UKHTY SAU - YALIOJIFICHA (Qasida Mpya 2023) Video_1080p

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 янв 2025

Комментарии • 208

  • @bushraa1913
    @bushraa1913 Год назад +4

    Ibakieee chuk na hasad tuu au km wako km iyo kasda piaa watajijuaa

  • @SamiriMuzzamil-le7fc
    @SamiriMuzzamil-le7fc Год назад +1

    Jazzakallah kheira ukhut sau ..

  • @MohdKhamis-iq4um
    @MohdKhamis-iq4um Год назад +1

    Mashallah mashallah mashallah hongera san kwa kwel hun mpizan

  • @hassanmajuva3312
    @hassanmajuva3312 Год назад +1

    Ukhti sau ww nizaid yawao wallah
    Ww hatar mung akulindee tuuu .nataman sana kaz zak nazipenda sanaaaa

  • @dosaathman2176
    @dosaathman2176 Год назад +1

    Following from Mombasa Kenya

  • @saidatmasoud8802
    @saidatmasoud8802 7 месяцев назад +1

    Mashallaaaa!!!!hapa uliimba,ujumbe mzito mno,Hadi machoz wallaahi

  • @abubakarabdallah5415
    @abubakarabdallah5415 Год назад +3

    Nzur asante kipenz

  • @SheikhAbdull-ys2fd
    @SheikhAbdull-ys2fd 10 месяцев назад +1

    Masha Allah ukhty sau wnirdhxha xna ktka kaswidah zko zote..Allah akuongze ktka njia zko zte...

  • @radhiaali8043
    @radhiaali8043 Год назад +5

    Bismillah mashaalla mashaalla hakika ujumbe mzuri alla awahifadhi team ya ukhty sau

  • @allyissa2744
    @allyissa2744 Год назад +3

    Mashaallah kasda mzuriii ujumbeee mzr

  • @siwajibuhassan2924
    @siwajibuhassan2924 Год назад +4

    Ujumbe umewafika jamia

  • @mozarashid875
    @mozarashid875 Год назад +1

    ukhty saw upo tayari nikuchukuwe dubay ukafanye shoping ya unachokitaka . kwa kweli nakukubali sn mamyy wangu.

  • @shamisyussuf-bk8oj
    @shamisyussuf-bk8oj Год назад

    hongera yko dad umejitahid sana by shayukha from konde PBA

  • @sabrinsalhe-kq4df
    @sabrinsalhe-kq4df Год назад +3

    Mashallah ukhpt

  • @khadijakhatib3746
    @khadijakhatib3746 Год назад +3

    Mashaallah kipnz ukhty sau ❤

  • @AbdallahMonfor
    @AbdallahMonfor Год назад +1

    Mashallah ujumbé mzuri saana wenyeé ukweli

  • @khaddooj_98
    @khaddooj_98 Год назад +3

    Mashaallah ukhty sau

  • @SheikhAbdull-ys2fd
    @SheikhAbdull-ys2fd 11 месяцев назад

    Masha Allah ukhty sau,Allah akzdxhie ktka mafnzo yko ujmbe umfkie kila alo muislm..pia nkuhmiza hifadhi qur'an tukfu kma unavyhfdhi hzo kaswidah..

  • @hawaamiki3405
    @hawaamiki3405 8 месяцев назад +1

    mashaAllah ukhti sau

  • @RahmaMohdKindy
    @RahmaMohdKindy Год назад +1

    Masha lwaah kasida tam sanaaa inaujumbe mzuri alwah ampe maisha marefu Sau imenigusa sanaaaaa#

  • @mkongoejsm1942
    @mkongoejsm1942 Год назад +1

    Mungu awape kheri kwa kaswida nzuri

  • @zaituniallyjuma8845
    @zaituniallyjuma8845 Год назад +1

    mambo sau nakupeda

  • @thauriayetu6159
    @thauriayetu6159 Год назад +3

    Masha Allah ukhty sau nimekuelewa.

  • @amreenabdulhamid8549
    @amreenabdulhamid8549 Год назад +3

    Mashallah ukht wng💋

  • @official_Biiman
    @official_Biiman Год назад +2

    Ujumbe mzuri sana kaswida nzuri sana. Razd moja kali sanaa

  • @samairah2324
    @samairah2324 Год назад +3

    Mashallah ukhty sau

  • @LadyIsmar-ue9vy
    @LadyIsmar-ue9vy 10 месяцев назад

    Mashaallah daa sau mwenyezi Mung akuzdishie kipaj chko

  • @MuhammadHarun-o5u
    @MuhammadHarun-o5u Год назад

    Masha Allah ukthy sau mungu akubareke❤❤❤❤

  • @GSonslimited
    @GSonslimited Год назад +3

    MASHAALLAH UKTY UJUMBE UMENIGUSA MOYONI UMENIUMIZA NA KULIZA KWANI FAMILIA NYINGI KWA SASA TUNAPITIA HAYA MTIHANI NAMUOMBA ALLAH ATUONGOWE NA KUTUONGOZA INSHAALLAH

  • @rehefehe8890
    @rehefehe8890 Год назад +1

    Mashaallah ukhti sau, hakika kaswida Ina ujumbe

  • @HamidBwuyaz
    @HamidBwuyaz 8 месяцев назад

    Mashallah pongezi kwa ujumbe mzuri

  • @tamemahmad9902
    @tamemahmad9902 Год назад +3

    Kasda imetulia mashallah namuina dida alivonenepa mashallah

  • @chumsaid8851
    @chumsaid8851 Год назад +4

    Mashallah ukhty wetu kipenzi allah akueke uendelee kutuelimisha

  • @chymaally3309
    @chymaally3309 Год назад +3

    Mashallah Huna mbaya

  • @queenmamy7501
    @queenmamy7501 Год назад +5

    Mashallah

    • @zayanafashion
      @zayanafashion Год назад

      Allah akujaalie Uzma uendelee kutupa Raha inasisimua Sana hii haichoshi kusikiliza

    • @leylamohamedi4019
      @leylamohamedi4019 Год назад

      Mashaala mdogo wangu uko vizuri kwenye usomaji wa qaswida

    • @nunuumohammed1015
      @nunuumohammed1015 Год назад

      MASHA allah atusaidie kweli ndio mtupu haya kwa saivi ee mola tusaidie allah akulinde akupe umri mrefu wenye kherina faida kwako

  • @abillah5022
    @abillah5022 Год назад +4

    Siku nyingi namesbria ladha mpya..ila umekj na chombo

  • @nurumohamed2682
    @nurumohamed2682 5 месяцев назад

    Maa Shaa Allah, very nice flowing👏

  • @omarybakari7348
    @omarybakari7348 Год назад +2

    Mashaallah hakuna hata msomaji mmoja anae kuweza Ukhty Sau more life kipenzi cha watu

  • @Hannan-c2w
    @Hannan-c2w Год назад

    Mungu akulinde mm nikiisikiliza nalia kabisa

  • @zamomzaham
    @zamomzaham Год назад

    Maashaallah hakika ni kaswida bora na niyenyekufunza weng ktk family zetu

  • @AbdulkarimHussein-ef4wz
    @AbdulkarimHussein-ef4wz Год назад

    Dah yaani ukhty sau ,kwahakika napenda sana kaswida zako kwasababu zinaendana na yaliyomo ktk jamii yetu .Yani unafanya vizuri sana kwakweli hii kaswida imenigusa sana Allah atufanyie wepesi ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @mpagikhatib3684
    @mpagikhatib3684 Год назад

    Mashaallah imenigusa Sana hiyi qaswida umetufikishia ujumbe tutaufanyia kazi ushaallh

  • @SheikhAbdull-ys2fd
    @SheikhAbdull-ys2fd 10 месяцев назад

    Wew n shabki mkbw w kwnza ktka kuckiza kaswidah zko..thn wpi ukhty diyda mwpza xna ktka sauti zenu na pia mnao mvto w asli masha Allah❤❤❤

  • @MaryamAbuubakar
    @MaryamAbuubakar Год назад +1

    Yaaan sau mashaallah huna baya mama nakupenda buree yaan ww unajua mashaallah❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @salha2677
    @salha2677 Год назад +3

    Sau ww ni kiboko bwana watake wasitake we ni hiv 🔥🔥🔥💋💋🥰

  • @NeemaVuai-pm7pt
    @NeemaVuai-pm7pt Год назад +1

    Mashaallah ujumbe mzito Allah atufanyie wepesi kwa kweli

  • @WardaDawa-d4t
    @WardaDawa-d4t Год назад

    Maashaallah kpz uko sawa ❤

  • @MariamMwanyoha-oq4jj
    @MariamMwanyoha-oq4jj Год назад +1

    mashaAllah ww ndie ukty ninaemfwatilia kwa umakini maana qaswida zako ziko na mafunzo Allah akuzifishie InshaAllah

  • @UkhtyNuuh-hl4sq
    @UkhtyNuuh-hl4sq Год назад

    Maashallah kipenz chng

  • @AshaAli-j5i
    @AshaAli-j5i Месяц назад

    Mashallah

  • @sniper93999
    @sniper93999 Год назад +4

    😭Ukhty nimeckiliza hii Qaswida Nimetokwa na machoz 😭Naumia nimeshindw kuckiliza yote nisamehesana NAUMIA😭Kwenye Familia yetu ipo kama hivi 😭yaan wakiwepo wazee wanachekeana 😭ila kila mmoja akikaa pembeni sitatikiw ata kuzungumza infront of the people imefikia stage utackia wazee wakij kuodoka ndio liwalo na liwe😭😭😭
    😭Yaa Allah sw tusaidie katika hili 😭sitochoka kukuomba kila siku saidia familia yangu na familia nyengn😭😭

    • @amreenabdulhamid8549
      @amreenabdulhamid8549 Год назад

      Mtiahan Allah atufanyie wepes in shaa allah

    • @DirectorOne.t
      @DirectorOne.t  Год назад

      naamin sn usemayo,,, nayote ypo kwel kwny jmii zetu,,, m/mung atuongoze tu

    • @khamisali9907
      @khamisali9907 Год назад

      Kuweni nasubra nyote na endeleeni kumuomba Allah atuletee kheri kwasote

  • @mpagikhatib3684
    @mpagikhatib3684 Год назад +1

    Mashaallah nimeipenda ujumbe umetufika

  • @aminaabdallah3287
    @aminaabdallah3287 Год назад +3

    MashaAllah Allahu bakir Ukhty 🥰🥰🥰

  • @khamisali9907
    @khamisali9907 Год назад +7

    Alhamdulillah my wamoyo wangu piga kz usiogope naujumbe wako umetufika ndipo na tutaufanyia kazi ishallah usijali tupo pamoja my

  • @salmaabdalla524
    @salmaabdalla524 4 месяца назад

    Tuleteeni yoote Maan ukhty sau tunampend

  • @TauhidaSuleiman
    @TauhidaSuleiman 7 месяцев назад

    Assalaamu alykum. Ukht sau uko vzr maashaallah kweny kaz zko

  • @SheikhAbdull-ys2fd
    @SheikhAbdull-ys2fd 11 месяцев назад

    Mm ni shabiki mkbw xna wko ukhty sau,😂kwng wew no 1 thn nxt ukhty Didya Allah awaongze nyte n mfaulu ktka ylomema

  • @wamohammed4099
    @wamohammed4099 Год назад +1

    Ukhti sau nimevumilia kwakwel huna Baya ukifa huozi dah mashallah🥰

  • @moshiiddy643
    @moshiiddy643 Год назад +1

    Maa Shaa Allah wana wa Shamsia Mahonda.
    Allah akuongozeni ktk kheir zake In Shaa Allah kwa kuendlea kutupa ilmu kupitia qasda zenu.
    All in all,Ukhty SAU nakpnda sana kwa ajili ya Allah.

  • @ashuramakameomar8498
    @ashuramakameomar8498 Год назад

    Mashaallah ukhty sau kaswida pambee mungu akupe afya njema na akulinde na shutma zote za walimwengu saut pambeeeeeee my

  • @hamadiomary7268
    @hamadiomary7268 Год назад

    ❤❤ mabrukh ! Mabrukh !

  • @imummanga-cu7zt
    @imummanga-cu7zt Год назад +7

    Mashaallah habiby wa moyo wngu ujumbe wako umetufikiya Na Inshaallah tutaufanyiya kaz hongera sana ukhty sau nakupenda hadi bas jaman kila sekunde ya uhai wangu nakuombea dua Allah akuweke akuzidishiye maujuz uzidi kuukumbusha umma na kwa uwezo wa Allah atakulinda na kukuepusha na kila aina ya husda atakae kukusudia ubaya utamrudia mwenyewe na utazidi kung'ara na kipaji chako🤲🤲🤲🤲💗💗💗💗🥰🥰🥰🥰🥰🥰

    • @DirectorOne.t
      @DirectorOne.t  Год назад

      Asnt tukopmj

    • @khamisali9907
      @khamisali9907 Год назад

      Ishallah usijali tuzidi kumuomba Allah atuletee wepesi haya yapokwetu soto ila tusichoke kumuomba Allah

    • @Hittumohamedi
      @Hittumohamedi 9 месяцев назад

      Inshallah tumeguswa mola ewe nawe awe nanyi amain

  • @kwekwehamisi5376
    @kwekwehamisi5376 Год назад

    Mashaallah ujumbe mzuri

  • @mariamumtali6650
    @mariamumtali6650 Год назад

    Mashallaah ila kaswda nyingne musiimbe kama taarabu hazina hata utulivu hii yaleo iko vizur

  • @khamiskombo8993
    @khamiskombo8993 6 месяцев назад

    ما شاء الله تبارك الله مبروك الف مبروك

  • @zaitunmfaki7929
    @zaitunmfaki7929 Год назад

    Mashaa Allah kipenzi changu Allah akuhifadhi

  • @mariamali2027
    @mariamali2027 Год назад +2

    Mashallah nice qaswida na ujumbe mzuri kwa familia shukran Mungu akuzidishie na kukulinda na hasad In Shaa Allah

  • @ismailjuma6928
    @ismailjuma6928 Год назад

    Kazi nzri

  • @SheikhAbdull-ys2fd
    @SheikhAbdull-ys2fd 10 месяцев назад

    Iwtkia mapma sauum makbul wa Ramadhn kareem insha Allah ❤❤❤

  • @saumuramadhan4819
    @saumuramadhan4819 Год назад +4

    Ukhty sau Kama ukhty sau hii qaswida nimeingoja sana jamani finally😍😍😍🥰👌

  • @mohdvuai9656
    @mohdvuai9656 Год назад +3

    Mashallah Allah awajalie kher msomaj ,director na mtunzi yupo makin Sana kila mda antupa kitu roh inapenda hongera kwake 🥰

  • @hajisalim8560
    @hajisalim8560 Год назад

    Mashallahu nazipenda mno mno qaswida zako.. mungu akuzidishie.

  • @aavvv4005
    @aavvv4005 Год назад +3

    MashaAllah 😍Nakupenda ukthi sau

  • @naimunaimu2312
    @naimunaimu2312 Год назад +1

    Hii kaswida haipiti siku cjaiskiliza😋

  • @abassmuhsin7991
    @abassmuhsin7991 Год назад

    Assalam Alaykum Warahmatullah wabarakatuh Ukhty Sau.. Ukweli Huu Ujumbe Umegonga Nyoyo Na Hisia Ya Kila Mwnye Imani..

  • @shabanhussein1881
    @shabanhussein1881 10 месяцев назад

    Mashaallah ukhut sau

  • @mahfoudhamussa7314
    @mahfoudhamussa7314 Год назад +3

    Bismillah Mashallah

  • @ZaydaSadam-xm5xf
    @ZaydaSadam-xm5xf Год назад

    Mashallah hakika ameimba vizur sana

  • @SeifSoZuu
    @SeifSoZuu Год назад

    Nakuupenda sau mno

  • @omanomqn4345
    @omanomqn4345 Год назад +1

    Natamani nikija Tanzania,, niwatafute muje kunipigia qaswida ya kutupatanisha ndugu,,, ni nzuri Sana hii,, Asante sana ukhty sau,, nakukubali Sana ktk kazi zako,, uko vizuri Sana mashaallah,, ALLAH AKUHIFADHI NA HUSDA,, MASHAALLAH napenda Sana kaswida zako,, ni nzuri Sana

  • @ismailjuma6928
    @ismailjuma6928 Год назад

    Ver nice

  • @aligullamgullam7578
    @aligullamgullam7578 Год назад

    Mashallah iko vizur ujumbe umefika

  • @SheikhIssaAbnau
    @SheikhIssaAbnau Год назад +2

    Kwa hakika ukhy Sau wewe daima unacho kifanya unakijua. Na ndie msoma kasida pekee kwangu mimi ambae nakupa heshima ya kipekee kwa sasa nafasi yako ni kubwa na ukumbuke mtu mkubwa ndio hukumbwa na makubwa ila nakwambia ukikumbuka ulipo toka na sasa ulipo utagundua kua uzidi kua mkubwa

  • @omanomqn4345
    @omanomqn4345 Год назад

    Hii qaswida ni nzuri Sana kwa kweli,,, na pia ni ukweli MTUPU, hakuna udugu tena sikuhizi ni majungu matupu ktk Familia za Sasa,, kwa kweli ni mtihani, Allah atusaidie na mitihani hii ktk Familia zetu

  • @maryamhassan8250
    @maryamhassan8250 Год назад

    Mashallah nampenda sana huyu ukhty

  • @rukiamohamed2691
    @rukiamohamed2691 Год назад

    Mashaallah ukhty sau my favorite as simple as always

  • @WaziriJuma-jq4hy
    @WaziriJuma-jq4hy Год назад

    Masha Allah Dada mzur

  • @LukasBarnaba-pe3fx
    @LukasBarnaba-pe3fx Год назад

    Mashaallah nimeikubali hii na inatuhusu sana

  • @MohammedMohd-e2r
    @MohammedMohd-e2r 6 месяцев назад

    Mimi nataka unitolee kaswida mojakali nitakulipa

  • @Bintiomari-hj5ku
    @Bintiomari-hj5ku Год назад

    MaaShaAllah👌

  • @hajjiabdallah8430
    @hajjiabdallah8430 Год назад

    Ukht sau namba moj na ukht dida kwa kucheka namba mbil🤣🤣🤣🤣

  • @pikanaauntzuu1466
    @pikanaauntzuu1466 Год назад +1

    Mashaallah ujumbe mzuri hasa wakini sie wenye uzao wa mama mbaliambali tuna chekeana usoni mafundo moyo mtu anatama uharibikiwe hali yakuwa hukuwahi kupata msaada wowowte kutoka kwake Allah atunusuru wallah huu ni mtihani kwasasa

  • @halimajigi1455
    @halimajigi1455 Год назад

    Mashallah qaswida nzr. Sauti ya taratibu 💖

  • @ماتيماتنزانياا
    @ماتيماتنزانياا Год назад +1

    Hakika haya yapo kwenye familia zetu

  • @JumaHarija-q6o
    @JumaHarija-q6o 4 дня назад

    Ukhut sau

  • @husseinsalim5534
    @husseinsalim5534 Год назад

    Mashallah maneno ya qaswida quantu kweli kabsa

  • @binali3884
    @binali3884 Год назад +2

    MAASHAALLAH UKHT SAU

  • @FaidhaHamis-o9u
    @FaidhaHamis-o9u Год назад

    Dad sau umependa unafanan na hiy nyimb yak jamn

  • @TheMzanzibari
    @TheMzanzibari 11 месяцев назад

    MashaAllah

  • @ukhty692
    @ukhty692 Год назад +1

    Maashaallah