Rose Muhando Shujaa Wa Msalaba

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 дек 2024

Комментарии • 828

  • @EliakimChahilu
    @EliakimChahilu 9 месяцев назад +62

    Kama tunamkubali huyu msanii, ebu tumpee likes zake.. touching song🙏

  • @rosemueni1328
    @rosemueni1328 8 месяцев назад +36

    2024 we are still blessed by this song ❤

  • @yourfriend809
    @yourfriend809 8 месяцев назад +27

    April 2024 ❤❤still listening to this beautiful song

    • @sheilaaradi7149
      @sheilaaradi7149 7 месяцев назад

      I'm here listening to this song and I don't even understand why I'm crying

    • @yourfriend809
      @yourfriend809 7 месяцев назад

      @@sheilaaradi7149 i understand the feeling.... This marvelous piece draws you closer to God

  • @suryahassan-kw2jz
    @suryahassan-kw2jz Год назад +6

    shujaa wa msalaba,,,ewe Yesu kimbilio langu nipiganie😭😭😭😭

  • @maryjuma777
    @maryjuma777 8 месяцев назад +3

    Surely these songs finishes, lm always in deep tears. May the servant of God be blessed.

  • @robinahgesicho5988
    @robinahgesicho5988 Год назад +12

    Wangapi tuko hapa kwa shujaa wa msalaba 2023

  • @mozesdeathwheel3109
    @mozesdeathwheel3109 2 года назад +9

    I’m leaving this comment here so that everytime someone likes or comments here it will remind me that someone died on the cross for my sins and i never paid anything for it

  • @FrediusDrBanifred
    @FrediusDrBanifred 3 месяца назад +1

    Ma préférée depuis l'enfance. Profondeur de l'adoration !

  • @Kenya7358
    @Kenya7358 Год назад +16

    Shujaa wa msalaba☝️☝️🙏🙏 pamoja tumuabudu kutoka 254,,🇰🇪🇰🇪🙏🙏🙏

  • @biggielanya
    @biggielanya 4 месяца назад +5

    This one is so powerful. If you are reading this in 2099 know that in 2024 Kenya was going through an awakening and songs like this kept us going. Times were good and men respected the women. Bless 💓.

  • @nellywangari3213
    @nellywangari3213 3 года назад +67

    Nainua macho yangu
    Nitazame mbinguni
    Moyo Wangu unasema niwe Mungu wangu
    Kilindi cha moyo Wangu kimefurika neno lako
    Wacha nikwabudu ewe Mungu wangu
    kwenye kiti cha rehema, kumejawa utukufu wako
    Wacha nikwabudu ewe Mungu wangu
    kileleni pa msalaba, kumeandikwa jina lako
    Simba wa wayahudi ndiwe Mungu waangu
    Shujaa wa msalaba, umeinuliwa juu.
    Wacha nikwabudu ewe Mungu wangu
    Shujaa wa msalaba, umeinuliwa juu.
    Wacha nikwabudu ewe Mungu wangu
    Wingu la uwepo wako, limeshuka kwa watu wako
    Utukufu una wewe ewe Mungu wangu
    Nguvu zilizo shinda kaburi
    zionekane kwa watu wako.
    Nani kama wewe ewe Mungu wangu
    Makovu na misumari yatangaza utukufu wako Baba
    Wacha nikwabudu ewe Mungu wangu
    Taji ya miba na misumari
    Yatangaza uwezo wako
    Mfalme wa wafalme ndiwe Mungu wangu
    Shujaa wa msalaba, umeinuliwa juu
    Wacha nikwabudu ewe Mungu wangu
    Siku ya msiba wangu
    Nitalitaja jina lako
    Bwana wa Mabwana ndiwe Mungu wangu
    Sitanyamaza mchana sitakaa kimya usiku
    Wacha nikusifu ewe Mungu wangu
    Nguvu na uweza wako ziko mikononi mwako
    Nani kama wewe ewe Mungu wangu
    Ulipewa jina jipya lipitalo majina yote
    Bwana wa mabwana ewe Mungu wangu
    Shujaa wa msalaba, umeinuliwa juu
    Wacha nikwabudu ewe Mungu wangu
    Shujaa wa msalaba, umeinuliwa juu
    Wacha nikwabudu ewe Mungu wangu
    Shujaa wa msalaba, umeinuliwa juu
    Wacha nikwabudu ewe Mungu wangu

  • @millieochieng7809
    @millieochieng7809 Год назад +48

    2023 the song is still a blessing to me 🙏🙏 baraka tele Rose muhando❤️🙏

  • @emoitomela5675
    @emoitomela5675 3 года назад +125

    Who is with me listening to this song in this 2021?Indeed the lord
    has been faithful to us and I know He’ll continue keeping us in His protective arms.Wapi likes za wakenya?.

  • @rosemueni1328
    @rosemueni1328 Год назад +2

    I had to look for this song,it's always sung huko Vincentian prayer House lamington

  • @helenasufii1152
    @helenasufii1152 3 года назад +6

    😭😭😭😭shujaa wa msalaba nakwabudu .🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 Barikiwa zaidi. Neema ikumbembe kila saa .

  • @winnyrocha1361
    @winnyrocha1361 3 года назад +58

    God bless you mom more love from Kenya who is still watching this song in 2021 i love this song.

  • @gladyskibugi8737
    @gladyskibugi8737 5 лет назад +58

    Ooh jamany nashindwa kujizuia na machozi.. nkikumbuka nlipotoka na mahali nipo sasa yaan sio.kwa uwezo wangu bali wa Mungu.. shujaa Wangu.. ntakuabudu ewe Baba. Naomba unitumie kama chombo chako!! Da Rose Ubarikiwe kwa wimbo Huu😍.... umeniliza kwely 😢😢

  • @lilianjones3090
    @lilianjones3090 Год назад +13

    2023 I'm here in bed stuck got an accident only shujaa wa msalaba has remained with me. Worshiping him and trusting him for the healing & miracles.

    • @suryahassan-kw2jz
      @suryahassan-kw2jz Год назад +1

      healing is your portion,may you recieve it

    • @vane4442
      @vane4442 Год назад +1

      Healing is your portion my darling in jesus name

  • @Gaitagrace
    @Gaitagrace 8 месяцев назад +149

    2024 who is here with me❤

  • @gabrielndungu9122
    @gabrielndungu9122 Год назад +2

    Ilove u 💓 my sister Rosie mwando 2023 nimwaka wabaraka zangu

  • @odiliamsanguodiliamsangu2847
    @odiliamsanguodiliamsangu2847 3 года назад +1

    Daaaaah pambana mama mungu akupe nguvu kwa kila jambo na kila hatua unayopiga nakupenda Sana tena Sana malkia wetu wa nyimbo. Za injili

  • @estherjeremiahmusic393
    @estherjeremiahmusic393 Год назад +2

    I like it so much may God bless you 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @floraburton1594
    @floraburton1594 21 день назад +4

    November 2024 still listening to this song

  • @hashmmandela7998
    @hashmmandela7998 5 лет назад +64

    MUNGU akubariki Baraka zake zikuiniue milelee nyimbo zako zinanigusa sana,2019 gonga like kama tuko pamoja

  • @fredinakasyoka918
    @fredinakasyoka918 2 года назад +2

    I remember this was my song 2019, mtoto wangu akifanya kcpe Bila ata dururu Kwa mfuko, nilikua najifungia Kwa nyumba Na kulia uku nikiimba hii ☝️ wimbo, hakika Kuna Mungu mbinguni,as we talk mtoto wangu ako form 3

  • @agukosamson1449
    @agukosamson1449 3 месяца назад +3

    Today is 1/9/24 the song is blessing my heart ❤️❤️❤️💞💞

  • @beckybecky7754
    @beckybecky7754 5 лет назад +15

    kaa umeona empress rose muhando is back gonga like hapa

  • @peresagola4710
    @peresagola4710 3 года назад +1

    Shujaa wa Msalaba umeinuliwa juu. Asante sana Mungu Wangu kwa kunipenda nilivyo.

  • @antoinea.katembo5326
    @antoinea.katembo5326 5 лет назад +13

    Rose ajawai kuniangusha aisee! Kila mara ninapo sikiliza nyimbo zake ni full faraja!

  • @joyyjoyy5474
    @joyyjoyy5474 Год назад +3

    Wacha nikiabudu tu ww Mungu wangu maana sioni mwengine WA kulinganishwa na ww, zidi kuinuliwa mama 🌹

  • @jesusislord5020
    @jesusislord5020 3 года назад +1

    2021 wangapi wanao hamini Jehovah ni shujaa wa msalaba 🎤 ninani atakae mlisia maswali kwajili ya corona

  • @irenemumbiofficial2282
    @irenemumbiofficial2282 4 года назад +72

    2020 nani atanisaindia kusikiza shunjaa wa msalamba much love siz Rose

  • @rosekerubo5579
    @rosekerubo5579 3 года назад +2

    My favourite song Shujaa wa msalaba nani kama wewe oh halluyah

  • @terryanyango9804
    @terryanyango9804 4 года назад +5

    Rose muhando ako na tabia mbaya....lakini ataona mbingu!!!!! She is so deep with Good.
    Very meaningful and thoughtful lyrics. Hiiii nyimbi is fine with God

  • @sharondivine8994
    @sharondivine8994 4 года назад +10

    Oh Bwana Yesu huku angalia udhaifu wangu umeniokoa, Ubarikiwe sana Rose kwa wimbo huu

  • @joycevelmah711
    @joycevelmah711 5 лет назад +7

    Mungu wangu hakuna mwingine mkuu shujaa unastahili, sifa na utukufu zikurudie milele daima, Baraka tele Rosie,.

  • @lisbethpius1189
    @lisbethpius1189 5 лет назад +2

    Mungu akutunze mama yangu,una saut ya pekee na kipaji cha ajabu

  • @yuharryworld284
    @yuharryworld284 Год назад +1

    30th/ 03/ 2023
    Am blessed by this amazing worship 🎶.
    Economy is sooo bad, no job , no business na kwa haya yote nasema Shujaa wa msalaba umeinuliwa juu.

  • @juliusmwinzi6157
    @juliusmwinzi6157 4 года назад +2

    This is my Rose's best song unanibariki sana sana mama namshukuru Mungu muumba bingu na nchi na aione kazi hii njema.

  • @favourouma8769
    @favourouma8769 Год назад +2

    Amen Yesu shujaa wa msalaba, umeinuliwa juu.

  • @mutungayuuna3503
    @mutungayuuna3503 2 года назад +14

    Took ages to come across this hit, one of all time leading worship song. Top on charts.

  • @linetakinyi810
    @linetakinyi810 2 года назад +35

    2022 still watching.
    What a powerful way to worship the Lord.
    This song humbles me completely

  • @neemachemtairealtestimonyk9710
    @neemachemtairealtestimonyk9710 2 года назад +5

    Who is still here in 2022.. may God expand your Territory

  • @winnieayuma5810
    @winnieayuma5810 2 года назад +22

    Heard this song today while in a matatu,had to write some lyrics as a saved draft,arrived at work and pasted it on the search bar on youtube😊.
    "Wacha nkuabudu ewe mungu wangu"
    AMEN.

  • @johnmavusyu6193
    @johnmavusyu6193 2 года назад +6

    This songs reminds me back 2010 when my brother left in a road accident I was in form four...after I wend home for the barrial of the late ,,,,someone at the mentioned that now see will this young boy pass the. Exams really..I recalled one thing that there is no more hope in life ..after wards I laid down my life to Jesus totally from then up to now I have seen God doing mighty things to my life ........ whoever mocks someone situation should know that Jesus made it through for saints

  • @victormoshi47
    @victormoshi47 5 лет назад +2

    Shujaa wa msalaba umeinuliwa juu.... Wacha nikuabudu.. Yesu

  • @edwardkinyanjui7202
    @edwardkinyanjui7202 4 года назад +3

    Nimebarikiwa na huu wimbo hakika Mungu akubariki Dada Rose Muhando

  • @leahsenet5412
    @leahsenet5412 10 дней назад

    Nov 22nd 2024...
    I worship you the Most High God...thank you for the salvation Daddy🙏🏽
    This song has just built my faith once more.

  • @esthersterio2346
    @esthersterio2346 5 месяцев назад

    Hii wimbo nitaisikiza hadi nikiwa mkongwe, what a powerful song, God bless you @rose muhando

  • @fridahdominic9500
    @fridahdominic9500 6 лет назад +2

    Who is still listening to this song this song in December 2018,Mungu akubariki na akuondolee shida ulionayo mummy

  • @joyceganira780
    @joyceganira780 Год назад +2

    Napenda huu wimbo,Barikiwa sana mtumushi wa Mungu.

  • @LearnGUAGESTUTORS
    @LearnGUAGESTUTORS Год назад +7

    It's a new year 2023, & God's Grace still remains to be ever sufficient in our lives🙏🏻🙏🏻

  • @georgecharles6692
    @georgecharles6692 10 месяцев назад

    This song makes me remember When I was in my last year in a college much appreciation to rose

  • @Ebbens
    @Ebbens 7 дней назад

    God is God, blessed everytime I listen to this song

  • @loisewakini2442
    @loisewakini2442 3 года назад +22

    I will always listen to this song a thousand times and its never lost its touch in my life

  • @transmadale
    @transmadale 8 лет назад +20

    Ubarikiwe sana Jembe la BWANA YESU.!Mungu azidi kukutunza..

  • @paulwafula1958
    @paulwafula1958 11 месяцев назад +1

    This is more than a song, this is prayer in a song. What a favour that the Almighty God bestowed upon you. You talked of the Glory of Jesus Christ inform of a song. God bless you woman of God

  • @AbigaelNdiga
    @AbigaelNdiga 9 месяцев назад

    Lord remember our country Kenya 🇰🇪 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
    Fight our battles
    Heal the heartbroken souls 💔
    Restore our countries economies
    Have mercy on us
    Protect us from all evil
    Amen. Be blessed Rose Muhando. ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿,love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪.

  • @upendogoagoa9769
    @upendogoagoa9769 7 лет назад +7

    hakika yesu ni shujaaa wa msalaba,ubarikiwe Rose kwa nyimbo nzuri

  • @cylusshow9584
    @cylusshow9584 Год назад

    nice song oooh Lord my God shujaa ya msalaba umeinuliwa all praises is yours Lord

  • @winniechepkoech5817
    @winniechepkoech5817 4 года назад +43

    We gonna overcome this pandemic..He is seated on the throne and He is aware of what we are facing..let us always praise him

  • @BazegerBazeger-kn4zy
    @BazegerBazeger-kn4zy 9 месяцев назад +2

    2024 March still think about the glory of God ❤❤❤❤ at 11:33pm Nguvu zilizo shida kaburi zionekane kwangu Yesu ❤❤❤❤ naomba sasa ivi

  • @jacquelinewanjiku8273
    @jacquelinewanjiku8273 2 года назад +16

    Love this song. Has the real meaning of the saving power of the work of the cross. God bless Rose.

  • @georgesagwe6703
    @georgesagwe6703 4 года назад +50

    Shujaa wa msalaba 2020 this pandemic isn't going to defeat us 😤😇

  • @catherinebarasa2972
    @catherinebarasa2972 4 года назад +7

    I love this worship song.Shujaa Wa musalaba

  • @silviawaithira5599
    @silviawaithira5599 Год назад +3

    Goosebumps listening to this worship song

  • @Wathesteve
    @Wathesteve 11 месяцев назад +1

    Amen. This song blesses me alot

  • @mwalimunjiriri
    @mwalimunjiriri Год назад +1

    Your songs are a great inspiration to many..God bless you.

  • @lindamsuku4365
    @lindamsuku4365 2 года назад +14

    This worship song is my favorite everytime I worship God. May the name of the Lord be worshiped.

  • @charlesvalencia5749
    @charlesvalencia5749 2 года назад

    Amen blessed is you rose your songs touches my heart,,,, amen and Amen

  • @dorcaskagendo7409
    @dorcaskagendo7409 2 года назад +1

    I miss when gospel was a calling and not money making industry....here when starting 2022....I have seen the the glory of God in my life....

  • @Glorie-oj7xc
    @Glorie-oj7xc Год назад

    I love this song so much aki more grace rose nakupenda bure

  • @anitagathoni
    @anitagathoni 3 года назад +2

    Still watching now, today December 4th/2021. Anointing flowing from mama.
    All the way from Kenya

  • @hannahchege-tb5si
    @hannahchege-tb5si Год назад

    It's blessing to have rose in our midst your songs brings God's presence so close to us indeed he is our cross hero

  • @susanmunywa7254
    @susanmunywa7254 2 года назад +2

    Have been singing this song more n more not knowing it is from rose.God bless you mum

  • @sarahnjoki4265
    @sarahnjoki4265 8 лет назад +32

    I love this song. strong revelation. Jesus was courageous and His love, amazing and can not be comprehended. He became sin for me to become the righteousness of God, took my sorrows and gave me joy, carried my burdens to Calvary and gave me an easy yoke. Christ surely wewe ni shujaa wa msalaba.

    • @elvisoleve6790
      @elvisoleve6790 3 года назад

      He paid the highest price ever
      Let us honor the cross that brought forgiveness and made the difference in our lives

    • @blessedl9304
      @blessedl9304 Год назад

      Very

  • @sashamalia8787
    @sashamalia8787 Год назад +2

    This song is a masterpiece. It hits differently. It carries some kind of annointing that humbles you

    • @elder_kimondo
      @elder_kimondo 10 месяцев назад

      These were the days gospel singers were worshippers. Nowadays they have become entertainers. Truelly the Devil is cunning and deceptive. The Devil doesn't mind you worshipping but only if you can put some modernity and swag in your worship, he's contented.

  • @nimrodmwale2854
    @nimrodmwale2854 4 года назад +1

    Da Rose yaani uimbaji wako na hizi nyimbo hunitia upako mkuu nahisi karibu nae MUNGU... Barikiwa mno dadaangu mkubwa

  • @irenemunyoki9329
    @irenemunyoki9329 8 дней назад

    my day to day stress remover hii wimbo haizeeki listening now 2024

  • @josphinefula2396
    @josphinefula2396 4 года назад +1

    Nimeinua macho yangu kwako mungu ....shujaa wa masalaba

  • @rosemisiko3725
    @rosemisiko3725 6 лет назад +3

    Nainuwa macho yangu juu nasema wewe ni mungu wangu. Shuja wa msalaba yesu umeinuliwa juu.amen

  • @Pettie-Faz-Malika
    @Pettie-Faz-Malika Год назад +3

    This song kept me going this year(2022)Every Morning had to listen to this song..Thank you Lord🙏🙏🙏

  • @anitamatildah9941
    @anitamatildah9941 8 лет назад +2

    Wow. Your songs always bless my soul. thanks and God bless your and continue to lift you more and more Amen

  • @neemajohnson7508
    @neemajohnson7508 4 года назад +4

    20/10/2020 Mashujaa day Kenya🇰🇪, nami nimekimbilia Shujaa wa msalaba. It's a blessing to me

  • @edwinodhiambo6241
    @edwinodhiambo6241 6 лет назад +1

    Shujaa wa msalaba, one of your best hits, keep it up Rose.

  • @barrettopiyo5219
    @barrettopiyo5219 2 года назад +9

    Nice and spiritual! God bless everyone listening to this song.

  • @brayenochokabeeoo4588
    @brayenochokabeeoo4588 3 года назад +10

    My goodness..... Jehovah.... When I listen to this song I break from the depths of my heart .. eihh Jesus ..shujaa wa msalaba... I love you Lord. Rose you are blessed all the time.

  • @christinejumwa7501
    @christinejumwa7501 Год назад +2

    2023 the song is still lit🔥,,am blessed

  • @agneskhakali2069
    @agneskhakali2069 6 лет назад +2

    Wahubiri wanahubiri ukuu wako simba as Yuda na nyimbo pia zaubiri . Amina na Amina

  • @joyjacanday7154
    @joyjacanday7154 8 лет назад +14

    glory to God unabariki wengi Rose mungu akushike mkono its not easy

  • @doreenkawira2123
    @doreenkawira2123 5 лет назад +25

    2019 Rose congrats mama from 254 👌👌👌👌👌👌🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @michaelpatrick9137
    @michaelpatrick9137 3 года назад +1

    My best song of all time🙏🙏be blessed Dada Rose nabarikiwa Sana na kazi zako

  • @lcloves349
    @lcloves349 8 лет назад +27

    Rose your anointed praise AND worship songs are a blessing ALL THE way TO US I'm IN Colorado springs Colorado. I'm being blessed. keep spreading the gospel TO THE nations you'll go!!

  • @marthaebonde2222
    @marthaebonde2222 Год назад +1

    Just love this song. I feel so much blessed. God bless rose muhando

  • @constancewakio604
    @constancewakio604 8 лет назад +27

    As I have always said rose u are blessed and u will forever b my role model

  • @prettymoore6780
    @prettymoore6780 3 года назад +8

    I have been looking to this song for some time coz I had forgotten the title but finally found it. Shujaa wa msalaba umeinuliwa juu wacha nikuabudu, I’m blessed. Listening in 2021 Feb

  • @catherinemuli2700
    @catherinemuli2700 2 года назад

    Am here listening in dubai from Kenya

  • @linnetmbotto7212
    @linnetmbotto7212 7 лет назад +3

    Naupenda sana huu wimbo.. Atukuzwe mkuu wa wakuu, mfalme wa wafalme Yesu Masiah

  • @mercymunywa8334
    @mercymunywa8334 4 месяца назад

    August 2024 loving this song. God bless you sister Rose Muhando❤

  • @lessangile7422
    @lessangile7422 2 года назад +1

    Simba wa wayahudi ..... shujaa wa msalaba!! Too powerful