NDOTO UKIVUKA MTO INA MANISHA NINI?+254706945821

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 ноя 2024

Комментарии • 192

  • @lucymalingumu5660
    @lucymalingumu5660 Год назад +3

    Ameen mtumishi niliota nimetekwa nikafanikiwa kukimbia nikavuka mto wenye mafuliko makubwa kwa ngazi nilipo vuka tuu mbele nikakuta maaskari wamemkamata aliekuwa anataka kuniteka nikaludi nyumbani

  • @evelynnyongesa8007
    @evelynnyongesa8007 Год назад

    Àmeen Hallelujah, Naomba Mungu Anipeleke Kiiwango Cha Juu Zaidi .

  • @christinebahati7195
    @christinebahati7195 11 месяцев назад

    Nimepokea . Mungu akubariki mtu wa mungu na uzidi kuniombea na mungu akupe maisha mema ya ushindi.

  • @cosmakomba7772
    @cosmakomba7772 2 года назад +2

    Asante mtumishi nikweli napitia wakati mgum sana tena sana nahitaji maombi yako tafadhali

  • @SaraphinaSaraphina-b9c
    @SaraphinaSaraphina-b9c 4 месяца назад

    BWANA YESU ATUKUZWE mutumishi mm niliota nko kwenye nyumba ya kifahari pamoja Gari na wafanyi kazi wa ndani

  • @CatherineChester-ue3sk
    @CatherineChester-ue3sk Год назад

    Amen mtumishi mi nimeota navuka mto nikawa nimejivuta mpaka pemben mwa mto Kuna mwanaume akaja akanivuta sura ckumuona, nyingne nimeota rafk yangu Anaharisha Cha ajabu nimeamka mi nikaenda choon kuharisha maana yake cjui

  • @lilianotieno5816
    @lilianotieno5816 Год назад +2

    I receive my blessings in Jesus name 🙏🙏

  • @sofiahassan-th6ek
    @sofiahassan-th6ek Год назад

    Amina ubarikiwe sana mimi marakwamara nimeota nyoka wawili wako chumbani kwangu

  • @evamoraamoraa6875
    @evamoraamoraa6875 2 года назад +2

    Sauti iko sawa mtumishi. Hua nakufuatilia sana

  • @CedricAluma-ww4qt
    @CedricAluma-ww4qt 11 месяцев назад +1

    Mtumishi nimeskia ukisema ukiona unavuka sisi tulianguka ndani ila tulivuka tukaenda ngambo ya pili je hyo vipi

  • @malakisipesa4391
    @malakisipesa4391 2 года назад +1

    Nmeota navuka mto tuko watu watatu mimi nikafanikiwa kuvuka ila kunabonde juu Kati yetu mmoja akaangukia Chin yamto unamaji mengi yanayokwenda kwakasi me nikamsaidia mmoja na ukiangalia me ninamume wangu yuko narafiki yake waenda South Africa kutafta maisha namimi ndoto nmeota Leo mchana na ndio siku ambayo wanaondoka ucku wa leo

  • @latefalatefa2664
    @latefalatefa2664 2 года назад +2

    Ameen Ameen mtumishi wa Mungu nimeota wiki hii nakweli napitia kipindi cha kuchukiwa kukataliwa ila naamini Mungu ataenda kuyageuza Ameen 🙏 🙏

  • @inongeinongee8289
    @inongeinongee8289 2 года назад +1

    Mimi nimeota namuona dada mmoja alikuwa anaenda kanisani yeye na mtoto wake nikajificha ili wasinione mara nikaona mto umejaa maji mengi sana nikaogopa kuvuka kulikuwa na watu wengine wakivuka, mara nikaona njia nyingine ina daraja nikavuka nanikaenda, nilipo maliza kuvuka nikaamka usingizini , huyo dada kiuhalisia uwa sio mtu mzuri

  • @HildaMapunda-qb4ki
    @HildaMapunda-qb4ki 5 месяцев назад

    Shalom kuota ndoto umepanda meli unasafir nimevaa nguo za kazi kombati na kunasehemu meli ikasimama na ss tu ndo tuliruhusiwa kushuka kula chakula

  • @mariamwaweru6049
    @mariamwaweru6049 2 года назад +1

    Amen amen barikiwa Sana mtumishi wa Mungu na hii ndoto ya kuota watu wengi maana yake nini nisaidie na bado ingine ya panya ameuliwa

    • @revpeternjihia
      @revpeternjihia  2 года назад

      @miriam waweru inaonyesha unaitaji kutambulika , na Pia inakuonyesha mungu amekupa uwezo wakuongoza.

    • @mariamwaweru6049
      @mariamwaweru6049 2 года назад

      @@revpeternjihia thenku Jesus

    • @magynzioka1122
      @magynzioka1122 Год назад

      @@revpeternjihia nimeota nikivuka mto mara tuu nilivio vuka maji ya kakauka mahana yake ni nini

    • @oman1oman179
      @oman1oman179 Год назад

      Mimi nimeota na vuka mto wenye damu nyingi akisha binamu yangu kaja kuniokoa mpaka tukafika barabarani

    • @oman1oman179
      @oman1oman179 Год назад

      Mtumishi wamungu naomba unipe mana ya hii ndoto yangu please

  • @angle3600
    @angle3600 2 года назад

    Amiin barikiwa sana mtumishi wa mungu naona kuna nguvu mpya ndani ya maisha yangu juu ya hii ndoto,pia nilikua nikiota ndoto za kupokonywa vitu vyangu kwa usingizi ,but siku hizi naona naeza pigana nanikabaki na vitu vyangu,Amiin mtumishi

  • @vivianrafael19
    @vivianrafael19 3 месяца назад

    Ameen nimeota ndoto mtu alekufa anawatoto. Maria kea mars naota anamtoto mdogo

  • @monicampokwa441
    @monicampokwa441 2 года назад

    Aminaaa.natokea Tanzania na nimeota navuka mto na mtu mwingine Ila ni mwanamke na baada ya kuvuka tunapokelewa na wanaume wawil na tunaacha mzigo tulioubeba wanatupa unga ambao wamechukua wao.Ina maana gan

  • @pameladonald4100
    @pameladonald4100 6 месяцев назад +1

    Amen daddy

  • @andreaotaigo40
    @andreaotaigo40 2 года назад +1

    Je ukiwa unaota unachunga ng’ombe na katika njia unayowapitisha hao ng’ombe ni nyembamba sana na ng’ombe hao wanachanganyikana na ngombe wengine pamoja na mbuzi je hiyo ndoto inamaana gani?

  • @ANETHLUSANGIJA
    @ANETHLUSANGIJA 6 месяцев назад

    Asantee saana baba, barikiwa saana

  • @AminaAthumani-g3j
    @AminaAthumani-g3j 11 месяцев назад +1

    mtumishi tupo tayali naomba siku moja uzungumzie ndoto ya kula matunda ya mzambalau maana ake ni nn?

  • @DeboraMtavangu
    @DeboraMtavangu 11 месяцев назад

    Amina nimeota mtu ninaye muhisi anatembea na mume wangu kwenye ndoto

  • @amosi5alfayo548
    @amosi5alfayo548 6 месяцев назад

    Mchungaji nimeota nilitaka kuvuka mto lakini nishandwa maji yalikuwa mengi sana ila mke wangu alivuka na watu wengine

  • @CedricAluma-ww4qt
    @CedricAluma-ww4qt 11 месяцев назад

    Pastor mm niliota Niko kwa pikipiki na familia yangu yote juu barabarani mvua ilikua imeshanyesha sasa maji yamejaa katikati kama kidimbwi tukivuka tu nikaanguka katikati mwanangu akaanguka ndani

  • @nanyoraireuben8807
    @nanyoraireuben8807 Год назад

    Pastor nimeota bahari pembeni Kuna visiwa vingi sana na nilikua nachota maji ya bahari na kujaza kwenye vyombo vyangu

  • @carolynekanaiza
    @carolynekanaiza 2 года назад +2

    Niko tayari kujifinza mtumishi wa mungu

  • @Mamantontine
    @Mamantontine 4 месяца назад

    Safi sana.leo nimeota navuka mto

  • @bertinIgnas
    @bertinIgnas 7 месяцев назад

    Mimi nimeona ninavuka mto maji meupe nikaruka mpaka ng'ambo miguu yangu ikawa imeloa chapachapa ila niliruka.

  • @MasanjaYohan
    @MasanjaYohan 10 месяцев назад

    Mimi mtumishi nimeota naona mto harafu kunawatu wanaogelea Mimi nikaghaili kupita kwa kuogelea nikaona mlima mkono wa kushoto nikapaa ili nipite lakini ule mlima sikuufikia mwisho nikashindwa mtumishi wa mungu ulieitwa kwa ajiri ya hayo mambo ya ndotto please help me.

  • @amosi5alfayo548
    @amosi5alfayo548 6 месяцев назад

    Niko tayari na leo hii saa 9 usiku nilitakakuvuka nikashindwa mto ulifurika wenzangu walio tangulia walivuka mimi sikufanikiwa

  • @SaraphinaSaraphina-b9c
    @SaraphinaSaraphina-b9c 4 месяца назад

    Kuna ndoto nyengine niliota nikisadia mtu alikuwa naomba musaada mimi nikato pesa kikamupatia inkamwambia hii ni pesa ya pamoja nahitaji munirudishiye charge akanipa pesa nyingi hata inkamwambia zimetosha lakini yeye akaniambiya hizi zote ni za kwako chukuwa

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 2 года назад

    Baba mm nimeota natembea kwenye mfereji wa maji masafi, tumetembea umbali mrefu ila hayakuwa na mwisho, kuna rafiki yng tumeshikana mikono yeye alikuwa akitembea nje ya maji mm natembea ndani ya maji,

  • @yasminnjoki7631
    @yasminnjoki7631 7 месяцев назад

    Niko tayari may God bless you

  • @FatinaKiondo-ke9tq
    @FatinaKiondo-ke9tq 7 месяцев назад

    Amina nimeteseka saana nimeota navuka mtu

  • @polynewere7475
    @polynewere7475 Год назад +1

    EV Mimi niliota nyoka imepita alafu Mimi nikavuka inamanisha nn plzzz

    • @revpeternjihia
      @revpeternjihia  Год назад

      ruclips.net/video/hv4QF14Gqx0/видео.html

  • @zenaahmad-ki7wu
    @zenaahmad-ki7wu 5 месяцев назад

    amina mtumish 🎉🎉

  • @minalgodlove2363
    @minalgodlove2363 8 месяцев назад

    Nimeota maji mengi nikashindwa kupita lakini kuna mwanaume alikuja kunibeba nikavuka huku nikitabasamu

  • @lilianotieno5816
    @lilianotieno5816 Год назад

    Daddy niko tayari kunifunza,niliota navuka mto lakini imefurika kufika katikati ikawa imezidi ikabidi nirudi nyuma..hiyo maanake nini?

  • @evamoraamoraa6875
    @evamoraamoraa6875 2 года назад +1

    Mimi Niko mbali na family yangu na hua kila mara naota kuhusu kijiji yetu Sana. Mara najaribu kuvuka mto WA kwetu unavurika Sana siwezi vuka.

  • @shanajoseph6006
    @shanajoseph6006 2 года назад +1

    Iko sawa mtumish

  • @neemaheneryLugunyale-ub2tr
    @neemaheneryLugunyale-ub2tr Год назад +1

    AMEEN AMEEN AMEEN

  • @suzanne9517
    @suzanne9517 Год назад

    Asante sana mshungaji

  • @teresiajumwaamosteresiajum7667
    @teresiajumwaamosteresiajum7667 2 года назад +2

    Amen Amen

  • @JACKCHILAS
    @JACKCHILAS 9 месяцев назад

    Aminaa aminaa

  • @lindanekesa451
    @lindanekesa451 2 года назад +2

    Amen

  • @polynewere7475
    @polynewere7475 Год назад +1

    EV Niko tayari kujifunza

  • @rahaburoman2738
    @rahaburoman2738 2 года назад +1

    Amina amina amina

  • @milkapaulmugila2479
    @milkapaulmugila2479 Год назад

    Iko Saw mtumishi

  • @SalhMdogo
    @SalhMdogo 5 месяцев назад

    Amen kubwa

  • @joycenasieku8374
    @joycenasieku8374 2 года назад +1

    Dady kuita natoka damu pua nini maana? Naitwa Joyce kutoka narok

  • @rahaburoman2738
    @rahaburoman2738 2 года назад +1

    Nipo tayari unifundishe mwalimu wangu

  • @princessmuthoni373
    @princessmuthoni373 Год назад

    Sauti iko sawa mchungaji

  • @angle3600
    @angle3600 2 года назад

    Barikiwa mtumishi

  • @nancynasimiyu6773
    @nancynasimiyu6773 Год назад

    Niko tayari kukuzikiza, Mimi niliota Jana usiku, mtu ananivukisha ndani ya mto

  • @mellabnaliakawafula3124
    @mellabnaliakawafula3124 Год назад

    Amen.

  • @kmplndtny2698
    @kmplndtny2698 Год назад

    Amina

  • @ramadhanimziba2037
    @ramadhanimziba2037 Год назад

    Nipo tayari mtumishi wa Mungu

  • @mwaminierasto9718
    @mwaminierasto9718 Год назад

    Amen ❤

  • @odiliapius907
    @odiliapius907 2 года назад +1

    Nimeta natoka msibani tukowengi tunavuka tulivyofika katikati nikapewa hela ya pole.

  • @dismasmgaya3498
    @dismasmgaya3498 2 года назад

    Ukiota unatembea na ktk kutembea kwako unakuta mto mkubwa wenye mawe makubwa na maporomoko makubwa.njia ya kuvukia ni gogo jembamba refu

  • @evelynnyongesa8007
    @evelynnyongesa8007 Год назад

    Niko tayari Bishop.

  • @MariamShabani-ro8vi
    @MariamShabani-ro8vi 7 месяцев назад

    Niko tayar mttumishi

  • @mwavitafuraha7244
    @mwavitafuraha7244 Год назад

    Niliota niko ndani yamaji naoga maana yake nini?

  • @janethmwawalo1578
    @janethmwawalo1578 2 года назад +1

    Nipo tayari mtumishi

  • @LeahMusengeli
    @LeahMusengeli Год назад

    Rev. Niko tayari

  • @esthergasper8096
    @esthergasper8096 Год назад

    Niko tayar kujifunza

  • @SalhMdogo
    @SalhMdogo 5 месяцев назад

    Nakupata nikiwa Oman

  • @MwanakomboNassor-bw3by
    @MwanakomboNassor-bw3by 6 месяцев назад

    Nipo tayari kujifunza

  • @ChareskyaromwitaCharesky-jm5ll

    Mimi naota nashamburiwa na ngo, mbe

  • @preciousmunuo142
    @preciousmunuo142 2 года назад +1

    Nafatilia sana vipindi vyako sitaacha maana vinanisaidia sana

    • @cosmakomba7772
      @cosmakomba7772 2 года назад +1

      Mchungaji Mimi huwa naota saana ndoto nakula nyama nasikuzingine vyakula mchanganyiko. Mala wali mala ugali na iyo ndoto inamudasana toka nianze kuota INA miaka kiukweli naomba sana maombiyako pls nisaidie nakuomba napia biashara yangu INA suasua sana mchungaji niombee nimechoka kula mavitu usingizini

    • @cosmakomba7772
      @cosmakomba7772 2 года назад

      Nipo tayari

    • @revpeternjihia
      @revpeternjihia  2 года назад

      Cosma komba nimekujibu hapa.
      ruclips.net/video/uuDyWprUK88/видео.html

    • @revpeternjihia
      @revpeternjihia  2 года назад

      Nitafanya mafundisho kuhusu wali etc.

  • @melaisaay
    @melaisaay Год назад

    Nipo tiyari

  • @janethnjau
    @janethnjau Год назад

    Niko tayari kujifunza dady

  • @aimeebusime5849
    @aimeebusime5849 2 года назад

    Ubarikiwe mtu mishi

  • @MariahMnjeja
    @MariahMnjeja 7 месяцев назад

    Ameen

  • @NellyKadenyi-qc3em
    @NellyKadenyi-qc3em 6 месяцев назад

    Kuota mama namjua anavuka mto

  • @maryikongo6386
    @maryikongo6386 Год назад

    Amen 🙏 🙏

  • @JacktarimoTarimo-wb4fp
    @JacktarimoTarimo-wb4fp Год назад

    Nipo tayar

  • @tausilazaro1685
    @tausilazaro1685 2 года назад

    Mimi nimeota ndoto navuka mto umejaa kweli

  • @emeldaogoncho9809
    @emeldaogoncho9809 2 года назад +1

    Na ikiwa unatambaa na magoti inamanishaje

  • @shaletymkame8060
    @shaletymkame8060 Год назад

    Nko tayari kujifunza

  • @joycenasieku8374
    @joycenasieku8374 2 года назад +1

    Kuota mapua yanatoka damu

  • @tedymsimba-yk8rg
    @tedymsimba-yk8rg 10 месяцев назад

    Niko teyar natakujua maana yake

  • @DeboraMtavangu
    @DeboraMtavangu 11 месяцев назад

    Nimemuot mtu ninaye muhisi anatembea na mume wangu anaongea na am

  • @mapendochance
    @mapendochance 10 месяцев назад

    Sauti ikosawa

  • @chomasongidion6047
    @chomasongidion6047 Год назад

    Aamina

  • @ElizabethNgowi-o9m
    @ElizabethNgowi-o9m Год назад

    Niko tayar

  • @PaulinaStephan
    @PaulinaStephan 9 месяцев назад

    Ameni

  • @oman1oman179
    @oman1oman179 Год назад

    Na mimi nipo tayari

  • @JoyceNorbeth
    @JoyceNorbeth Год назад

    Amn

  • @oman1oman179
    @oman1oman179 Год назад +1

    Nataka namba yako

  • @princessmuthoni373
    @princessmuthoni373 Год назад

    Nko tayari

  • @mwavitafuraha7244
    @mwavitafuraha7244 Год назад

    Niko tayari unifundishe

  • @kelvinstive7770
    @kelvinstive7770 2 года назад +1

    Nimeota natembea juu ya maji

  • @sabrinawanyika4802
    @sabrinawanyika4802 2 года назад +1

    Nime ota nikivuka maji machafu je ina manisha nn

    • @revpeternjihia
      @revpeternjihia  2 года назад

      @Sabina Wanyika kuna hali unapitia maisha ambayo haikuridhishi, na pia inamanisha kuna majaribu unapitia ama utakutana nayo

    • @sabrinawanyika4802
      @sabrinawanyika4802 2 года назад

      Ni kweli kuna majaribu ninapitia

  • @DANMalando
    @DANMalando 9 месяцев назад

    Vya kugusa gusa unatumalizia mabando

  • @husnakaondo9000
    @husnakaondo9000 2 года назад

    Niko tayari kujifunza

  • @andreaotaigo40
    @andreaotaigo40 2 года назад +1

    Na je ukiota uko kwenye kundi la watu wengi na hao watu wanaleta mashitaka kwako je! hiyo ndoto huwa inamaana gani?

    • @andreaotaigo40
      @andreaotaigo40 2 года назад +1

      ??

    • @andreaotaigo40
      @andreaotaigo40 2 года назад +1

      Mbona naona umelike tu pastor hakuna majibu?

    • @revpeternjihia
      @revpeternjihia  2 года назад

      @Andrea Otaigo wewe hakuwa live nikijibu ,ingia kwa hii link fuatilia hadi kwa mwisho nilijibu ndoto yako.ruclips.net/video/LTWNgBfebgw/видео.html

    • @revpeternjihia
      @revpeternjihia  2 года назад

      Hii sikuona kindly nifwatilia live saa mbili usiku nitakupa tafsiri live. Mimi huwa na tafsiri baada ya kufundisha ndipo najibu ndoto zenu nikiwa live wala siyo hapa kwa comments. Kuandikia kila mtu siyo rahisi.

  • @mwavitafuraha7244
    @mwavitafuraha7244 Год назад

    Niko nazingine ndoto naitaji tafsri

  • @stewarddriver1242
    @stewarddriver1242 Год назад

    Ndoto kuhusu barabara ya Rami inakuaje hapo