for the past several days nimekua nikiskia hii ngoma kwa headphones pale kwa bathroom, kwa balcony, kwa dreams... adi sai si sikii. sasa sai naskia tu poa. izi ni flames tupu
"mi si doctor siko mashindano, ... Kama Solomon, kama Solomon, kama Solomon mi nadai tuishi vi right, siko solo boy, siko solo boy, siko solo boy mi nadai tuishi in Christ.." wasee hawajai elewa hizo mishororo 😂
love from Kawangware. I do listen to your songs eko every morning.. they inspire me. they keep me moving my everyday hustles. may God continue to bless you for the souls like mine you inspire and motivate..
Hii song ni kali na hunibless kila asubuhi nikiamka kabla nifike job, nikiwa job, nikiwa roady nikeanda home, kila jioni, iko tu sawa babaa. Kali sana. God give you more n more tunes bro #MisterMoneyBoyEdition
I just love the way u rap ,sing every thing is so amazing,,, even when am not in mood of singing I always found my self dancing listening to ur song s keep it up bro
for the past several days nimekua nikiskia hii ngoma kwa headphones pale kwa bathroom, kwa balcony, kwa dreams... adi sai si sikii. sasa sai naskia tu poa. izi ni flames tupu
Mwanariatha sikomashindano misidoctor siko masindano 😍😍😍🙈🙈🙈🙈wololo AMEN adipale sioni atanitetea proud to be from Mathare ya yes
Hizi territory zote tuko ni za Yesu. Thumbs up if you agree!
Two birds two bads mbaya mbili😮
playing this one in January 2024 on Eko Dydda's birthday
Mwana Riadha siko mashindano, me si doctor siko Mashindano aha..... Maaaaaaaaaaaaaad 🔥🔥🔥
"mi si doctor siko mashindano, ... Kama Solomon, kama Solomon, kama Solomon mi nadai tuishi vi right, siko solo boy, siko solo boy, siko solo boy mi nadai tuishi in Christ.." wasee hawajai elewa hizo mishororo 😂
umedai ni mishororo😂😂😂
Hata mimi ni wa Yesu. Amen!
sipendi vitabu bt ka ni bible nipe book🔥
Ulikua umepewa revelation gani jo
Sipendi vitabu bt Kama ni Bible nipe look.. blessed hapa 2021.... Hii umoja ni yesu Amen
Eko dydda the best in Africa...God bless you man
Amen hady 2021😁😁✨✨Amen
From Mogadishu..hii Mogadishu ni ya Yesu Amen
The most underrated gospel artiste . This guy is a gold mine
2022,na hii ngoma imeweza 🔥
Mwanariadha siko mashindano.....!!!!
#AMEN
Nina Yesu moyoni atanitetea hadi penye sioni ata nitake there.Love is the aswer
Hii ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 papa u never disappoint wapi like ya Ekko
This is the most underated artist in Kenya.
Ama ni juu unado Gospel??
Uko poa Ecko.......
Uwiiii..........Hii comment ni ya Yesu...Amen
2022 Still around
Sipendi vitabu but watu wa show wamenibook....bonge la punchline 👏👏👏💯💯🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇺🇸🇺🇸🇺🇸 watching from Alabama
Utapata niko Luke...mavazi nimedunga ..LOOK 💯💯🔥🔥
Moto kama pasiii
Best song to listen in 2022 as we are approaching elections ,, Dandora, huruma , kondele, liberal ni ya yesu
ngoma nimeipenda ata kushinda kdf.,...,.,shaaambamba
Kasarani ni ya yesu!
Wewe na mimi pia niwa Yesu!!!! Thats great tu sana...........siogopi tena atanitake...there!!
Wapi watu wa kwale.
Locked from Diani, Diani Beach line ni ya Yesu
The way he twengs swahili utadhani ni lusungu😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣Amen ata #KIRIGITI ni ya Yesu
😂😂 ata #Mwandus ni ye Yesu
"mwana riadha siko mashindano, mi si doctor, siko mashindano..." √√√ Alaaa!
this song makes me wanna take the mic from the pastor and hype the church up!
😂😂😅😁
Hahaha yeah this made me laugh so hard
Hi it is Nicole in amrieca
Indeed Jesus is our Identity.
Jesus is my identity. Kali Sana.
wapi likes za amen
MIK-made in Kenya brought me back!!
2024 we locked in ⚡️
Hata Kikuyu town ni ya Yesu🔥🔥🔥🔥
Eko🙌🙌🙌
Whoooz here site tuseme Amen ...hii Mombasa no ya yesu
Shaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaambamba Gitonga, Happy new year. To God be the Glory and honor. Kindly subscribe and share for more.
Gitonga James likoni Sherry beach #💯🔥💯🔥AMEN
Eko Dydda Happy new year bro nilisubscribe tangu zile enzi bro,wafanya kazi njema
CLIFFORD COOL pamoja kabisa
Gitonga James YESU HUANDIKWA KWA HERUFI KUBWA NDOGO NI miungu
Nina Yesu moyoni atanitetea hadi penye sioni. Big up yourself.👌💯
Am blessed,be blessed Eko Dydda.🙏
love from Kawangware.
I do listen to your songs eko every morning.. they inspire me. they keep me moving my everyday hustles. may God continue to bless you for the souls like mine you inspire and motivate..
sorry afandeh Sina 🆔 but nko na idea.. haah
51st viewer!
Grace ya God ni sufficient!
Hii gospel ni ya Yesu,AMEN!
Nyaribari chache...Kenya yote ni ya yesu
Wow,,,,,this song iz dope,,,,,pia Number nane ni ya yesu
Soul yangu ni ya YESU Amen🙌🙌🔥🔥🔥
❤❤👍👍👍🔥🔥🔥🔥🔥🔥 hii nayo ni kali, ako wapi khaligraph aone hii
ah umeshahu lunga,sinai na mukuru kwa ruben na njenga big up a big chune ....na express vile yesu anainipenda wacha nianze naivas kama solomon
Hii nayo ni kali bro. its Lit. Be blessed Bro.
Amen, Hii Lakipia University Naks Campus ni ya Yesu.👌👌
fireeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!
hupendi book but wasee wa show washakubook
Kali bro...💯🔥🔥🔥🔥🔥🔥
napenda ball mbili buda, naziita Bible..eish ur mind is maaassive.super lyricist
Eko dydda never disappoints.. Mistari on point. I like how he plays with words..dope
hii RONGAI ni ya YESU,,,, AMEN
Baba Dogo ni ya Yesu...AMEN
Eko kiboko yao. SALUTE bro. Huu ni mwaka wako, Mungu akuonekanie....
*AMEN*
"Nakupenda kuruka...kimasaai mall" kali sana buda
Shetani too bad....Yesu atanitetea....Amen
Hii hata kebs wamekubali 🔥 🔥 moto kama jua
Napenda ball mbili naziita bi-ble 😎😎
Hii song ni kali na hunibless kila asubuhi nikiamka kabla nifike job, nikiwa job, nikiwa roady nikeanda home, kila jioni, iko tu sawa babaa. Kali sana. God give you more n more tunes bro #MisterMoneyBoyEdition
director wa vidaa amekuangusha bt ngoma moto
I ningine kuuuuuuubwaaaa
Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeen!!!!!!!!!!!!
Likes follows
aaaawesome.identity yangu ni Christ
Nyonde mbili....2 bird!!.
Pole afande Leo sina id Jesus is my identity 💥
this song is just everything. The lyricism
I just love the way u rap ,sing every thing is so amazing,,, even when am not in mood of singing I always found my self dancing listening to ur song s
keep it up bro
motoooooo!!!!!!!!!!! ita wazima moto beat inaungua mistari inaleta joto....
Otanga Ni wa Yesu! Amen!! Noma!!
Hujawai Tuangusha erooooo Noma Hiii AMEN big Tune bro
MOB LOVE, WENGINE NI USHETANI UMEWAJAZA
huyu ndio ule msee hapendangi ujinga-tena na tena-moja baada ya nyingine
pole afande leo sina ID .......jesus is my identity ,#eckodyddarocks BIGTUNE!!!
Hatariiii 🔥🔥💯💯
Hao maDJ wa Gospel Hiphop...kazi kwenu....#254 to the world #Shambaaaambaa
Pia mimi ni WA Yesu. Amen
2021.
Kenyan Talents Rock!!!
grace ya God ni sufficient kweli hii mathare ni ya yesu
noma sana hata kitengela ni ya yesu
🙏🏾Amen
Mlolongo ni ya Yesu Amen, Kitengela ni ya Yesu Amen, Athi River ni ya Yesu Amen... Amen...
moja safi Kaka
Hii fedha ni ya Yesu..AMEN..shaaaambambaaa!!
'umenipa life in abundance' Eko msema ukweli, your songs are inspiring,,
this tyme eko dyda ume weza
Word tu moja Bro @# Amen (naiwe ivyo)
Mtribe all ni kuwa mtrue kwa yesu Amen
kitengela ni ya yesu pia
Kali Sana brother
maragoli ni ya yesu.......Amen
Kenya ya yesu amen
Mbaya ii.. 🔥🔥🔥🔥
Kuku nakula ni ya Yesu...Amen
maze nadai lyric video ile mbaya...God abless work yako zyk
Shaaaaaaaaambaaaambaaaa yesu ndio identity
Hapo sawa...hii Kibera n ya Yesu
Still big tune in 2022
Vile hizi punchline zinakuja, itabidi NTSA wameziban. Ati napenda balss mbili tu naziita Bible(Bi-Ball). I wasnt ready
Ai itabidi nimeokoka,hii word play i can just say Amen
Si ati nini.Everything you have said is indeed true.Let it be.Amen
Eko dydda hajawai niangusha
Sisi wote ni wa Yesu.... Amen!!!! GRACE YA GOD NI SUFFICIENT!!!