WAKO NA MANGUO ZA GREEN NA BLUE NA COLOUR ZOOTE USIJIPEDEKEZE HAINA JUGDE MENT UMEKUAJE NI ZA WEWE UKO NA ROHO WA MUNGU WATU UOKOKA CAME ON ATA WEWE

  • @WairimuNjenga-q7b
    @WairimuNjenga-q7b 9 дней назад +1

    Sio wote hueda huko Ni watumwa