Uwekezaji Bora wa Kukufanya Tajiri Ukiwa na Miaka 20s Hadi 30s | Ni zaidi ya biashara yoyote

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 дек 2024

Комментарии • 193

  • @kabogonorasco7498
    @kabogonorasco7498 2 месяца назад +7

    High income skill is what will solve watu kulialia na ajira,na wazazi wajifunze namna ya kuwa na maarifa sahihi ili kuwafundisha watoto msiwasukumie vyuo vikuu tu halafu wakitoka ni mwendo wa bahasha kwapani tu

  • @globalinternetbusinessoppo9169
    @globalinternetbusinessoppo9169 2 месяца назад +2

    Very Powerful maana vijana wengi ni visionless na wana same old mindset ya 80's ya kusubiri ajira tu....
    Wakati the future of everything is already online and massive wealth will be made for the renewed mind....kijana amka usingizini grab skills moja na wekeza muda kujijenga..🎉

    • @intelligencefx
      @intelligencefx  2 месяца назад

      Kweli kabisa dada, you said it all🙌

  • @nathanfx19
    @nathanfx19 2 месяца назад +8

    more than a ticher is father is a mentor is
    Alpha 💯🔥

  • @humphreyrichard7028
    @humphreyrichard7028 2 месяца назад +5

    Hizi bahati tunazopata sahivi kutoka IFX tuzitumie vizuri maana kuna kipindi itafika hizi video zitakua ni za kununua
    Kila siku nasema hawa jamaa Mungu awabariki maana wanatoa elimu ambayo kuipata bure bure kama hivi sio rahisi
    Hizi content ni dhahabu tupu🤝

  • @PipspantherHub
    @PipspantherHub 2 месяца назад +11

    The number 1 investment that everyone should have ( INVEST IN YOURSELF AGGRESSIVELY)
    A) Invest on high income skill
    B) Invest on your health , mindset and psychology
    C) Invest on financial literacy, learn deep about money.
    D ) Invest on making connections (like attract like)
    Thank you brother , I appreciate this 🥂📌

  • @jerryjeremmy6823
    @jerryjeremmy6823 2 месяца назад +1

    Ni Neema kubwa kufahamu Maarifa haya kipindi hiki.
    Am on it 💪

  • @mathiasmsami-v6k
    @mathiasmsami-v6k 2 месяца назад

    Sure sana high income skills ni kitu cha muimu sana investing in yourself is best investment u can do vitu kama kusoma vitabu kwa kwelii ni muimu sanaa mana unapopitia ups and downs kwenye maisha inabidi uwe wise enough kuendana na life situations 💥👍

  • @Haleem_07
    @Haleem_07 2 месяца назад +5

    Someone somewhere, atakuja kujutia kwanini hakuiyona hii au kuipuuzia hii miaka 10 ijayo.

  • @TadaeRamadhani
    @TadaeRamadhani 2 месяца назад +2

    This is a information changer….am so grateful i have you brother

  • @danielmsangi5069
    @danielmsangi5069 2 месяца назад +2

    Bro nafutiliaga video zako zote uko vizuri

  • @yuxchaz6078
    @yuxchaz6078 2 месяца назад +13

    4 important things in order to invest on yourself Aggressively.
    1. Learn high income skill
    2. Invest on your health, psychology and mindset.
    3. Invest on your financial literacy.
    4. Build a strong Network and Good relationship with people
    All the best... Let's change our lives.

  • @mikelyoba4504
    @mikelyoba4504 2 месяца назад +2

    shukrani sana kiongozi ni muda wa kufanyia kazi sasa na kuyakubali mabadiliko kwa wakati sahihi 🤝

  • @Mastil.
    @Mastil. 2 месяца назад +1

    This video is incredibly insightful brother, The way you break down essential life skills like managing money, effective communication, and self-care is both practical and easy to understand. These are skills everyone should learn, regardless of age. Thank you for creating such valuable content that can truly make a difference in people’s lives. Keep up the great work of impacting millions mentor! 👍

  • @fele391
    @fele391 2 месяца назад +2

    Much knowledge gaining from yall
    Appreciate 🔥

  • @CryptoHandlerFI
    @CryptoHandlerFI 2 месяца назад +1

    🦁's attitude+ 🦅's focus..c u at the top✊🏾

  • @sukabluz8439
    @sukabluz8439 2 месяца назад +4

    Nakubali

  • @desmondkomba2342
    @desmondkomba2342 2 месяца назад +1

    Unyamaa saan Mr mkwizu mtaalam wa mambo

  • @BrianNestor-vy1ts
    @BrianNestor-vy1ts 2 месяца назад +2

    Thank you very much brother for taking your time to educate us. This insight is invaluable we are only to take action!

    • @intelligencefx
      @intelligencefx  2 месяца назад

      My pleasure! I really appreciate 🤝

  • @CalvinChonjo-s2b
    @CalvinChonjo-s2b 2 месяца назад +1

    Thanks brother it worth more than millions❤

  • @BarakaMbalwa-j3w
    @BarakaMbalwa-j3w 2 месяца назад

    IFX is never boring and always delivers top-notch content. I believe this tutorial will inspire many young people to think outside the box 🔥🔥🔥

  • @gisbertmsigwa42
    @gisbertmsigwa42 2 месяца назад +1

    Kweli kabisa let us pull up soksi

  • @CheleoIFX
    @CheleoIFX 2 месяца назад +1

    Moja ya video itagusa vijana wengi sana,,🔥🔥🔥🔥

  • @KelvinLaizer-lu8ws
    @KelvinLaizer-lu8ws 2 месяца назад +1

    Despite liking 👍 the gems dropped in the video i personally also appreciate the Editing 👌👌

  • @RayollaKenneth
    @RayollaKenneth 2 месяца назад +4

    The video we never asked for but needed so much 🔥🔥
    Value💯

  • @ivanrenatus1885
    @ivanrenatus1885 2 месяца назад

    Ukipitia video hii kwa umakini ni moja ya video value kubwa sana kweli ifx ni zaidi ya trading sijutii kukutana nayo💥💥

  • @dominicndomba1404
    @dominicndomba1404 2 месяца назад +2

    Very informative brother 👏

    • @intelligencefx
      @intelligencefx  2 месяца назад

      Glad you liked it, I appreciate 🤝

  • @f3kir
    @f3kir 2 месяца назад +1

    Twin of Robert Kiyosaki Your always talk sense bro 💯💯💯💯🙏

  • @collinskessy
    @collinskessy 2 месяца назад +2

    Very Mindful ❤

  • @ibrahimmatiko7116
    @ibrahimmatiko7116 2 месяца назад

    One of the blessings Mungu ametujaalia, ni huyu brother Amri, na IFX, Mungu azidi kukubariki bro.

  • @P.r.o.l.f.i.c
    @P.r.o.l.f.i.c 2 месяца назад +3

    I appreciate the value 🚀🏆

  • @christophermwambona32
    @christophermwambona32 2 месяца назад

    These videos, mahn!!🔥 🙌🏽...very resourceful kongole nyingi sana kwa timu nzima ya IFX👏🏽. "Let's impact millions" really inaonekana kwa matendo.
    But kubwa la kuondoka nalo is working on yourself. Brother unajitahd kuhabarisha uma hususani vijana tuamke tujikumboe kifkra na kiuchumi. Regardless of what utasema lkn kma personal development haitafnyka then nothing will ever change.
    Mungu atujalie kuyaskia na kuyatendea kaz🤲🏽, Insha'Allah🙏🏽 in the near future tutakuwa hapa to share the victories kutokana na aya madini🔥.
    Stay safe brother wewe na timu nzima, God bless u✊🏾

  • @Heisbuu
    @Heisbuu 2 месяца назад +1

    IFX So Powerful and Potential🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🏃‍♂️🏃‍♂️

  • @enzopuerto2541
    @enzopuerto2541 2 месяца назад +2

    Keep inspiring role model..

  • @MizzlekingFX
    @MizzlekingFX 2 месяца назад +1

    QUALITY VIDEO✅️ & Valuable 👍

  • @festoluoga
    @festoluoga 2 месяца назад +1

    You guys I appreciate
    I salute you for that explanation
    Be blessed

  • @barakamwambwalo2229
    @barakamwambwalo2229 2 месяца назад +1

    You Never disappoint man gems 💎 gems 💎🔥

  • @victormkello9575
    @victormkello9575 2 месяца назад

    Kwa mtu anayependa mafanikio ayapate kwa haraka na njia za mkato hawezi kukusikiliza mwanzo hadi mwisho wa somo. Ila tunaojua kuwa siri ya kufanikiwa kimaisha ni kuwekeza kidogo kidogo kwa muda mrefu tunajivunia sana kuyapata mafunzo ya aina kama hii. 🎉🎉 Congratulations bro.

  • @Chrselan
    @Chrselan 2 месяца назад

    This is exactly the kind of content the world needs more..Thank you for sharing and making something..Mungu awaweke kwaajiri ya wengi🙏

  • @charlesbwasese8102
    @charlesbwasese8102 2 месяца назад

    God bless you my brother.
    I never skip any video you post

  • @enockamos9582
    @enockamos9582 2 месяца назад +2

    Noted, thanks 🙏

  • @emma3860
    @emma3860 2 месяца назад

    1. Learn high income skills eg trading, graphics designing, content creation
    2. Learn how to care for your physical and mental health and work on it eg gym etc
    3. Learn financial literacy eg budgeting, saving, what money is etc
    4. Create a good network of people. Now it is who you know

  • @NICKSONNELSON-ij3qv
    @NICKSONNELSON-ij3qv 2 месяца назад

    Content quality ipo juu sana bless kaka , tunajibambua kupitia wew

    • @intelligencefx
      @intelligencefx  2 месяца назад

      I appreciate for feedback, let’s keep going

  • @yeftapetro4055
    @yeftapetro4055 2 месяца назад +1

    Very true brother ..... very useful content 🔥🔥🔥

  • @DamasGambishi
    @DamasGambishi 2 месяца назад

    Thanks much intelligencefx team, I have learn to get serious early, the ealier the better, the young the higher the chance. We need more videos

  • @robertmpumbi9399
    @robertmpumbi9399 2 месяца назад

    This brother is doing very greater impact to us God bless you brothers 🙏

  • @JamesMussa-od8hm
    @JamesMussa-od8hm 2 месяца назад

    My brother your the best mentor I nafurahi sana juu ya mafundisho yako yananifanya napata changes nyingi sana.Mungu akubariki sana

  • @ChrisCharles-lh5eh
    @ChrisCharles-lh5eh 2 месяца назад

    Nashukuru sana mentor, kwa knowledge nzuri na mchango unaotuma kila siku ili tuweze kuwa extraordinary people, Mungu azidi kukuongoza uendelee kutuma madini kama haya, nina promise kufanyia kazi aggressive kama ulivyosema 🙏

  • @jacobeliufoo7635
    @jacobeliufoo7635 2 месяца назад

    Umeongea vitu vizuri na vya kweli kabisa uwekezaji muhimu

  • @JartanKea
    @JartanKea 2 месяца назад +2

    A really helpful content. 🙌🏾🔥

  • @Saed_baabbad
    @Saed_baabbad 2 месяца назад +1

    unajua mzee 🐐

  • @kingvikey4682
    @kingvikey4682 2 месяца назад

    ..appreciate sana brooh kwa madini ya muhimu sana unayotoa🙌

  • @AndrewStanley-mw5hy
    @AndrewStanley-mw5hy 2 месяца назад +1

    ✅✅ so true.. thank you brother 🙏

  • @yuxchaz6078
    @yuxchaz6078 2 месяца назад +2

    Be blessed 🙏

  • @evamndima7161
    @evamndima7161 2 месяца назад

    Thank you IFX for the great value in this video ..thank you for building our minds to think bigger an out of the box in every possible way ... Knowledge is power

  • @EVANCEMGINA
    @EVANCEMGINA 2 месяца назад

    Umekua msaada mkubwa kaka, shukran kwa kutugawia ulichojaliwa

  • @patrickcyprian
    @patrickcyprian 2 месяца назад +1

    Thank you Brother Amri, makes a lot of sense 💪💪

  • @obedjacob4323
    @obedjacob4323 2 месяца назад

    Madini kutoka kwa my brother congratulations

  • @AthumanKatole-oe6xt
    @AthumanKatole-oe6xt 2 месяца назад

    Asante sana kk kwa ku2fungua vijana🙏

  • @samwelbuya5104
    @samwelbuya5104 2 месяца назад

    Asante Sana mkuu,mambo unayozungumza na umri wako n unreal

  • @AllanHaikael
    @AllanHaikael 2 месяца назад

    Thank you.upo vizur Sana mtaalamu wa IFX.

  • @Saidikasomo1231
    @Saidikasomo1231 2 месяца назад

    Big thanks broo,🙏 hapa najifunza kitu kikubwa sana.

  • @heavenlymusicproduction4360
    @heavenlymusicproduction4360 2 месяца назад

    Shukrani sana bro Kwakuelimisha jamii juu ya ukweli huu kupambania ndoto zetu.

  • @clementinavictor4075
    @clementinavictor4075 2 месяца назад

    Asante sana kwa elimu hii

  • @kelvinkaytan4692
    @kelvinkaytan4692 2 месяца назад +1

    Thanks for sharing chief

  • @ElizabethMbwambo
    @ElizabethMbwambo Месяц назад

    Asante sana brother mume ipenda hii

  • @shiraziabdallah3221
    @shiraziabdallah3221 2 месяца назад +1

    Shukran san bro...

  • @janethruhomwa767
    @janethruhomwa767 2 месяца назад

    kazi nzr sama🔥🔥🔥

  • @gulaforexacademy
    @gulaforexacademy 2 месяца назад

    Hii video iko 🔥🔥🔥

  • @innocentalex6763
    @innocentalex6763 2 месяца назад +2

    🔥🔥🔥🔥 nice one

  • @hunchocode2984
    @hunchocode2984 2 месяца назад +1

    Thank u bro✅🙌🏽God bless u🙌🏽

  • @ghaiedward5800
    @ghaiedward5800 2 месяца назад

    This is an eye opening video. Keep this fire burning.

  • @iam_lasco
    @iam_lasco 2 месяца назад +1

    Hii nzuri sanaa🙏

  • @Kins_Tz
    @Kins_Tz 2 месяца назад

    Surely broh,still am studying forex!

  • @Justbejose
    @Justbejose 2 месяца назад +1

    Uzuri ni kwamba ugusii tu trading Bali whole life MUNGU AKUWEKEE

  • @kenyattalyimo-b8l
    @kenyattalyimo-b8l 2 месяца назад

    Asante sana Mkuu kwa hayo madini.

  • @harveychristopher9560
    @harveychristopher9560 2 месяца назад

    Powerful message brother

  • @hassankasimu9255
    @hassankasimu9255 2 месяца назад

    Be bleesed bro🔥🔥

  • @dawaassalafiyaahtz4785
    @dawaassalafiyaahtz4785 2 месяца назад +2

    Content 🎯💯

  • @eliasmalley1797
    @eliasmalley1797 2 месяца назад

    Powerfully information🙏🙏🙏

  • @gabrielprocess6922
    @gabrielprocess6922 2 месяца назад +2

    Seen bro

  • @SpencerJ10
    @SpencerJ10 2 месяца назад +2

    Maisha yanapanda sana everyday mambo yana change

  • @ghaiedward5800
    @ghaiedward5800 2 месяца назад

    Received with thanks. God bless you Sir!

  • @Nurdybrown
    @Nurdybrown Месяц назад

    Thanks brother i've learned a lot

  • @chicaginho7877
    @chicaginho7877 2 месяца назад

    Thank you brother nimeongeza kitu

  • @lif3ofpatt
    @lif3ofpatt 2 месяца назад

    Very educational🙌🏾

    • @intelligencefx
      @intelligencefx  2 месяца назад

      I appreciate for your feedback, more to come🤝

  • @FrankMathias-o3i
    @FrankMathias-o3i 2 месяца назад

    thanks brother.. kwa elimu

  • @DeKing-f6l
    @DeKing-f6l 2 месяца назад

    Thanks bro for helping us ❤

  • @Nad021-j6b
    @Nad021-j6b 2 месяца назад

    Thanks a lot my role model🙏🏼

  • @MboneaWillium-k4v
    @MboneaWillium-k4v 2 месяца назад

    Fact brother nataman kujua fx ila sielew naanzia wap

  • @msabiyesubusande
    @msabiyesubusande 2 месяца назад +1

    Thank yu so much.. ubalikiwe

  • @landiismollel4075
    @landiismollel4075 2 месяца назад

    Very informative🎉

  • @noelamataro6695
    @noelamataro6695 2 месяца назад

    So powerful brother

  • @georgenkanawa7156
    @georgenkanawa7156 2 месяца назад

    IFX 🎉✊🏼✅

  • @superuntouchable472
    @superuntouchable472 2 месяца назад +1

    Thank you so much bro

  • @DanielBernard-fl7mb
    @DanielBernard-fl7mb 2 месяца назад

    Thank you for this video!

  • @Alfredkepha-i7o
    @Alfredkepha-i7o 2 месяца назад

    Shukran sana🤝

  • @mrcarter9860
    @mrcarter9860 2 месяца назад

    Shukran sana📌

  • @ibrahimshita0122
    @ibrahimshita0122 2 месяца назад

    Powerful madini

  • @saidimbondela9158
    @saidimbondela9158 2 месяца назад

    kazi nzuri vijana wenzangu

  • @kingedry1707
    @kingedry1707 2 месяца назад

    Much respect bro