ENEWZ - "Alikiba amenitengenezea njia" Abdukiba
HTML-код
- Опубликовано: 7 фев 2025
- Abdukiba akanusha maneno ya watu kuwa Alikiba alikuwa akimzuia kwenye muziki. Akifanya mahojiano na eNEWZ Abdukiba amesema kuwa Alikiba alikuwa akimtengenezea njia nzuri ya kuja kufanya muziki mzuri na ni Mtu ambaye anatakiwa kusikilizwa kwenye game.
nakukubalii abdukibaa hongeraa Sana'a king kibaa
safi sana kiba
Uyu anajua kujibu vzr
king kiba oyeer
nakubal abdukibaa
Safi sana, uko poa sana Kiba daima
Haya kaka tunakungoja uje mwenyewe tukuone vzuri uwezo wako ila single iko fresh big up umeimba simple na hukutumia nguvu.
Kings music xafi xana
king kiba salute
moto kingkiba🅿🅾🅰
king kiba
Yaaaaaap!!!_ tunasubir ya pili
Wapi kili
wakwanza
Ⓜ🅰©💥💥💥
Njia gani hiyo maana Abdul kiba hana chochote Fala huyo
zollah Vevo fala kama baba yako
simba Vevo na ww fala huna akali nyoko.
nyoko yako