NDEGE KUBWA KUANZA KUTUA TANGA BAADA YA MABORESHO MAKUBWA YA UWANJA, N/WAZIRI AELEZA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 ноя 2024

Комментарии • 9

  • @Mrs.Mumewangu
    @Mrs.Mumewangu 6 месяцев назад

    Asanteni sana kutuboreseha Airport. Nimekuja hapa kutafta kama naweza pata ndege kutoka nairobi mpaka tanga... Ukweni huko. Asanteni naona nitahamia huko sasa❤❤❤

  • @salmanyangasa1171
    @salmanyangasa1171 Год назад

    Mama Samia kura yangu ya NDIO kwako ❤❤❤❤❤

  • @nimbetebwangabwa8521
    @nimbetebwangabwa8521 6 месяцев назад

    TA.tunaitaji air port mpya.cmarekebsho.na changarawe

  • @laheonlinetv2161
    @laheonlinetv2161 Год назад

    sawa tu

  • @salumrashid9440
    @salumrashid9440 8 месяцев назад

    Kwa changarawe tena

  • @bongo39
    @bongo39 Год назад

    Daaah itakuwa ni ajabu kubwa kwa tanga kutua ndege kubwa mama kweli anahitaji pongezi kubwa jamani maana tanga ilishatengwa tokea enzi hizo angalau tanga ifufuke

  • @richdsr3517
    @richdsr3517 Год назад

    Inahitajika akili KUBWA TANZANIA, waliopo hawamshauri Rais wala kuipa serikali mikakati yenye TIJA ktk biashara ya ndege. ATCL inashindana na PRECISION na NGORIKA kupeleka watu Tanga badala ya kupeleka abiria MOMBASA kupitia TANGA. Yani watanzania wanawaza LOCAL tuu hakuna anayewaza cross border business kuleta Forex

    • @emmanuelmichael4508
      @emmanuelmichael4508 Месяц назад

      Unakosoa na hapo hapo unaonyesha ulivyo na akili ndogo😂 N/Waziri hajazungumzia ishu ya Air Tanzania kutua Tanga amezungumzia upanuzi wa kiwanja kutokana na shughuli za kiuchumi kuongezeka hivyo watu wengi wanatarajiwa kusafiri kwenda huko